KUMFAHAMU ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2023
  • SUNDAY SERVICE AT JESUS RESTORATION CENTER WITH PASTOR GEORGE MUKABWA(SENIOR PASTOR)
    #pastorgeorgemukabwa #jrcchurch Gospel Teachings for soul winning Purpose.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 96

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому +7

    Nami nimejiungamanisha na madhabahu hii, ee Mungu neno lako ni mbegu nipe Roho mtakatifu afungue mlango wa mbingu ili nirudi na kelele za shangwe, na karo kuimbia wimbo mpya.
    Pokea sadaka yangu ikawe kumbukumbu ya kukukumbusha Kwa ajili ya ibada hii na kuomba Roho mtakatifu afanye kazi ndani yangu🙏

  • @alliancemurefu5210
    @alliancemurefu5210 4 місяці тому +2

    Paster mugu akubariki sana kbs kila mara ninapo fwata mambo yako mabadiliko yanakuwa kwenye maisha yangu.

  • @francismathias850
    @francismathias850 21 день тому

    Ubarikiwe Mch, kwa somo zuri la Roho Mtakatifu

  • @HappyBrown-gq7oe
    @HappyBrown-gq7oe 4 місяці тому +3

    Mpaka natamani kuhamia mwanza,jamani nyinyi ambao huyu ni mchungaji wenu msiichezee hii neema . yaani Mimi bando yangu natumia kujifunza kupitia huyu mchungaji.

  • @user-pl3gq4ov3t
    @user-pl3gq4ov3t 10 місяців тому +2

    Ahsante baba Kwa maarifa haya,Mungu azidi kukufunulia Siri zake Kwa ajili ya watu wake.

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 3 місяці тому +1

    Ukurasa mpya unafungiluwa wangu leo kwa jina la yesu

  • @HappyMsafiri
    @HappyMsafiri Місяць тому

    nakushukulu mungu asubui ya Leo nimelisikiliza neno kutoka kwa mtumishi wako limenibariki na kunijenga kiiman mungu akubariki mutumishi wangu

  • @marymgore6714
    @marymgore6714 6 місяців тому +1

    Namshukuru Bwana kwa somo hili,limenifungua ufahamu kwa kiasi kikubwa sana,Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,na Mungu azidi kukupa neema

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 6 місяців тому

    Saa nane usiku i’m here watching this!!! And i’m blessed!! Thank u pastor

  • @RitaGMV-tu6lk
    @RitaGMV-tu6lk 5 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 7 місяців тому +1

    Yaani huyu mtumishi wa Mungu anafumdisha vitu vya kilindini,barikiwa Baba mchungaji

  • @BarackaSeleman
    @BarackaSeleman 7 місяців тому +1

    Pastas barikiwa sana kiukweli ninajengwa sana baba. Barkiwa baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jacqueskatembo1923
    @jacqueskatembo1923 2 місяці тому

    Roho Wa Mungu kaa ndani yangu.

  • @juliethmnkande5695
    @juliethmnkande5695 10 місяців тому +1

    akika mtumishii wa Mungu unanibariki kwa mafundisho yako yaliyojaaa hekima maarifa Mungu azidi kukutia nguvu kwa ajili ya utumishi wake 🙏🇱🇷🇱🇷

  • @clianusalfred1400
    @clianusalfred1400 11 днів тому

    Amen ❤

  • @user-ef5kc5jy4r
    @user-ef5kc5jy4r Місяць тому

    MUNGU wa madhabu ii ainuliwe sn nakuzidi.mtumishi Roho azidi kuku shibisha neno ili mimi Nile kupitia kwako,shallom

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 10 місяців тому +1

    Waaah 😭 😭😭😭 kupitia hili somo 🙏🙏baba leo nimepata majibu ya mateso yangu

  • @user-vi8py4hy9z
    @user-vi8py4hy9z 10 місяців тому +2

    Nashukuru
    Kwa
    Mafundisho
    Mema
    Nimebarikiwa

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 11 місяців тому +1

    Amen and Amen and thanks to Jesus connected from Kenya Nairobi

  • @nurujoseph3792
    @nurujoseph3792 7 місяців тому

    Holly spirit change my life. Be blessed pastor

  • @maureenn.canhandula2381
    @maureenn.canhandula2381 2 місяці тому

    Amen

  • @LucieKayumba
    @LucieKayumba 4 місяці тому

    Amen.

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 3 місяці тому

    Hio ndio hali yangu pastor.....Leo inaisha kwa jina la yesu👋🙏🙏🙏🙏naamin leo ni mwisjo

  • @happiness_713
    @happiness_713 5 місяців тому

    ..eeeh, Mungu naomba mafuta mabichi katika maisha yangu. Asante kwa somo pastor, sasa nina ufahamu kuhusu nafasi ya roho mtakatifu...barikiwa amen 🙏 🙏

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 3 місяці тому

    Roho matakatifu tawala ndani ya maisha yangu na watoto wangu karibu ndani ya maisha yangu from today in jesus name

  • @karembokahindi6308
    @karembokahindi6308 9 місяців тому

    Asante sana mtumishi nabarikiwa. Naneno zur lamungu

  • @filistaasiko9446
    @filistaasiko9446 10 місяців тому +2

    baba ni shushii roho mutakatifu

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому

    Amen, Amen.
    Naomba ee Roho wa Mungu ingia Tena ndani yangu uifanye upya Roho iliyotulia ndani yangu ili nikupe wewe nafasi ya kutawala maishani mwangu,🙏

  • @user-dm2fi1vr8v
    @user-dm2fi1vr8v 7 місяців тому

    Kiukweli mtumishi kama MUNGU aishivyo akuinue sana

  • @DenisBablay
    @DenisBablay Місяць тому

    Ameen❤🎉🎉

  • @SamuelJira-hp2or
    @SamuelJira-hp2or 9 місяців тому

    Mafundisho mazuri sana ya anibariki ubarikiwe sana mtumishi

  • @SeciliaSimony-dq7ks
    @SeciliaSimony-dq7ks 10 місяців тому

    Asante sana mtumishi hapa Mungu kasema na moyo wangu ubarikiwe sana baba Mungu akutunze sana.

  • @user-qo8tm4sn3s
    @user-qo8tm4sn3s 11 місяців тому

    May the lord bless you nimebarikiwa sana umenitoa kiwango kimoja Hadi kingine

  • @mchungajisecilia8029
    @mchungajisecilia8029 Місяць тому

    Ameen

  • @aishaeverline6488
    @aishaeverline6488 6 місяців тому

    Amen lord I need your grace

  • @lovenessdastan5943
    @lovenessdastan5943 5 місяців тому

    🙏🙏

  • @NancyMbobo
    @NancyMbobo 3 місяці тому

  • @AgustinoMarias
    @AgustinoMarias 2 місяці тому

    Karibu roho mtakatifu
    niongoze kwakira jambo nirifanyaro

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 7 місяців тому +5

    Rohoo mtakatifu ingia ndani mwangu nimechoka kujitawala nimeona hasara za kujitawala sasa nakukaribisha ndani mwangu kwenye familia yangu na watt wangu oooh rohoo mtakatifu shuka ndani mwangu tawala biashara yangu

  • @tumpalesanga5242
    @tumpalesanga5242 6 місяців тому

    Mungu ana kitu juu yangu leo namuona Mungu kupitia somo hili

  • @EssauMasalu
    @EssauMasalu 7 місяців тому

    Ubalikiwe paster umenikuza kiroho

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 10 місяців тому

    😭😭😭😭😭Eee roho mtakatifu karibu ingia ndani yangu tawala maisha yangu ,bila uwepo wako ndani yangu mimi ni kama kapi.

  • @user-oi7qw5el4k
    @user-oi7qw5el4k 10 місяців тому

    Amen hili nenonilaku 1:07:07 pats nisahitie sana

  • @valerianlyimo516
    @valerianlyimo516 6 місяців тому

    Bw azidi kukuinua mtumishi wa Mungu

  • @user-re2oz8ry9y
    @user-re2oz8ry9y 10 місяців тому

    Amen amen God bless you

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 2 дні тому

    Sijui kama hao waumini wanaelewa kama mimi?huyo ni mtumishi wa kipekee sana sana

  • @nyanjwabresh8307
    @nyanjwabresh8307 11 місяців тому

    Amina, God of restoration.

  • @user-dy2ne6rn3x
    @user-dy2ne6rn3x 6 місяців тому

    Barikiwa pastor

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 10 місяців тому

    Roho mtakatifu tengeneza maisha yangu ya kiroho 🙏🙏😭😭😭nimechoka na mateso ya mizimu ya ukoo

  • @fireinmybones148
    @fireinmybones148 11 місяців тому

    Thank You pastor😊

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 10 місяців тому

    Sitapotea kwa jina la Yesu 🙏

  • @LucieKayumba
    @LucieKayumba 4 місяці тому

    Amen and amen

  • @rehemaexaudi4672
    @rehemaexaudi4672 11 місяців тому

    MUNGU akubariki pastor

  • @Fatimak-dh4qh
    @Fatimak-dh4qh 10 місяців тому

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe

  • @WinnerWatson
    @WinnerWatson 2 місяці тому

    Roho mtakatifu naomba uniingikie nda0ni yngu

  • @andrewmugasha6381
    @andrewmugasha6381 10 місяців тому

    Barikiwa sana pastor

  • @anneangello718
    @anneangello718 7 місяців тому

    Hallelujah

  • @user-vx5rb6rg1v
    @user-vx5rb6rg1v 6 місяців тому

    Amen Amen 🙏🙏

  • @user-qt2df1il7v
    @user-qt2df1il7v 7 місяців тому

    Ubarikiwe sana

  • @jacklinejackline2539
    @jacklinejackline2539 11 місяців тому

    Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 11 місяців тому

    Sifa na hutukufu ni zake daima...

  • @prisca4612
    @prisca4612 10 місяців тому

    Amen!!!!!!

  • @estarchalres756
    @estarchalres756 10 місяців тому

    Yan ninamis sana ibada kiukweli lkn Mungu ni mwema ipo siku kazi zitaludi mwanza na mambo yatanda vizuli ubalikiwe sana baba

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 7 місяців тому

    Amina

  • @user-um5hm5rc7h
    @user-um5hm5rc7h 11 місяців тому

    Yesu wastahili sifa na utukufu.

  • @Veronica-gr9gi
    @Veronica-gr9gi 10 місяців тому

    Asante sana

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 10 місяців тому

    Amen 🇰🇪🇰🇪

  • @violethnyangasa9495
    @violethnyangasa9495 3 місяці тому

    Yaani weweza muuliza Mungu maswali ila Mungu akubarikii zaidi na zaidi ninaposikiliza kidogo tu sitoki Bure nakuuliza hai ulio nao hapo wanayo neema kubwa barikiwa tu

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 6 місяців тому +1

    Tukiwa na pastor kama huyu kwa kila Nchi watu wengi wataokoka

  • @floramaro7651
    @floramaro7651 11 місяців тому +1

    Bless you Pastor 👏

  • @nyanjwabresh8307
    @nyanjwabresh8307 11 місяців тому +1

    Hakika Ni kwa Neema tu, Niko jinsi nilivyo.

  • @eunicemwacha6230
    @eunicemwacha6230 10 місяців тому

    Ameeen

  • @preciousbuberwa9817
    @preciousbuberwa9817 10 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @chikondimadalitso
    @chikondimadalitso 6 місяців тому

    Nina shida kuanzia usichana wangu loho mtakatifu ingia kwangu

  • @nuruulomi5769
    @nuruulomi5769 6 місяців тому

    Una madini MUNGU akutumie sawa sawa,nabarikiwa saana na mafundisho haya japo Sina muda mrefu kukufatilia Nina siku tuu ila nimepata vitu ambavyo sijawahi pata

  • @emmanuelsichone7977
    @emmanuelsichone7977 7 місяців тому

    Natakakua kama huyu baba mungu unipe akili za huyu kiongozi naupamo kama wake ❤

  • @user-bl2jj5lo4q
    @user-bl2jj5lo4q 7 місяців тому

    Smen

  • @jasminerashidi2782
    @jasminerashidi2782 11 місяців тому

    Jamani ibada hii ni ya pili au ya kwanza

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 11 місяців тому

    Neno langu Ili mtumish wa Mungu

  • @marymgore6714
    @marymgore6714 6 місяців тому

    Ninawaonea shauku watu mnaoabudu chini ya huyu mtumishi,ninatamani na kuwaonea wivu,laiti ningalikuwa Mwanza

  • @mancamushi
    @mancamushi 10 місяців тому

    Roho mtakatifu nijaze ndani yangu nibadilike nakuhitaji

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 10 місяців тому

    Wastahili mwana WA MUNGU ,,Niko hapa Nikumbuke ,nimechoka na haya maisha ,nahitaji Mahisha mapia kwako ,eeeh YESU 😭😭

  • @LucieKayumba
    @LucieKayumba 4 місяці тому

    Amen

  • @rehemamosha2244
    @rehemamosha2244 10 місяців тому

    Amen and amen

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 10 місяців тому

    Amina

  • @dorivaldo3759
    @dorivaldo3759 10 місяців тому

    Ameeen

  • @LucieKayumba
    @LucieKayumba 4 місяці тому

    Amen

  • @user-ru6yk8kh5g
    @user-ru6yk8kh5g 4 місяці тому

    Amen

  • @franciscahboniface2034
    @franciscahboniface2034 5 місяців тому

    Amen

  • @user-qt2df1il7v
    @user-qt2df1il7v 7 місяців тому

    Amen

  • @MagdaleneMagdalene-rz1sp
    @MagdaleneMagdalene-rz1sp 11 місяців тому

    Amen and amen

  • @user-ez8nr5cg2n
    @user-ez8nr5cg2n 11 місяців тому

    Amen

  • @dicksonkyazuzi6501
    @dicksonkyazuzi6501 11 місяців тому

    Amen