SHILOLE AWASHIWA MOTO NA DK SURE, KWANINI UNAWACHEZEA WANAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Місяць тому +8

    Sheikh Sule ana elimu na anajiamini,hodari wa kujieleza huchoki kumsikiliza na unajifunza mengi.

  • @user-qx9nv8jo6p
    @user-qx9nv8jo6p Місяць тому +2

    Dr. Sure maneno yako sahihi Mungu akujalie uwe mwema na muadilifu

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug Місяць тому +5

    Nimependa somo❤❤❤

  • @maxmiletz4563
    @maxmiletz4563 Місяць тому +5

    Asante dokta nimejifunza kitu

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Місяць тому +5

    Shilole we ni mwanamke mwenye muzuri sana tena mpambanaji lakini pesa yako sio fimbo ya kuwachapa wanaume

  • @ShukurMkan
    @ShukurMkan Місяць тому +3

    Upo sawa sana shekhe

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h Місяць тому +3

    Dr .nimekuelesa sana

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 Місяць тому +4

    Asante imenisaidia sikujua mambo mengi nimemjua sasa

  • @user-uf4xy4ms2m
    @user-uf4xy4ms2m Місяць тому

    Swadaqta doctor Sule.mashaallah Allah akuzidishie akili.

  • @MuharamiNgasinda
    @MuharamiNgasinda Місяць тому +4

    Dr of drs

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 Місяць тому +3

    Nimekuelewa sana mwamba

  • @CatySungula
    @CatySungula Місяць тому

    Hongera Sana shehe. Umesema kweli tupu, uko vzr Sana. Yani hapo pa wanaume ndo penyewe, hata mm naliaga na hapo pa elimu ya ndoa kwa wanaume pamesahaulika Sana.

  • @jamilamasoud8544
    @jamilamasoud8544 Місяць тому +2

    Jifundishe kutuma handkerchief sheikh, kimawaidha uko sawa.

  • @sudamohamed1439
    @sudamohamed1439 Місяць тому

    Subhana Allah dunia imekwisha ajiitangaza ataka mume . Waschana Mbona hatuna Haya . Aibuuuuu

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 Місяць тому +1

    Dr eeeh,Hachezei wanaume,anachezea wavulana😂😂😂😂😂

  • @user-hs1qg2nv4j
    @user-hs1qg2nv4j Місяць тому +1

    shilole upo sahii san

  • @florakimaro-vw7qj
    @florakimaro-vw7qj Місяць тому

    😂😂😂😂😂umenifanya nicheke jamani mwanamke anaweza kuongeza vitu juu ya kitu unaweka kucha juu yakucha nywele juu ya nywele jamani nimecheka

  • @D1andonlysally
    @D1andonlysally Місяць тому +1

    Leo dk kakerwa na mmoja wa wake zake😂😂

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Місяць тому +1

    Shekh toa namba kuna mtu nimtengeneze 😂😂😂😂

  • @user-lu5vg9kc7y
    @user-lu5vg9kc7y Місяць тому +2

    ALLah mtukufu akupe mwesho mwema shehk wetu uko vizurr
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤،،🌹🌹🌹💞💞💞💞💕💕💕💕🍀🍀🍀🍀🌱🌱🌱🌱🌷🌷🌷🌷☘️☘️☘️☘️🌷💓💓💓💓💖💖💖💖🇹🇿

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 Місяць тому

    Mengine umesema sahihi km kuwa na hasira sana unapokuwa kwenye siku. Ila hili la kutosheka wanaume pia hawatoshiki haswa kwa kutaka wanawake hamtoshi na hicho kitu hata mkiowa wanee bado mnataka zaidi

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 Місяць тому

    Yaqni hilo la mwanaume kujitetea akiwa na kosa nakupa 100 kwa 100.

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Місяць тому

    😂😂😂😂 janja janja dah hatari

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Місяць тому

    Tz ndoa nyingi watu hawana herimu na ndoa sasaiv watu wameona mtandaoni ndio makama Yao

  • @user-po5hd9xi9x
    @user-po5hd9xi9x Місяць тому

    Roho inakuuma umekosewa eti unaenda kupika na kupakua kwa wakwe😂😂😂😂nijikute

  • @user-qg3kf1ue7z
    @user-qg3kf1ue7z Місяць тому +1

    Mie ni Mkristo....
    Ila Huyu MR DR Sheikh SURE ni brilliant sana....Awesome....AMESOMA.....BIG UP SIR...

    • @tonnyojambo1731
      @tonnyojambo1731 Місяць тому

      Sasa ukristo hapo unakujaje?

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому

      ​@@tonnyojambo1731Sasa wewe wataka jibu la aina gani? Kasema yeye ni mkristo lakini maelezo ya huyu sheikh yamemwingia. Ubishi tu wa kipuuzi hauna maana. Huyu ni mkristo anayeweza kuingia uislamu.

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому

    Kwani kuachika kwa shilole ni ajabu au kwa vile ni star hamna kitu cha kuzungumzi ktk news

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 Місяць тому

    Kiukweli ata na mimi nampenda huyu dada.sana

    • @salisali3738
      @salisali3738 Місяць тому

      Sawa lini niende kuchumbia😂😂😂

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Місяць тому

    Haswaaa🎉😂😂😂😂

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 Місяць тому

    Vipi sheikh anakunywa maji bila Bismilah wala Alhamdulillah

  • @faridseilan4400
    @faridseilan4400 Місяць тому

    Assalamu alekum naomba Dr.Sule ani fasirie hii Ayaa wayata3allamunna ma yadhuruhum wala yanfa3ahum surrat Bagara Ayaa 101 to 102

    • @user-ur8cq1ye3b
      @user-ur8cq1ye3b Місяць тому

      Nawewe kunamaajabu gan usiposikiliza apa Kwan umeitwa au umekewa bando namtu usikilize

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya Місяць тому

    Umbea tu

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 Місяць тому

    Aaa sh na wanaume pia wapo wanauliza masuali ya kijinga hayo unoyasema na wanaume wanayo pia wengine

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Місяць тому

    Hakuna uhusiano Kati ya dini na ndoa kwa sababu ndoa ipo daima na ni ni lazima.Dini ni hadithi nyingine

    • @hemedramadhani7946
      @hemedramadhani7946 Місяць тому +2

      upo uhusiano wa ndoa na dini kaka.

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Місяць тому

      Upo uhusiano?.
      Kivipi​@@hemedramadhani7946

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Місяць тому

      Kikristo imeandikwa ndoa ni mojawapo ya maisha matakatifu, ikaandikwa Mungu anachukia kuachana 😢

  • @user-gi1vf3gh1e
    @user-gi1vf3gh1e Місяць тому

    😂😂😂

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Місяць тому

    Saa mbona sidiria yangu iko wapi, 😂😂

  • @abdulazizimashaka3275
    @abdulazizimashaka3275 Місяць тому +3

    Huyu shekh nae anapenda umaarufu jmn

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 Місяць тому

      Shekh yupo visuri . Anaelimisha jamii👏

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 Місяць тому

      Shekh yupo visuri . Anaelimisha jamii👏

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Місяць тому +4

      @abdulazizimashaka3275 Dr Sulle ni maarufu kabla mimba yako haijatungwa. Sulle hana shida ya umaarufu labda wewe umemjua jana.

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому +1

      Dr sule Ni sheikh maarufu tangu zamani . Anaelimisha jamii vizuri . Jamii inahitaji watu Kama hawa.

    • @salisali3738
      @salisali3738 Місяць тому +1

      Sana

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому

    Sheghe sio wanawake wa siku hizi si kama wapenda kujaliwa no hawana habari wanapenda pesa tu hata asipokuona

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    uyo sule hafai ata kwa chumvi...aachwe kama alivyo...na usipomuelewa hakuna kitu utaelewa mpaka kifo chako

  • @AbdulkareemNyongoro
    @AbdulkareemNyongoro Місяць тому

    Kumbe sule hata qur' an hajui kusoma