Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

BIBI HARUSI AACHWA NJIA PANDA, MUME AOA MWANAMKE MWINGINE DK ZA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 410

  • @user-rk5hp8ci3e
    @user-rk5hp8ci3e 26 днів тому +28

    Hao wote hawakua rizki yako,,umri bado kikubwa jitume nakumuomba sana Allah❤❤❤❤❤

  • @user-ky1ni2ly9r
    @user-ky1ni2ly9r 26 днів тому +16

    Allah akufanyie wepesi pia Mimi nilishatakishwa ndoa na mamamkwe na nilisafiri kabisa mpaka leo sijaoleka ndio saa hii nimepata mwengine tena mrembo zaidii ya yule wa kwanza na yule wakwanza alio mwanamke akaja kutukana mamake na kupiga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nikatafutwa kupewa umbea kwa hio dada hongera sana maamuzi uliyo chukua niyamsingi jikaze utapata mwenye kheir na wewe lkn Mimi sikua nimelala nae bado heshima yangu iko mama ila pia wewe utapata mwenye atakufuta machozi na kikupoza kidonda Love you baby girl ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariammm2574
    @mariammm2574 7 днів тому +1

    Pole sana ndugu yangu
    Jitahidi usifanye mapenzi nje ya ndoa ni haramu
    Pia bora ulivyoachana na mumeo kwa sababu hivyo ulivyofanya haikuwa sawa kuolewa ukiwa na mimba ya mtu mwingine
    Huyo mwanaume wako wa kwanza hakuwa mkweli na mapenzi ya dhati juu yako alikuwa anakutumilia kama chumba cha starehe tu
    MwenyeziMungu atakupa mume mwenye kheri na wewe mtakaopendana in shaa Allah

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 12 днів тому +2

    Dada pole sana mashaallah ulivyo mzuri usijali Allah ana sababu atakujalia mume mzuri tu waheri

  • @Swamyhassan_sy
    @Swamyhassan_sy 5 днів тому +1

    Pole sana dear😢hakika inauma sana mshukur mungu kwa kila kitu na kila kinachotokea kina sababu

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 2 дні тому

    Pole yaa ukhty usijutie kwani lokuepukalo lina kheri nawewe
    Allaah Akufariji na akuchagulie wa kheri nawewe bado wee mdogo sana

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 27 днів тому +18

    Mm namsukiliza sanaaa huyo dada lakini nilichokiona hapo yy ndio hakua na msimamo yaan una mimba ya mtu nahuyhuyo anakushaur uolewe na ww una kubali eti kisa mimba sasa hapo umejifunza nn

    • @MohamedMwachega-x6c
      @MohamedMwachega-x6c 26 днів тому +2

      @@HalimaKassim-yz3we nashangaa aliyataka mwenywe

    • @HalimaKassim-yz3we
      @HalimaKassim-yz3we 26 днів тому

      @@MohamedMwachega-x6c umeonae kwanza tuu swala la eti una mwanaume wako na ukaletwwa mchumba hapo ndio angeonesha msimamo kwamba liwalo na liwe sasa yy na akili zake akaona aolww na mtu asimpenda ili kuficha mimba siusenge alivo lala alitegemea nn

    • @user-lb5oi2wz6z
      @user-lb5oi2wz6z 24 дні тому

      Uyoo malayaa sawa jamaa alivoo ha wa videmu linafanya kazi viwandani viimalaya asa virangii na Talaka ujapewa vp

    • @ElietiSilausi
      @ElietiSilausi 18 днів тому

      We mdada mume mwema utampata kanisani.muombe Mungu atakupa wa kufanana nawe.pole my deary

    • @rauhiyasaad5384
      @rauhiyasaad5384 13 днів тому

      Ushaumwa nanyoka wenda tangaza kidonda. Mtihani huo.watoto wetu muache kujidhalilisha.

  • @indiaboytz5731
    @indiaboytz5731 27 днів тому +9

    Kwakua ni muislam siwanaruusiwa kuoa ata wake wanne awe tu mke wa pili sasa

  • @AishaBaraka-k1d
    @AishaBaraka-k1d 10 днів тому +2

    Da pole Sana kipenzi kama mungu amepanga uolewe utaolewa

  • @cassamoantumaneantumane3673
    @cassamoantumaneantumane3673 27 днів тому +9

    Mbengo tv were the best from mozambique

  • @zakiamohamed-ug5mx
    @zakiamohamed-ug5mx 27 днів тому +4

    Pole sana mrembo muombe mungu atakupa aliye sahihii hakuwa wakwako huyo mshukuru mungu

  • @nasirikuzigile9228
    @nasirikuzigile9228 26 днів тому +7

    Wadada wafanyeni kazi ndoa za siku izi kama huna kipato au kazi au biashara yoyote mwanaume ata kuchezea anavyotaka lkn ukiwa na kazi yako au biashara yako na pesa zako mwenyewe mwanaume hakufanyi kama ivi kwanza atakuheshim hata kama atachiti ni kwa siri mno team strong tuendelee kuzitafuta mwaya tukiludi tuinjoy maisha yetu bila hawa mbwa kutuchezea akili😂😂😂😂 nipo zangu urabuni mwaya sina kesi na mtu wee huogopi😂😂😂😂

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 24 дні тому

      Huna baya shoga angu hata mim nipo huku

    • @user-rj4cd7oc4x
      @user-rj4cd7oc4x 16 днів тому

      😂😂😂 Leo ndio nimekumbuka kumbe na mm niliwahbkuolewa

  • @kiluwagrata4329
    @kiluwagrata4329 15 днів тому +3

    Poverty ndio chanzo cha ww kupitia yote hayo coz wazazi wasinge force uolewe na umri huo, pole sana cha muhimu ni kupambana tu achana na ndoa kwasasa focus na maisha yako binafsi

    • @mwanazuber3968
      @mwanazuber3968 9 днів тому

      Sio umaskini elewa tamaduni za makabila mengine mtu ukifikisha umri wa kuoa au kuolewa unatakiwa kufanya hvy kuepusha kuzini hovyo

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 23 дні тому +2

    Ndoa hupanga na mungu na waislam Sheria wanne kama ataka ndoa anipe namba nikamilishe kisha wabongo mwajua kupanga tamthilia za kweli

  • @user-vq2cb7fn8f
    @user-vq2cb7fn8f 23 дні тому +2

    Wewe ni mwanamke jasiri hata km watu wanakutukana ‘ kila mtu anapitia mtihani ktk maisha yake’

  • @salumissa6118
    @salumissa6118 6 днів тому +1

    Huyu mwanamke malaya tuu na ni mzinifu Allah amuongoe

  • @HeryMrope
    @HeryMrope 11 днів тому +3

    😢Asalam aleykum Kila kitu dada kina wakati wake bila shaka Allah Kuna jambo kaliepusha kwako kwahiyo usilalamike mshukuru Allah kwa Kila jambo pia ushauri kwako usisnze kufanya zinaa kabla hujaolewa hiyo ni haramu inshaallah

    • @user-fi7hm6uu8d
      @user-fi7hm6uu8d 5 днів тому

      zinaa ni haram hata kama umempenda mwanaume kiasi gani sister wangu

  • @SHADIAALLY-pv3ql
    @SHADIAALLY-pv3ql 10 днів тому +1

    Pole sana dada yangu maana ndoa kama ipo ipotu mungu atakujalia nautapata mume mzuri sana

  • @SalhaRamadan
    @SalhaRamadan 11 днів тому +1

    Pole sana mdogo wetu mrangi mwenzetu uliolewa kisese nyumbani kwetu bereko ukweni kwangu
    Maisha yanakila changamoto mungu akusimamie popote ulipo

  • @mukeshimanataussi6939
    @mukeshimanataussi6939 11 днів тому +1

    Pole Sana mwanamgu ungaliki mdogo jikaze utapata mume bora

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 24 дні тому +5

    Dadangu sio khire yako mungu atakupatea mwenginia mweynye khire mungu ajuwa zaidi subra dadangu usihuzunikia pz

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 18 днів тому +2

    Ulishatombwa hyo siku hotelin mbona husimulii

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 16 днів тому +2

    UYO BINTI NIMUONGO SANA MIMI NIMAMA ALIKUWA MALENGIYAKE YALIKUWA KWAHUYO ALIYEMPAGA MIMBA UYO ALIKUWA SIMUOAJI ALIKUWA MJINGA SANA ANGETULIA KWENYE DOA YAKE

  • @Naw89
    @Naw89 24 дні тому +2

    Allah akuhidhi mwanangu bado mdogo sana na mambo yako ni makubwa

  • @esterMahenge
    @esterMahenge 3 дні тому

    Alafu Kazurii mwee sema akili yote iko kwenye ndoa dhambi 😂katulie tu mweee kata pata mme bora zaidi ya uyo

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 23 дні тому +1

    Kajeuri lakini😂
    Pole Mungu atakupa mwingine,umri bado mdogo mno hata kwenye kufikiri kanafikiri kwa udogo ndo maana kameishia njia panda

  • @FatumaIbrahim-c6d
    @FatumaIbrahim-c6d 27 днів тому +17

    Nani mwengine hamuelewi uyu dada kama mm?😢😢

    • @skeeteranderson375
      @skeeteranderson375 23 дні тому

      Mie cmuelewi anaongelea tu story ya safari badala ya huo bwn aliemucha khaa siwezi endelea kwakweli

    • @jenniferzakaria3884
      @jenniferzakaria3884 23 дні тому +1

      Mm mwenyewe simuelew una mme Tena una olewa, kwendraaaaaaa

    • @JoyceSteven-tu2fi
      @JoyceSteven-tu2fi 22 дні тому

      Nimecheka sana😂😂😂....m niko hapa najikaza kumuelewa

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 20 днів тому

      Tulia w bado mdogo utapata wako wamasisha w jitulize tafuta kazi ya halali ufanye usi rukeruke 😢

    • @mariamsaid6334
      @mariamsaid6334 19 днів тому

      Yani unasimulia kitu ambacho umekisikia kwa mtu iyo sio story yako kbs acha kutuchosha

  • @ISSAMAHAMOUDISSA
    @ISSAMAHAMOUDISSA 23 дні тому +6

    Huna vigezo vyakujitetea dada angu we malaya

  • @IshaYahaya-s9o
    @IshaYahaya-s9o 9 днів тому +1

    Kazuri mashaalah

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 13 днів тому +2

    11:43 Mwana ulitaka mwana ulipata kumbe tulikwenda na ujauzito halafu huku taka kujishusha kwa. Kosa LA kwenda na ujauzito kwa mume. Mpya 2 yule bwana aliekuwa ujauzito akakutia kibri kama toka nitakuwa lakini hukufikiria kama anaekutowa kwa mumeo kawaida HUWA hakui kwa sababu anajuwa na kwake hutodumu sababu utadanganyika na mwengine kilichokikuta ni halali yako.

    • @user-wv4ue5yn8u
      @user-wv4ue5yn8u 11 днів тому

      Jifuze usiolewe namimba yamtu mwingine warangi kiboko

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 22 дні тому +2

    Subhanallah sasa ndio anahojiwa ili iwe je Duh mtihani aibu 😮😮

  • @ZainabuOmary-ys8oq
    @ZainabuOmary-ys8oq 5 днів тому

    pole dada yalinipataga mii yanafanana wanawake tunapitia maumivu mengi sana ila mii nilipata ujauzito nakunitelekeza nililia sana mpaka ujauzito uliharibika maumivu niliyoyapata ila baadae nilikuja nikajifarijika nikaanza maisha yangu nafanya kazi za watu maisha yakaenda nashukuru mungu kwa kila jambo allah akupe subra ila ulipojikoroga ww ni kuambiwa olewa na ukaolewa kweli na kama alikupenda kweli nae aliumia sababu mtu unaempenda hawezi kukubali uwe na mungine baadae nae apana nakushauri jali kwana hisia zako wanaume watakuliza mpk unapokutana nae usijue huyo nani tafuta pesa mapenzi yatakuja yenyewe tena ya heshima

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 27 днів тому +5

    C ni upuzi tu huyu Sasa uraenda vp kuolewa na mume mwenqine Hali ya kuwa unamimba

    • @MohamedMwachega-x6c
      @MohamedMwachega-x6c 26 днів тому

      @@teedullah5708 nashangaa si angeambia familia ukweli kua ye ni mjamzito wakajua mbichi na mbivu kuliko ukubali uolewe na m2 hujampenda den urudi ulaumu

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 18 днів тому +2

    Kwanza ukimfatilia vzr hyu bint co mzima hakuna mke hapa

  • @Naju645
    @Naju645 27 днів тому +6

    Dada huna cha kujitetea unaeleza uongo mtupu unaolewaje na mwanaume ukiwa namimba yamtu mwingine nabado haitoshi unachati namwanaume kwenye cm yahuyo mume jifunze Kwanza kuwa na aibu bibie duh

  • @AthumaniMuhende
    @AthumaniMuhende 15 днів тому +1

    ❤❤❤ Allah akufanyie wepes inshaallah

  • @ElizabethGwasma
    @ElizabethGwasma 7 днів тому +1

    Pole dada

  • @user-tr1nd7xn7t
    @user-tr1nd7xn7t 23 дні тому

    Dada yangu pole sana kuwatu na subra ALLAH atakupa Inshaallah ningelikuwa naeshi Tanzania ningekutafuta usijali ALLAH atakujaliya yatakwisha ni wakati tu!

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 5 днів тому

    Huyu Dada ni mjinga hata was waandishi nanyie😅😅😅😅

  • @user-ij9te1ck9p
    @user-ij9te1ck9p 27 днів тому +5

    Huyu binti ata km vp ni mpumbavu na jahili mkubwa

  • @florakaria3793
    @florakaria3793 4 дні тому

    Hufai unaolewa hivyo hovyo....dharau unayonwewe sio yy😊

  • @user-jz2su4co4d
    @user-jz2su4co4d 15 днів тому +2

    Ashukuru mungu maana kuna kitu kikubwa mungu kamuepusha nacho

  • @zr7808
    @zr7808 19 днів тому +1

    Nasiha kwa wadada wote musikuwe munaiminiya kila mtu na wala jistirini mwili wenu mupaka kupata rizki yako ya kuolewa

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 27 днів тому +6

    Ndoa mwez mmoja mambo kibao ovyoo sanaa umalaya ww dada chiz

  • @dullymsela4306
    @dullymsela4306 2 дні тому

    aaah mwaanjaaa jamn umenitoa jasho umekuj kujiaibishaa tyu huku ungekaa kimyaa tyu yaan tunatukanwa had xixi ndugu zako umefikia huko njo nyumbn utaolewa

  • @ifrahabi4834
    @ifrahabi4834 8 днів тому +1

    Umesema bado arusi na umepata mimba. Sijakufahamu kabisa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 27 днів тому +3

    Mhuuuu pole sana wanaume wanaumiza jamani

  • @GfhGfg-y7h
    @GfhGfg-y7h 2 дні тому

    Pole sana dada

  • @raineryponera3278
    @raineryponera3278 25 днів тому +1

    Muombe sana mungu kwa maana yeye ndo funguo ya Kila mlango 🙏🙏🙏

  • @estherphilipo5845
    @estherphilipo5845 6 днів тому

    Pole sana dada mshukuru mungu uenda kuna jambo amekuepushia

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 12 днів тому

    Madam msubiri Mungu.Wakati wa Mungu ndio mwema.mungu atakubariki na bwana mwema.Ndoa sio bora mme ila mme Bora

  • @user-xv5yy6mv6i
    @user-xv5yy6mv6i 6 днів тому

    Dadapole usihuzunike Sana nikawaida ukubali ara ukeweza mm nipo nakujali Niko znz.

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 12 днів тому

    Pole dear your still young God's time is the best

  • @dullymsela4306
    @dullymsela4306 2 дні тому

    pole xanaa swaree mrangi mwenzangu umebaki tyu kudangaa sasa bakari kavuta kixura kuliko hat ww sura mnazo ila tabia zenu zinawaponzaa we pamoja na mdogo wako tabia zenu zinafanana nakuona unadanga tyu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 27 днів тому +29

    Dunia ina mambo hii mrembo kama uyo utamuachaje wanaume sometimes tunafeli asa😢

    • @MohamedMwachega-x6c
      @MohamedMwachega-x6c 26 днів тому

      @@mohammedkidody5618 alijisababishia mwenywe unawezaje beba mimba ya m2 mwingne den uolewe na m2 mwingne,si kila mwanaume ana kifua cha kuvumilia ayo uolewe na m2 mwingne den badae murudiane,

    • @user-il5cu6gq5f
      @user-il5cu6gq5f 25 днів тому +5

      Basi ukamwowe wewe unangalia urembo angalia tabia

    • @abubakariali9848
      @abubakariali9848 24 дні тому +1

      Usipime kina cha maji kwa kijiti utazama ufe

    • @ishanaaRajoo
      @ishanaaRajoo 23 дні тому +2

      Huwez jua Mungu tu atustiri ndio mana nasema sisi wanawake htuna uhakika wakupendwa na wanaume ila mwanamme Ana uhakika kwasbb anajua huyu nampenda huyu simpendi sisi wanawake kwa kweli Mungu tu atuhurumie ila tunapitia magumu sana kwa wanaume si wakweli

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 20 днів тому +1

      Kila kitu kina riziki yake na pia huenda mwenyezi mungu kamuepusha na shari za yule mume wala asihuzunike amuombe mungu amjalie mume bora zaidi ya yule

  • @NajatyHassan
    @NajatyHassan 4 дні тому

    Pole dada angu ndy maixha lakin haya tunayopitia mamy❤❤❤❤❤

  • @user-tf8yp5bi5i
    @user-tf8yp5bi5i 2 дні тому

    Mahusiano miaka 3 amekuchoka, wanawake tubadilike tuwe na misimamo lakin ukijiachia matokeo hayo

  • @Hawa-y8x
    @Hawa-y8x 24 дні тому

    Eeh pole ndg yng, m , mungu ataksaidia mpnz wng

  • @Naju645
    @Naju645 27 днів тому +4

    Dada unaolewa namimba yamwanaume mwingine???ulikosea

  • @CostantinoPaul
    @CostantinoPaul 2 дні тому

    Hiki nikihuni tuu nakisipo badilika kitangukia kwenye magonjwa

  • @FauziaAyyib-dw6lj
    @FauziaAyyib-dw6lj 11 днів тому

    Pole sana dada Allah akufanyie wepesi

  • @JumaMkuchika-c8k
    @JumaMkuchika-c8k 5 днів тому

    Muombe allah sana atakujalia atkupa wako

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 6 днів тому

    Kwa mtazamo wangu ninaona kama huyu dada Ana ujeuri.

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 9 днів тому

    She is beautiful manshallah ❤

  • @user-dn7sc8lf8h
    @user-dn7sc8lf8h 27 днів тому +5

    hii ni tabia ya warangi, wamburu, na wanyaturu. Itakuwa huyu dada ni Moja kati ya hayo makabila. Au msambaa

    • @briankatani6770
      @briankatani6770 27 днів тому

      Kweli kabisa utaolewaje na una mimba ndiyo maana ulishinndwa

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp 26 днів тому +2

      Mkundu ww msambaa kafikaje apa

    • @phorahmahaza638
      @phorahmahaza638 26 днів тому +2

      Mshenzi mkubwa makabila ya watu yamefikaje hapo huna adabu kabisa

    • @user-yx6zq9bp1s
      @user-yx6zq9bp1s 26 днів тому +1

      Ww una tabia mbaya kutukania makabila ya watu jiepushe na dhana yako mbaya kila sehem Kuna mchanganyiko wa watu
      Usijione ww na kabila lako ndo bora MwenyeziMungu ndo mjuzi zaidi

    • @fridakitemangu3446
      @fridakitemangu3446 26 днів тому +2

      Unexperience gani na hayo makabila hayo kama Huna comment nzuri usiandike maana unachafua kabila za watu mungu akuhurumie sana wew

  • @victornselu517
    @victornselu517 5 днів тому

    Mjuaji pia hajitambui una mimba unaolewa na mimba ya mtu mwinfine dunia imeisha hii

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 26 днів тому +1

    Shenzi typ mnatia aibu sana ndo mnawaharibia wengine yaan naskia asra,mola msamehe tuongoze,unafaa kulia na utubu kwa mola wako,unaanza kujitangaza,nadhambi ya kutangaza dhambi ni mazito sana

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 4 дні тому

    Kosa hilo kujiweka ktk mahusiano .kumbe mambo ya kimba mtihan

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 27 днів тому +1

    Huyu Dada anamapenzi ya kweli Tatizo wanaume NI wakora. Ukiangalia huo mzunguko unaonyesha wanaume ndio hovyo.lakini pia huyu dada anatatizo hana nsimamo huku ana penda huku anapenda NI nduma kuwili

  • @RamadhaniIman-i4q
    @RamadhaniIman-i4q 2 дні тому

    Nipenamba za dada naweza kuwa mume bora

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q 23 дні тому +1

    Kosa lko uliingia ktk ndoa kiudanganyifu kwio huwezi kufaulu ktk kudanganya,, cheating make more loose

  • @ZawadiMwabadilanga
    @ZawadiMwabadilanga 11 днів тому

    Pole sana dada siyo rizki usi lie

  • @user-pb4pn4yu8y
    @user-pb4pn4yu8y 21 день тому

    Pole sana mdogo wng huyo mwanaume hakukupenda mwanaume anayekupenda kweli hawez kukurusu uolewe na mume mwingine tatizoletu ss wanawake tukipenda tunakuwa vipofu hata mtu hafai tunaona anafaa sababu tu moyo umependa pole kikubwa nikumuomba mwenyezimungu atupatie waume walio sahihi na na wenye hofu juu yake

  • @AmaniMafita
    @AmaniMafita 10 днів тому

    Pole sana binti kuwa muangalifu baado ya hili

  • @user-ih6ng6sf6o
    @user-ih6ng6sf6o 9 днів тому

    Pole San kwel kwa matatizo ulio pitia 😢 utapata mme bora tu

  • @samwelmigera7274
    @samwelmigera7274 19 днів тому +1

    Hakuna ridhiki Yako uyo tulia utapata wa kwako

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 днів тому

    Wewe bado mdogo acha ujinga . Mungu kakuepusha , wanataka uolewe kwanini ? Stick on why uolewe ... mimba au wanataka tu hvyo ?

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 4 дні тому

    Itasaidia nn kujianika ktk media hiyo ni kujizalilisha na haitakusaidia kitu ungetaka ushauri kwangu ningekwambia hiyo sio risk yako ndo heri yako

  • @ifrahabi4834
    @ifrahabi4834 8 днів тому

    Can someone make me understand. This young beautiful lady, is saying there was wedding, how did she became pregnant

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 дні тому

    Dada kipindi ulikuwa namimba ya wengine mwanaume unge mwabiya ukweli mapema kama una mimba ya mwanaume mwengine

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 26 днів тому +3

    Mwenyezi mungu atakupa mume sahihi inshallah pole mpenzi wangu

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 5 днів тому

    Mbona upuuzi mtupu hapa jamani mweeee

  • @bosiborimomanyi5592
    @bosiborimomanyi5592 27 днів тому +2

    Nkt...eti mume mwenye amekipea mimba akuambie uolewe na mwingine.. hahahaha

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 24 дні тому +1

    Mungu atakupa, usijali awe mkristo au mwislamu

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 22 дні тому

      Wewe Mpumbavu.. wewe sio muislam au utakuwa muislam jina

  • @zainabumohamed4763
    @zainabumohamed4763 27 днів тому +2

    Kwa kifupi hawa bado wote watoto,

  • @PiliIsamil
    @PiliIsamil 26 днів тому

    Pole sana dada wangu

  • @user-kd2qj1sv9j
    @user-kd2qj1sv9j 18 днів тому

    Pole san kipnz p❤❤❤

  • @RamadhanNyambi
    @RamadhanNyambi 24 дні тому +2

    Namuomba mim aje niishi nae plz plz

  • @user-xl7tb9xr9t
    @user-xl7tb9xr9t 12 днів тому

    Say alhamdulillah Allah has not planning for you . Inshallah Kee praying never give up to Allah

  • @nailahhemed7203
    @nailahhemed7203 22 дні тому

    Majibu ni hapa hapa duniani. Wewe uliingia kwenye NDOA kwa uhongo mkubwa na ukamkimbia mwenzio ulifikiria dunia itakuacha salama kweli?!.. Umevuna ulichopanda my dear. Mungu wa sasa hivi mkali sana. Tusiwatendee wengine mabaya tukifikiria mazuri yatakuja kwetu. Hayo ndio majibu ya mtihani ulioufanya my dear.

  • @AbdalaJuma-pc1tf
    @AbdalaJuma-pc1tf 26 днів тому +2

    Kisheria huyu dada ni mke wa mtu kwasababu ajapewa taraka hiyo sio haki

    • @Yassinseleman
      @Yassinseleman 23 дні тому

      Talaka sio lazima iandikwe hata neno Moja tu kumtamkia mkeo nimemuacha jua ndoa imevunjika wakati huo sasa tuchunge wanaume wengi wetu tunaacha wake kwa matamshi alafu tunaendelea na zinaa

    • @mwanahamisishabani9541
      @mwanahamisishabani9541 12 днів тому

      Amejivua kwa kurudisha mahali

  • @user-lu7os7vy7z
    @user-lu7os7vy7z 27 днів тому +3

    Dooh sijapenda kabisa story hainogi kabisa yaan nilikuona mrembo kabla hujaongea ulivyoanza kuongea kumbe huna maana kabisa........jamaan sasa ukikaa bila kuolewa utasema umelogwa?..........yaan mwanaume akupe mimba then akuruhusu uolewe bado useme anakupenda🤔 tujitambue

  • @Dafetty
    @Dafetty 27 днів тому +2

    Taila sana wew wanahaki wasikuoe😏😏😏

  • @japhetpeter4095
    @japhetpeter4095 26 днів тому +4

    Tatuzo la hawa dada zetu wamezidisha tamaa .anajifanya mwema kumbe nyoka wa shaba bora Mungu kakuumbua mapema

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 12 днів тому

    Nakushauri kitu njoo zako arabuni utafute pesa achana na habar za mapenzi ukikamata pesa humtaman hata mwanaume 😊

  • @aminabadi8663
    @aminabadi8663 19 днів тому

    Mungu atakupa wa kheri na ww lk mara ingine usikubali kunyamazia siri kama uliongea kwa fqmily yako hayo yasingetokea ukweli hua unakuokoa ima angelazimishwa huyo bwana alieka mimba akuowe ama akuhudumie hqtq ukiwa ama mume akikuowa anajua uko na mimba sio yake hapo ulikosea kuficha hawa wanaume tunakua nao lk niwatu wabaya sanaa kumi kwa mmoja akisha kukuharibia maisha kusimama nawe

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 23 дні тому

    Mtt mzur mashallah ningekua mwanaume ningemuoa 😢

  • @AgnesDeonatus
    @AgnesDeonatus 23 дні тому +1

    Ndoa ni baraka ya Mungu c matarajio ya mwanadam tuwe na subra

    • @AgnesDeonatus
      @AgnesDeonatus 23 дні тому +1

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @NeemaSaimon-i4n
    @NeemaSaimon-i4n 7 днів тому

    Wanaume wote ni mbwaaaaaaaa

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 25 днів тому

    Miaka 22 usha jua kila aina ya mdudu 😢😢jaman khaaa yaan aliye kupa mimba akuambie uwolewe na mwanaume mwingine na ww ukakubali loooh