🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | AZAM FC {0} VS SIMBA SC {3} | LIGI KUU YA NBC 2023/24
Вставка
- Опубліковано 8 тра 2024
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Mashabiki wezangu wa mnyama lek zenu bas na mm
ss ss simba ss mnyama simba ss ndio mabigwa Africa nzima mgunda umetisha 😮
Yaani nangalia mara yanne hiii mechi😂😂😂😂😂😂 hainishi ham duchu amenifurahisha Zaid leoooooo ila mgundaa balaaaa kajuwaje kama duchu anakiwamgo Cha namna hiiiii naenda kufunga😅😅😅❤❤makopa namauwa Nampa mgunda ❤❤❤❤❤
Mbona munarusha highlight ya dakika kidogo rusheni at least dakika 58 cc wengine hatujapata kuangalia mechi ila tunategemea highlight kutoka timu yetu simba... Rusheni highlight ya dakika nyingi ili nasi tufaidi
Edwin BALUA - Kacheza chini ya kIWANGO Sana .... Sijui anaogopa nini
❤❤❤❤nguvu moja
Ahakika tumefurahi sana Sasa hii diyo simba
Mnqtupunja sana kuweka dakika kidogo
Boli la vijana litembee 😅😅
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Weken ndefu Ili tuenjoy zaid
Dakika za jioniiii Azam wanalia 😭😭😭😭 hiiiiii🙏🙏
ALHAMDULILLAH RABIL ALLAMIIYN
👏
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Mambo wana simba tunataka
Simba nguvu
Huyu refa Kwa utopolo Ana ujasili wa kutoa penat?
Mech Za Simba nying anatuumiza tu
Mnyama ssc ❤❤
😮
Aloooo🎉🎉
Picha limeanza kibabe
Bila chama tukawapiga3 sasa chama nn
Kama ville wapo kumb akuna kilaki2
Tabu itakuw palepal
Jamani hapo mwenye goli la 3 huyo mchezaji kazingua alafu kazuga eti alikuwa anataka kulala chini kumbe kazuga tuu
Kwa ivo unataka nini? What's your point? Ebu kakojoe ulale mtoto mdogo..hujui kutofautisha furaha na kuzuga
Mechi nzur hamuweki highlights ndefu mnahamisha tu wwlizoweka Azam sasa unafkir watu watakuja kuangalia kitu ambacho washakiona kwenye UA-cam channel ya Azam? Au mnaona ni sawa kukosa kwenye takwimu za views kama mwez uliopita?
Hapo umenena