TIZI LIMEKOLEA! TAZAMA VAIBU LA WACHEZAJI WAKIWA MAZOEZINI SIKU YA PILI HAPA MISRI
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Mungu atusaidie tuwe bora miaka yote Simba nguvu moja 💪🏻❤❤❤
chama kaondoka lakini simba itabaki kuwa bora daimaaaaaa.,,,,,,,
Chama hana jipya tena .sie simba ndo university ya football.simba nguv moja
Sure kbis
@@muhamedjaffar5653
Kabisaaaa. Kaka. ❤❤❤
SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪🦁🔥💪
Kwan chama nani Babuu😶🙂🤑
Mbona chama mwenyewe ameondoka wakati hana ubora mkubwa kama mwanzo
Mungu Ijalie Simba Sc
God bless Us Nguvu Mojaa💪
Mungu ibaliki simba yetuu❤
Naipenda simba milele hasoling na simbaaa
Nguvu moja🔥🔥🔥💯
my life team simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
We mungu ijalie timu yangu Simba ushindi pia ishinde vishawishi vyote vya kipepo amen 🙏🙏🙏
Tumia kauli nzur kuwasilisha maombi yako kwa MWENYEZI MUNGU MTUKUFU nasiyo unamwita kama unavyoita washkaj zako
kweliii inatakiwa ujitambue na uelewe jinsi yakuomba maombi kwa heshima
Chama wazani sio wa Sasa Jana tuzo hata moja chama gani acha akafie nyuma mwiko
Mungu tubaliki gong like kama nwan simba
Viogozi wetu muwekitu kimoja msiweke makudi kwani makudi humufanya kochi akose wakuerewana nao❤❤🎉🎉
Chama sio simba ndugu let's simba to have new blood man .
Hongereni Simba tv kutuletea mazoezi ya timu yetu pia tunaomba Simba day mtuonyeshe kupitia Simba tv.,,
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤
God bless Simba
Mungu simam na simba yetu is one mbele
Mungu atujalie msimu huu nasi tufulai,Wana Msimbazi haooooooo
Go Simba go
NGUVU MOJA ✊💪
Ikitokea simba haikufit this time bas bongo itakua ni sehem mbaya sana kisoka 🙏🙏🙏
Simba nguvu moja🙏🙏
Naomba che malon apewe ukapten❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
kama unanipenda simba gonga like apa❤❤
MUNGU 🙏 Bariki Simba yetu
Simba nguvu Moja mungu saidia majembe yetu
Simba nguvu moja ❤
Simba nguvu moja❤❤
I love you simbaaaa
Ee Mungu ibariki simba
Naipenda simba yangu chama lawana
God bless simba❤
I love you simba
Kila la khery timu yangu
I l o v e simba❤❤
The dream team
Asante.
My Club Ever ❤❤❤
All the best my team
Yaan tunaomba mungu
Nguvu moja
Ukiachana na Mangungu wasaliti Simba na wachezaji walikuwepo pia,ukiona mchezaji kaenda upande wa pili jua mlibeba bomu,ila kama Mangungu ataendelea kuwepo usaliti utaendelea kwasababu huyu mtu anatamaa sana,kila wakati unamuona amekaa na watu fulani fulani
Kapombe apewe unahodha anajua kuongoza wenzake kuliko Zimbabwe
Kila lakher simba
❤❤❤
❤❤❤nguvu moja
Ongereni kwa kutuonyesha kinachoendelea kambini.Kibu na Aubin Kramo wapi kambini?
Simba rahaaaa bana
Hii Simba au Spain huyu 🎉🎉
Ni wakati wa kuijenga timu so majina ya watu kwenye timu. Watu wanasema tumeasajili academy ngoja tuone kazi ya academy itakavyowashanzaza watu. We are in the process
Nzambe atambola bino, tata Nzambe yoka losambo ya bana nayo.
Iv niwaulize wanayanga kumsajili chama wanaona mamemsajil mess, kwamba hawafungwi, au maana maneno yamekuwa meng, sasa subilin,
❤❤❤❤
❤
simba nguvu moya hatu poi wala hatuboi
Mungu tujalie tuwazibe midomo
Chama niliombea aondoke dua langu mungu kalipokea maana alijiona kama anajua sana alafu yupo slow sana kiufupi asingetusaidia bali ange tukandamiza sana mtu mwenyewe kazeeka sana mwaka huu hatutaki wazee.
Hivi jamani Simba sc watu wanaweza kuzuia uchawi WA YANGA usiwapate wachenzaji WA Simba sc jamani wazeee WA simba
Matola ndy mkosi wa timu
2000 FC watatuelewa wale machura 😅
Katika wachezaji wa Simba wa muda mrefu wanaocheza bila makandokanndo niKapombe tu.Sio eti kina Chama😂😂
Camera mbaya jitahidini kuandaa vitendea kazi wekezeni huku Nako Kuna pesa tu pia yaani hakuvutii kuangalia kbsa ila tunaangalia tu maana ni kitu tunapenda timu yetu
Sio camera wewe ndo hujaweka sehem ya quality toa low quality weka quality
Usajili wetu ni mzuri saana ,Ila nivema tungepata mchezaji mmoja Mwenye quality kubwa , @ Kama Mpanzu au Feisal
Maana tunapoandaa Silaha zetu nivizuri tukapima nazawenzako ;
Kramo tupo why worry..kibu yupo why wory
Cramo yupo nae,?
@@JoseHaule-tx7lu ndioo
Mukwala ni Baleke 8 kaa kwakutulia utaona moto subiri msimu uanze
Acheni usenge fanyeni mazoezi ya mana lilasiku mazoezi hayo hayo naona vitu vinajirudia vile vile fitness muhimu sana
Taalifa ya onana vipi
Mwaka huu hata hatujasajili vizuri mi naona tunaenda kupigwa 10 tena
Jamani mbona kibu sijamuona Egypt?
Top 6 in africa 100% all funs
MBONA SIWAONI KIBU NA ISRA MWENDA KIKOSINI VP
♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏
Kazi kazi unyama mwing
Kibu D na kramo mbona hawapo na timu Kuna taarifa yoyote
Kib simuon
Kramo yuko wapi jamani acheni bas
Hii ndo Simba ya matarajio sio ya wazee
Mbona kibu simuini
Amna kukata tamaa mbele mbeleyao
Matola anasindikiza tu hana contribution yeyote akiachwa timu hovyoo tu bora mgunda
Tutayauwa mzee
Hivi Simba imewahi kwenda mazoez ya gim??
Jaman mbona wachezaji wengine bado hawajasafiri na timu
NGUVU MOJA
Nimefurahi kutomuona onana 😅
Mnamtaja chama wanini humu?tusapoti team yet ya Sasa jamani Simba hii Ni fire kaa mbali nayo.
duuu! tizi la moto wanafukuza kunguru
Ngoma ni mzembe wa mazoezi uongo mbona hayupo chapu kama wengine
😂tafuteni cameras nzuri
Jamani mbona kama kibu simuoni
Pira amapiano lina pikwa
Kweli unyama nimwngi
muwe mnaweka wimbo bhana mawimbi hayo yana boa ,fanyeni kama professional
Mimi nakuhitaji Aubin Kramo Ni mchezaji mzuri
Ee MUNGU walinde wachezaji wetu
Mbona husen kaz haonekn jmn
Mbona kibu haonekani kambini na hakuna taarifa yoyote?
misri ya wapi hiyo mbona kama kunguru wa Goba hao nawaskia
Simba Bado tupo imala sana😅😮
Mbona Kibu haonekani kwenye mazoezi?
Kwan misri kunguru ndio wengi kuliko watu
Matola atawafundisha migomo vijana
Utopolo WANAFANYA mazoezi kwenye vumbi la ufukwe wa bahari nyie mnakimbia,kimbia humo kwenye nyasi halafu kwenye ngao ya jamii mje mtuaibishe,fitness gani mnaipata kwenye mazoezi MEPESI kama hayoo ambayo na mm nayawezaa