TAZAMA HAPA MAKOCHA WETU WOTE WALIVYOWASILI KAMBINI NA KUPOKELEWA KWA FURAHA NA WACHEZAJI
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Kama unaamini simba bingwa gonga like.
Leo me wa kwanza nipeni like zangu Simba nguvu moja
Wa kwanza leo nipeni like zangu Simba nguvu moja
let make a good starting and god bless us
Nguvumoyaaaa❤❤❤❤
VAMOOOSSSS!!!! MNYAMA
Simba nguvu mojaa jamani like zangu nimekuwa wa kwanza
Simba nguvu moja
Nguvu Moja ❤
Simba bingwa Isha Allah
Mchawi mungu pekee tuombe kwa mungu awalinde
Simba is the best team in Africa
🦁 🦁 🦁 🦁
Simba nguv moj
Where is Manager🇰🇪 of the Club? Au kaishapewa thank you!!!
Kwann kibu haonekani kambini na hakuna taarifa yoyote
Hakuna watu siwakubali kama hawa watu wa "kama unaamini nyoko nyoko gonga like hapa" hawa watu kama ningeweza ningefungia acount zao
Wapi
We hauna mishe
Unaliwa wewe umefataa nini ktk video za simbaaaa kengeeee wewe
Kwan wwee nan anayekukubal shugulika na yako hayakuhusu
Sijaelewa hata kdgo ulikuwa una maam gan,,yaan taarifa ya uwongo ama nn,,kam si mdau wa Simba huna haja ya kuzifuatilia,,🤣🤣🤣
🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏🙏🙏
Uyonae hatomaliza mwaka
Yani mm nihangaike kusalimia watu na chakula kipo tyr? Haijawahi 😂😂
❤❤❤❤❤❤❤
Huyu matola nae ni jipu, wa hovyo Sana atoke
Mbona kibu simuoni humu
Simba ilibidi tuongeze mwandishi mmoja wa habari kama pablo Almas.
Uyuu matolaa wanin jaman
Hv kwann mna muweka matolla kuwaa moja ya watu ktk bech ra simbaaa na sio Juma mgundaaa
Zimbwe mchawi
Kuna siasa inaendelea hapoo,beki wa kati na kibu wako wapi,tumeanza kamaa msimu ULIOPITA, tusijekulaumiana kwenye ngao ya jamii
Beki wakati ndo nini Sasa au uyo kibu ndo nini mbona mnapenda kujaji vitu amvavyo avina mahana sana
@@kinoboys-pj7ifyaaani ujinga mtupu bora umesema
iv matola atasepa lin cmba
Matola na yeye atafute timu sasa afundishe,atakuwa lini kocha mkubwa
Matola piga kazi ucsikilize matapeli
Kama Matola yupo Baaasi.................
🎉
Jobe asifukuzwe😂
Hamna jipya
Asate sana kwakumjibu mpuzi huyo
Wa makipa yupo wapi😢
Na bado mpaka waseme kabla usajili haujaisha tunamtangaza chama 4 huyu mchezaji anabalaa anachama 4 mwilini mwake soon
Iwe mvua iwe juwa safari hiii tunachukua makombe yetu
simbaa😊😅
Kuna mtabili anasema Ilo jina la kwanza la kocha ni kama lina gundu atupati ccte
Matola aisee kumbe bado yupo
Matola anafanya nn
oya matola anafanya nn kwenye benchi la simba😅.
bado new play wait eli mpanzu
Semaji aubin hayupo?
Yule manager wa timu walimfukuza au
Unyama mwingi
naomba kujua hatima ya bek wakat
Hizi zote ni mbwembwe tyu kazi ipo uwanjani
Bado mapema
mbna beki wakat sijamuona
Jaman m sjamwona Kibu😢
Amesajiliwa Really Madrid😂
Mbn beki wet wa kati haonekani
Kibu yuwap
Mama yako ndo Hana jipya mbwa wewe
Jamani onana wapi yeye?????
Simba nguvu moja