Ukraine vs Urusi: No Fly Zone ni nini? Kwanini NATO inasita kuipitisha licha ya Zelensky kuitaka?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy analilia No Fly Zone, ni nini hiki? Jimmy Chansa na Dj Sma wanafunguka kwenye #TheOutsiders

КОМЕНТАРІ • 179

  • @falilafalu3052
    @falilafalu3052 2 роки тому +4

    Nakupenda sana sk

  • @soundmale
    @soundmale 5 місяців тому +1

    Jimmy usijisahau sana sisi ndo tunawasikiliza😂..angalia mic mshamba wa kukomba na chai😁

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 20 годин тому +1

    yani hawa wachambuzi tafuta wengine mnatumia lugha gani kiswahili au kiingeleza mnajichanganya lugha yenyewe ya kufikilika sana inawashinda simameni na kiswahili

  • @albertshayo2433
    @albertshayo2433 2 роки тому +5

    Mnaonaje mtumie kiswahili ndugu zangu, mnachambua vizuri ila hebu tumieni lugha yetu

  • @Laajo1994
    @Laajo1994 2 роки тому +3

    Vile sio vita Ile ni operation tu ya kijeshi mnavijuwa vita nyinyi..

  • @magangakiyabo3429
    @magangakiyabo3429 2 роки тому +4

    Kweli kabisa angesalimu Amri raia wa Ukreni wasingekufa

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 2 роки тому +2

    Kumbe unaongea vizuri sio the men's the men's what for pumbavu

  • @AbdillahRashidi
    @AbdillahRashidi 3 місяці тому +1

    Mnajitahidi kuchambua lkn kuna sehemu hamfiki yani hamtoi background nzuri na piah yanakuwa hayajitoshelezi...jitahidini ila Big up...🙏

  • @mustaphamchucha7461
    @mustaphamchucha7461 Рік тому +2

    dj smar ukovizuli sapot

  • @tupasesamuel2109
    @tupasesamuel2109 2 роки тому +3

    I love the conversation, and I was missing this conversation on your side guys. I hope to see you’ll again✌️✌️✌️

  • @milindiibrahim8285
    @milindiibrahim8285 2 роки тому +29

    Kinacho ni uma roho sana nikuona media za Africa zinaongeleya sana vita vya urusi na Ukraine kushinda jinsi wanavyo ongeleya vita vya apa ndani Africa. RDC , Lybia , Malie, .....
    Na nashukizwa na maraisi wa Africa kutokua na Akili zakuungana Ila kuishimamisha Africa.
    Leo vita viko Ukraine njaa inakomaa Africa

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 роки тому +4

      Akili ming San bigup

    • @votiairdigital
      @votiairdigital 2 роки тому +4

      Excellent

    • @wilbertmmary9076
      @wilbertmmary9076 2 роки тому +7

      Yanapopigana mataifa makubwa hiyo ni habari ya dunia nzima. Huwezi kuzuia

    • @edsongamuga7375
      @edsongamuga7375 2 роки тому +3

      Akili kubwa bro!umefikili nje ya box!ongera

    • @rodriodhiambo9431
      @rodriodhiambo9431 2 роки тому

      Zinazungmzia sana vita zidi ya 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 ndio inch pkee zinzao lima ngano kwa wingi na kusuply Ngano takriban nusu or Africa nzima na mafuta ya kula na ⛽️.

  • @samkitwima7933
    @samkitwima7933 2 роки тому +5

    No One Knows Putin's next move!! Nimeipenda hiyo sentence😂😂

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 2 роки тому +4

    @skywalker Asante Kwa uchambuzi mzuri toka Kwa wageni wetu lakini naomba watumie zaidi kiswahili Ili pia wafuatiliaji wengi waweze kuelewa zaidi kinacholengwa/kusudiwa

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 3 місяці тому

      The world knows that Russia is not fighting with Ukraine since the war started, but Nato and the United States and all its allies are fighting with only one country, this is the third year, but they are being beaten. Russia is the most powerful military country in the world, not the United States, as we have been led to believe for a long time. The war in Ukraine has embarrassed the United States, Nato, western countries and all the allies of the United States. Ukraine alone was powerless to fight against Russia even for two weeks.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 3 місяці тому

      Ulimwengu unajua kuwa Urusi haipigani na Ukraine tangu vita ianze, lakini Nato na Marekani na washirika wake wote wanapigana na nchi moja tu, huu ni mwaka wa tatu, lakini wanapigwa. Urusi ndio nchi yenye nguvu zaidi ya kijeshi duniani, sio Merika, kwani tumeamini kwa muda mrefu. Vita vya Ukraine vimetia aibu Marekani, Nato, nchi za magharibi na washirika wote wa Marekani. Ukraine pekee haikuwa na uwezo wa kupigana dhidi ya Urusi hata kwa wiki mbili.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 3 місяці тому

      The United States convinced the world that the United States is the most powerful military country in the world, but it is Russia. The war between Ukraine and Russia has humiliated the United States. The world now knows the fact that Russia is the most powerful military country in the world.

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 2 роки тому +2

    Amuen kuchagua lugha moja kama ni kingereza iwe kingereza tu maana naona kama mnatuvuruga tu

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q Рік тому +1

    Check point vita vitaisha nje ya ukrein

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 2 роки тому +4

    congo 🇨🇩 mpaka kesho vita haijatulia kwasababu ikitulia hawatoiba madini, AMERICA na NATO yao walivamia Libya 🇱🇾 palestina SnS muliongelea nini ? vita vya Russia 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 vinawahusu nini ? Africa tujifunze kuwa wa binafsi na vyakwetu.

    • @isayamgazaTZ
      @isayamgazaTZ 2 роки тому +1

      Wote waliohojiwa hapo sijaona alietoa jibu sahihi hata moja zaidi ya kusikiliza kigugumizi tu,, kwenye uwana sarisafa bado sana kwa hao jamaa waliohojiwa,,

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 2 роки тому +4

    Daah aisee hawa jamaa safi sana.
    Wanapingana kistarabu sana.
    Sma yupo sahihi sana

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 2 місяці тому +1

    Munatumia sana lugha ya kizungu naomba mupunguze

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 2 роки тому +1

    Kipara ni Genius sana

  • @mundhirseif7492
    @mundhirseif7492 2 роки тому +1

    issue ka hizii tuletee wanajeshi hao wengine wanabahatisha tu

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 роки тому +2

    Hawa jamaa nawakubali sanaaa kinomaa

  • @allysingle2446
    @allysingle2446 2 роки тому

    Ahsanteni

  • @nureyna629
    @nureyna629 2 роки тому

    Wako vizuri sana, ahsanteni sana

  • @shabansalum9283
    @shabansalum9283 2 роки тому

    Upo sawa sana

  • @shebe2573
    @shebe2573 2 роки тому +1

    Apo kusarenda sikupati mana angekuwa amepana inchi kiurahisi bora amegoma na kitaeleweka

  • @zahirurumidis4301
    @zahirurumidis4301 2 роки тому +2

    KiswaEnglish,unatuchanganya tu.

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 4 місяці тому +2

    Zungu uko tz english ya nii english yenyewe koko😂😂

  • @mbanguluzito5496
    @mbanguluzito5496 2 роки тому +3

    I did understand your analysis but you don't need to call it invention but is military intervention coz is the same that usa did to Iraq and France did to Libya and act......

  • @amrimapate8979
    @amrimapate8979 2 роки тому +1

    Mnapofanya mahojiano tumieni lugha ya nyumbani lugha ngeni za nn

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 2 роки тому +1

    muwe naongelea Vita zaafrika ndio uzalendo rdc ,Libya,msumbiji kunavita haziongelei

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 2 роки тому +2

    BUNDALA wakija tena hao jamaa waambie WAACHE kuchanganya kiswahili na kingereza wanajua vitu vingi LAKINI wanaharibu mahojiano ,, .#WAAFRIKA TUJIVUNIE KISWAHILI CHETU.

  • @salehehassan9134
    @salehehassan9134 2 роки тому

    Mi cpendagi xn uchambuzi km huu kwann msiongee kiswahili mbna mnapenda kuiga lugha za watu

  • @shau78
    @shau78 Рік тому

    eti "bahati nzuri". DJ Sma ni shabiki wa Putin. ngoja aanze kusema habari za McGreggor. na video iliyopita pia ulisema Urussi wamefaidika sana na vita. kama unavyosema wamarekani wanafaidika

  • @blessbaysa5561
    @blessbaysa5561 2 роки тому +2

    Huyu jamaa mwenye kipara yuko vzuri ila uyo muha akili yake ni ndogo sana hana uwezo wa kuwaza nje ya box

  • @ALOYCE007
    @ALOYCE007 2 роки тому +4

    Kwani kiswahili mmekisahau mbona mnatapatapa bola aongee kaka skay namsoma kinoma

  • @mbogayawagenidan8701
    @mbogayawagenidan8701 2 роки тому +2

    Ongeeni kiswahili tu hizo lugha za watu mnahangaika tu😀🤣

  • @salumumakombo9136
    @salumumakombo9136 2 роки тому +1

    daaaa aisee yaani leo ndo nimekuona live mwamba nilikua natamani sana kukuona ulivo na sauti yako taamu...ok good work bro nakukubali sana

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 роки тому

      Uko sawa kwl weww 😳

    • @saidjumasaid3924
      @saidjumasaid3924 2 роки тому

      Wee hanithi

    • @hassannyakiaga1831
      @hassannyakiaga1831 2 роки тому

      Ni kweli ni vijana wasomi lakini wanapofanya uchambuzi wa mambo ya msingi watumie kiswahili kuliko kuchanganya changanya lugha wanafanya tulio wengi tushindwe kuifatilia Habari kwa kina

    • @alijuju8697
      @alijuju8697 Рік тому

      Myie mbona mko hivo unajua kwamba kila mtu anavyokiwezs kuzungumza.. wapo watu wanapenda hivyo wanvyoxungumza kwa kuchanganya changsha lugha.

  • @user-el3me9vj4i
    @user-el3me9vj4i 5 місяців тому

    Nimewaelewa sana

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 Рік тому

    Wache watu wajimwage kizungu na kiswahili ni sawa tu. Wapo watu bila kizungu hainogi.

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 2 роки тому

    Mhmmm mungu saidia

  • @bazingemoha2520
    @bazingemoha2520 Рік тому

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 5 днів тому

    Huyo jamaa ant urusi since 2022😂 mwenye white t-shirt ,,analolote

  • @michaeldamian3946
    @michaeldamian3946 Рік тому

    Akuna sbbu ya mtu kama unauelewa wa mambo ya dunia kuja kuongea t.shirt white akuna fact yoyote anaongee yupo kwenye kijiwe cha bangi😂

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 2 роки тому +2

    Nato ni watoto mbele ya russia

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 2 роки тому

    tunajua

  • @allymohd9513
    @allymohd9513 2 роки тому +1

    Mtangazaji nakuuliza swali, hivi hao jamaa unaowahoji ni watanzania au wazungu? Hiyo lugha wanayotumia ni kiswanglish au kiswahili? Tumieni lugha ya taifa letu kueli

  • @victarallex4379
    @victarallex4379 Рік тому

    Yeye ayo anaukika gani kwamba wana aslimia yule na raiya wake wanalinda aridhi yao ischkuliwe kijeshi ko watu kufa kawaida ndomaana wengine wanaitwaga mashujaa wakifanikiwa

  • @AbubakarAli-zb7il
    @AbubakarAli-zb7il 3 місяці тому

    A.alaykum wana sns..
    Mm ninaombi kwa watangazaji wetu kwamb wajitahdi kupunguza kuongea kizungu mna kuna watu kma ss tunapt shda kidg kuelewa....tunajua maneno mengine ni ngumu kuongea mojakwa1 kwa kiswaili lkin ayo mengne madogomadogo ningeomba tupunguze please 🙏🙏🙏🙏

  • @user-ju3jy7jy5e
    @user-ju3jy7jy5e 5 місяців тому

    Mmeharibu kiswahili hatukusikieni mnapokua mkichabua makala utamaduni wenu upo wapi umagharibi umekutawaleni

  • @azizikinyika9218
    @azizikinyika9218 2 роки тому

    🔥 🔥 🔥

  • @ridhiwanfatma6312
    @ridhiwanfatma6312 2 роки тому

    #Djsmaa🐐👌🏿🔥🔥

  • @user-nx3do1wy2o
    @user-nx3do1wy2o 10 місяців тому

    Nipo Holland

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 2 місяці тому

    Huyo mshauri aliyetoroka inawezekana ni mpango uliotengenezwa na Putin.

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 роки тому

    Hawa jamaa salute kwao kwenye mitandao wanatumia majina gani

  • @angelmwaimu3676
    @angelmwaimu3676 2 роки тому

    Sio kila msomi anaujuzi wa kuchambua siasa, ww unaleta wasanii au doctors ndo wachambue masuala ya kimataifa, umezibgua sana, chungulia azam na baadhi ya media hata mbele, kuwa serious

  • @danielmweta8716
    @danielmweta8716 2 роки тому

    Ongea kingereza au kiswahili! Mbona mnajiendekeza sana na miluga ya watu

  • @ChristopherNjaiko
    @ChristopherNjaiko 19 днів тому

    Tatizo mnaegemea upande mmoja hamjui kuchambua

  • @animalchannel296
    @animalchannel296 6 місяців тому

    dj smaa unajua kaka

  • @user-mn9nz4mg4v
    @user-mn9nz4mg4v 5 місяців тому

    Mbona amueleweki😢

  • @davidbochela1441
    @davidbochela1441 Рік тому

    Rafiki zangu..hii kingereza sielewi..nini kinatafsiri humo kichwani...sio sawa.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 роки тому

    Awana Kazi Awa

  • @VictorAllex-vc6dw
    @VictorAllex-vc6dw 10 місяців тому

    Yani kama propa ganda anaweza amna mtu anaweza avamiwe aseme anasalenda ata nchi na wananchi wake wanamuona ana akili

  • @user-dn2ic3jg5s
    @user-dn2ic3jg5s Рік тому

    Profeasa.ali.magema.anasema.mchina.ali.sema.atamsaidia.mrusi
    VIP.jee,.anamsaidia

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg 5 місяців тому

    Wewe wapikilia gutoha ni kwogesa my friend Putin ataichiwa sia nikwambie atasapua Kama mtoto Putin alifikilia wiki mmoja aukieda Sana wiki mbili Sasa Mika mbili

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 роки тому

    Tumejifunza saana

  • @isackmtepa792
    @isackmtepa792 2 роки тому

    Ongea kiswahili tu wew unachanganya changanya wa tz sijui mkoje

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 2 роки тому

    Kwenye kuongea kingereza mnavigugumizi rugha gongana sasa kwanini mnalazimisha ongeeni kiswahili maana ata icho kingereza kama cha watoto wa shule za vidudu

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 8 місяців тому

    Zelensky ni myahudi na mhuni na jasusi wa marekani, kazi yake ni kuiharibu ukraine

  • @shaabansulaymaan4478
    @shaabansulaymaan4478 2 місяці тому

    Mnaboa ,mchambuzi anaulizwa hiki anajb kile
    Viingereza uchwara viiiiingi
    JIKITEN KWNY MADA ILIYOPO MEZAN.
    CHAGUEN LUGHA YA MJADALA.

  • @isayamgazaTZ
    @isayamgazaTZ 2 роки тому

    Sijaona point ya maana waliojibu hao jamaa walio hojiwa,, na wameulizwa maswali kidogo sana lakini nimeambulia kusikiliza sauti kigugumizi tu,, mwana midia kawauliza vizuri na maswali yake yalikua madogo sana ila hao jamaa wanao yajibu hamna kitu, ni kigugumizi tu kimewajaa. Na hawajajibu point yoyote yenye maana,,

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 2 роки тому

    Jinga

  • @user-fn4ot8yj5d
    @user-fn4ot8yj5d 5 місяців тому

    Mnazinguwa nikingereza kingi wakati mpo tanzania mnaboa

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy Рік тому

    Haruna ISSA, Tumieni kiswahili zaidi

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 2 роки тому +2

    Huyu mchambuzi ni msomi tu amekariri lakini mtizamo wako nje ya kusoma ni mdogo.haelezi mtizamo wake binafsi maana Hapa urusi inaenda kuuwawa kiuchumi na mchina kawekwa mtegoni Ili adhoofishwe kiuchumi maana mchina na mrusi zimekiwa zikisaport nchi zinazopinga marekani na washirika wake.ukrane kawekwa kama chambo tu lakn mrusi anaenda kufa kabisa kiuchumi

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 роки тому +1

      YY ajali hilo lakin sio kwamb alioni

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 роки тому +2

      Ww unajua sna kuliko wa Russia wenyewe we angalia mwishowe unakuwaje acha kkurupuka

    • @samkitwima7933
      @samkitwima7933 2 роки тому +5

      Tafiti zinaonesha Russia maisha yamekuwa Bora kuliko hata kabla ya Vita kwa raia. Urusi haiitaji ulaya Ila ulaya iniitaji Russia. Idiot

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому +1

      unadhani urusi akurupuke tu afanye vita kibwege? hawezi kufa kiuchumi acha wenge.na uwe unapiga mswaki unaonea youtube nzima inanuka 😅

    • @musakalangahe6876
      @musakalangahe6876 Рік тому

      Bila shaka hauna taarifa za kutosha. Ungefahamu kwa undani ungejua kinachoendelea

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 2 роки тому

    Kiswahili hamujui kiswahili na kingereza mnawakera wasiojua kiswahili

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 Рік тому

    Mimi nina swali moja
    Ulisema kuwa vita ya kagera vya Uganda na Tanzania ilikuwa ni.proxy war, hebu tueleze vipi hiyo proxy war ilikuwa vipi?
    Swali jengine let define what is macinaries?

  • @RashidMohamed-i4z
    @RashidMohamed-i4z 4 дні тому

    Nawapata kutoka kimara

  • @enockzuber1860
    @enockzuber1860 2 роки тому

    Tafuta wengine uyo nyeupe ubraza men mwng....

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 2 роки тому +1

    Zalesksy akichana kupigana hakutakuwa na Ukraine tena na mrussia akiachana hakutakuwa na vita tena,wanatakiwa tu wakae waongee yaishe

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 3 місяці тому

    Unaongea lugha gani mbona hueleweki acha utumwa

  • @mussaameir2330
    @mussaameir2330 2 роки тому

    Tiuache ujinga wa kuchanganya lugha

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg 5 місяців тому

    Wewe unaona Putin sujaa nakini ujui NATO Wana pisanini juma ya pasia urusi anatumia garama kubwa katika Vita wewe wabikilia akidhobika itakuwa Nini atabigua paka kwake

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Kiukweli hii mambo ya vita sipendi

  • @abdallahomary5032
    @abdallahomary5032 2 роки тому +1

    Hawa jamaa wanavingi sana vya kutuambia
    Ebu wafanye kipind kingine please

  • @timothpius3310
    @timothpius3310 2 роки тому

    Pamoja sana

  • @victarallex4379
    @victarallex4379 Рік тому

    Uyo jamaa ahaache uongo ko na nyerere angesalenda kwa idiamni asitudanganye uyo wa kwenye sofa yeye analinda nchi yake na watu wake wasitawaliwe hile ni nchi uru kingereza kingi ila muongo kwenye vita watu kufa miundombinu kuaribiwa kitu cha kawaida

  • @enockzuber1860
    @enockzuber1860 2 роки тому

    Wachagua lugha yk ongea....

  • @sosom14
    @sosom14 2 роки тому

    ❤️❤️🙈🔥

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 2 роки тому

    Utaendaje deeper wakati udeeper hatuoni

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 Рік тому

    Mue mnachagua kitu kimoja km kuongea lugha za kizungu muongee kizungu km kiswahili muongee kiswahili hp mnawatenga baazi ya watu kupata uelewa sabubu luhga gongana

  • @jackiembithe143
    @jackiembithe143 2 роки тому +1

    How can you give up on your people?

  • @dreamerdream4585
    @dreamerdream4585 2 роки тому

    dj sma uko vzr sana

  • @user-nx3do1wy2o
    @user-nx3do1wy2o 10 місяців тому

    Nakwambia kama yule pligozini kafa ukikosea nikifo tu akuna ushaidi atajisaau tu

  • @shabajims2966
    @shabajims2966 Рік тому

    🤣🤣🤣iyo tafsiri yako haieleki.nawenyewe wanajuwa wakiyiweka wameingiya vitani na urussi. Nawenye hawawezi kupigana na urussi.

  • @user-nx3do1wy2o
    @user-nx3do1wy2o 10 місяців тому

    Wanacheza na akilli zenu na amepewa sumu badi kazazi kgb mtu kafa ajijui

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 роки тому

    Vingereza vingi vichogo sifa 😀😀

  • @EdigerMasuva
    @EdigerMasuva 6 місяців тому

    Uyo jamaa mweny shat nyeup hawezi uchambuz anabisha vitu vinavyo onekan San sijuw vita hivyoalikuwa hafatilii et Kam mweziy dj sm

  • @VictorAllex-vc6dw
    @VictorAllex-vc6dw 10 місяців тому

    Yani uyu jmaa dj simali muongo mpka naona aibu mm

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 7 місяців тому

      Wewe ndo mkweli pumbavu wewe😂

  • @joshuabryson8044
    @joshuabryson8044 2 роки тому

    Raisi alitakiwa kukubali yaishe ni ujinga kushindana na MTU asiyemuweza na waliosema watamsaidia wamemtosa

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 2 роки тому

    Kwa Tanzania hat uwezo kwenda kumdaidia xerensichky.