SHEIKH AIBUA HOJA NZITO MSIBANI WALIOMUUA ALI KIBAO HADI AKAPIGIWA MAKOFI - ''NI MAPROFESHENO HAWA''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • SHEIKH AIBUA HOJA NZITO MSIBANI WALIOMUUA ALI KIBAO HADI AKAPIGIWA MAKOFI - ''NI MAPROFESHENO HAWA''
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 91

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 днів тому +6

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 7 днів тому +11

    MASHA ALLAH..... UJUMBE MZITO SANA HASA KWA WAHUSIKA KOKOTE WALIKO HAKUNA MKUBWA KULIKO ALLAH

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 7 днів тому +7

    Uyo shekhe yuko vizur sana ana hekima ya uongeaji

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 7 днів тому +15

    Sasa hawa wasiojulikana huku wameingia kubaya, hao masheikh wa Tanga nawajua vizuri sana, habari yake tutaipata soon nawambieni, Allah amrehemu marhoom Ally

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 7 днів тому

      Mimi nataman sana sana wafanye dua iwapuruse wote walio shirking haya mauawaji

    • @safiaothman5175
      @safiaothman5175 7 днів тому

      Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin

    • @rehemashabaniameen
      @rehemashabaniameen 7 днів тому +2

      Naamini itasomwa dua takatifu ili wasiojulikana tuwajue,watu wa Tanga tuwapole sana ila unapofika sehumu sio ndio tunafanya mambo hayo wasubiri kuokota makopo sasa

    • @ElizabethFumbuka
      @ElizabethFumbuka День тому

      Anaongea Kwa pozi ila ujumbe umebeba hikma

    • @paulmalula8590
      @paulmalula8590 День тому

      Huyu shekhe ana maumivu makali sana ila ongea yake kama utani tuu

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 7 днів тому +4

    Golikipa wa Cosmo Politan,Shariff Mohamed mashallah

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 7 днів тому +12

    Wauwaji wanajuulikana sababu wako miongoni mwetu tujue Mungu yupo na maisha ni mafupi sana angalia wako wapi waasisi wetu Nyerere karume mkapa mwinyi magufuli sefu wema ndio utakao tuokoa kesho mbele ya Mungu

    • @samwelandrew3852
      @samwelandrew3852 7 днів тому +1

      Duuh

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 днів тому +1

      Makufuli usimtaje magu ndo mwasisi wa wasiojulikana

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 7 днів тому

      Subhana Allah ​@@robertphilip385

    • @FrankChalula-hz6dn
      @FrankChalula-hz6dn 7 днів тому

      Sio kwa ujinga kama huu​@@robertphilip385

    • @christinainnocent3184
      @christinainnocent3184 7 днів тому

      Magufuli ndio aliyeanzisha hii laana aliua na Mungu akamjibu afe yeye kwanza na uraisi wake aliekufa mchana jua linawaka shetani

  • @abdallahomary9614
    @abdallahomary9614 7 днів тому +1

    ALLAH ndio Mwenye nguvu madhubuti tunamuomba awangamize wote waauwaji na watekaji Mwenyezi Mungu waangamize wateketee ktk moto wa jahanamu

  • @JojinaKabogo
    @JojinaKabogo 3 дні тому

    Jamani

  • @mosessolo7387
    @mosessolo7387 7 днів тому

    hawo wauwaji waliyo Fanya huo ukatili kukatisha maisha ya mzee wetu..kwakweli tuongame pamoja hawo watu wajute katikati maisha yao yote mpka kufa

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 7 днів тому +6

    Kwa maovu haya yanayoendelea nchini nadhani tulikosea sana kuingiza nchi vitani dhidi ya Idd Amin. Maovu haya yanayotendwa na serikali yamezidi hata yale ya Amin. Tulimsingizia tu

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 7 днів тому

      Ujinga wako umezidi kimo

    • @f.a6043
      @f.a6043 6 днів тому

      ​@@samsonhamery3809😂😅😂😅😂

  • @sihabanassoro5094
    @sihabanassoro5094 7 днів тому +2

    Allah ndio mjuzi. Dhulma inazidi.

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 5 днів тому

    Waliomuua walaaniwe na wanaoshirikiana nao walaaniwe na mwenyeenzi MUNGU, maiti zao ziwe mizoga waliwe na ndege wasipate hata heshima ya kuzikwa😭😭😭

  • @JohnJohn-gm7yb
    @JohnJohn-gm7yb 7 днів тому +1

    Mashehe hapo ndio pa kumlilia mungu dhidi ya wauwaji

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 День тому

    Wekeni namba ya simu tusaidiane kwa dua tumshitakie Allah

  • @khadijabuberwa3362
    @khadijabuberwa3362 7 днів тому +2

    Aise Yani kumbe nimambo yasiasa wanatafuta uruma mama usiwaacha wanatafuta kukuangusha wenyewe wanauwana na kutekana kusudi waichafue serikari yako mwenyezi kujua ukweli ni mungu na mareemu awa watu wachadema awaaminiki wachunguzwe wanaatari mama usikubari kuyumbishwa

    • @SaidiMiraji-lk3vm
      @SaidiMiraji-lk3vm 7 днів тому +3

      Inaonekana unafahamu mengi itabid usaidie Jeshi la polisi

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 6 днів тому +1

      Watu wangne sijui wanawaza Kwa kutumia nn kichwa au makalio

  • @HajiSeleman-m7e
    @HajiSeleman-m7e 7 днів тому +1

    1:36

  • @MuhammedMamboleo
    @MuhammedMamboleo 7 днів тому +3

    Isomwe alibadiri

  • @ONESMOFAUSTINE-o5l
    @ONESMOFAUSTINE-o5l 4 дні тому

    4:02

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 6 днів тому

    Walo ua c wt w kawaida huenda Allah atusaidie hatuwawez wana silaha wa me teka basi,lbda Allah tu laanahtullah hao MUNGU tu,

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 7 днів тому +1

    Samia watwana wanakuharibia hao tumbua waziri na igp hawana maana pesa moja

  • @japhetnyese2285
    @japhetnyese2285 6 днів тому

    Jamani wauwji nyie mnakwenda wapi? Mtazikwa mbinguni? kwa Kazi zenutaripwa , wote tumeumia , poleni sana familia ya marehemu. Polen chedema.

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 5 днів тому

    R.I.P

  • @daudmbongo7526
    @daudmbongo7526 7 днів тому

    Karudi baba mmoja

  • @omarmussa5130
    @omarmussa5130 6 днів тому

    Tunaiga manasara kwenye maziko ya kiislamu msiba mkubwa huu

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 6 днів тому

    Mheshimiwa Rais umewalemaza sana wateule wako. Badala ya kufanya kazi kwa weledi na bidii, wanabaki kukusifia tu na kuacha mambo yanakwenda ndivyo sivyo. Wananchi tunaona Ila wewe unashindwa kung'amua mitego ya wateule wako. Ugaidi wa kuteka, kulawiti na uchafu mwingine vimeapakaa nchini.

  • @jumahafidh7615
    @jumahafidh7615 7 днів тому

    Sheikh Unapomuamini Allah ina maana yakuwa unaamini Sifa na majina yake. Moja ya jina la Allah ni Hakim

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 4 дні тому

    Duu mzee aliposema hawa hajuliki ss wajulikane ukichunguza kwa kuangalia vizuri imekuwa tishio la ukweli kwa lema ameshituliwa kwa hio kauli ya wajulikane ukweli unaonyesha mohd kauwawa ma watu wa chadema

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 7 днів тому +1

    Albadir isomwe jaman tupumue😢

  • @RashidiNgolla
    @RashidiNgolla 4 дні тому

    hakika hakuna Bina Adam atakae ishi milele juu ya ardhi hii leounamdhulumu mweizio uhaiwake na hujui Kesho yako bas tumuachi mugu

  • @ianak4
    @ianak4 6 днів тому

    Kwa hiyo hiyo kurjuani haistahili kutumika kwenye mambo haya?

  • @pascalmakondo7976
    @pascalmakondo7976 7 днів тому +1

    Ila chunguzeninpia huo hua mchezo wa chadema na kama ndivyo tutakua na chama cha magaid

  • @EmmanuelMathew-rb3hs
    @EmmanuelMathew-rb3hs 6 днів тому

    Kwann mashee wasi wazoomew watu hawa albadil nao

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 7 днів тому +2

    Hpo imetumika hekma ya uongeaji safi san

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 7 днів тому

    Hao walio uwa hawajui kama tutakwenda hesabiwa kwa kila kitu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 7 днів тому +4

    Sasa umeleta siasa msibani vipi wasipige makofi? Mzikeni ndugu yetu na kumuombea dua Allah amrehemu

    • @crptochanel
      @crptochanel 7 днів тому +2

      Asiposema msibani akasemee wapi. Hivi wajua sababu ya kifo cha mzee wetu?

    • @ConsolataWilla
      @ConsolataWilla 7 днів тому

      Huyo n miongoni wa wasio julikana

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 7 днів тому

      Siasa ipi kaleta? Hivi kuteka na kuua kumbe kwako ni siasa!

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 7 днів тому

      ​@@ConsolataWilla😂😂😂

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 7 днів тому

      Anasema Kwa uchungu Kwa sababu haya mambo yamezidi sana hapa nchini. Allah atustiri yaarab

  • @yahyamalolo3202
    @yahyamalolo3202 7 днів тому

    Hivi Sasa hivi Tanga kumepoa zamani ingekaliwa Itiqaf wahusika nao muda si mrefu wangemfuata marehemu Sasa naona sijui Nino kimeingia

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 7 днів тому

    Mhhh masharifu hao hiyo niqchieni mimi .subirini jibu

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 7 днів тому +1

    Isomwe Albadiri mujaraabu kbs 😡😡

  • @twalibulomy-cd4zd
    @twalibulomy-cd4zd 7 днів тому +1

    Hiyo meza y Machadema inajua inachofanya. Wavunja amani, wanachochea ubaya kwa police. Ila watajua hawajui 😂

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 7 днів тому +1

      Kweli

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 7 днів тому

      Hali ya kuishi ni ya kila mtu kuwa chadema sio sababu ni ya kuuwawa.

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 7 днів тому

      @@hopefully7090nan anawauwa pumbu wazi ww. Acheni kujitejenya nakucheka wenyewe. Izo drama peleken Kenya

    • @user-fo5my5pe3b
      @user-fo5my5pe3b 7 днів тому

      Tatizo mnaangalia sana uwana chama ndio mana tunauwawa hamuamini vinavotokea mtihani acheni ayo mambo tufokas na hii mitihani inayotokea vo tutaimalizaje vp itaishaje vp wanaofanya haya watajulikanaje au watapatikana vp .mumekalia chadema chadema ok hao waliouwawa watoto ni chadema? Hamjiulizi?

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 7 днів тому

      @@user-fo5my5pe3b ni wa Tanzania wenzt, lakn Machadema wamevamia mtumbwi. Wanatumia kwafaida yao kisiasa na tnacho pinga. Co kustress wanachi na kuwa pandkza chuki juu yamamlaka na police.

  • @user-mg6hn6os6y
    @user-mg6hn6os6y 7 днів тому +1

    Madhambi aliyoyafanya Samia na genge lake ni makubwa kuliko Marais 5 waliopita.Malipo ni duiani,akhera ni hesabu.Adhabu za Mungu zitamuangukia Samia na genge lake wataangamizwa kama Firauni.● Mutakaosoma comment hii semeni " AMEN".

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl 7 днів тому

      Kuliko yaliyofanyika na magufuli

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 6 днів тому

      Ameni mdhalimu rohoni hawezi kuufunga rohoni hana budi kuudhihili kwa matendo yake hapo ndipo neno la mungu huwa kweli ya milele huwezi chuma zabibu katika mbaluti wala embe katika mchongoma

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl 5 днів тому

      @user-mg6hn6os6y Ww acha chuki zako izo sema ukwel. Hii Dunia tu usisahau kila unalosema kua linaandikwa. Hivi nikukumbushe mm historia ya Tanzania tangia anaanz kukaa nyerere. Bas huyu nyerer tu ameshaua watu kibao ktk utawala wake wakiwemo mashekh. Wasomi mbalimbali. Alikua anaishi kibepari. Ukikutwa na baskel inakamatwa. Ukivaa nguo nzr Kosa. Hakuna ruksa ya kumilik vitu vya thaman Mara unanyongwa. Tukienda Mkapa kama utakua mfatiliaji mzur wa chaguzi hebu kumbuka uchaguz wa 1995. Ukiza pemba kulitokezea nn. Amn usiamn alituma majeshi wake wa Kivita na kwenda kuwaua kwa herikopta kama movies. Walikufa malaki ya watu wasohatia. Na ni raia wa Tz inayo tunayaisema.
      Magufuli hivi umesahau alivyofanya. Aliteka watu wa ngap hadi hii leo hawajulikan walipo. Vp kuhus kesi ya tundulisu Nani kahusika. Kutekwa kwa viongoz mbali mbali wa siasa. Mpk wa Chama chake mwenyew cha CCM. Amini usiamm magu mnamtetea kwasabb ya ubara wa uzanzibar lkn utawala wa magu ulikua hauna heshima hata kwa viongoz wenzake. Alishindwa kuwaheshimu aliwapakazia kila penye watu kama alitak sifa. Alifungia vyombo vya habar ving sana alikosesha haki zao. Sasa hivi mumepewa kiongoz muadilifu mnaanz kueka kelele. Tundulisu hakusubut kuja Tz uhai wa magufuli. Leo yupo nchini kwao yoote kwasabb ya uyo uyo mbaya wenu. Si kila jambo linalofanywa na serikal ninafanywa na Mama. Wengin wanatak tu kumchafulia basi...

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed День тому

      Huwezi juwa , adhabu ya dhana mbona husemi, kwani umeona mama Samia hamuogopi Allah. Na wewe pia utatoa ushahidi kesho kwa Allah kwa ulisemalo. Hili tumuachieni Allah ndie ajuwae . Lakini sisi tuingia dhabini kwa dhana zetu.

  • @japhetnyese2285
    @japhetnyese2285 6 днів тому

    Mkifa bwana wa mbingu ataztenga roho zao kuzifanya za mijus na vindege vidhifu katika ulimwengu viumbe, jihadharini namatendo yenu mbaya hukum ipo !

  • @user-wl9lx4fi9q
    @user-wl9lx4fi9q 7 днів тому

    Ombeni dua waliohusika wawe vichaa

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 7 днів тому

    Kuna sababu sio bure msilaumu sana

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl 7 днів тому

      Sheria zimewekwa hata kama mtu anamalosa hawez kufanyiwa unyama hivi

  • @JohariYasinn
    @JohariYasinn 6 днів тому

    😂😂😂

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l 7 днів тому

    Analeta siasa kwamana huyo kauawa

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 7 днів тому +1

    Tatizo watu wanaleta siasa msibani na kutafuta umaarufu

    • @yothamgwanika9530
      @yothamgwanika9530 7 днів тому +3

      Tatizo alie fariki ni issue ya siasa so lazima iongelewe.

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 7 днів тому +4

      Tazama mazingira ya kifo na aliekufa.! Siasaunaikwepa vp hapo bwege wewe.!?

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 7 днів тому +1

      Hakuna anaetafuta umaarufu! Labda wewe! Hao viongozi wa vyama na viongozi wa dini wanaongea ukweli! Kama umeelewa mazingira ya kifo huwezi ongea ujinga! Tafakari!

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 7 днів тому

    Yaani uwe na chama au usiwe na chama jamani mtu kutolewa kwenye bus afu pingu afu aokotwe amekufa serikali ipambane mpka wapatikane Hawa kwa vyovyote kinyume na hapo haleti picha kwa taarifa letu nzuri

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 7 днів тому

    Mi naona shida ni siasa tu apo ndomana ad msiban watu wamevaa mavazi yanayowakilisha chama flan cha upinzan, msiban watu wanapiga makofi astaghafillah

  • @BashiruMchelenje-zs3fs
    @BashiruMchelenje-zs3fs 7 днів тому

    Mbona hotuba nyingi ni zakisiasa? wamesahau duwa kwamarehemu!.

  • @japhetnyese2285
    @japhetnyese2285 6 днів тому

    Mkifa bwana wa mbingu ataztenga roho zao kuzifanya za mijus na vindege vidhifu katika ulimwengu viumbe, jihadharini namatendo yenu mbaya hukum ipo !