Standup comedy yote tumeiga kenya tena Churchill uliza kina pilipili na dogo pepe, ndo hata nalimi anatafata miondoko ya Ayeiya poa poa (Emmanuel Makoti)
@benardmapuga4737 Ushahidi wa jinsi alivyopanga mauaji hayo akifikia Hotel ya The African dream Hotel iliyo jirani na eneo la tukio area D Dodoma kwa kushirikiana na mtandao wa tigo uliotumika kum locate Lissu wiki moja kabla vimewasilishwa Mahakama ya Kimataifa London. We jifanye hujui kinachoendelea. Ushahidi mwingine wa kimazingira siku hiyo Makonda hakuwepo ikulu wakati JPM alikuwa anaapisha watu ikulu. Sambamba na hilo JPM alijikuta neno limemtoka wakati akihutubia akasema watu km Lissu dawa yao huwa ni risasi tu. Muda mfupi baadaye tulisikia Lissu kapigwa.
KUNA MDA HUWA NATAFAKARI MAKONDA AJE KUWA MBUNGE ENEO NILIPO KISHA WASIMPE UWAZIRI KWANZA MIAKA 5 YANI AWE JIMBONI TU. KISHA ATEULIWE KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MIAKA 2, KISHA WAZIRI WA ULINZI NA JKT 3 NA KISHA WAZIRI MKUU MWAKA MMOJA TU NA KISHA AJE AISHIKE NCHI AISE.🇹🇿✅🕓
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ni vile hakuna kizuri kisicho na kasoro. Ilivyo Arusha ndivyo inaweza kuwa Tanzania, Mungu ambadilishe mapingufu yake.
Makonda cannot go anywhere hawezi kwenda kokote, everything you see from him is fake Before nilikua najua hivo hata nikawaza awe raisi nilipo jua anafake nilimuomba Mungu ayafute maombi yangu
Mheshimiwa Makonda kazi nzuri kuwakutanisha watu,Barikiwa
Makonda is the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hamo ni mchekeshaji anaejua mambo kwanza anaakili sana, mda mwingine anaelimisha harafu anachekesha, congra
Very Talented
Kwenye comedy Kenya hatuwawez big😮 up sana
Standup comedy yote tumeiga kenya tena Churchill uliza kina pilipili na dogo pepe, ndo hata nalimi anatafata miondoko ya Ayeiya poa poa (Emmanuel Makoti)
Wapo vizuri Sana🎉🎉
Makonda ni Kiongozi mzuri mno ! Arusha inakua ya kimataifa zaidi
Prof, waga namukubali sana.
Mr makonda mashallah kwa kanzi yako .
Wakenya wanajua kutafuta pesa jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
Mh Makonda nakuona mbali sana siku zijazo Mungu akutangulie
Aliyepiga Lissu na wengine risasi atafika mbali
Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza? Mitandao isikuharibie maisha
@benardmapuga4737 Ushahidi wa jinsi alivyopanga mauaji hayo akifikia Hotel ya The African dream Hotel iliyo jirani na eneo la tukio area D Dodoma kwa kushirikiana na mtandao wa tigo uliotumika kum locate Lissu wiki moja kabla vimewasilishwa Mahakama ya Kimataifa London. We jifanye hujui kinachoendelea. Ushahidi mwingine wa kimazingira siku hiyo Makonda hakuwepo ikulu wakati JPM alikuwa anaapisha watu ikulu. Sambamba na hilo JPM alijikuta neno limemtoka wakati akihutubia akasema watu km Lissu dawa yao huwa ni risasi tu. Muda mfupi baadaye tulisikia Lissu kapigwa.
@@humphreymwihambi4330sasa wewe unabishia mawazo ya wengine
@@benardmapuga4737 jibu langu uliliona jana bila shaka.
KUNA MDA HUWA NATAFAKARI MAKONDA AJE KUWA MBUNGE ENEO NILIPO KISHA WASIMPE UWAZIRI KWANZA MIAKA 5 YANI AWE JIMBONI TU. KISHA ATEULIWE KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MIAKA 2, KISHA WAZIRI WA ULINZI NA JKT 3 NA KISHA WAZIRI MKUU MWAKA MMOJA TU NA KISHA AJE AISHIKE NCHI AISE.🇹🇿✅🕓
Hii Band team, bado wako polepole sana. Churchill leta ile team yako wapate ujuzi kiasi.
Salut to professor Hamo
😂😂😂😂😂😂😂 damn! The kasongo part is leaving me in stitches 😂😂😂 its our president, though 🇰🇪 🇰🇪
Kwayote mema yaliofanyika apo makonda apewe 🌹🌹🌹 siyo jambo lakawaida
Perfecte swahili.
Prof harmo bado yupo onfire, Erico saizi ameishiwa contents 😂😂😂
Na sometimes ana fress style
😂😂😂Hamo wetu never disappoints😂😂
Watanzania wangali nyuma saana kwenye comedy yaani unalipia kiingilio alafu kucheka hutaki😂
Hamooo utatuua na kichekooo😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ni vile hakuna kizuri kisicho na kasoro. Ilivyo Arusha ndivyo inaweza kuwa Tanzania, Mungu ambadilishe mapingufu yake.
Sahihi MAKONDA NI KIONGOZI KATIKA VIONGOZI NCHI HII
Jamaa harudii jokes huyu ni zaidi ya comedian
Kenya never disappoint, wakenya na pesa
Kwenye hii show mond ametajwa saana aise
Makonda is the best
Hata vichekesho ni culture na customs...hivyo usipojua lugha ya mahali vizuri utakuta watu hawacheki.
Talented
Hamo mbona haukusoma IN MY BOOK!!?
Prof🎉🎉
Mungu kakupa kibali mkuu
Ajaribu kenya awapee mic ......
Hapo kiongozi umeongea utumbo kama utumbo wà kenge,hutufai kuongoza kwa Nini msijenge kiwanja kikubwa kwani hatuji kuongezeka nasi tunazaa watoto,
Umesema umetenga na haujatutengea😂😂😂😂 prof. Hamo Ruto atakubeba 😂😂😂
Pesa muhimu
Hooi mchungaji pole 😂😂 wasirika wako apa
Professor Hamo Ametisha Naona Nimecheka kuliko walio hudhuria hapo😂😂😂😂
Sichokagi kumsikiliza Professor Hamo.. jamaa anajua mpaka anakera! Lmao..!
Ukimtazama shemeji yetu yaan mke wa mkuu wa mkoa utaelea nn maana ya furaha na amani moyon
Kenyans could not crack jokes in English while in Tanzania for obvious reasons. The fact remains Kenyans are good in-jokes.
Pongez sana kwa waandaji maana japo htupo lakni tumeshiliki
I don't understand why do we brought over people of Kenya here!
I stand out Tanzanians?
I don't blame you!!!
worry out payment was peenut though .. this was act of reconciliation.
Why do we bring not brought. So we come to teach u that’s why we are brought 😂
@@everlineodera6444😂😂😂😂
You are kasonga
Content creator
what do you mean?
Hivi kwenye shoo hiii arusha yule kipenzi Cha willy alikuwepo yule asietaka watanzania waheshimiwe kenya na wasilipwe vizuli
Diamond anawahemesha sana kenya .
Arusha upinzani hawana chao kabisa
Huyu jamaa ni hatari
bila wakenya kumtaja diamond hawa ridhiki
Diamond kioo cha jamii
It’s a way of promoting him as a brand.
Acha chuki binafsi tatizo la watanzania kila kitu mnaweka moyoni mpaka unaumia.
Bila Diamond kutajwa,watz hawaridhiki
Pdidy kashaa muinua
The band led prof down . Professor is good with standby music. The band is dull. But it was good
At first they played off key yet its a very common song
Huyu mwamba katisha kwa maokoto😂
The way Kenyan comedians are trying not to crack a joke in English in Tanzania sounds stressful to them
The band was not well planned
Tanzanian's hawachekagi hata sijui kwanini wanaendaga shows 😂
Harmo my guy 😅😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Makonda cannot go anywhere hawezi kwenda kokote, everything you see from him
is fake
Before nilikua najua hivo hata nikawaza awe raisi nilipo jua anafake nilimuomba Mungu ayafute maombi yangu