PENATI ZOTE SINGIDA FG {2} vs SIMBA SC {3} | MAPINDUZI CUP 2024
Вставка
- Опубліковано 9 січ 2024
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Simbaaa
Ila Salim nae yuko vizuri jamani tuzidi kuiombea timu yetu uendelee KUFANYA vizuri ya hapo ilipo
Saido si mpigaji mzuri.asipewe kupiga penalty. Hiyo ni penalty ya tatu anakosa
Love you simba
Dogo useni kazi hongera sana
Mm napenda Simba tu
Asante sana kagele❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu golikipa ana mfanana mudathiri Yaya au mmeliona ilo ebu gonga like
Simba ni bora kila mahali
Simba kabebwa sana nyongeza ya dakika 6 iliisha zikaongezwa zingine 3 pia ile haikuwa kona mpira kipa kadakia nje
😂😂xmba n Bora kubebwa na marefa😂😂😂
@@bughekolowah2430hujasemaaa😅😅😅
SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora
This is simba nguvu moja ❤❤❤
KWAHIYO na yanga não wanapokuta na singida kila mechi wana shinda pia no tawi layanga sio
Simba vs singida leve
❤❤❤❤🎉🎉
Mnyama nafanya yake❤🎉
Yn nimeipenda San Simba nguvu moja
Simba tim mbovu imebebwa vibaya sana na singida mazee yafukuzeni ilo jibwa kagere lisha choka
Weeee si uingiee upige penaty
🏆🦁🏆💪💪💪💪💪
Hii imeenda😀🔥🔥🔥
Mshahara wa Kennedy apewe kagere😂
Ile penanti ya kagere ingekua kipa manulla angefungwa
Huseni kazi apewe mauwa yake❤
Nguvu moja simba
Naipebda simba
Noma sana
Nimeipenda Penalt ya Kagere ile kweli ilikuwa Penalt ya Maamuzi
Nampenda banzokiza ❤❤❤❤
Simba nguvu moja 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤LOVE YOU SIMBA❤
Simba nguvu moya
❤❤
Saimon
Kapombe aache kupiga penati
🎉
Timelines
Furuuu further leooo
Timu dhaifu imeishinda timu bora, hata ulaya haya yapo. Usipaniki kwani maisha pia yako hivyohivyo
Singida achaneni na Kagere anawaangusha sana. Kwanza ameshazeeka sana.
Saido ameshajitokea muacheni akapumzike ... Tunaomba aonyeshwe mlango wa kutokea
Kwer kak
Kagere mwaya kunywa Hennessy usinywe soda😂😂😂😂
Kagere ni msaliti analia unafki huyo babu.
Masikini Kagere. 😂
kagere man of the match
😂😂😂😂
😂
Nimecheka Kwa sauti 😂
Baleke anatatizo bado
kagere imekuwaje
Nguvumoja mnyama ❤❤❤congratulations 🎉
❤ninachojuw nimeisha 😂
VIJANAA NDOO WANA UCHU WAKUIPAMBANIA SIMBA ILA SAIDO, CHAMA,BALAKE NA PHIRI HAWANA UCHU WA KUIPAMBANIA SIMBA KAMA VIPI WAONDOKE
Km chama ndy kanitokakabisaaa
Mtazibwa midomo cku sio nying na hao wachezaji😮
Utopolo wamekumbushwa yale maumivu ya Ally salim Kudaka penati za mateja wao Ngao ya jamii😅😅
Wazee wote wamekosaaaa😅
Umesha kwisha kuwa mzee pumzika sass kagere aibu hiyo
SIMBA NI BOLA KILA MAHALI
😂😂😂❤❤❤
Kagele mlimpa pesa sio bure 😂😂😂
Kishuti cha mtoto wa chekechea 😂😂😂😂
Wana Azam njooni hapa tujuane jaman,
Haa!!Hee!!
Yan kipa alikaa kitako Ndo akadaka Yani daaah hatr sana
Wataje
Wachawi Kagere walimloga
Saido upigaji wake ule ule tu ndo maana anakosa, asiaminiwe kupiga penati atatufelisha mechi kubwa
Wew ndo kipa wa ukweli
Kened unachomeshaje kizembe ivo ndo maana sijawh kukubal
Wanasimba wote makuma tu
Ally salim kipa wa ushindi kuna siku mtamuelewa tuu
Wachezaji wazee waondolewe Simba watafute timu za kwenda
Hamna timu hapa. Timu inayosubiri kubebwa??! Dakika mia na kitu? Watu hadi tukasinzia tunaangalia ujinga ukiendelea? Mambo gana haya.
Unyama mwingi
Kagele umepigaje hapo😅😅😅😅
Msaliti huyu.
😂😂😂😂😂😂
Vipi mnakubali kwamba ndumba ipo?
Hatu hatuu hatu hatu hatuu umepigaje hapo???
😅😅
Nguvumoja 🦁
Weee kwani umefika wapi punguza povu
Art inalipaje huko Ughaibuni ..ua-cam.com/video/EglosdklOTA/v-deo.html
uyu alopiga pinat mwisho kagere alikuwa anaumwa au
Singida bwana likipa wanaliona likipa lasemu moja wawo wanapigatu kule kule
Hata yanga walipiga upande mmoja
Vp utopolo mbona alidaka tatu😅😅
Akuna kitu mna bebwa tu
Wew ulipigwa3 utabebwaje
mlivyo bebwa kwenda fainali
Ukibebwa bebeka
Mlivyo fugwa 3😂😂😂😂😂
Ukibebwa bebeka utopolo waliongezwa daika tisa lakn hawakuzitumia
Wee c ulishindwa kubebeka ukakojozwa bao tatu
Kipa atakuja kuwacost sku ya mechi muhimu muamuz akiww makini arekebishe
Wa kwetu huyo😂😂😂😂
Wivu tyuu
Izo propaganda tu..utopolo alipofungwa media zikatafuta kuficha aibu ya timu bahasha
🎉,😂😂😂😂😂😂😂😂😂wamuzi mtafikambal mnajuamno😂😂😂😂😂😂😂
Duuuu
Koment hapa tuchat
Kuna wachezaji wasimba Kama wasipowaacha SIMBA WASAHAU KUFIKA MBALI.
Mbali ukifika ww inatosha
Jamani Simba inakamiwa sana ,,timu YOYOTE ikicheza na Simba wanajitutumua hatari ,,sijui kwanini ?
@@user-id5oc7hm4n wanakuwa wanacheza na timu kubwa ndo maana
Fika mbali wewe
Kama ww ukitolewa kazin kwako watafika mbal
Ally salum unajuw dog nakubl san
😂😂😂😂😂😂 kafele