Azam TV - MAKALA YA SHAMBANI: Charles Kitwanga ajikita kwenye ufugaji wa aina yake Oysterbay, DSM

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 20

  • @danielsantael8799
    @danielsantael8799 6 років тому +5

    Naomba mawasiliano yahuyu mfugaji nimependa ubunifu wake.nahitaji kujifunza zaidi kutoka kwake.

  • @mrishomzelela4627
    @mrishomzelela4627 5 років тому +3

    AZAM KILA SIKU NAAWAMBIA HAYO MAMBO NI INVESTMENT YANAHITAJI CAPITAL,VIJANA TUNAMAMBO MENGI YA KUFANYA LAKINI Hatuna capital

  • @richardkobero6988
    @richardkobero6988 6 років тому +2

    Safi sana mama...Umenihamasisha sana

  • @bonifasimwakalibule5574
    @bonifasimwakalibule5574 5 років тому +3

    Problems is capital
    Hizo cage ni bei sanaaaa so kwa mfugaji mchanga ni ndoto za abunuasi

    • @ikhlasinvestmentltd73
      @ikhlasinvestmentltd73 5 років тому +1

      Sio kweli ukisemacho na kama unauhitaji kweli ntafute kwa 0718902022 nkushauri nn cha kufanya

  • @ramadhanmohamed7668
    @ramadhanmohamed7668 5 років тому +3

    Apo kwa mafisad sawa lakin si kwa mtu wa Ali yachin ni ndoto

    • @ikhlasinvestmentltd73
      @ikhlasinvestmentltd73 5 років тому

      Sio kweli ukisemacho na kama unauhitaji kweli ntafute kwa 0718902022 nkushauri nn cha kufanya

  • @ziananzunda5988
    @ziananzunda5988 5 років тому +2

    Naomba mawasiliano , pleaasr

  • @ngelularichard3396
    @ngelularichard3396 5 років тому +1

    aya bhana Ila punguza pombe sasa

    • @magdalenarusimbi1438
      @magdalenarusimbi1438 4 роки тому

      Matusi hayo, hizo pombe unamnunulia wewe? Badala ya kujifunza umekalia punguza pombe.!

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 6 років тому +2

    NIMEPENDA, TATIZO SIO KUFUGA KUFUGA NI RAISI,, ILA MTAJI WA MADHARI YA UFUGAJI KUANDAA MABANDA,, PESA YAKE NI TATIZO,, BENKI NYINGI HAWATUAMINI WAFUGAJI,, HATUPEWI MIKOPO YA WAFUGAJI:

    • @jonaskabonda741
      @jonaskabonda741 6 років тому

      Dk Alhaji Jb Matatala kweli kabisa,,Mtaji ni tatizo

    • @summanelson5523
      @summanelson5523 6 років тому +1

      Nakubaliana na wewe kabisa. Watu wengi tunaujua huu ufugaji. Niliuona kigogo kwa mchaga mmoja tena yeye katumia mbao na ameweka tetea watano na jogoo mmoja kila kizimba. Na alikuwa tayari kunijengea. Ni miaka mitano imepita lakini sijapata hiyo hela. Imebaki ndoto tu.

    • @seifharoub8535
      @seifharoub8535 6 років тому

      Dk Alhaji Jb Matatala nakuunga mkono benk zetu hazituamini wafugaji wakat tukiwezeshwa tunaweza

    • @gwakisaezekiel2576
      @gwakisaezekiel2576 5 років тому

      Summa Nelson pole mwaya

    • @emmanuelngonela7909
      @emmanuelngonela7909 4 роки тому

      Tatizo ni mwanzo kuwa mgumu ila watu tunapambana sana ktk ufugaji ,mtaji ndio changamoto na wadhamini hawapatikani

  • @afikianosaid807
    @afikianosaid807 5 років тому

    naomba ajira naitwa Afikiano said nipo mbeya je unaweza kuniajiri umri wangu miaka 22 kama itawezekana naomba wasiliana namimi kwa namba 0743948395