Hatma VITA ya URUSI vs UKRAINE! PUTIN na Usaliti wa WAGNER, Dj Sma na Jimmy Chansa wakutana tena (3)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 150

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Рік тому +11

    Hii ndiomaana ya kipara,wenye vipara tujuane.big up Dj Sma,maroon suit atakuwa muhaya,ujuaji bila facts uwaga ni kelele kwa wenye maarifa.

  • @RomeoCryptos
    @RomeoCryptos Рік тому +9

    Dj sma anajua sana, anaogea kwa facts

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 Рік тому +4

    Kichwa cha Dj sma hakikwenda shule kupoteza ada very smart 👌 🇿🇦

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Рік тому +7

    From 🇧🇮🇧🇮🖤 dj sma unanifaliryi wemakoti wenmbwa pumbavuzako😂 gonga 👊👊 mwanaurusi

  • @imranihussen5764
    @imranihussen5764 Рік тому +5

    Dj Sma mtu makini sana🙌

  • @godwinchristian5252
    @godwinchristian5252 Рік тому +2

    Dj Sma ni man and half ❤ anajua mpaka anakera😅😅

  • @KuwakuMalumba6895
    @KuwakuMalumba6895 Рік тому +8

    Dj iko the best 👌🏿 kila siku. Ana ogeya point every time 👉🏿. Dogo anajitaidi kidogo leo. Mimi nazani Final wata ogeya tu. Kwa sababu America 🇺🇸 na Europe 🇪🇺 maisha yana kuwa mangumu kila siku😢 let wait and see 👀 what next. War nigarama kila siku! Soon or later 🤔 wata ogeya tu. MUNGU Ibariki dunia. Tuhishi na amani kila fasi. Business how long🤔 America 🇺🇸 na Europe 🇪🇺 wana sale guns to Ukraine 🇺🇦 uku waki itiya madeni!!! Let wait ✋🏿 and see 👀 what gonna happen!!!

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Рік тому +2

    DJ Sma upo vzr

  • @catherinejohon1282
    @catherinejohon1282 Рік тому +5

    Jamaa wa suti anqzingua kinyama sana hizo point zako n zqm2 wadarasa la 4 A au lqsqba 7 A mana hwa jama ndo wanapewaga nafasi kubwa na walimu wa sayans laki wakina dj smaaa wenye madin yao ndo wanao pendwaga na walimu wa stadi za kazi na ndomana anaongea fact nyingi hongera sana dj smaaa ndomaana dj smaa hajavaa suti

  • @kennedymafole
    @kennedymafole Рік тому +3

    kama umekubali kuwa dj sma ni maana ya dj smart gonga like hapa😉😉👍🏼

  • @mohamedchilambo6365
    @mohamedchilambo6365 Рік тому +2

    Mm nasema wote wako sawa nimependa chemistry yao,ww unaosema dj sma hapo hayupo mwenyewe kila mtu ana point yake,isije mkauwa hii combination bado tunaitaj kuiyona.

  • @Sea_world349
    @Sea_world349 Рік тому +3

    Dj sma you are very smart you talk with facts ❤

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +5

    Wagner itakuwepo Urusi hadi mwisho wa Urusi kwa sababu lipo ndani ya Serikali ya Urusi

  • @erickericsson3584
    @erickericsson3584 Рік тому +6

    Dj sma tupo pamoja ❤❤❤

  • @ezekielialen7395
    @ezekielialen7395 Рік тому +4

    Uyo alievaa suti ya kipaimara anaonekana anafuatilia BBC sana

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 Рік тому

      Hahaha lofa kweli wewe 😂😂,afu kanogewa na anachokiongea Mr upara 😅

    • @tiffanyakramJr822
      @tiffanyakramJr822 Рік тому +1

      Dogo mtabiri wa kweli.. Dadeq😂😂😂😂😂 kunywa soda afu nipe namba nikupe maokoto yako. 😅😅😅 Huyu Jimmy ni shabiki wetu kwa dj sma

    • @youngpaincompany1440
      @youngpaincompany1440 Рік тому

      😅

  • @Mutubure
    @Mutubure Рік тому +5

    Jamaa wa suti ayo yanaoneka sio mambo yake nikujilazimisha tu 😂

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 Рік тому +6

    Jamaa wa suti sku ingne pls uje umenyoa nywel zote hoply utaongea vzr kama Dj maana kwwll hauna fact af wafananisha nchi ya urus na Sudan 😂

  • @nayadmason6015
    @nayadmason6015 Рік тому +2

    Big up dj sma and Africa we stand for putin 🇷🇺❤

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 Рік тому +3

    Huyu mwenye koti la maarun anajua lakini bado anahitaji kujifunza zaidi yuko nyuma sana kimtazamo , Ukraine 🇺🇦 wana jidifendi kwenye nini?wakati wao waliandaa opareshen akaunta ofensi? Anae jidifendi ni Urussi kulinda maeneo alio yachukua,

  • @Hamad-gy2og
    @Hamad-gy2og Рік тому +1

    Dj sma no 1 uk vzur👏👏

  • @luisjorjodiaz6450
    @luisjorjodiaz6450 Рік тому

    Huyu jamaa anachekelea Putin kuanguka!! The only super power who has funded not only money but his blood to the African revolution.. Amaa kweli Waafrika kuna ulazima wa kutumika mijeledi kuelewa penye uelewa..
    Mwenye suti ni mfwatiliaji tu na sio mtu wa facts.. Big difference between a fan and a theorist.. Big up my bold brother..

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 Рік тому +1

    Vita vya Mashariki na Magharibi.
    Maandiko.Piga uwa.
    Ufalme wa mungu usimame.
    Amin.

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu Рік тому +2

    Dj Smaa anaongea Kismat Sana kuliko huyo jamaa anabwabwanya

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 Рік тому +1

      Tuwe na kauli Rafik kdg jaman naye anatufaa kwa namna flan

    • @EliyaUhaula-ck3pu
      @EliyaUhaula-ck3pu Рік тому

      @@shenamtukufu1224 Au na wewe Uko Upande wake Nn

  • @samweljuma585
    @samweljuma585 4 місяці тому

    sma uko sawa kaka hongera sana.

  • @saibuhassan2068
    @saibuhassan2068 Рік тому +4

    Naludia putin alipanga uasi wa wagner ili awone maadui zake watafanyaje. Kwani lile tukio lilidumu masaa 12 tu

  • @nyemondagalla608
    @nyemondagalla608 Рік тому +6

    Walio tuaminisha akili ni nywele walitudanganya, jamaa ana upara lkn anamadini,
    Vp kuhusu Suti😂

  • @casbertemilllian739
    @casbertemilllian739 Рік тому +1

    i don't like capitalism that's way i hate that side of Ukraine ... dj smash on air.... love you bro

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 Рік тому +1

    Dj smaa da best chairman of fact

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    We jamaa kipara ni nomaaa kwa uchambuzi unajua sana

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso Рік тому +3

    Suti kalishwa umagharibi ushoga putin yupo kupinga ushoga na uhuni kama wa huyu jamaa masuti . Ubishoo mwingi ishara kuliko uhalisia. Kifupi huyu masuti ni mpenda ushoga. Nasie sera za magharibi mwambieni hatuzitaki. Puttin uraaa kanyaga manyangu kama hili

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому +1

    Dj smaa huo mto unaitwa mto demitri

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +3

    Jimmy Chansa anaweza kuipa nchi yaka Tanzania kwa Marekani kama Zelensky nasepoti sana Marekani

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso Рік тому +2

    Wulizeni huyo masuti anapenda nn? Kati ya Ushoga na maisha ya kimungu anapenda tuishi maisha yapi!?

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 2 місяці тому

    Pamoja sana mtalamm smaa

  • @nasserrostom6340
    @nasserrostom6340 Рік тому +1

    Dj sma wee mwamba

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    Safi sana kwa uchambuzi

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому +1

    Dj smaa uko vizur brother

  • @vallery7686
    @vallery7686 Рік тому +3

    Hawa vijana nimewapenda bure kuwa na uwezo mkubwa ktk mambo makubwa za kimataifs HONERENI SANA VIJANA

  • @majaahmad7797
    @majaahmad7797 Рік тому +1

    Dj sma au mr fact nakuelewa vzuri mkuu

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba5170 Рік тому +1

    Nawapata kutokea Karagwe Kagera.

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 Рік тому

    Dj Sam tunakuelewa sana

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 Рік тому +1

    Smaa mpe darasa huyo dogo yan hakuwez kwanza Hana fact kabisa

  • @brunotarimo4787
    @brunotarimo4787 Рік тому +1

    Nawakubali sana. Nikiwa gikombaa Nairobi

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd Рік тому +1

    Nakubalii uchambuzi. Dj dj Dj Sma aisee ni mtaalam. Huyo Jimmy anatudanganya. Zelensky hajafikia hata ya robo ya popularity ya Putin

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 Рік тому +4

    😂 wasuti kwa kwel kama anasoma hiz coment zang kazngua hana madin zaid yaa ushabik kwa kwel

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    👊✌️👍.

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 Рік тому

    Madini sana

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 3 місяці тому

    Huyu jamaa akiwa waziri wa ulinzi mambo ya naweza kwenda sawa

  • @hamzahuseni2555
    @hamzahuseni2555 Рік тому +2

    Dj sma tujuane

  • @gonanzaro5580
    @gonanzaro5580 Рік тому +1

    Safi sana brothers

  • @athumanmwandzephe2488
    @athumanmwandzephe2488 Рік тому +1

    Mkipitia pbd podcast,ndo mtajua kwa nini Putin amerefusha vita n kwa nini Wagner walikuwa hawapewi ammunition kama walivokuwa wanataka,juh hao hawaangalii mbeleni but Putin yuaangalia pande zote...

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p Рік тому +2

    Mzalendo wa kweli Putin ni mwamba imara vikwazo vimedunda, mtu mmoja ktk uwanja wa oparesheni dhidi ya mataifa 60 na amewashinda. Marekani wakishindwa vita utengeneza magaidi, wacha Putin hawanyooshe.

  • @darasibrown6084
    @darasibrown6084 Рік тому +2

    Dj smart ni pep gudiola lanfu gimyy ni arteta😅😅😅😅

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 Рік тому +2

    Unavaa suits halafu huna mawe broo nimatumiz mabaya ya mb zetu😂

  • @anangisyembughi6476
    @anangisyembughi6476 Рік тому

    Yanga

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 Рік тому

    Jimmy Chansa ni makin Sana Hana upande ILA anaongea fact then anafikir Sana

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 Рік тому +1

    Umekubar. Mrus ana technologia nzur nd wagner wangeshinda ssa kamaa kila ktu anapewa na mrus??daaa vingine usiongeee banaa

  • @niyonzimabakari
    @niyonzimabakari Рік тому

    Mtu mana sana Dj Sma big sana

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Рік тому

    Uko vizuri sana Sky

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 Рік тому +1

    Jimmy futa lipustiki mdomoni😲😲

  • @athumanmwandzephe2488
    @athumanmwandzephe2488 Рік тому

    Nilikuwa naomba uyo Jimmy Chans afanye kambe yuapitia makala ya PBD PODCAST na VALUENTAINMENT ndo ataelewa zaidi muelekeo wa vita vya Ukraine,other than speaking things that just rushes in his mind...
    Cause there are open facts and hidden ones but not what he thinks...

  • @harididiuchile9468
    @harididiuchile9468 Рік тому +1

    Sky woka Jimmy bado inabidi umleta mtu kma DJ sma wenye fact na evidency

  • @kilimohub580
    @kilimohub580 Рік тому

    Tuachane na hii vita , lets talk about dp world . I challenge u dj sma tupe abc za dp world , utendaji wake around the world

  • @ISAACPhiri-d4j
    @ISAACPhiri-d4j Рік тому

    DJ smart mi nakuelewa sana huwa ukulupuki yani unachotoa unauhakika nacho siyo huyo jamaa mwingine yupo kiushabiki tu dunia ya sasa wanaodanganywa ni wale wavivu wa ufuatiliaji naitwa daytona daytona

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +3

    Watanzania tujifunze kuandika kiswahili sahihi jamani kwani ninajikuta kuwa sielewi ndugu alichoandika unapoweka namba na vifupi visivyokubalika.Hii ni lugha mhimu nchini na duniani jamani.Tusikichafue kiswahili lugha ya taifa letu.❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Hongera sana ndugu zanguni

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Рік тому

    Ukweli sio sawa urusi kupinga ukrani

  • @kinega1029
    @kinega1029 Рік тому +2

    Sasa kwani hilo kundi la Wagner linatamba si kwa silaha za Urusi tena modern ni mkono wa Putin ndio wanatambulika leo Putin awafungiye vioo kaisha Wagner

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 Рік тому +1

    That's true

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому

    Huyu jimmy namkubali sana yupo neutral ila dj sma ni chawa wa Putin tu ata akiambiwa Putin amefariki atasema ni propaganda za marekani tu.

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 Рік тому

    Jamaa anakichwa kikubwa na kichogo lakin hana akili hata nne 😅😅😅

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 Рік тому +3

    This guy without sout knows exactly what happens In war, the one with the sout is a fan and not a theorist. War strategy of Russia is more superior than that of Ukrain. They are avoiding to cause blames and that's why Wagner will remain forevermore. Ukrain without NATO then it is done. Zelensky is a phylonthropist and Putin is a Warrior, differentiate the two. Ukrain should not brag, it is enforced by the Russian's enemy and USA is advantageous to attack Russia indirectly by Ukraine using NATO.

  • @davidchristopheryoram7811
    @davidchristopheryoram7811 Рік тому

    Huyu jamaaa suti nyukundu hajui analosema😂

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Рік тому

    Nawaelewa sana

  • @barnabasmafuru6735
    @barnabasmafuru6735 Рік тому +1

    Mchina anataka kujenga military base cuba Marekani kawambogo huko hataki😂 iala Neto kuingia Ukraine ni democracy

  • @AllyHilal-rl4ez
    @AllyHilal-rl4ez Рік тому

    Doctor anatolea wapi data zake?

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Рік тому +1

    Wagner hatoweza hata kwa uchawi urusi sio kama Sudan wakijaribu watakufa wote...

  • @AllyMtawa-ub1uz
    @AllyMtawa-ub1uz Рік тому

    Huyu kavaa suti tu Hana anachokijua , anaropoka ropoka tu na kujifucha kwenye kichaka Cha kuchanganya lugha ila kichwani empty.

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 Рік тому +2

    Huyo jimmy anapo furahia sera za ukrain,NATO na USA,ina maana anasapoti agenda na LGBTQ+,na ataendelea kuongea kwa mihemko tuu.Ila dunia nzima inaona kichapo anacho pewa Ukraine hata kama anapewa misaada na NATO

  • @davidnkya3557
    @davidnkya3557 Рік тому +4

    Mwamba ninakukubali sana unatufumbua macho kiukweli na tunajua unatumia resouces zako nyingi sana kupata hizi vitu fanya namna ya ku mobiliz watu tukuwezeshe kaka

  • @Mosessssss
    @Mosessssss Рік тому

    Sky!! Umefanya vuziri kuwakutanisha Hawa Jama it be long time

  • @athumanmwandzephe2488
    @athumanmwandzephe2488 Рік тому

    Na Dj Sma,waongea points kweli but kuna mahaliw wakosea ukisema kuwa kuna uhasama kati ya Prigohzin na Putin kma ulvosema kwa makala yako ya nyuma,mimi na kusuport kuwa hii ni kitu imekuwa planned,coz kama ingekuwa haijakuwa planned then NATO hawangekuwa na wasiwasi kwa Wagner kuelekea Belarus mahali ambapo ni karibu sana na washirika wa Nato...
    NATO naeza sema kua wanajiingiza kwa mipango ya Putin bila wao wenywe kujua...

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 Рік тому +1

    Yaan utawala wa urus waufananisha naa utawala wa sudan 😢😊😅

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому

    Dnipro river jamani

  • @kijokasumu
    @kijokasumu Рік тому +2

    stephan bandera stori yake smaa

    • @djsma255
      @djsma255 Рік тому

      Soon sikudhani kuna watu wanamjuwa

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 Рік тому

    ✌️✌️✌️ dj smar

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 Рік тому

    Baada kusikiliza mazungumzo haya, nini kinachoweza kumaliza vita hivi kwa maoni yenu?

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому

    Pple who speak of zelensky are those who have no idea of what's going on behind the scene

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +1

    Wagner na sana wapo mpakani wa Ukraine kati ya Belarus na Urusi wataka kuchukua Kiev

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Рік тому

    Kwenye counteroffensive huyu shoga kaongea ukweli

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Місяць тому

    Nakwelii hakutoboa

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Рік тому

    Jimy hayupo update kabisa

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 Рік тому

    Kwa sasa online media yenye content poa kabisa ni sns,shout out to sky walker,Msije mkajiingiza kwenye mambo ya kutumika kisiasa

  • @anangisyembughi6476
    @anangisyembughi6476 Рік тому

    Hey merod

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd Рік тому +1

    Uyo mshikaji mwenye suti nyekundu ni Nazi members pro western 😂😂

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому

    So you Ukraine is counter defending himself instead of counter offending

  • @user-hp6eh6oi2o
    @user-hp6eh6oi2o Рік тому +1

    Dj smaa huyo mwenzako anazingua anaongea kwa lafudhi yakuchonga maneno mwambie akaze tumuelewe Kama tunavyokuelewa ww smaa

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 Рік тому

    Ushoga nchi za magharibi, Micro biological weapon-magharibi, heri Urusi sera zake za kijamaa tofauti na USA na magharibi sera zao za kibepari❤

  • @nabaodesigner9449
    @nabaodesigner9449 Рік тому

    Nili comments sikuile, uyo Putin wata murarua. Siasa ya vita akuna anaye ongea ukweli.

  • @mohamedikunchi7165
    @mohamedikunchi7165 Рік тому

    Jimmy nipuuzi kweli yani anamkatiza ata mwenzake kuongea kumbe shabiki maandaz tu