MAKALA BBT - LIFE MIFUGO (AGRF 2023)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2023
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi inatekeleza programu ya 'Jenga Kesho Iliyo Bora' (BBT - LIFE) katika kuwapatia vijana elimu ya vitendo kwenye unenepeshaji wa mifugo (ng'ombe).
    Makala hii imeandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kuoneshwa kwa wageni wakiwemo viongozi wa serikali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula katika Bara la Afrika (AGRF 2023) unaofanyika jijini Dar es Salaam (5 - 8 Septemba 2023)
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 6