Asante sana mtumishi wa mungu,,hii mafundisho ni ya ukweli mimi nlijiingiza kwa ndoa mapema,sai Sasa mimi ni mama wa watoto wawili na tuliachana sai nko kwetu ,lakini namushukuru mungu kwa kukutuma uje ukatuokoe🙌🙏👏👏
I found this church on UA-cam. I have been watching all the videos and I've been taught a lot. Thank you for allowing God to use you to teach the word. Much love from Kenya
Baba ukweli umenigusa hadi nimejisikia kulia ukweli ni mateso mabaya na magumu Sana kulazimisha ndoa sababu ya kupa mimba ni mateso yasiyoelezeka ni mateso ambayo yanakupa nafasi ya kuogopa hata kuingia kwenye mahusiano na kuogopa hata waliomuhimu maana kila ukikumbuka unakumbuka makosa ya yule aliyekosa
Asante mtumishi wa mungu kwa somo zuri sana balikiwa sana.
Asante sana mtumishi wa mungu,,hii mafundisho ni ya ukweli mimi nlijiingiza kwa ndoa mapema,sai Sasa mimi ni mama wa watoto wawili na tuliachana sai nko kwetu ,lakini namushukuru mungu kwa kukutuma uje ukatuokoe🙌🙏👏👏
Munguwangu hayamambo ningeyajuwaka mapema singekuwa jinsi nilivyo leo basi isaidiye basi watoto wa ngu
Glory to JESUS Amen
Aminaaa baba mung akutunze siku zotee
Asante sana kwa mafundisho mazuri .God bless u
Ameni asente kwa somo hili
I found this church on UA-cam. I have been watching all the videos and I've been taught a lot. Thank you for allowing God to use you to teach the word. Much love from Kenya
Barikiwa sana Mtumishi nmejifunza vingi sana hapa kwako
Baba yangu unanibariki xna ni Léonard tka Drc Congo
Namshukuru Mungu somo ili nimelipata wakati bado sijaoa na nmejifunza jambo barikiwa sana mchungaji
Eee asante umejaa neema ya kufundisha bila kuchoka
Ahsante pastor kwa SoMo zuri MUNGU nisaidie nijue kuijenga ndoa ya badae Amen.
asante mtumishi, tunaomba sehemu ya pili somo hili
Pastor asante kwa huu ujumbe,haya ndo makosa nilifanya sahi sina ndoa lakini naamini Mungu atanibariki na ndoa sahihi
Amina sana pastor, Somo hili limekuja wakat ulio sahihi.
Amina,umenifungua baba ubarikiwe sana
Mimi ni mama,I wish ningepata his somo kabla sijaoleka,singefanya uamuzi mbaya but bcoz sikujua ,God help me and rem my marriage.
Baba Neema ya kufundisha mafuta iko juuu
Asante sana Yesu!
Hili somo limenipa utulivu kabisa na umakini sana blessed dady
Mafunzo ya baraka sana
Baba Asante sana ukweli hayo yapo wazi
Mungu mwema azidi ku kubariki baba mchungaji umekuwa baraka saana ningelikuwa tz ningelikuwa mushorika wako kabisa
Ubarikiwe sana Baba
Amen
Ameen
Kukosea ndoa nikitu kigumu mno
Pastor naomba uzungumzie kwa kina jinsi ya kuvunja mahusiano mabaya au kuvunja agano la ujumba mbaya please 🙏
Amina
Asante Pastor unatufundisha vitu vizuri sana na ni mafundisho adimu sana
Kweli poster umenifundisha ukweli mtupu Mungu akutunze.
Afadhali kuishi pekee kuliko ndoa rong
Am so sorry me😢
Kinywa cha kuhani kitatoa maarifa ya kuendesha ndoa kama maarifa ufahamu na busara
𝙹𝚊𝚖𝚊𝚗 𝚑𝚞𝚢𝚞 𝚙𝚊𝚜𝚝𝚊 𝚢𝚞𝚔𝚘 𝚠𝚊𝚙𝚒
Jioni leo Nimefatilia Tena Kipindi hiki Kuzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA
nisaidieni number ya mchungaji
Unapatikana wapa pastor?
Baba ukweli umenigusa hadi nimejisikia kulia ukweli ni mateso mabaya na magumu Sana kulazimisha ndoa sababu ya kupa mimba ni mateso yasiyoelezeka ni mateso ambayo yanakupa nafasi ya kuogopa hata kuingia kwenye mahusiano na kuogopa hata waliomuhimu maana kila ukikumbuka unakumbuka makosa ya yule aliyekosa
Niatari sana ndugu yangu sisi wengi tulihingia tukiwa miaka 15 na nusu nikulia tu kwa hii somo
🎤
Kwa kweli mtumishi hili somo ni muhimu sana ingekuwa ni vyepesi lifundishwe kupitia TBC taifa au ITV
Mm ñi màmà nilimtege.meà muñgu kwenye ndoà
Amen