Kaka wa DR-SHIKA afunguka kwa UCHUNGU: Alipotea kwa miaka 32, MABILIONI yake, Tumeumia sana kafariki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 173

  • @ednawilliam7759
    @ednawilliam7759 3 роки тому +5

    Huyu baba ana hekima sana! Mungu akubariki sana, poleni kwa msiba na familia kwa ujumla...Mungu awatie nguvu!

  • @hiramakhamis2830
    @hiramakhamis2830 3 роки тому +16

    Wanaonekana ukoo wao ni wasomi hata huyu mzee anaonekana msomi

  • @ameenasur656
    @ameenasur656 3 роки тому +18

    Huyu baba ni jilan yangu ila sikua najua km ni ndugu wa shika polen sana wanafamilia

  • @prophetessmsolo981
    @prophetessmsolo981 3 роки тому +6

    Maskin anaongea kama yy😭
    Mungu amuweke mahali pema peponi ameen

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 роки тому

    Asante sana ndugu muandishi wa habari creez kwa interview hii pole sana kwa msiba mwenyewe Mungu awatie nguvu kwenye iki kipindi kigumu na tumuombe kwa Mungu azidi kupumzika kwa amani dr shika🙏

  • @lucasmourice8347
    @lucasmourice8347 3 роки тому +12

    Mlimuona mwehu unajua sisi watanzania tena hasa nyie media ndo mmemsababishia msongo wa mawazo coz mlikua mnamuona n chizi

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 3 роки тому +4

    Very humble mzee wa watu

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 роки тому

    Mungu ailaze roho yake pema peponi amina pesa na yote vilivyomo duniani Ni mali ya Mungu duh shika R.I.N BABAKE

  • @emmanueldrc864
    @emmanueldrc864 3 роки тому +10

    Mzee wa Mia tisa itapendeza . R.I.P DR shika

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 3 роки тому +5

    Masikini poleni sana mungu awape wepesi

  • @tamaralyza3280
    @tamaralyza3280 3 роки тому +4

    Wa wa wa poleni sana familia shika

  • @wahabmkazi7902
    @wahabmkazi7902 3 роки тому +2

    Mzee safi sana, anazungumza vile vile kama marehemu, ako na busara sana. RIP DR Shika

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 3 місяці тому

    Mmmmmh.....kwa maelezo hayo nimeamini adui wa mtu ni wale wa Nyumbani mwake...R.I.P Dokta shika Alikuwa mtu mwema sana ila inaonekana amepotezwa kila mara na nyota yake ya umaarufu haikuwezekana kuzimwa ila walijizimia waliohisi wataipata hatimaye wamefaidi wengineo. RIP...Shika umetangulia ktk utakatifu mkuu.

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 роки тому +5

    Babu unamaneno ya busara sana mungu akubariki na poleni kwa kumpoteza ndugu yenu Dr Shika...mungu amlaze mahala pema Ameen

  • @leonardbigambo8554
    @leonardbigambo8554 3 роки тому +4

    Pole Sana

  • @dominickmaembe7829
    @dominickmaembe7829 3 роки тому

    mzee anabusala sanaaa nimemkubali hana tamaa hajalaumu dr shika kuwaterekeza bila MAWASILIANO afu duh 🙌

  • @mapesacleophace9862
    @mapesacleophace9862 3 роки тому +1

    Tanzania home sweet home. Huwezi kuwa na amani tele ukiwa unaishi ugenini. Mi kwingine siwekezi wala kufanya makazi Zaid ya Tanzania. Hapa hapa ntatoboa

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому

    poleni sana kwa msiba mungu amueke mahali pema.

  • @tamaralyza3280
    @tamaralyza3280 3 роки тому +3

    Chris good job

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +2

    pengine ana familiya huko ulaya lakini ndio basi tena washapotea.

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 роки тому +5

    Kajichagulia na sehemu ya kuzikwa dah nimejisikia vibaya

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 роки тому

      mbona sio vibaya lakini, mzee mkapa alichagua kwao mbona kazikwa kwao, hata wewe unaweza kuchagua pia na utazikwa hapo utakapo chagua, na sio wewe tu hata mimi nimeshachagua nizikwe karibu na bibi yangu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    yaani mzee hataki kutowa siri ya marehemu anamstiri masikini pole sana baba.

  • @shijacs23
    @shijacs23 3 роки тому +5

    Interview nzuri ila mngeweka namba ya simu ya mzee kuwasaidia maana kama mlivyomsikia kuuguza na msiba umewaacha vibaya kiuchumi na hao wanaojiita marafiki au waliotumia umaarufu wa jina lake hawakumsaidia alipoumwa au kusaidia familia na msiba!

    • @magejose1386
      @magejose1386 3 роки тому +1

      Kweli kabisa,maana ugonjwa wa Figo kuna gharama sanaa,kama kuchuja sumu mara 2 au 3 kwa wiki na kila ni zaidi ya laki 2 dah

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 3 роки тому +1

    Baba mungu awape subra na jinsi ulivoongea mazuri kweli utu ni kitu

  • @hizim6699
    @hizim6699 3 роки тому +1

    Hv kwnn watu hawatolei macho ambayo yalimkuta urusi na kwann yani sehemu flani mkifika mnaficha hata kakake mmemsikia kasema alivokua urusi ila kuna mambo awezi kuzungumzia km mwanafamilia hv so what!!!

  • @Lassana755
    @Lassana755 3 роки тому +4

    Huyu mzee anapenda watto

  • @bbakzuvciIii
    @bbakzuvciIii 3 роки тому +1

    HILI NI JINGA SANA.. LIACHE KWANINI MNAIHOJI HII MIDUDE PLEASE .. DUNIA NA MAMBO YAKE YANAPITA MUNGU NDIYE WA KUTOA HUKUMU.. AMEN

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 роки тому +1

    Anaitwa dr.louis shika keji.

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 роки тому

    Pole Kwa safari Chris

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 3 роки тому +1

    poleni sana jamani mtihani

  • @0712939973
    @0712939973 3 роки тому

    Jamaa alitengwa ila alikua mtu muhimu sana ktk Nchi hii,Ila sijui kwa nn naona serikali kama haikumpa kampan

  • @licuifyshorts9416
    @licuifyshorts9416 3 роки тому +5

    Mzee mbusara sana Mungu awape subra wanafamilia.

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 3 роки тому +2

    Poleni sana

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 роки тому

    Poleni jamani Mungu awatie nguvu

  • @rosemongi5084
    @rosemongi5084 3 роки тому +2

    Mzee wa watu ameumwa mmeshindwa kumtangazia achangiwe matibabu sa ivi mnaenda kwao kufanya nn Sasa

  • @Razkenya001
    @Razkenya001 3 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu Amlaze pema peponi Amin 🙏🏽

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 роки тому +2

    Mzee anabusara sana

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Dam ni nzito kuliko maji pumzi tu nsio.zinatudanganya tupendane jamani.

  • @FromTanzaniatoNorway
    @FromTanzaniatoNorway 3 роки тому

    Maneno ya busara sana, poleni sana kwa msiba ndugu.May his soul rest in Peace.

  • @khadijavassardanis3178
    @khadijavassardanis3178 3 роки тому

    Mungu amumzishe kwa amani

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому +1

    Rest in peace docta shika 😢🙏

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому +2

    Mzee anajibu vizuri " poleni " " bado hatujapoa"

  • @esteramiry7025
    @esteramiry7025 3 роки тому

    Duuu poleni sana wapendwa

  • @0712939973
    @0712939973 3 роки тому

    Mhh huyu karudishwa kiswahili kwao ndo mana karudi bila chochote

  • @bundaboytz2101
    @bundaboytz2101 3 роки тому

    Mzee nae Yuko vzr kichwan

  • @hizim6699
    @hizim6699 3 роки тому

    Mnaishia tu watu mlimuona mwehu,huyu ngg yake ila nilikua sjui, pumzi ndefu kuliko maji ah, yani mnazungumza vitu vyepesi vyepesi tu yani ndo nin sasa

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 роки тому

    Jamaniii

  • @zuhuraadinani8819
    @zuhuraadinani8819 3 роки тому

    Poleni na msiba

  • @ankobav1306
    @ankobav1306 3 роки тому

    Poleni wafiwa

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    wahenga walisema mla nawe si mzaliwa nae ila mfa nawe ni mzaliwa nawe.

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 3 роки тому +3

    daaaa mtihani sana

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 3 роки тому +9

    Kuna chakujifuza Kwaza tunavyo enda kutafuta maisha kwenye nchi zawatu tuwe tuna kumbuka nyumbani tuwe tunarudi nyumbani hata likizo tu na tukipata riziki kidogo tuwa kumbuke wazazi pamoja na ndugu , tisirudi nyumbani tukiwa tumepoteza dila , R. I. P docta shika🙏

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому

      Shika hakuwahi kwenda Urusi wala nje ya nchi yeye alitafuta kiki tu ajipatie umaarufu mbona wabongo ni wagumu kuelewa mambo ya kiki kwanza Urusi ni nchi masikini sasa angewezaje kupata hayo mabilioni

    • @ashanalinga8719
      @ashanalinga8719 3 роки тому +4

      @@happynelson1136 Kwaiyo tumuamini nani Kaka ake au wewe? Kaka ake ndo Kasema ivo na yeye mwenyewe shika pia alisema ivoivo

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 роки тому +2

      nelson Mharo gani huu?

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому +1

      Shika hajakutana na huyo kaka yake kwa muda wa miaka 30 huyo kaka yake kajua kutoka kwenye mitandao kuwa shika alisema alikuwa anaishi urusi

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому

      @@ashanalinga8719 na mbona shika hakuwasiliana na kaka yake kwa zaidi ya miaka 30 huyo kaka yake kamsikia shika kwenye mitandao kuwa alisema alikuwa anaishi urusi lakini shika na kaka yake hawakuwa na mawasiliano mpaka alipozidiwa na magonjwa

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 3 роки тому +9

    Chukueni vitambulisho vyake endeni kwa embassy husika ya Russia na USA mtapata assets zake zote

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 3 роки тому +2

      Huwezi jua alifanya nn huko!!wanaeza fika wakatiwa ndani

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      😅😅😅😅

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +2

      Russian ni wachawi namba moja labda walimufanyia kitu kibaya na pia wana roho chafu wawezi waka peana hela

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 роки тому +2

      @fatuma issa Yani anaongea kama warusi ni wajomba zake,eti watapatiwa just like that. Wazawa wenyewe kama makaratasi hayako vizuri hupati peni.

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 3 роки тому

      Mishono ya vitenge MAHARUSI nk bonyeza link pia usisahau kusubscribe
      ua-cam.com/video/iZ18UJA3f1A/v-deo.html

  • @The_imans
    @The_imans 3 роки тому +2

    So sad 😞

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому

    Wasukuma huita watoto ma jina maneno yeyote wanayo sikia duniani. Kwaheri mzee Wetu wa m 19

  • @ashafatuma3167
    @ashafatuma3167 3 роки тому +6

    Ulaya pagumu especially Urusi!!matapeli wengi popote duniani!!

  • @geofreymgalla
    @geofreymgalla 3 роки тому

    Rip

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +3

    Pole familia

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 3 роки тому

    Rip shika

  • @salaita2829
    @salaita2829 3 місяці тому

    Putin alishawahi kusema kuwa africa iliumbwa kama eneo la makaburi tuu,kwamba watu wanaenda kutafuta ulaya,kutibiwa ulaya,kusoma ulaya,ila wakifa tuu wanakuja kuzikwa afrika.

  • @hansykabisama5183
    @hansykabisama5183 3 роки тому +1

    Gud work sns

  • @patrickemily8927
    @patrickemily8927 3 роки тому +5

    Safi sns mtafika mbali

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому

    Heee 1988 hadi 2020

  • @hizim6699
    @hizim6699 3 роки тому

    Yy alivokuj alizungukazunguka lkn alieleza kinagaubaga yaliomkuta urusi,kwnn msianzie pale alipoeleza alipoishia,km yule aliekua anajiita mkuu wa mkoa makonda alimuita alimbeza, km kuna chizi mmoja anajiita dk shika cjui kaishia wp kaishia wp ume observe,we ndo utakua chizi makuzi kibaaaao mim mkuu wa mkoa mim mkuu wa mkoa mkuu wa mkoa utakua ww, mtu anasafa kivyake ww unakujakuja tu unamuita chizi mmoja, mtu mwenyew unatembelea migongo ya watu,em na ww safa kivyako km dk shika tuone km hujawa dk anguka,viongz wenzako kipnd kile wenye akili sasa kipnd kile waliamua kukuaa kimya w ndo kiherehere

  • @jumahalifa6436
    @jumahalifa6436 Рік тому

    INAVYOONEKANA HAKUWA NAUSHIRIKIANO NA NDUGU KIPINDI AKIWA NAIZOELA HILI NIFUNDISHO

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    mzee anaongea ki busara zaidi na kifumbo sana yaanai mtu uwe unamapenzi na watu mpaka usahau uliozaliwa nao?? hii imekaaje hapo?

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 3 роки тому +6

    Alikua dar zaidi ya miaka 3 mbona hamkufuata? He needed love, you should made a first move to fetch him
    He was lost needed love from close relative

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому

      Angerudi,sio wangemchukua alikuwa mtu mzima na shughuli zake

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 роки тому

      kwani yy alikua mtt Mdogo kusema hapajui nyumbani?

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 3 роки тому

      Benny Mochiwa
      You can tell he was mentally ill with Delusional, wangekwenda kumuona, hujamuona ndugu yako miaka 30 ingekua mimi next day ningekua kwenye basi namfuata, angalia sasa kaka anavyo ongea anajifanya kama vile alimpenda sana, too late tumewajua ukoo wenu upo vipi,

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому +4

    R.I.P. Dr Shika you are in a better place now no more pain .

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 роки тому +1

      How sure are you?

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 роки тому +2

      @@japhethgeriad4519 May be you know better, good for you, but what I comment is my opinion and belief so let me be please.

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 роки тому +2

      @@ashaali7154 Noted though biblically when someone dies it doesn't mean he heads to Heaven rather waiting for ressurecton when Jesus Descends secondly.

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 3 роки тому +5

    Utaratibu ungewekwa Dr Shika angeweza kuchangiwa na kutibiwa

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 роки тому +1

    Polen sana

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 3 роки тому

    Apumzike kwa aman ila wanaishi mjifunze kutafuta watu wakiwa hai

  • @shijacs23
    @shijacs23 3 роки тому +1

    Ndio najiuliza, walimuona wa maana wakati jina linavuma(kina Kathrrine Kahabi meneja wake) lilipofifia mpaka akamkana hakuwahi kuwa meneja wake wakati kamera zinammulika hawakuwa mbali naye wakiuza sura zao!!! Shwaini wakubwa!! Ok, hata kama hamkuweza kusaidia matibabu basi mngetoa pole ya maana kwa wanafamilia waliomgharamia kwa matibabu!! Maushuzi wakubwa wote waliomtumia baadae kumtelekeza!!

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому

    Tatizo hata mzee shika alipokwenda ngambo alisahau kwao tujifunze kutokana na makosa nyumbani kwanza japo maiti haikosolewi.

    • @godwinmpazi1560
      @godwinmpazi1560 3 роки тому +1

      Sidhani kama alisahau kwao......ila Maisha yalimpiga Ulaya then aibu kurdish nyumbanu mikono mitupu....Hata mimi nina almost similar situation ,nimeondoka home miaka 12 sasa ,maisha mabaya huku ila bado napambana..Najifunza hapa.

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 3 роки тому

      @@godwinmpazi1560 poleni sana ndugu zetu ila ukiona mambo magumu rudini kwanza nyumbani pengine riziki zenu zipo huku

    • @godwinmpazi1560
      @godwinmpazi1560 3 роки тому +1

      @@namirihamisi3899 Ahsante kwa ushauri wa kutia moyo ndugu yangu.Bado sijakata tamaa,na hata hutumia hulka yangu kuwahamasisha wenzangu wengi waliotoka hata nchi za jirani kama Kenya na Uganda wasikate tamaa.Inasikitisha kuna Jamaa mmoja anatoka Uganda yupo huku miaka 30 sasa.Amesha surrender kwenye pombe na crack na East Africa anayoijua yeye ni ya kina Remmy Ongala na Ivony Chakachaka.Serikali ya huku inmempa nyumba mara nyingi lakini kwa hali yake ya afya unakuta after three months nyumba imeota manyasi ndani sababu ya ukungu.

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 3 роки тому +1

      @@godwinmpazi1560 mtihani kwa kweli haya ndugu yangu mungu akuangazie nuru njema ili ufanikiwe mahitaji yako na kila uendapo mungu akutangulie akupe riziki yenye khery na ww Amiin yaraby.

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 3 роки тому +1

    Pore babaangu

  • @faithakoth7530
    @faithakoth7530 3 роки тому +2

    Leo mumekubali ni mtoto wenu!!!!!wanadamu hawaeleweki kweli

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому

      Kwani walimkataa au ni yeye alikataa kwenda nyumbani !!!!!!!??????

  • @bokeyemarwa5038
    @bokeyemarwa5038 3 роки тому

    Meneja wake (Katherine Kahabi) hakufika?

    • @shijacs23
      @shijacs23 3 роки тому +2

      Ndio najiuliza, walimuona wa maana wakati jina linavuma lilipofifia mpaka akamkana hakuwahi kuwa meneja wake wakati kamera zinammulika hawakuwa mbali naye wakiuza sura zao!!! Shwaini wakubwa!! Ok, hata kama hamkuweza kusaidia matibabu basi mngetoa pole ya maana kwa wanafamilia waliomgharamia!! Maushuzi wakubwa wote waliomtumia baadae kumtelekeza!!

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 3 роки тому +6

    Sasa mpaka wazazi wote wanakufa na hujawahi kuulizia wala kuzuru nyumbani kwenu kwa kisingizio eti uko ulaya, uko busy? Kwanza ana bahati sana ndugu zake wamemuhifadhi. Angekua kwenye koo za roho mbaya kama zetu angezikwa na manispaa.

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 3 роки тому

      😂😂😂 ni kweli kabisa!

    • @godwinmpazi1560
      @godwinmpazi1560 3 роки тому

      Pengine nauli bro....Kumbuka zile aibu ku admit kwa ndugu kwamba umepigika wakuchangie urudi home....kumbuka hulka ya mtu pia kama kwa mujibu wa kaka yake kwamba Shika ni mpenda watu...meaning aliwapenda ndugu zake na kujutia mzigo wa matatizo alio nao kulinganisha na hali ya ndugu zake so anabaki kujutia na kuteseka Peke yake....
      Kumbuka ashapoteza all matrimonial figures pia...ma mzazi ,dada nk...hawa watu mara nyingi wawapo hai huunganisha sana familia contrary na mkibaki madume watupu....

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 3 роки тому +1

      @@godwinmpazi1560 kulingana na maelezo yake ni kwamba alikua na hela ndefu sana, mda ndio hakuwa nao. They say make hay while the sun is shinning. Most so called "educated people" who live abroad are scared of upsetting the white man in their brains, ndio wanajisahaulisha kwenye nchi za wenyewe kwa kujisifu "I am the only black man running a successful business in Russia " mwisho wa kwisha unakuja kulala stendi mnazi mmoja. Nasema hivyo kwa sababu hata mimi niko abroad na najua nyumbani ni nyumbani, sioni sababu yoyote ya kumfanya mtu mweusi aliyezaliwa Africa kuishi ulaya miaka 30 bila kurudi nyumbani, tena Urusi?

    • @godwinmpazi1560
      @godwinmpazi1560 3 роки тому

      @@sankofaman4112 Ni kweli...kwa kweli mi ningekuwa na huo mshiko ningeshafanya mipango zamani na kurudi nyumbani... tena kijijini kwa bibi na babu nilime na kuvuta hewa safi.
      Ulaya pagumu naelewa sababu na mimi nipo hapa for 12yrs sasa na bado hakieleweki.Natamani sana kurudi home
      tatizo ni wakati naondoka nyumbani nilikuwa sijajijenga na nilikuwa bado kijana mdogo.Pia nishapoteza hata network toka baadhi ya ndugu hata walionipiga vizinga vya hapa na pale mwanzoni...I would almost imagine myself wearing Shika's shoes...I cried 😢

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 3 роки тому +1

      @@godwinmpazi1560 usikate tamaa brother. Jikaze, punguza matumizi utafaulu, kwetu Africa future bado iko. Wala usione aibu kuanza upya, just pick yourself up and start all over again " It's never too late for a man at rest to wake, the time that he wakes up is the time that he should rise " .

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 роки тому

    Interview ya mtu aliedai ni kaka yake mkubwa ilifanywa na channel ya MWANANCHI DIGITAL yenye kichwa cha habari cha NDG. WA DOKTA SHIKA. Hapo ndio ninapochanganya ni yupi hasa kaka yake kati ya huyu na yule wa awali.

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 3 роки тому

    .

  • @annalekule2180
    @annalekule2180 3 роки тому

    Cjui n kwann huko Urusi wakiendaga wanarudi hawako sawa...kuna mmoja nae alienda kusomea udoctor amerud kama mwehu mwehu..maneno mengi hana A wala B yan ombaomba n changamoto nadhan kuna kitu huwa wanawawekea s bure

  • @rachellebahati6126
    @rachellebahati6126 3 роки тому +5

    Mtu akienda urusi.harudi salaama

    • @alexmurithi1327
      @alexmurithi1327 3 роки тому

      Kwa nini

    • @addya.bernard9580
      @addya.bernard9580 3 роки тому +2

      Ni kwel asee, kuna ndugu yangu alienda kakaa uko miaka 22 kaoa mzungu kazaa na watto uko, ila saiv karud hom ni mzee kijana na pombe na yy licha ya kuwa anaongea lugha 12 za mataifa makubwa ila anaonekana fala kabisa yan

    • @rachellebahati6126
      @rachellebahati6126 3 роки тому +2

      @@alexmurithi1327 kwa sababu wakiona unahakiri wanakuharibu.niwacawi saana.

    • @hadijahmwajombe9588
      @hadijahmwajombe9588 3 роки тому +1

      daaa mtihani sana

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 3 роки тому

      Kweli kabisaa

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 3 роки тому

    Mzee shika ni makmuga alitanua akasau familia na amerudi empty wakampokea nakumzika... #Nimepatafunzo

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 3 роки тому

    Mh toka 88 hadi leo 2020 ni 32 mbona miaka mingi ndugu wa dam kuto kuonana

  • @aloycemacha9894
    @aloycemacha9894 3 роки тому

    Mzee una busara sana

  • @asiliyakechuma4319
    @asiliyakechuma4319 3 роки тому

    Miaka 32 hujarudi kwenu unaakili kweli ww

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 роки тому

    Hivi huyu ni kaka wa tumbo moja au wa ukoo..? Maana kuna interview ya zamani kuna mzee mwingine yuko kijijini walikozikwa wazaz wa dr. Shika ndio alisema ni tumbo moja kabisa.. alisema wa kwanza ni dada na akafata huyo mzee na shika ni mtoto wa tano. Sasa huyu kanichanganya, mwandishi umeniacha njia panda hapo.

  • @hamidaabdallah8146
    @hamidaabdallah8146 3 роки тому

    Poleni sana

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 3 роки тому +5

    Sasa leo kafa na wamejua kwenda kwao kuuriza ukweli, to late

  • @shimammymammy5298
    @shimammymammy5298 3 роки тому +3

    Mahojiano mngeyatafuta alipkua anvuma akiwa mia 9 itapendezea kujua mtamsaidiaje kupata fedha zake.. Haya sasa kafariki mnauliza mjue nini