ELIUD Nilikuwa Nalipwa HELA kutania Watu mpaka wanalia/Nilivyokutana na DIAMOND siku ya kwanza ...
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
Naturally talented comedian, jamaa hata lafudhi peke yake inachekesha ukiachilia ana flow nzuri na creativity ya contents.
Sanaaaq😂
Mungu akubariki tena zaidi kwa kueli wewe ni wa tofauti kati ya wenge ma comédiens maana una muweka Mungu Mbele nina uhakika uta fika mbali
Well,nimeinjoy hii interview very talented boy from Green City ✊
Keep on shinning bro Eliud 💥💥 u ar so talented
Jibu la nguvu ya kujua nimelipenda sana asee...!!Ni busara yakuitumia kila kwenye ugomvi
Nauliza huyu mwandishi alitoboa kweli hadi mwisho🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂amenogesha
😅😅😅😅😅daah
Baraza halina hatia🤣🤣🤣
Eliud chizii kwel
Your real funny and open,,,,safi sanaaaa
Wanyakyusa ni watu Fulani watu wa kujishusha
Hakika ila ukimdharau ana double😅
Hawajawazidi wahaya
Halafu huyu kumbuka hapa anachekesha
Kabisaaaa umesema ukweli. Yaan ukimdharau mnyakyusa hakuna rangi hutaona. Mi mmojawapo sipendi kabisa dharau. @@francepaul7711
Wanaunafiki braaa
Very humble , intellectual, May God bless you 🇬🇧🙏💙
Sure
Yaani juakali sahivi naangalia scene ya wanyakyusa tu ,nahivi wameweka comed 2😂😂
Ni matokeo mazur tu ila ya kurudia masomo yote 😂😂 sasa hapo uzur wake ni upi!?
Home boy "mc eliud"
Natural talented🤗🤗
Yaani hii interview nimeiangalia huku nacheka mwanzo mwisho kama mtangazaji hapa ELIUD is so talented kwakweli maana anaongea kawaida lakini anaonekana anachekesha.😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani huyu anachekesha sana sana
Jamaa achekeshaa huy
Et ndugu muandishi usicheke 😂😂😂🙌🏻
Yuko vizuri sana uyu mwamba
Utamuua mwandishi😂😂😂
Umetisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 mbavu zangu mie
Baraza hakuna hatia Kwa kweli 😀😀😀
Hahahahaha et dar ufike unaumwa tete kukuwanga jamn
Urudi tena kumtembelea rafiki yako Simba. Yaani nilicheka sana
Apo nimejifunza kitu kumbe Kuna wakati mtu ufel shule au mahal fulan Ili ufungue milango mengine,,safi eliudi Yan unakipaji Sana na unamatilio mengi yan
Daa ase eliud we ni comedian yani kila kitu we ni komedy jamaa unajua sana Bwana azidi kukusimamia na uzidi kumtumikia
Yaani nachekaaa!🤣🤣🤣🤣
Eliud mwehuu sanaaa!!!!🤣🤣🤣🤣
😂😂😅uwiii mbavu zang
Ila eliud bhana
All the best Eliud🙏
eliud mjinga 😀😀😀😀
Hello
Mtsngazaji Hadi kipindi kiishe mbavu huna😂😂😂
Nikisimamia mjomba n mamaa ninao wanna 😁😁😁😁😁😁😁😁
He is a story teller
just like Calvin Hurts he is real a story teller
Machoz yananitoka😂😂😂😂😂😂
Anakuangalia unajua anakukubal kumbe ankumbka...... 😀😀😀😀😀😀
Huyo jamaaa noma sana
Mungu awezi kunyima zote .....elimu ikikata unqjaribu zingine😅😅😅
Eliudi umebarikiwa kipaji cha kuchekesha. Utafika mbali
Mjomba ni mama🎉🎉🎉🎉
Nguvu ya kujua❤❤❤
Kipaji unacho dogo kiukweli mungu akusimamie tu
Baraza la mitihani halikua na makosa
Halafu eti hapa ndo yupo siriazi 😂😂😂 interview nzima inachekesha
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😃😃😃😀😀😀😄😁😁😁😃😄😁😁😁😆😃😃😀😀
Eti ana watoto wa dada yake ,mjomba ni mama 🤣🤣
Huuu duuu
We eliudi jamani
😅😅😅nice
Hhhhh
😂😂😂 Eliud jmn
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utanivunja mbavu
Watu wana vipaji
Mimi ilo choko la Eliyud tuuuu😂😂😂😂
Utasababisha mutangazaji ajinyeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haaaaahaaaaa
Huyu ndo mchekeshaji sasa.
Mjomba ni mama 😂😂😂😂😂 ninao wanne😂😂😂😂
5:19 5:21 5:21
Natala komedian msukuma
Noma Sanaa aaa 😂😂😂
😅😅😅😅
Afu mtu hatumii nguvu anaongea talatibu saana ani
mwandishi kazaa
😂😂😂😂😂😂😂😂so crazy
🤣😆😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
p͎r͎o͎m͎o͎s͎m͎
🤣🤣🤣🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaniaribia usingizi hata sijui interview umewezaje naye