Mungu nisamehe dhambi zangu nilehemu makosa Yang nisafishe Moyo wangu nioshe Kwa damu ya yesu kwenye Maisha yangu watoto wangu damu ya yesu nifunike Kwa jina la yesu kirsto Amen 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mungu kwa kutuma mtumishi wako kwetu..akika tunaelimika kupitia yeye. Thanks God.nasi tusaidie tusikue wakuskia tu bali wakuskia na kutenda in Jesus name.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, eeh Mungu wangu simama katikati yangu damu yako iliyomwagika isimame na mm katika kila hatua, simama katikati yangu jehova
Hallelujah, Hallelujah, Hallelujah, Mungu alibari neno lake, mahalihili limetoka na kukaongezwe lingine, tuzidi kumukaribiya Mungu zaidi, injili iliyo safishwa na damu ya yesu, hii ndio injili tunaitaji kwa nyakati hizi za mwisho, asante.
Bwana Akubariki sana muchungaji kwa haya mafundisho mazuri ya baraka, nimejifunza mengi kutoka kwa damu ya Yesu na ninaamini nitafanikiwa sababu nimeelewa jinsi ya kuitumia. Mimi ni Rachel nafuata mafundisho yako nikiwa Kigali Rwanda.
Mungu nifunike Kwa damu yako nilijuwe neno lako na kukupenda damu ya yesu inifunike watoto wangu damu yesu inifunike Maisha yangu family yangu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi ninapitia kipindi kigumu lkn nausikia tu huu wimbo kila nikiamka asbh . Nina imani Mungu yuko kazini anafanya jambo kwa ajili yangu 🙏
Mtumishi George, unanibariki sana kwa mafundisho yako, Mungu akubariki sana kwa huduma uliyopewa.
Nimeitisha Damu ya Yesu Kristo Mwokozi Wetu kwa Maisha Yangu na Nyumbani Kwangu, na Familia Zetu Zote. Amina Na Amina.
Amen mtumishi ubarikiwe sana Kwa somo la damu ya yesu nimebarikiwa sana
Mungu nisamehe dhambi zangu nilehemu makosa Yang nisafishe Moyo wangu nioshe Kwa damu ya yesu kwenye Maisha yangu watoto wangu damu ya yesu nifunike Kwa jina la yesu kirsto Amen 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mtumishi wa Mungu. Hakika mafundisho yako yananibariki sana.
God bless you Pastor. More grace of God be upon you in Jesus name
Amen Amen Amen nimebarikiwa Sana na huduma hii ya mafundisho more grace pastor Niko Kenya
Asante pastor Kwa mafundisho mungu akubariki
God bless you pastor nimebarikiwa
Mchungaji mahubiri yote yamenibariki na kuniininua Kwa kiwango kingine Mungu akubariki zaidi.Amen
Asante kwa somo zuri nimepona,nilikuwa sijui kuomba inavyopasa .🙏🙏
May God keep you safe and give you more wisdom to teach His word and preach it to many nations. Amen and thank you.
Amen Mungu Anisanehe Anisanehe Makosa Yangu Damu YaYesu Inasafishe NaUzao Wangu Pia Familia Yangu.
Tunashukuru Mch.George.mafundisho mazuri sana
Lllklkkkkkk
Be blessed pastor, very powerful word of God. I need grace of God to walk with this word. Help me Jesus Christ.
Asante mungu kwa kutuma mtumishi wako kwetu..akika tunaelimika kupitia yeye. Thanks God.nasi tusaidie tusikue wakuskia tu bali wakuskia na kutenda in Jesus name.
Mungu akubariki nimepata hili neno kwa kweli nimeelewa na nilishaanza kutendea kazi
Ubarikiwe sana mchungaji siteseki na adui hanishindi tena nimepokea nguvu ya ushujaa wa ajabu.
Asante mtumishi umenifundisha nanimeelewa vema barikiwa Sana 🙏🙏
Aksante sana Pastor George
Huu ni ufunuo halali wa neema ya Msalaba wa Yesu Kristo
Bwana yesu kristo Akufadhi pasta pasta
Mungu wa uzima hakubariki apanue mipaka yako umeni amenibariki sana nko hapa kenya
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, eeh Mungu wangu simama katikati yangu damu yako iliyomwagika isimame na mm katika kila hatua, simama katikati yangu jehova
Barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu hayo mafundisho mazuri Babaku barikiwa saidi
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa kipindi hiki kimenibariki sana sema tupone baba
ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yanaendelea kunisaidia Mungu akuinuwe
Jamani nilimsikiliza na nikafuata maelekezo usiku nilichoona mambo ya kutosha barikiwa pastor
Nimependa sana iyo mtumishi nilikuwa sipati usingizi Tokanitumie damu yayesu nalala
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ love the massage (damu ya Yesu husafisha kabisa)Jesus for everyone 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah, Hallelujah, Hallelujah, Mungu alibari neno lake, mahalihili limetoka na kukaongezwe lingine, tuzidi kumukaribiya Mungu zaidi, injili iliyo safishwa na damu ya yesu, hii ndio injili tunaitaji kwa nyakati hizi za mwisho, asante.
Bwana Yesu asifiwe mtumishi nashukuru kwa fundisho lako, haswa kwy kufunguliwa
0
Amen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana. Nimejivunza mengi kuhusu Damu ya Yesu. Mungu niongezee hekima juu ya damu ya baraka. Asante.
Pastor ,may GOD bless you, unaniinua kiroho sana, MUNGU akuzidishie neema
Mtumishi barikiwa sana mafundisho unayofundisha ni kweli kanisa Mungu azidi kukutia nguvu isonge mbele.
Amen 🙏 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
mchungaji ubarikiwe sana nmebarikiwa na kuinunuliwa juu ya damu ya yesu
Asante mtumishi nimebarikiwa na somo la damu ya Yesu ,Mungu aendelee kikutumia ili wengine tupone kupitia mafundisho yako.
Asante pasta Damu ya Yesu ikanene mama juu ya maisha yetu ubarikiwe sana
Naomba damu ya yesu usiku huu yaniponye na maumivu nilionayo katika jina LA Yesu,amina
Amina mtumishi, Mungu akubariki hakika inampendeza Mungu kwa jinsi unavyo zidi kutujenga kiroho
Amen Amen mafundisho mazur sana Yesu wa Nazareth nisaidie nikue kiroho zaid kupitia ibada hii Amen 🙏🏼
Bwana yesu akubaliki Basta nimebalikiwa nasomolako. 1:18:23
What a blessing God have given us🙏🙏,,,be blessed pastor
Mafundisho mazuri sana. Pastor stay blessed
Amina Mch, Naomba Damu ya Yesu ikazidi kunena Mema siku zote juu yangu na familia yangu ktk jina la Yesu Kristu Amina
❤❤Amen Amen Mungu akubariki Mtumishi kwa Mafundisho
Asante kwa fundisho la kweli la Damu ya Yesu kristo, be blessed pastor
Bwana naomba unifunike na damu ya mwanao yesu kristo iniongoze katika mipango yangu na pia namshukuru mtumishi wako kwa mafundisho mazuru be bless 🙏🙏🙏
Asante Bwana Yesu kwa Neema hii ya kupata mafundisho haya...ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,Ameen .
Baba nawashukuru Sana Kwa kunifungua macho kwangu ni neema kubwa nimeupata kwenu Mungu azidi kuwatinza ili nizidi kula vya mathabahu hayo.
Asante kwa neno la ukombozi kwa damu ya yesu nimeinuliwa kiwango kingine nashukuru Mungu akubariki
Asante kwa neno la ukombozi kwa damu ya yesu nimeinuliwa kiwango kingine nashukuru Mungu akubariki
Neno nzuri Sana
Asante Mungu kwa kutupa mtumishi mahili wa neno lako.zidi kumbariki aendelee kuokoa roho za watu kwa neno la Mungu .Barikiwa sana.
This is a powerful revelation Pastor, God bless you abundantly.
Ameeeeeeen,fubdisho hili limenifungua na limetoa mahali,Pastor be blessed in Mighty name Jesus Christ
Bwana Akubariki sana muchungaji kwa haya mafundisho mazuri ya baraka, nimejifunza mengi kutoka kwa damu ya Yesu na ninaamini nitafanikiwa sababu nimeelewa jinsi ya kuitumia. Mimi ni Rachel nafuata mafundisho yako nikiwa Kigali Rwanda.
Hallelujah huu ujumbe umenbari sana mafundisho mazuri sana mungu akuinue pastor 🙏🙏
Pastor George Mukabwa stay blessed I surely receive something deeply in spiritual life 🙏
Mungu nifunike Kwa damu yako nilijuwe neno lako na kukupenda damu ya yesu inifunike watoto wangu damu yesu inifunike Maisha yangu family yangu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
God bless you nimejifunz mengi Leo nikiangalia hii kutok Lebanon damu ya yesu itanizaidia Yale majaribu napitia🙏
Pasta mafundisho Yako yamenigusa kabisa rohoni ubarikiwe na Bwana Yesu. Amina
Baba pastor nashukuru ww umefanyika msaada kwangu😭😭🙏
Ubarikiwe chungaji wetu,huwa unanibariki kwa masomo yako.
Ahsante Mch kwasomo la Damu ya Yesu...barikiwa...ninapokea
Amen amen na ahsante Kristo Yesu kwa kutumia mtumishi wako kwa hili jambo la damu lako. Tufunguwe kwa mara nyingine na damu yako Yesu Kristo.
Amen nimepata ufahumu wa kutumia damu ya yesu Mungu akubariki Mtumishi kwa mafundisho
Haleluyaaaa!!!nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru!
Amen mtumishi Mungu akubariki sana nimejifunza kitu
Asante Sana pastor mungu akutunze zaidi na zaidi nainuliwa viwango vingine
Ubarikiwe sana pastor George kwa Somo nzuri sana!
Thank you Lord for this revelation,thank you pastor I now receive wisdom in Jesus name
Ameeeeen sana mafundisho mazuri ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
Utukufu kwa Bwana Yesu Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Pastor Mungu akubariki kwaku tu fahamisha samani ya damu ya yesus christon
Nashukuru sana mwenyezi MUNGU kutupa mentor kwa ulimwengu wa sasa,,,tupe neema ya kulisikia na kulitumia amen 🙏
Habari kiongozi
Shalom, nina shida
Amina pastor kiukweli dam ya yesu Ina nguvu Sanaa hii no elim ambayo imetufungua wengi
Pastor somo limenipa nguvu ktk kujjua damu ya Yesu ubarikiwe mchungaji
Asante pastor mungu akubriki sana umenipa guvu ya kusimama Tena
Asante Mchungaji naelewa mafundisho yako
Asante MUNGU kwa pastor damu ya YESU inauweza mkuu
Asantee kwa ujumbe huu mzur, Tumebarikiwa wengi Naamin.
Mungu akutunze
Mungu aliye Hai akubariki sana Pastor
Ubarikiwe pst kwa mafundisho kutoka Kenya
Amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu umenifungua sana
Babalikiwa sana na hili somo
Amen, asante Yesu nimepata shule 💪🙏🏽
Asanteh Namshukuru Mungu Kwa hili somo , Ubarikiwe Sana Pastor
Ubarikiwe kabisa. Injili hii ni ya kweli. Apana mpaka kufundisha mafanyikio
VERY POWERFUL! SIWEZI KUELEZEA
Asante paster Kwak elimu hii
ahsante kwa mafundisho,{nafurahi kuijua thamani ya damu ya yesu,
Amen , barikiwa kwa ujumbe huu Mchungaji.
❤❤🎉unanitiya moyo kila niki fuatilia mahubiri yako
Amen imetendeka kwa jina la YESU KRISTO
Amen. Ubarikiwe na BWANA YESU
Am blessed nimepata ufunuo was ajabu
Amen, naomba kufunguliwa kiafya na uchumi
Ubarikiwe Mutumishi wa Mungu Mungu akuongezeye mafuta matakatifu
Asante sana kwa mafundisho ya utukufu.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na mafundisho yako .
Hallelujah🙌🙌🙌 am blessed in the name of Jesus
Nabarikiwa sn mafundisho natamani ningekuwa karibu na hilo kanisa
Amina mtumishi, nimebarikiwa mno!