"NILITEKWA URUSI SABABU YA KUWA NA PESA NYINGI" - DR. LUIS SHIKA ASIMULIA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 808

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 років тому +196

    Ndugu zangu PhD ya MEDICAL SCIENCE sio ya kipole pole, Kama kusoma inabidi uwe Kichwa Sana Yaan, Ifike Time Tumpe HESHIMA huyu Mzee Amesoma Sana. He's very Innocent, Obedient, Smart kichwani.. RESPECT ndio kitu cha kumpa huyu Mzee Msifanye TOYI

  • @godotaru7088
    @godotaru7088 6 років тому +22

    Asee mzee nakuombea mungu akufanikishe uweze kulipa.iliwatu wanao jua kuhukumu waaibike

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      god otaru Mambo vipi?
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @gadsonogega3774
    @gadsonogega3774 6 років тому +4

    He is vry educated , clever and hardworking man . Nice inspirational speech to learn what life holds .

  • @zahabujoseph6584
    @zahabujoseph6584 6 років тому +1

    Mzee nimekuelewa vilivyo uko smart sana, hapo ndo tofauti ilipo kati ya kusoma na kuelimika na kusoma kuongeza miaka shuleni.

  • @foryourglory3041
    @foryourglory3041 6 років тому +3

    Asante Millard kwa hii habari. We are very quick to judge before hearing someone out. Sasa reputation imechafuka and He has already been through so much. A book is never to be judged by its cover. Hope his story has a better ending now that his story is out.

  • @chobaray
    @chobaray 6 років тому +4

    Mzee kasoma Elimu ya Juu Sana,Kuliko Watu wengi sana Tanzania,#Salute OG
    GOD BLESS YOU

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 років тому +3

    Mungu wangu. Umenitoa machozi Dr. Shika roho inaniuma Sana. Pole Sana. Mungu akusaidie upate pesa zako zote utimize Marengo yako .mungu anakupenda Sana. Kwa hiyo atakusaidia sana

  • @deusmadel3283
    @deusmadel3283 6 років тому +10

    Wanaokudharau, sku moja watakusalimia kwa heshima. Ukweli utajulikana tu... but huyu baba yuko vizuri sana. Big_up kwake Atainuliwa. Mungu kaamua kumfungulia milango kwa njia hiyo.

  • @comedykitaa
    @comedykitaa 6 років тому +2

    Kinachotokea mtandaoni ndio lilikuwa lengo lake na alisubili sana nafasi hii na imejitokeza. Haikuwa rahisi kupata Masaada bila ya kufanya hivi. Kwa hili Kama nizo pesa zipo serikal itamsaidia. Salute kwako dr shika

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      comedy kitaa Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @adaash6591
    @adaash6591 6 років тому +2

    Men Of The Year Dr Lewis I salute you

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 років тому +2

    Sasa nimemuelewa mzee jmn, heshima kwako Dr, Pole sanaaaa umekutana na mambo mengi kimaisha katika nchi za watu mpaka inaonekana hauko sawa kiakili. Mungu akupe nguvu

  • @bakarimakida1145
    @bakarimakida1145 6 років тому +36

    Dah... kama hii ni kweli... basi mjomba kapitia misukosuko ya kutosha... pole sana jomba.... Lkn pia tusisahau kauli mbiu yake "Suala la kukaa peke yako halikubaliki"😅😅

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Bakari M Akida Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @emanuelmaando4753
      @emanuelmaando4753 4 роки тому

      Bakari M Akida nimeelewwa

  • @paulmshabaha6356
    @paulmshabaha6356 6 років тому +4

    He is smart and has a family great thing!!that is real genius🔥🔥

  • @mariamoman7593
    @mariamoman7593 6 років тому +22

    sbuhanna allh pole babu kwa yaliyo kukuta nmekupenda bure babu ang
    😘😘😘😘

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Mariam Oman Assalamualaikum!
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @elastomsigala5153
      @elastomsigala5153 6 років тому

      Mariam Oman

    • @mariamoman7593
      @mariamoman7593 6 років тому

      +Elasto Msigala hi

  • @tumsifujoachim5877
    @tumsifujoachim5877 6 років тому +30

    hujafa hujaumbika, kweli mzee kateseka sana

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      TUMSIFU JOACHIM Mambo vipi?
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @bettyowiti397
      @bettyowiti397 4 роки тому

      Rip..

  • @irenelyimo3215
    @irenelyimo3215 6 років тому +4

    Pole sana mzee wetu nimejifunza kitu kupitia ww kwamba usimzarau mtu kwa muonekano wake

  • @janethlilja9975
    @janethlilja9975 6 років тому +1

    Pole sana baba! Nimejifunza kitu maisha mwangu, samahani sana kwani nami nilikua miongoni wa wasiokuamini. Sasa na najuta ila nimejifunza, usimdharau umsiemjua wala usimcheke!
    Sasa nimegundua kwanini unaishi maisha yale, sasa kumbe bado umgonjwa wa mbavu kutokana na mateso makali. Hata meno na vidole walikutoa. Hakika Mungu ni mwema. Natamani ningekuona tu ningefurahia moyoni. Wewe ni sawa na umri wa baba ngu ingawa alishatangulia mbele za haki. Naomba Mwenyezi Mungu awaseheme wote waliokukebehi. Kumbe usilolijua kama usiku wa Giza. I promise nikifika Tz nitafanya juu chini nikitafute.

  • @josephvictor6871
    @josephvictor6871 6 років тому +1

    Millard ayo nakukubali mnooo kwa habari mzuri na zaukweli sio kama wengine wanatafuta watazamaji kwa habari za uwongo mungu akulinde na akusimamie kazi zako vyema

  • @timothwaitara4458
    @timothwaitara4458 6 років тому +89

    mzeee huyo anakili sana hata kujielezea anajua kweli huyu ni doctor of philosophy

    • @yohanamartin9012
      @yohanamartin9012 6 років тому

      Timoth Waitara o;in

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @fatmanasornasor9047
      @fatmanasornasor9047 5 років тому

      BC akuoe

    • @bbakzuvciIii
      @bbakzuvciIii 4 роки тому

      SEMA KAMA HAJAMCHAGUA BWANA YESU KRISTO IT IS NOTHINGG...😪😫😥

    • @stellanyaonge285
      @stellanyaonge285 3 роки тому

      @@bbakzuvciIii mjinga tu wew

  • @denisrwebangira136
    @denisrwebangira136 6 років тому +2

    Aaaaahhh safi sana doctor.

  • @a.j9964
    @a.j9964 6 років тому +6

    Nimegundua mzee amesoma sana ndo maana anavaa simple sana...daaah pole sana mzee tusamehe watanzania wote

    • @abdallasabour5034
      @abdallasabour5034 6 років тому

      athman luanda , you are really true
      Wasomi wako simple, pia hata Dada msomi nywele simple, njoo umuangalie mwny cheti cha kuzaliwa tu utajua balaa nywele mavazi km taahra wa Ufilipino

  • @perfecthilarymbewa5968
    @perfecthilarymbewa5968 6 років тому +62

    mpen kipindi clauds jamaa ana ongea vitu vya kweli kabisa story yake ina sisimua sana naamini walisikiliza watanzania wata jifunza mengi sana

    • @issamakoba1608
      @issamakoba1608 6 років тому

      hilary mbewa

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @kato_tz
    @kato_tz 6 років тому +3

    Asante Milard Ayo, Jana nilisema jamani mwacheni mzee afunguke ana mengi ya kushare. Maskini mpaka chozi limenitoka kwa kweli utajiri wafaa nini kama maisha yako yko hatarini. Baadhi tulisema kuna vitu behind the scene sio bure. Mnaona sasa. So Mzee ameona maisha ya kukaa amejificha hayatamsaidia na angeweza pengine hata kufa bila hata kujulikana. Nakumbuka kamanda wa Police Dar es salaam Mambosasa alimkebehi huyu Mzee kwamba mtu mwenye kavaa ndala hela atatoa wapi, Hii Kauli ilitupa shida tulio wengi.
    Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mzee yuko hai na Afya yake itarejea tu. Amefanya jambo la maana sana kusema ukweli. Mi nahisi bado anayo mengi mpeni tu Kipindi afunguke na kadiri anavofunguka ndivyo chances za kusurvive zinaongezeka.

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 6 років тому

    Pole sana Dr Shika nimekuelewa sana mzee. Wewe ni mtu mwenye busara na hekima tofauti na wanavyokuelewa kimtazamo.

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 6 років тому +106

    Nimemuelewa sana huyu mzee. Kiukweli anachosema kina ukweli ndani yake. Mtu muongo anaonekana tu hata kwa macho. Mi naamini haya maneno yake yote ni ya kweli.

    • @prettymum7430
      @prettymum7430 6 років тому +2

      Bashiri Girro hata mim sijuwi kwanini but i trust him

    • @kipipakipipa5050
      @kipipakipipa5050 6 років тому

      Feeling so sad

    • @sulleymanjimmy3199
      @sulleymanjimmy3199 6 років тому

      duh noma aisee nmemuelewa Sana Dr Shika

    • @doramsuya5135
      @doramsuya5135 6 років тому

      Bashiri Girro kweli kabisa....

    • @namsamson3443
      @namsamson3443 6 років тому +1

      Alafu mtu muongo hawezi rudia kitu hicho hicho kila enterview angekuwa anasahau maneno mengine

  • @cosmaspaul8452
    @cosmaspaul8452 6 років тому +2

    Pole mzee wangu kwa yaliyokukuta, na mwenyez Mungu aendelee kukulnda.... I love you.

  • @yaledimlawa9108
    @yaledimlawa9108 6 років тому +2

    Sawa mzee mungu akusimamie sana!!!! Daaaaaa!!! aya bana duuuu!!!!!

  • @omarymasoudykisondo389
    @omarymasoudykisondo389 6 років тому +2

    Usimdhalau mtu kwa kumuona tu ujui yupoje. Big up mzee baba upo vizuli

  • @samkabaysa6487
    @samkabaysa6487 6 років тому +1

    Dr. Shika yaonyesha ni mtu makini sana, na msomi mzuri. Pongezi kwako mheshimiwa.

  • @zainabbakari3603
    @zainabbakari3603 6 років тому +59

    Tusizarau watu tusio wajua kwa muonekano wao tuu sio vzr jaman dah mzee yuko tmamu tuu pole babu wng

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 6 років тому +1

      Zainab Bakari polis walimdharau

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Assalamualaikum!
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @mathayomatondo4024
    @mathayomatondo4024 6 років тому +35

    Millard MPE hela huyu mzee umetengeneza pesa nyingi sana mungu anakuona ujue

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Mathayo Matondo Mambo vipi?
      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @gracekihampa3350
    @gracekihampa3350 6 років тому +1

    mbinu za watekaji na namna ya kusepa! asante docta.." shikilia kengele mbwa hatabweta"

  • @cammyris2168
    @cammyris2168 6 років тому +3

    Heshima kwako Baba We do respect you so much na Mungu anakupenda sana Na ndio maana mpaka Leo upo

  • @karimhemed9261
    @karimhemed9261 6 років тому

    Dah!! Maisha Haya!! Cha Msingi Ni Kumuomba Mungu Tu Akufanyie Wepesi Kwenye Kutafuta Rizki Yako!! Maana Hakuna Anayejua Kesho Yake! Pole sana Doctor Historia Ya Maisha Yako Inasikitisha Sana!! Mungu Akusimamie Inshaallah

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 років тому +3

    Pole Sana mungu akupe maisha marefu zaidi hapa duniani Amina

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 3 роки тому +6

    R.I.P our Dad !!Nenda salama tuko nyuma yako🙏🙏

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 4 місяці тому

    Du pole Sana Baba yetu, Mungu Azidi kukupigania na Akubariki zaidi, akupe furaha na Amani kwa Maisha yako

  • @omarisaid1315
    @omarisaid1315 6 років тому

    Dr shika kaeleweka sana.... kwel ucmzarau ucye mjua.... katupa elimu (Ukishindika kengele zako mbwa javelin) na (ucmtazame alye lala ataamua) Hatariiii.

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 років тому

    Woooi jamani duniani kuna watu wabaya mi mpka mwili umekauka...pole sana Mzee Allah atakusimamia kila kitu utokea kwa sababu...+254 Mombasa

  • @abdallahhemed3527
    @abdallahhemed3527 6 років тому +43

    pole Mzee tumekuelewa.Allah atakulipa kwa hizi zulma walizo kufanyia.Sasa nyinyi muliomzalau mumeona MTU alivyokuwa yuko lakini,je MTU ambae ana akili a naweza kuwa na kumbukumbu kiasi hiki?kutokan na hii mitihani aliyopita ndio imuathiri kisakolojia lakini bado anajitambua

    • @yohanamartin9012
      @yohanamartin9012 6 років тому

      Abdallah Hemed

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Abdallah Hemed Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @lucylavender2584
    @lucylavender2584 6 років тому +1

    Ooh my God ,mungu akusaidie buda

  • @gugutachief2950
    @gugutachief2950 6 років тому +1

    Pole mzee yote maisha...mungu ndo muweza wa kila jambo

  • @kingzed7763
    @kingzed7763 6 років тому +41

    naamini huyu mzee ni billionaire kweli, he knows how to explain his self dah nlikerwa na yule afande aloongea pumba kwa kumjaj mtu kimuonekano ata kabla ya kucheki hii

    • @magenysamike4075
      @magenysamike4075 6 років тому

      Pole saaana jamani inatia huruma

    • @habibumianga6461
      @habibumianga6461 6 років тому

      King Zed #pesamadafu AFANDE mwenyewe ni form four failure

    • @kingzed7763
      @kingzed7763 6 років тому

      msenge kweli

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @salaamclinicoftraditionalm3641
      @salaamclinicoftraditionalm3641 4 роки тому

      Kwa maradhi sugu,uzazi na uungaji mifupa
      0716651640

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 6 років тому +91

    Huyu mzee kiukweli nimetokea kumuelewa sanaaaa

    • @mansheshe8258
      @mansheshe8258 6 років тому +1

      Wewe Kama Mimi vile

    • @winniechoyo4072
      @winniechoyo4072 6 років тому +1

      IMANI ELIAZARY mi pia

    • @danielpatrickrobert125
      @danielpatrickrobert125 6 років тому

      Huyu mzee inaonekana alikuwa na pes , ila sasa mambo sio baada ya mambo fulani aliyopitia

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ili ili hapo uku kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @abuuyahya8864
      @abuuyahya8864 5 років тому

      Imma Ruzige huyu Mzee muongo

  • @emmanuelyandu1608
    @emmanuelyandu1608 6 років тому +2

    OMG, I'm moved!

  • @chichijuma1466
    @chichijuma1466 3 роки тому +1

    Mungu akulaze mahalo pema lnshaallah

  • @jackswat
    @jackswat 6 років тому

    I think this man is not only wealthier in terms of his money, but even the story he is telling is quite exciting.! True stories kama hizo ni chache sana duniani bwana!. If he manages to put that together in some kind of a book - he will make even more money!. VERY FEW PEOPLE ARE SUCH AS HIM!! - I challenge biographers to take that chance.

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 6 років тому +1

    nimemuelewa sana Dr Millard Ayo msaidiye huyuu mzee

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 років тому +28

    Dah maskini, mzee anastori ya kusikitisha sana nimestruggle sana kumaliza dakika zake19:38 inasikitisha japo mwisho kuna kautani kidogo. Ila nimejifunza vitu vipya 3 leo toka kwa huyu mzee. Moja ni Shikiria kengele aka "mbupu" mbwa mkali habwaki( hii ni kwa sie boys tu)
    2. Shika kitovu nyoka mkali hakusogelei kabisa
    3. Usimtazame usoni mtu aliyelala utamwamsha

    • @amimubecha3241
      @amimubecha3241 6 років тому

      joji georige pamoja kaka, pamoja sana.

    • @minharhocuma5264
      @minharhocuma5264 6 років тому

      na ya nne "kukaa mwenyewe haikubaliki"

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      joji georige Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

    • @mwaijatvonline895
      @mwaijatvonline895 5 років тому

      Nimepata somo pia je kwa wanawake unashikilia Nini? Unapopita kwenye mbwa wakali?

    • @sabinamagesse2013
      @sabinamagesse2013 4 роки тому

      Dah

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 6 років тому +2

    Pole sana MZEE nimesikitika tujifunze Kitu vijana

  • @sebamabee5228
    @sebamabee5228 6 років тому +5

    Ingekuwa mbele tayari watayarishaji wa kubwa na makampuni makubwa ya Filamu yangekuwa tayari yapo location januari tunasubiria movie mupya ya Dr Louis S Kid. Ila kwa hapa kwetu Bongo lala ni balaa watayarishaji wa filamu wanataka watutengenezee filamu zao za mtu katoka bush huko kakutana na demu wa kishua alaf anafanikiwa kimaisha (hizo ni bangi). Stori ya huyu mzee ni Bonge la filamu la kupiga hela na kujitofautisha kimtazamo na utayarishaji wa filamu.

  • @DrNyamwiMSMD
    @DrNyamwiMSMD 6 років тому +3

    he is very smart and technical.......bt some shit happens..

  • @officialkissmiva9778
    @officialkissmiva9778 6 років тому +48

    To be honest nimekoma kufuata mkumbo na kuchukulia watu poapoa wallah tunajudge vitu kwa impression za physical appearance ndio maana si maisha,mapenzi na mengineyo "impression" inatesa watu na kuwa soooo judgemental...forgive my manners Dr louis

    • @thomasbikemo8252
      @thomasbikemo8252 6 років тому

      Wavanilla tz same as me mkuu mzee nimemuelewa

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      Wavanilla tz Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @emanueljuma1139
    @emanueljuma1139 6 років тому

    pole sana aise, inavyoonekana maisha uliyo ptia ndo yamekufanya uwe hvo. ila ukwl inaonyesha kuwa ww ni mtu msomi na umeelimika, wanachotakiwa kukufanyia ni kukupatia msaada ili upate stahiki zako..!!

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 років тому

    Pole sana dunian kuna viumbe vinaroho ngumu sana sana,binadamu anakuwa zaid ya wanyama wenye miguu minne,nimeumiumia sana kwa dhulma.eee mungu zitie roho zetu Iman.

  • @emmanuelkanje7585
    @emmanuelkanje7585 6 років тому

    Naomba kuuliza
    Huyu Dr L.S Kid, kwa wale mmefuatilia maelezo yake kwenye You tube. Inaonekana ni kichwa sana ila kuna misukosuko alopitia kulingana na maelezo yake. Je hamna jinsi yoyote serikali Inaweza kufanya kufuatilia ukweli na endapo wakagundua kasema ukweli hamna jinsi ya kumsaidia akarudi kwenye form yake, Dr Shika ni rasilimani adimu sana, tukiacha ikapotea hivi hivi kwa kweli ni dhambi hata mbele za Mungu. Naomba kuwasilisha

  • @ngussa7513
    @ngussa7513 6 років тому +1

    Dr Luiz Shika...👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍

  • @masharamadhanmashaka6571
    @masharamadhanmashaka6571 6 років тому +1

    kweli usimzarau usie najuwa, pole sana babu kwayote yalokukuta Mungu atakulipia yote hayo

  • @davidklm123
    @davidklm123 6 років тому +9

    Tunaitwa nyani kilamaala, ata na india wanatuita nao nyani kipindi wao ni nyani weusi mno zaidi yetu... ila chaajabu South Africa wa india wapo Bungeni na hapa kwetu Tanzania wapo Bungeni pia tena uki cheki wapo kwenye u spiker wa Bunge South Africa na Tanzania pia. Yaani hii tabia yetu sisi weusi wakiafrica kuchukiana nakugombezana kati yetu yaani Mungu atuurumiye sana. Cheki unyama wa mzungu sasa hadi walimkata vidole. Nyinyi wakujipendekeza kwa wazungu nawapa pole.

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 років тому

    pole sana baba angu duu umepitia mitihani mingi ila mungu yupo nawe baba imeniuma sana wallah.

  • @charlesabednego9424
    @charlesabednego9424 6 років тому +23

    mzee yuko vizuri sana anajua kujieleza tusimdharau tusie mjua

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 років тому

      charles abednego Napenda kukukaribisha kwenye channel yangu.jina natumia ilo hapo kwenye picha.Bila kusahau SUBSCRIBE au vipi.Ntashukuru sana

  • @luispeter3736
    @luispeter3736 4 роки тому

    Nimemkumbuka wajinaaaa ,Kama unamkumbuka Dr wa falsafa like twenzetu tukanunue nyumba

  • @ARCHANDRAMUMBUNGU
    @ARCHANDRAMUMBUNGU 6 років тому +55

    KWANZA MAGUFULI MWAJILI HUYU MZEE PALE MUHIMBILI.
    PILI TUSIMDHARAU MTU TUSIYE MJUA
    TATU VYOMBO VYA HABARI MCHANGIENI HUYU MZEE MAANA MNAPATA PESA NYINGI KUPITIA YEYE.

  • @nyachotiokari6626
    @nyachotiokari6626 4 роки тому

    Poleni mzee,mungu anakupenda sana!.Usije ukakoma kumuomba nakusii sana!.Hizi nchi za mbali jameni!.Live marekani,but hiyo story yako imenigusa sana!.

  • @loveness6732
    @loveness6732 6 років тому

    Dah! Nmeshindwa kumaliza hii video.. pole sana Babu. Somo la kujifunza lipo.
    Kweli mkataa kwao mtumwa!

  • @blasskameta944
    @blasskameta944 4 роки тому +5

    Daaah R.I.P Dr shika pumzika kwa Amani

  • @khalfansimba9610
    @khalfansimba9610 6 років тому +15

    *Touch story. Then usimdharau usiemjua kwakweli. Binafsi nimemuelewa. Mbali na changamoto alizopitia lkn ki saikolojia yuko okay, imagine wewe unakutana na vitu kama hivyo. Pole mzee ndio dunia. Nashauri serikali wamuangalie kwa jicho la tatu, hapo aliposema anataka kuhamishia kampuny nchini kwani akifanikiwa means atatoa ajira kwa vijana wa kitanzania wasio na ajira.*

    • @bbakzuvciIii
      @bbakzuvciIii 4 роки тому

      HAYA NI MAISHA NDIYO UMUHIMU WA KUMJUA BWANA YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU HALLELUIYAH.. KUWA VIZURI SANA KATIKA MAISHA YA KIROHO.. THAT'S ALL WHAT MATTERS

  • @remedymoody
    @remedymoody 6 років тому

    Pole sana Dr.

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 6 років тому +11

    Degree Nne.... Mzee Daktari haswaa...
    Si mchezo

  • @josephfather2890
    @josephfather2890 6 років тому +1

    Mungu akutie nguvu katika mambo ako

  • @faridmobji
    @faridmobji 6 років тому +2

    Mzee yuko poa sana sana 👏👏👏👏

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 років тому

    Mzeeeeee ukooo vzriiiii kbsaaa yaan

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 6 років тому +1

    big up sana unahitaji kujiriwa serikalin

  • @leonardqamunga2141
    @leonardqamunga2141 6 років тому

    Millard uko vzr na utafika mbali sanaaaaaaaa kwa kazi nzur unayoifanya

  • @youngmau923
    @youngmau923 6 років тому

    mzee yuko makini kwanza anajua kujieleza pili anajua kunyoosha maelezo so good mzee

  • @khamiskombo1149
    @khamiskombo1149 6 років тому

    Tuna shukuru xna mzee wetu ww ni mtanzania mwenzetu tunaomba serikali imsaidie huyu mzee nimtu mzuri mwenye nia yakuleta maendeleo

  • @elymollel
    @elymollel 6 років тому

    This man is smart we shouldn't underate him. Kama mtu nk mwongo maelezo yake huwa hujulikana tu.

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 років тому +1

    toa na kitabu mzee iwe historia ya watanzania maana walio wengi hawaelewi kuwa umepitia mitihani mingi sana duu pole sana.

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 років тому

    Wow, what an amazing story...

  • @edithakaaya7551
    @edithakaaya7551 6 років тому

    nimemuelewa sanaaa..Anahitaji msaada...wap mr presdent

  • @masakakambesha4521
    @masakakambesha4521 6 років тому +6

    So smart kichwani

  • @danielsiasa459
    @danielsiasa459 6 років тому +1

    Huyu mzee afuatiliwe vizuri inaonekana kuna mambo mengi ndani yake..ni kama msema kweli hiviii
    900 Itapendezaaa 😊😊

  • @omarhaji5231
    @omarhaji5231 6 років тому

    sema mzee nipe ajira bn kwny kampuni yako life ngum xn... wa tz achen dharau umezoea xn

  • @boscomuyinga2164
    @boscomuyinga2164 6 років тому +3

    😢 😢 😢 😢 😢 😢 😢 kwenyekipigo pole sana mzee

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 6 років тому +3

    Tajiri Dr luis

  • @cammyris2168
    @cammyris2168 6 років тому

    Nimekupenda to the extent Na Mwenyezi Mungu Anisamehe Kwa pale nilipolopoka kuhuxu mia TSA inapendeza

  • @dorahmoya4854
    @dorahmoya4854 6 років тому +3

    kidole kimeniumaaa mimi hikooo!! hapana jamani.. mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humponya nayo yooote!! Unakwenda kupokea muujiza wako Dr Louis!!

  • @upendomunisi9482
    @upendomunisi9482 6 років тому

    pole sana Dr Luis. binafsi nimekuelewa.

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 6 років тому

    Pole Sana Mnzee wangu Mungu you po.

  • @winniechoyo4072
    @winniechoyo4072 6 років тому +7

    Pole kwa matatizo mzee Wang

  • @emanuelkvannyii8268
    @emanuelkvannyii8268 6 років тому

    Jaman tujifunze kukaa na jambo kabla ya kuropoka bila kufanya uchunguz ona xaxa jaman mzee wa watu, watu wameongea meng mwixho ukwel umeanza kujitenga na uongo!! daaa! pole xana Dr Luis mung yuko pamoja na ww.

  • @FLOWERMEDIA381
    @FLOWERMEDIA381 6 років тому

    Mkuu POLE sana, ktk maisha kuna furaha na mateso, inatupasa kuyapitea, mkuu kwa sasa utasaidika na bora umesema na niveema umejitoa mhanga na sasa tumekufahamu veema, napenda Serikali ikusaidie kwani nayo utaisaidia kwa vijana wake kuwapa kazi

  • @gadsonogega3774
    @gadsonogega3774 6 років тому

    He is ok he ever simple and cool talented people to win life

  • @mussakipete6371
    @mussakipete6371 6 років тому +1

    Dua yangu na iwe mbele yako daima mzee wangu

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 6 років тому

    lugha yako mzee nimeipenda Sana kama kunauwezekano serekali yetu impe ajira mzee nakupongeza umesoma

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 6 років тому

    Nampa pole sana Huyu mzee kwa yote yaliyomkuta lakini pia nampongeza kwa kupambana na hali yake kisawasawa, hakika ni ngumu kuamini lakini ni nyepesi kuitafakari, mladi yupo nyumbani basi mengine tutayaona, ila anikumbuke siku kampuni yake ikitengemaa,

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 5 років тому

    Pole sana baba. Mungu aendelee kukulinda

  • @mustafamaulidi869
    @mustafamaulidi869 6 років тому +1

    Kaza mzee wangu usijali tupo pamoja sema nini mzee wangu kiki yako nzuli sana

  • @irenecharles4651
    @irenecharles4651 6 років тому +1

    This man is Genius

  • @titomgimwa6092
    @titomgimwa6092 6 років тому

    Daah Pole Sana dk shika