Mi mkenya toka mji wa Eldoret ,watanzania laiti mgelijua tunavyomtamani mhs Msukuma😢 , ana hoja za kuijenga nchi ,duh mungu akuongoze sina la kuongeza .
Ahsante sana Rais wa Hoja za msingi hongera sana . NATAKA KUJUA MBUNGE WA JIMBO LA KYERWA KAGERA Alipewa Ubunge kutalii bungeniii au anafanya nini bungeni. OFFICIAL JB NAULIZA.
Kweli Mimi kama Mimi nasema tu wewe ndio ungekua rais Tanzania ingefika mbali tena sana point yako inasemeka mungu akubaliki ikaje kua rais tu kwanza ww ni zaid ya rais kabisa
Good morning musukum uko sawa uko kwa bungeni nakupenda san unasemanga ukweli lkin musomeeni uyo mama wakambo aache ujinga kuusa nch kwel tutakuj kuliman
Tungekuwa na nchi moja wa masaai na wasukuma inchi ingeeleweka yani unamwuambia myu laiv ukweli yani Mungu akulinda sana unatukumbusha baba wataifa joon pombee magufuli
Akili nyingi, elimu ndogo, hongera san msukuma
Lasba A kweli wewe ni dr, mungu akujalie maisha malefu. Ikibidi ccm ikuamini kiti cha juu inch itaenda vizuri sana. Napenda sana swaga zako bungeni,
Mi mkenya toka mji wa Eldoret ,watanzania laiti mgelijua tunavyomtamani mhs Msukuma😢 , ana hoja za kuijenga nchi ,duh mungu akuongoze sina la kuongeza .
Wakuu salam za dhati ziwafikie huko mliko kwa kazi mzuri mnaofanya kwa taifa letu tanzania
Huwa natumia Bando langu kumwangalia Msukuma wengine matumbo kushiba kisa wana Degree
Ahsante sana Rais wa Hoja za msingi hongera sana . NATAKA KUJUA MBUNGE WA JIMBO LA KYERWA KAGERA Alipewa Ubunge kutalii bungeniii au anafanya nini bungeni. OFFICIAL JB NAULIZA.
😂😂😂
Hivi ni lin watamwelewa Mh.Msukuma point zake na anastahili tuzo ya Heshima🔥very genius 👊
Wasomi wetu ndio adui wetu tanzania! Ni watu wa ovyoo sana&ole wako wakujue we ni mulala hoi & umetoboa! Wanakomesha.
Mbunge msukuma huwa anaongea point sana,Mimi Sina mengi zaidi ya kukupa 💐🌹🌿🌹 mapema.
Kweli Mimi kama Mimi nasema tu wewe ndio ungekua rais Tanzania ingefika mbali tena sana point yako inasemeka mungu akubaliki ikaje kua rais tu kwanza ww ni zaid ya rais kabisa
Hongera msukuma Kwan hoja tunatamani uwe raise wa tanzania
Big up saaana msukuma ,,darasa la saba materials with more inteligent points
Asante sana mh.Msukuma kwa kuwasilisha ujuzi wako kwa jamii
Moja yakiongoz bola nikujiamin nakusemea kile wananchi wake wanachokihtaj nahvy sku yamwish kiongoz asokuw mwadilif atakiona chamoto
musukuma mungu akulinde sana
This should be all afrikan parliament speak our local languages keep it up my tz brothers and sisters
Salute sana kiongozi wa kweli kura yangu haikwenda bure dadec💪💪💪....mwamba ndo huyu.
Msukuma uko sawa Sana wewe ni mtetezi wa wawanyonge mungu aendelee kukupa hekima zaidi,🌹🌹🌹
Uko vizuri , Mungu akuongezee miaka mingine ya ubunge, maana maendeleo huletwa na wageni sio wenyeji na wenyeji tunaiga kutoka kwao
🎉🎉hawa ndio wabunge wanaotakiwa hongera sana KING MSUKUMA
Uko sawa Kwa hoja nzuri hongera sana
Big up to you mzee wetu MUNGU azid kukuongoza
kaka msukuma nakukubali sana kaka ongera kwa uongozi wako
Mh,msukuma hongera kwako mmpenda maendeleo like🎉 kwako
Tuko nyuma ya msukuma kweli ni Kama maghufuli wa pili Asante msukuma wetu
Usimfananishe msukuma na jitu lenye roho mbaya
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@omaryramdhani9823
Natamani huyu jamaa awe kiongozi wa nchi
❤❤ very nice musukuma
Kaka msukuma hongera wewe nimchesh sana nataifa tunakutegemea chapa kaz brooo❤❤❤❤
Hongera sana Kaka Msukuma kuwa Kiongozi bora lazima ujisimamie... wewe ni Kiongozi bora sana uliokamilika
Hongela sana msukuma kwa uongoz wako
Mbunge wa Jimbo la korogwe vijijini mkoa Tanga hatumsikiii Yani anakera huyo
Mufindi -Mgololo tunaomba lami na sisi ' Hii ni barabara muhimu sana kwa uchumi wa Taifa
Mwamba huyu hapa namkubalia sana Msukuma
Mskuma unawakilisha tunakuelewa sanaa
Honggela sana msukuma
Msukuma oyeee lasaba A❤️
Akili mwanangu
Ngosha baba huna Baya miaka yote👏👏👏👏👏
Amsukuma u are a got sent and we thank magufuli for recruiting u.. As a member of the parliament ❤
Mwamba hauko mbali na magufuli pambana ungekuwa magu tungekuita baba mwisho pambania jimbo lako magu tunateseka
Kwakweli msukuma uko vizuri ht kama haujasoma verry guddy brothers
Uko vizuri sana kutetea watu wako
Pambana mtu WANGU
hahahaha nimekuelewa msukuma vizuri sanaa
Wananchi wa geita wana raha sana hili ni Jembe
Msukuma Mungu akulinde
Good morning musukum uko sawa uko kwa bungeni nakupenda san unasemanga ukweli lkin musomeeni uyo mama wakambo aache ujinga kuusa nch kwel tutakuj kuliman
Mbarikiwa mwakipesile
msukuma Remain In Power (R.I.P) forever
One of the intelligence minds without education, big up msukuma all the way fro Kenyan
Hongera
Hii chuma naikubali sana.. Keep it up Msukuma
Huyu ni dume la simba❤
Wewe ni walasaba lakini unaakili kuliko hao wasomi❤❤❤💪💪💪
Fratei masay kiboko bungeni,
Huyu jamaa kwanini Asipewe wizara jamani Mnyonge Mnyonge I Hakiake Apewe😂😂
Kazi iendelee
Haga nakupenda inavyosema as ni darasa 7 A
👍👍 ilo ndo bunge letu
Genius kweli,pokea maua yako 💐🌹🌹❤️
JAMII ZA KIFUGAJI WANAKITU WASIKILIZWE.
Huyu msukuma apewe pongezi huwa naongea ukweli mara nyingi (facts)despite the fact that ametoka kijijini
Musukuma you are one wise articulate people representative hongera sana kaka yetu- love from kenya
Muulize kuhusu mkataba wa Dpw usikie madudu
Wala rushwa hao walienda Dubai kulamba Asali ya kiaraabu. BUNGE FEKI
HALIWEZI KUSIMAMIA RASILIMALI ZETU .
MAFISADI
Allah nijaalie niwe mama bora na niwe ni mwenye kuomba mema kwa wenzangu sio mabaya
Amiina
Kwer msukuma ongera san
Msukuma ana kitu na madini kichwani nampenda kuzid ata mbunge wangu
Mhh msukuma nimekuelewa umepiga mkwala mpaka jamaa kanyamaza kutoa taarifa
Aaaaaaaaaaa nataman nitafte kiwanja geita Nike msukuma
Ukweli msukuma umeongea point Sana, Kuna watu wako kwa ajili ya upigaji tuu ndio maan wanatafuta kamati za ovyo vya kumpoteza mda na pesa
M/h Msukuma ujasiri ulio nao Mungu akubariki
Yes yes Mr taked the honest truth big up ❤
Asante sana unaongea vitu vya kujenga taifa letu
Yan msukuma namkubali sana nataman angekuwa jimbon kwetu kalenga nahisi kalenga ingenyoka sana kwakweli??????
Mbona unafanana na JPM umerisi adi tabia hongeraa sana keep it up
Mubunge musukuma hakikaa huna weza baba
Nàkupenda sn kakangu,Mh.Msukuma
Hahaha hili lijamaa bhna hili eti tuweke mada kwenye TV tumeteme material tuone nani zaidi hahaha linajiamini balaa
Chukuwa❤❤❤hiyo msukumaa
Kumbe namimi naweza kua Mubunge kama hali ndo hii duuu😢😢😮😮
Msukuma mbabe na anajiamini atokee mbunge choko atoe taarifa aone wamenyamaza kimya wanamsikiliza mbabe%
Wasukuma huwa wana katabia ka ubabe
@@-kagerayetubw9jxmnoooooo
Mungu akujalie msukuma
Yuko vizuri sana
❤❤Maua kwako msukuma maana unaongea fact sana huna pindapinda broo❤❤❤
Tungekuwa na nchi moja wa masaai na wasukuma inchi ingeeleweka yani unamwuambia myu laiv ukweli yani Mungu akulinda sana unatukumbusha baba wataifa joon pombee magufuli
Bahati nzuri umesema mfalme aliwaita wanaopinga akakaa nao ikulu ili wazungumze😊😊😊
Nampenda mno msukumu Mung akuweke wewe ni kichwa ❤️❤️
Msukuma Fanya kazi Yako kwa ajiri Yetu wananch tunashukuru san
Madini tupuuuu🙌🙌🙌😂
Siku zote wasukuma wana hakili ndogani munabisha sasa 😜
Asante mungu wabariki viongozi wote wa tanzania
Msukuma safi mtu akiingia kwenye 18 mpe hapohapo umenifurahisha sana
Risk assessment, mchakato, upembuzi yakinifu,,,,,ni sehemu Tu za upigaji fedha!!
I salute you musukuma
Kama umejaza diesel au ni mtazamo wangu??
Nice
Musukuma la saba mwaminifu🎉🎉🎉🎉🎉❤
mh musukuma weewe nikiongozi mwemaa❤
Hv mbunge wakilindi mbona hasikiki kabisa mabarabara mabovu Yupo kimya shida nn
Naomba pokea Salam ZANGU na KWAMBA ninakufuatilia kila mara na kusema kweli umeupiga mwingi... NATAMANI SIKU MOJA NIKUTEMBELEE BUNGENI
Uyu jamaa akipata tu ata shavu la uwaziri
Na huyu speaker (mwenyekiti) HUWA ana sauti kama mstaafu job ndugai..
Anapongezwa, waziri badala ya kuwapa pongezi wenye nchi walipao kodi,
Msukuma eti nilikaona kabinti nilikaomba na namba🤣🤣🤣🤣,mke wako anakusikiliza.
Mbona kisukari sana nahuyo jamaa hapo kutakuwa na kitu.
Mambo vp wapendwe
Katika siku zote kingmsuma leo nimekuelewa kweli elimu haina mwisho mkuu