Azam TV - MAHOJIANO MAALUM (31/12/2017): Dkt. Shika, afunguka A-Z kuhusu maisha yake ya 'kiki'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • VUNJA MBAVU NA DKT. SHIKA: Ni moja kati ya vipindi vilivyofanyika mbashara kutoka Mlimani City Dar es Salaam siku ya kuufunga mwaka 2017. Dkt. Louis Shika kama mmoja wa watu waliopata umaarufu katika mwaka huo, naye alikuwepo.
    Tazama Mahojiano yake mwanzo hadi mwisho

КОМЕНТАРІ • 112

  • @happinesskaali4750
    @happinesskaali4750 4 роки тому +4

    Tatizo hawa madada wanadhani wanaongea na chizi kwaiyo wanataka kuchekesha tu, ila dr.shika nitofaut na wengi tunavodhania, i like him honestly

  • @amonamos8278
    @amonamos8278 4 роки тому +2

    Hawa wanauliza maswali kwa lengo la kutaka kujua kama yuko timamu kiakili au la.
    Acha wafanye kazi yao maana wanapima kama IQ yake iko sawa.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 6 років тому +3

    ...naenda kufanya kazi Marekani...kuitumikia Dunia..
    Keep in touch...
    Iko siku tutaelewa...tu
    Jeshi alafu mchoma mkaa..?

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 6 років тому +3

    Why is everyone so negative here about this interview, you should all be ashamed of yourselves..This is fun or comic or whatever you want to call it and I think it's a great interview..They did it very well and Dr.Shika was right on point as always.....A.K.A a true comedian...😅😅😅😅

  • @maximillankitomary3143
    @maximillankitomary3143 6 років тому +1

    Aaaaaaghhh!!! watangazaji mmezingua sana, Mme base kwenye maswali ya familia yake wakat Mzee anavitu vingi vyaundani vya kumuuliza. Acheni kuiangusha AZAM TV bhana

  • @mngongotv3810
    @mngongotv3810 6 років тому +1

    indeed hawajui hata kuinterview MTU

  • @herbertpeter7880
    @herbertpeter7880 6 років тому +8

    AZAM MEDIA ni moja ya vituo vya habari ninavyoviamini kwelikweli, ila kwa hawa watangazaji, hapa hakuna watangazaji aiseee, ujue mzee Shika ni mtu mzima na ana heshima zake, kiukweli huwezi ukamhoji maswali ya kitoto kiasi hicho aiseee, nyie wadada jifunzeni interview aisee is not any body can make an interview

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 років тому

    Yaaani.....professionalism haipo kabisa hapo ....maswali hafifu , mpangilio sifuri

  • @sciencearusha5951
    @sciencearusha5951 6 років тому +1

    Ajira yenu inapaswa kuwa hatarini kabisa hamjui kazi yenu na huyo mzee mbababaishaji tuu

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 6 років тому

    Tatizo Shule Nmegundua Kwa Hawa Wa Dada, Tuwape Pole Zao .

  • @memehhhahshshdhdhd
    @memehhhahshshdhdhd 6 років тому +3

    Watangazaji hamjui kuhoji, mngeandaa maswali kabla...yani hamjaandaa mtiririko mzuri wa maswali..mmeanza issue zingine hlf katikati mnaomba historia yake.

  • @maxmillianmocash1469
    @maxmillianmocash1469 5 років тому

    Naomba kujua, ivi Azam ao watangazi kabla ya kuwapa ajira mliwafanyia interview ?

  • @frankshop289
    @frankshop289 6 років тому +8

    ninawasiwasi taaluma za hawa madada

  • @stevenwawafishboy
    @stevenwawafishboy 6 років тому +4

    Mngemhoji kuhusu balozi aliyekataa kusaini ila nyie mmemrukisha mada ,ameanza vizur kuweka mambo hadharani ila nyie mnahoji vitu ambavyo tushavifahamu mda mrefu alivyohojiwa ,
    Kama uko pamoja na mm like ACCOUNT YANGU

  • @abdubabu5454
    @abdubabu5454 6 років тому +1

    Sasa mbona ulikaa sehem mbaya sana huko tabata kweli we mzee mh!!!

  • @Dakingyasta
    @Dakingyasta 6 років тому +2

    hawa watangazaji wana uwezo mdogo sana wa kuhoji mada za msingi

  • @mgykaboza5601
    @mgykaboza5601 6 років тому +4

    Doctor shishika shavu dodo haya maswali kila siku nihaya haya? Shika kiukweli toa ajila kwa vijana maana huna kipya unachoulizwa kipya tofauti na kampuni yako unaishije unavaaje unaela kiasi gani bosi wako Nani

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 років тому +1

    acheni upuuzi kusoma amjui hata picha izo mbanga za kichoko banaa

  • @keizageruman6361
    @keizageruman6361 6 років тому +2

    Wee VP! Kwan meno ndio alama ya MTU mwenye PESA. Allaa!

  • @lastshinewamichano5921
    @lastshinewamichano5921 5 років тому

    Dada zangu mmezinguwa

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 років тому +3

    Chezea Dokta shika nyinyi mumeshindwa kumuuliza maswali yalioenda shule

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 6 років тому

    Jamaa kadata kidogo

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 6 місяців тому

    Hawa wadada hamna kitu.

  • @idrisaabdulhakam7208
    @idrisaabdulhakam7208 5 років тому

    Dah...haya maswali iseee not professional kabisa....huu ni upuuzi jaman dah

  • @nyanda427
    @nyanda427 6 років тому +2

    Nyie mademu mnazinguwa

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 6 років тому +5

    Swali moja mnalirudia mara mbili amjuwi ata kdg kbs

  • @emmanuelamos2553
    @emmanuelamos2553 6 років тому

    900 itapendeza zaidi

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 років тому

    Wanauliza wanachokijua...aibu sana

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 років тому +7

    Kwa hiyo nyie ndo mmetumwa na Azamtv kufanya kipindi maalum na maswali mepesi hivo utasema mtoto wa std seven anahoji mwalimu.au mmekurupuka bila kujiandaa? Au mmekutana na Dr.shika bahati mbaya mkamdaka na kufanya kipindi? Yani hamjui kuhoji kiukweli.mmeizalilisha kampuni.hiko sio kipindi maalum kwa vijiswali hvo visivo na mpangilio khaa

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 років тому

    hawa watangazaji tatizo wananyege sio kwa kujichekesha huko na kuuliza maswari vishawishi maybe wanaitaji sponser

  • @sciencearusha5951
    @sciencearusha5951 6 років тому +1

    Ninyi wanawake mbona mnahoji kama kasuku? Hivi mmesomea hiyo taaluma kweli

  • @stanleyjohn6566
    @stanleyjohn6566 4 роки тому

    Duh jamma muongo

  • @lakisipesa7163
    @lakisipesa7163 6 років тому

    Mulio sikia Ni audio hii nivideo kuweni na tasmini watu wengine nyinyi

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 років тому +1

    Doctor shika wakimbize

  • @musisahumbi2248
    @musisahumbi2248 6 років тому +7

    Mnapwaya kwenye maswali hamjipangi mnauliza uliza tu

  • @ikulutv622
    @ikulutv622 4 роки тому

    Haya matangazaji, vitangazaji au ni watangazaji waliosomea??!! Mbn wanatia kichefuchefu kbs!! Mzee ana nondo za kutosha lkn hojaji hamn kbs.

  • @farajfarjalla1597
    @farajfarjalla1597 6 років тому

    Kuhusu baloziiii....

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 років тому +1

    hicho kichwa sio saizi yenu

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 6 років тому

    mjini shule dr. sahv kanenepa

  • @josephkasika6755
    @josephkasika6755 4 роки тому +1

    Jamani huyu Mzee yupo Sawa hali alionayo ni kutokana na background za Urusi, Kwa anaye fahamu watu wanaokwenda Urusi kusoma hasa science and engineering ni wa chache huwa wanarudi kwao wakiwa na akili timamu, wengi huwa walevi kupindukia nina ushahidi wa wasomi wawili walitoka huko wako hoi ni tabia ya Urusi kuhakikisha elimu usiende kunitumia huko uendako, Kwa huyu kuna mawili eidha walaitaka kumpokonya company na wampoteze au kampuni ilitumika vibaya na mataifa hasimu na Urusi hasa kwenye national security affairs.

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 6 років тому +2

    Kuna maswali mhim mnameshimdwa kuuliza mnauliza ujinga tu! Kawaambia alikua balozi office ilikua Kenya eti imejamia marekani, swali lini na kwa nn hajawahi kwenda ofisini kwake na anapandishwa vp kz bila kuhudhuria kzn. Na kwa nn alipoendaga kahama aliahidi baada ya wiki mbili ama moja pesa itakua imeingia Tanzania mpaka leo haijaingia? Naahadi alizo ahidi kuke kahama suku zimeshapita anatoaje ama anafanyaje sasa maana ahadi ni deni. Na mengine mengi hamyahoji munahoji ujinga tu mabwege nyie...!!!

  • @Joseph2010201
    @Joseph2010201 6 років тому +1

    Aisee mnaiaibisha Azam TV. mtu makini kama huyo haitaji waandishi wenye mawazo mafupi kiasi hicho.

  • @mtindamtinangi6430
    @mtindamtinangi6430 6 років тому

    Hakuna jipya hapo

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 років тому

    Hao watangazaji k tu

  • @MrBeerlahairoi
    @MrBeerlahairoi 6 років тому

    You guys are wasting airtime 😩

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 років тому

    Eti kipindi maalum....!

  • @pasquallungwa3517
    @pasquallungwa3517 6 років тому

    Hawa dizaini wanajifunza kuhoji mtu na huyo mzee kawaheshimu tu ila kwakweli hawana taaluma hiyo.

  • @deboramushi1501
    @deboramushi1501 5 років тому

    Nyie watangazaji hamfai kabix

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 років тому +1

    Yan hujafanya kaz halaf ukapandishwa cheo na hiii ya ubaloz imeanza lini

  • @saidmoh7505
    @saidmoh7505 5 років тому

    Sasa huyu muzee

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 років тому

    anang'aa kweri kweri

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣 tuvute subira ma_hela yaningia leo ni tarehe 30/01/2020 bado tuvute subira ...

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 років тому +1

    Dr Shika una malikauli

  • @Rafikiboniface
    @Rafikiboniface 6 років тому +1

    Dr.Shika tunakuzubiri ulaya sisi tuna kula Bata

  • @mahmadougronkjaer8316
    @mahmadougronkjaer8316 6 років тому +5

    nyie wadada mngejiandaa kwa maswali before kumuita shika ..huyo jamaa sio level yenu .ona tuswali mnavo muuliza.yan km millard ayo na victor wanyama..

    • @urbandigitaltz
      @urbandigitaltz 6 років тому

      Washike maana washazoea kushikwa

    • @urbandigitaltz
      @urbandigitaltz 6 років тому

      Huyu docta wambuzi umeona wapi muda mchache kapitia taaluma zote

  • @mngongotv3810
    @mngongotv3810 6 років тому +1

    academically zero

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 6 років тому

    Nyie mademu niwasenge kweli, km ningekua boss wenu mngemaliza kipindi na kuunganisha kwenu kz hamna.

  • @aliytisttv9492
    @aliytisttv9492 3 роки тому

    muogo huyo

  • @musisahumbi2248
    @musisahumbi2248 6 років тому +5

    Yaan wako wawili na DR kawapoteza chaka

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 років тому

    Dr shika anasema suti anazo nyingi

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 6 років тому +2

    Hii sheria ya watangazaji kuwa na degree ina umuhimu sana hapa nchini

    • @bisekobernard5212
      @bisekobernard5212 6 років тому

      juma ramadhani nafikiri unapotosha hakuna sheria inayozungumzia kuwa na degree bali diploma.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 років тому

      juma ramadhani 😂😂😂😁😁😁 true kabisa

  • @momoekenji24
    @momoekenji24 4 роки тому

    Amesoma mpaka kawa chizi le profeser

  • @olemollel5565
    @olemollel5565 5 років тому

    Watangazaji vipi hawa tudisha shule jamaaaa

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 6 років тому

    swali la kuuliza moja wapo lilikua aoneshe wapi kunasema yeye in balozi na amepandishwa cheo . no rahis tu kujua huyo in muongo au mkweli . wewe mtu anateuliwa kuwa baloz miaka yote hiyo hafanyi kaz arafu anapandishwa cheo tena yeye nani bwana

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 3 роки тому

    Mazuzi haya yanahoji utumbo kabisa

  • @barikichichimu3502
    @barikichichimu3502 6 років тому +1

    hawa watangazaji hawajui kumhoji mtu....tunamashaka na taalum yenu.

  • @esthernchele9764
    @esthernchele9764 6 років тому +1

    wadada mnaboa sana

  • @yagwisheheke7383
    @yagwisheheke7383 6 років тому +1

    Duuh huyu mtu fala

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 років тому

    Hawa watangazaji fake... Hawajui kuhoji mtu vzuri.... Inakuwa kama mtu na wajukuu zake

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 років тому

    Urusi! urusi! urusi!kunani hapo lakini.😂😂😂😂wote waliosemea urusi akiri zao zote km doctor shika tu.

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому +1

    😏😏rudini shule mkasomee hiyo kazi sio mnakurupuka tu hajui jinsi ya kuuliza maswali Shika ana wazidi akila,

    • @michaelnkyeganaki8649
      @michaelnkyeganaki8649 6 років тому

      yani nyimadada wote wehu pamoja nauyo kibwengu mwezenu Elim hamnamaswali yamana

  • @reenycolor2085
    @reenycolor2085 6 років тому

    Shule muhimu hawa madada ni mabogus, hakuna kitu hapo waandishi gani wanahoji maswali ya kipumbavu mfyuuuuuu 😧😧

  • @rashidsimba3638
    @rashidsimba3638 6 років тому

    Eti wanasema shenzi kesho uje😁😁😁

  • @thefuture2955
    @thefuture2955 6 років тому

    Hivi kweli tupo serious. kuna matatizo mengi huko vijijini hbr zao hasikiki huyu jamaa anazingua
    stoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooop

  • @hancybeny
    @hancybeny 6 років тому +1

    #Shika bwana😂😂😂😂😂eti nataka mpya

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 6 років тому +1

    huyu mzee anatufanya sisi sote mapimbi

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 6 років тому +2

    nyie wadada hamjaitendea haki taaluma yenu

  • @selestinokidua884
    @selestinokidua884 6 років тому +1

    tapeli mkubwa huyo hana chochote

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 6 років тому +3

    Dkt shika mzee wa maneno huyo

  • @pascleshayo9740
    @pascleshayo9740 5 років тому

    nyie wadada washamba mnakera maswali ya kipuuzi

  • @saidymsangi7785
    @saidymsangi7785 6 років тому

    Muongo tyu uyo

  • @godfreykisuka1359
    @godfreykisuka1359 6 років тому +3

    stupid have no limit and ginius has limit madada nendeni shule

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 5 років тому +1

    Watangazaji hovyo kabisaaaa maswali yakipumbavu tuu mfyuuuuuu

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 років тому +2

    pumbavu wote nyny watangazaji Low IQ mkakojoe mkalale

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 6 років тому +3

    Huyu mzee ananikera kweli! Ye mjinga na anafanya watu wote wajinga! Hata pesa ya kula hana, anakwambia kaajiriwa na UN! Hata meno hana bwege

  • @claverynyanda7409
    @claverynyanda7409 6 років тому +5

    nyie madada hata hamjui kabisa kuhoji. Malaya nyie.

    • @obadiamwakisu2437
      @obadiamwakisu2437 5 років тому

      Wee acha ujinga kosoa ili wajirekebishe matusi yann

  • @chazychia168
    @chazychia168 6 років тому

    Shika hatar

    • @jacksonchuma2802
      @jacksonchuma2802 6 років тому

      maswali gain hayo hamjuikuulizamaswali

    • @davidgichogo6414
      @davidgichogo6414 6 років тому

      Nimemaliza mb zangu bure, wadada mnaulizia mpaka suti

    • @msetialbinus467
      @msetialbinus467 6 років тому

      Jamani, kwel form 4 anawezaje kumuoji mtu wa degree 4!....ivi nyiee wadada bado mmeajiriwa tu???

    • @juliuskulwa737
      @juliuskulwa737 6 років тому

      huyo mzee noma sana mungu amuongoze

    • @asiazuberi2624
      @asiazuberi2624 6 років тому

      Nimeshindwa kumaliza kipindi hawa wadada wamenichefua fyuuuuu

  • @charlcoke
    @charlcoke 6 років тому

    huyu jamaa ni tapeli. simwamini.

  • @peter4650
    @peter4650 2 роки тому

    Hahahahahahahaha