TAZAMA:MKURUGENZI WA ASAS ANENA KUHUSU MBUZI MWENYE MAAJABU MBELE YA RAIS SAMIA, 'UFUGAJI BORA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 61

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 Рік тому +9

    MAMA SAMIA SHE IS UNDERSTANDING,LISTEN HOW SHE RESPONDING WHILE AHMED ASAS EXPLAIN ABOUT THOSE TYPES OF COWS AND GOATS.....SAMIA SULUHU HASSAN OEE......

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 Рік тому

    napenda kazi hiyi toka BURUNDI👌👌🙏🙏❤❤💯

  • @frankfaraja4767
    @frankfaraja4767 Рік тому +5

    Ulega umeiona hiyo.....
    Nimeiona mama😂😂😂

  • @erickmalamsha6938
    @erickmalamsha6938 Рік тому

    Good work ASAS

  • @HamisHamza-uf6uz
    @HamisHamza-uf6uz 8 місяців тому +1

    Hongera Kwa maziwa ,,Ila kwenye upande wa Ku care maderva wako ni asilimia 0 kwa ukumbuke bila maderva pia kz zako haziwezi zikaenda jirekebishe broo

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 Рік тому +1

    Mama anapenda ufugaji😊😊

  • @MdaraSarumbo
    @MdaraSarumbo Рік тому

    Hongera mama Kwa kutoa fursa Kwa watanzania wenye uhitaji wa kufuga. Nami sijui nitapataje hiyo mbengu ya Hawa mbizi wa gall

  • @Dunia129
    @Dunia129 Рік тому +5

    nani amenotice mkurugenz anavotumia maneno ya kitalam mama anaitikia tu mm mmm mm mmmm😅😅😅

    • @guydonacklandgereta3805
      @guydonacklandgereta3805 6 місяців тому

      Hakuna maneno ya kitaalam hapo anachanganya kiswahili na kingereza tu basi

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому +1

    Safi sana

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 Рік тому

    😂😂Majike 30 mpaka 40....noma

  • @MusaKashiro-om5vu
    @MusaKashiro-om5vu 15 днів тому

    Shingapi mbuzi moja

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha675 7 місяців тому +1

    Milard ayo.. wanapatikana wapi hawa nataka nikanunue mbegu za boer

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 місяці тому

    We Unatukana Alafu Auna Uwezo. Wa Kujua Kama Simu Yako Inachunguzwa Unategemea Nini Kama Sio Wasiojulikana Wakupitie Kama Upepo

  • @josephmbena611
    @josephmbena611 Рік тому +1

    Boer goat's ni mbuzi bora na wenyefaida

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 3 місяці тому

    👏👏👏👏👏👏

  • @KaijageEvodius
    @KaijageEvodius 7 місяців тому

    safisan

  • @godsonandwele5265
    @godsonandwele5265 Рік тому +1

    Unaulizia mifuta tuu!😂

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому

    😂😂😂😂 mama tupe story za salim kikeke

  • @classicwaisala6677
    @classicwaisala6677 Рік тому +1

    Eti anaweza akapanda majike thelathini adi amsini 😂 apo rais kanunu tu uuumh😅

    • @mosseslazaro610
      @mosseslazaro610 Рік тому

      Vijana wa hovyo mmechukua hiyo tu😂

    • @josephmbena611
      @josephmbena611 Рік тому

      Yap nikwer broo kwaupande wangu tumechanganya mbuzi mmoja kwa majike arobaini

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 Рік тому +2

    Apo kwenye majike 30 hadi 50 mother kaguna😅

    • @ga6866
      @ga6866 6 місяців тому

      Ya shangaa sana😅😅

  • @saidkhamisi9592
    @saidkhamisi9592 Рік тому +1

    Laahaulaa walaaquuwata illa bil laa kuna watu kazi yao nikutukana tuu hivi unadhani haya matusi yatapita hivi hivi ?.....kila kitu kiandikwa na utasimamisha mbele ya Allah acha kutukana bora kukaa kimya

  • @chuzilapweza6517
    @chuzilapweza6517 8 місяців тому

    mm namtaka huyo boer goat

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому +2

    HUYO MMBWA TU C RAIS WALA NINI KIBARAKA WA MABEBERU SERIKALI MNAJIVUNJIA HESHIMA KWA KUMLINDA HUYO KIBARAKA

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 Рік тому

      Kuwa na heshma kaka hata ww una mama akitwa hv utafurahi

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Рік тому

      Laa! Wakati mwingine hata Mimi Mama huwa simuelewi ila mwenzetu umeenda mbali sana hayo Matusi hata kama una stress ya maisha la! Kumbuka una mama, Shangazi, Dada! Matusi na chuki haziwezi kukupa nafuu ya maisha Mwombe Mwenyezi Mungu atakusaidia!

    • @asalkhan9168
      @asalkhan9168 Рік тому

      Ok ushatukana je tatizo lako lomeondoka? Bado unaendelea nalo matusi hayasaidii kitu

    • @SAM_163
      @SAM_163 Рік тому

      HUNA ADABU MSHENZI WEWE UWE NA ADABU NA RAISI WETU.
      Huyo unayejitoa ufaham kumtusi si rais tu Bali pia Ni Mama yetu .
      NINGEWEZA NINGEKUFUNGIA HIYO ACCOUNT YAKO MAAANA UNAKICHAA WEWE

    • @mohamedsuleiman2785
      @mohamedsuleiman2785 Рік тому

      Mbwaaa mwenyeooo na nguruwewee

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do Рік тому

    Kila ndiyo raisi Gani huyu

  • @HisaniMsigwa-lc6zk
    @HisaniMsigwa-lc6zk Рік тому +4

    Mama ntakuja unipe story za Salim .Mama Leo hii nimejua hobby yako

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 Рік тому +1

    Jamani humu kuna watu wanatukana matusi mazito ! Afande muliro upo! Wakamateni kimya kimya muashuhulikie !!! Uhuru gani huu wakumtukana kiongozi wa nchi matusi mazito namna hiii!!! Jamani cyber crime wapo wapi! Au serikali imelalaa

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 Рік тому

      Polisi wajiongeze ,hawa watu wakiwataka ni dakika 5 tu, Haiwezekani umtukane raisi ,tena mama tusi kama " kuma' ,yaani ata kama hukubaliani naye toa maoni mbadala ili tujifunze kutoka kwako .

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Kila Mtu Mama Kila Mtu Mama Sasa Inamana Chini Yake Viongozi C Wapo Na Wao Ndio Wako Kalibu Na Watu Wa Kila Kundi Raisi Kila Akienda Mabodigadi Sasa Shida Zote Atazijua Vipi Ndio Mana Amechagua Viongozi Wa Chini Yake Hao Ndio Wanapaswa Wapigane Zaidi Kwa Watu Wote

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Рік тому

    Tutapata vp hz mbegu ??

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 Рік тому +1

    Mama mafuta yamepanda petrol diesel mama pagumu wanao tunapita punguza mafuta angalau hata mwenye vtz aweze kumudu

  • @bongo39
    @bongo39 Рік тому

    Safibsana hivi ndio tunavyotaka kupeana ushirikiano sio kubwaka tuu kama mbwa mtapata maradhi ya makoo kwa kusema uongo na kubadilisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Рік тому

    Bandari zetu

  • @athumanially712
    @athumanially712 8 місяців тому

    Tatizo Boer goats hapa nchini kwetu ni ngumu kuwapata em milad ayo waulize mimi naitaji.je?nikija kwao nauziwa pair ? Na ni bei gani?!! Nipo Kagera kwa sasa

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do Рік тому

    Mama muza bandari huyo

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Рік тому

    Rais nakupenda ilaa GMO achana nayo

    • @kamanda007
      @kamanda007 3 місяці тому

      Hakuna GMO labda mitako yako

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 Рік тому +1

    ETI MWESHIMIWA KUMA KIBARAKA ANAWAPA MALI ZA WATANZANIA WAARABU NA ANAJENGA KWAO NYINYI MNALINDA MSHENZI TU

    • @bongo39
      @bongo39 Рік тому

      Hayo matusi unayo tukana yatakufikisha sehemu mbaya sana jee mama yako angekuwa nafasi hiyo jee ungekubali unajiamini sana

    • @asalkhan9168
      @asalkhan9168 Рік тому

      Ndugu sio ustaarabu huo kutukana matusi, zungumza jambo lako usitoe matusi

  • @PriscaKasmil
    @PriscaKasmil 6 місяців тому

    A K MIHAMBO

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do Рік тому

    Majambazi wanakupa SoMo situka wote hao wapigaji

  • @ElishaJoakim-ir2qf
    @ElishaJoakim-ir2qf Рік тому

    Sasa kamer man mbon mshamb san unamchu rais t chukua n mifug tuione

  • @coj7920
    @coj7920 Рік тому +1

    Msiangalie tu faida ya kuuza, wa kienyeji ndio salama kwa afya ya watanzania. No to GMOs

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому +1

      Huwezi kukwepa GMO kwenye dunia ya leo mdogo angu, hizi zama sio 1940s wakati dunia bado ilikua na population ya billion 2 tu.

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk Рік тому +2

      Shukuru kwanza!!!
      Mengine baadae.....
      ASAS angalalau wana moyo wa kutoa, wapo wangapi mbona hawatoi?

    • @coj7920
      @coj7920 Рік тому

      @@ME-kb8rk kuna faida gani yakushukuru poison. The issue sio asas tu, kuna wengine wengi tu.

  • @KEVINPHANUEL
    @KEVINPHANUEL Рік тому

    Tuko vijana tunapenda mifugo tusaidie tufunge

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Рік тому

    GMO