Eliud Mungu azidi kukupa ubunifu wa namna ya kuchekesha, Kuna kitu nimeikiona lakini mimi sijaelewa mahali ninapoweza kufikisha maoni yangu, naomba wachekeshaji waache kutumia lugha za matusi yasiyo wazi, lakini tunaangalia na watoto mnatufanya tujisikie.vibaya, mambo ya chumbani yabaki huko yasiletwe hadharani hata kwa mafumbo, watoto wamekuwa welevu, wanaelewa. Nanyie pia mnawazazi na watoto, msijifanye kama hamjui mnachofanya, mnaharibu.
Bro Mungu amekupa neema kubwa unafanya vizuri sana unafurahisha kwa maneno ya busara na kazi unaijua kiasi cha wewe kuw bidhaa ..nakuombea uzidi kuwa bidhaa ya thamani ndani na nje ya nchi sijui kama unajua kuongea kingereza😄😄
Kupitia eliudi moyo wangu unataman sana kuokoka mtu anamjua mungu hata matamshi yake utayajua tu akiongea ee mwenyez mungu nifanye moyo wangu uwe mwepesi kukutumikia
Shida yako Eliudi unakata kata stori. Huendi na stori moja ukaimaliza. Tena ikitokea wamekutuza ndiyo unapotea kabisa. Storyteller mzuri ilajitahidi kufocus na story hadi mwisho.
@@lucydaniel2565 Hilo ni tatizo kwa stand up comedian. Pia kingine ajitahidi kutumia current events kwenye comedy zake. Namna hiyo comedy yake itadumu siku zote. Namkubali sana jamaa ila kuna vitu anatakiwa kufanyia kazi.
Wee nae sio mwelewa wa comedy,yy hajaja kukupa full story anakupa short inachelesha then anarukia ingine na zote mbona zinaisha fresh tu,ww ulitaka asimulie yote apotee kweny key au
Uyu jamaaa kila stage lazima amtaje Mungu,big up eliud far uwill reach by usscf mbeya member
Eliud Mungu azidi kukupa
ubunifu wa namna ya
kuchekesha, Kuna kitu nimeikiona lakini mimi sijaelewa mahali ninapoweza
kufikisha maoni yangu,
naomba wachekeshaji waache kutumia lugha za matusi yasiyo wazi, lakini tunaangalia na watoto mnatufanya tujisikie.vibaya,
mambo ya chumbani yabaki
huko yasiletwe hadharani hata kwa mafumbo, watoto
wamekuwa welevu, wanaelewa. Nanyie pia mnawazazi na watoto, msijifanye kama hamjui mnachofanya, mnaharibu.
Best comedian's ambae unaweza ukamsikiliza ukiwa na pastor,shehe,baba mama mnaweza mkawa pamoja mkamsikiliza vizuriii
Kipitoshi is Typing
Kipotoshi is Typing 😂
Libarikiwe tumbo lilimbeba eliud . comedian ambaye anaweza akaongea mpka kesho nausikie tusi wala kauli mbovu nakupenda eliud bureeee❤❤
Yan umeongea point nzuri sana ❤❤ amebarikiwa sana
Bro Mungu amekupa neema kubwa unafanya vizuri sana unafurahisha kwa maneno ya busara na kazi unaijua kiasi cha wewe kuw bidhaa ..nakuombea uzidi kuwa bidhaa ya thamani ndani na nje ya nchi sijui kama unajua kuongea kingereza😄😄
Uzuri wa eliudi unaweza msikiliza ukiwa na wazazi na watoto na wote mkafurahi ,
Nguvu kidogo maarifa mengi kichwani
Kupitia eliudi moyo wangu unataman sana kuokoka mtu anamjua mungu hata matamshi yake utayajua tu akiongea ee mwenyez mungu nifanye moyo wangu uwe mwepesi kukutumikia
Ameen,
Bwana Yesu na aisikie haja ya moyo wako. Uupate wokovu na uponyaji pia
Glory To God, Karibu sana
Kabisa Huyu Kijana anamtangaza Mungu vizuri
Ni comedian ambaye hatumii nguvu kubwa kuchekesha yaaan, Unatisha Eliud💥💥💥✍️
Nakukubali sana Brother,Mungu azidi kukupaka Mafuta yake
My favorites comedian
big up bro🎉
Huyo Mc sijui pastor anamuitaje hivyo mwenzake eti wee Eliud...ndio nini sasa
Mbeya Boy eliud umetisha sana
😂😂😂😂eliudi anajua maana vya kuchekesha vinaanzia hapohapo
😂😂😂 Nzovwe oyeee😂😂
Mungu hakubariki sana kak eliudi❤😂😅😊
Jamn kaka enaweza sana barikiwa munoo
Nakubar kak upo vizuri😂😂😂
😅😅😅😅😅daaah nime enjoy sana ngoja nisubiri party 2
Vijana wamefika mbali mungu awabariki awazidishie😢😢
MC Eliud Nomaa saana AKILI MINGI Kijana
Ubarikiwe
Dah eliudi, we ni kiboko. Respect sana
Yani wewe eliud mungu awenakusamee bure kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah wewe mungu akutunze
Nani kasema mbeya hakuna Pisi weupe😂😂😂
ELIUD
ELIUD
ELIUD😂😂😂 nmekuitaa mara tatu😂
Dah big up bro uzidi Kufanya vizuli
aiii Nakubali kazi zako eliud we ni comedian mzuli thana
Ila Elihud 😂😂😂😂😂
Kibali kikitoka kwa Bwana 😂
Mungu akutunze Eliud
Mungu akutunzee
Grow man of God
Wew kaka mung akuwek😅😅
Kweli broo unarisha
Shida yako Eliudi unakata kata stori. Huendi na stori moja ukaimaliza. Tena ikitokea wamekutuza ndiyo unapotea kabisa. Storyteller mzuri ilajitahidi kufocus na story hadi mwisho.
Kila mtu ananamn yake ya pekee kapewa na Mungu nae ndio yupo hv na mm napend hvo
@@lucydaniel2565 Hilo ni tatizo kwa stand up comedian. Pia kingine ajitahidi kutumia current events kwenye comedy zake. Namna hiyo comedy yake itadumu siku zote. Namkubali sana jamaa ila kuna vitu anatakiwa kufanyia kazi.
@@lucydaniel2565 Kama huwezi kumkosoa na kusingizia Mungu, Mungu humsaidii.
Wee nae sio mwelewa wa comedy,yy hajaja kukupa full story anakupa short inachelesha then anarukia ingine na zote mbona zinaisha fresh tu,ww ulitaka asimulie yote apotee kweny key au
Yuko vzr sana maana anajua kuburudisha story zake haziboi akiona story haijachangansha anabadili juu kwa juu
Ubarikiwe sana
Ipo siku 😄😄😄🙌
Nakukubali sana kikolo
po tukuchoka bagwitu 😂😂😂😂
Glory to God
Home boy
👏👏👏
Kiukwel mm nakukubali tuuuu
Big up xan mc eliud kwa kaz yak nzr
Ndugha kaka ubhombile😂😂😂
Jaman Debo tenaa😂😂😂
kumbe mbeya kuna wapıga pıcha wengı ıvyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nzovwe piga kelele eeeee nimeishi hapo miaka ya 2000
Hii ndio maana halisi ya stand up comedy, sio wale wanaojiandaa huko afu wanasema stand, watubaki buanaaa
Kwani huyo yeye umeona hajajiandaa??
Yanii eliud
Ameen eliud
Kwann mapelele lakini
Shewa eliudi so masaki 🤣🤣🤣
Khaaaa kila mtu na camera yake jmani
Nakukubal saaana
Ila da faridaa😂😂😂😂😂
😅😅 ko pale tu shewa n mbali
Amen!
Unanifulahisha san
Braza umekill
But why Debo
😂😂😂😂mweee airfresh
😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
Ila kilasaa
🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂😂
Em tukusanyike apa ....apa kwa eliudi... tu subscribe....ila bro we ni atr....nilipen tu like me nafanya promo BURE...
😂mambo ya kilimo
😢😢😢😢😊😊😊😊
Nakukubali sana mwamba
😂💥💥
Siuje
Kak hap ume ua
😂😂😂
Em tukusanyike apa ....apa kwa eliudi... tu subscribe....ila bro we ni atr....nilipen tu like me nafanya promo BURE...
😂😂😂