MUSIBA AFUNGUKA MAOVU YA MAKAMBA,KINANA NA NAPE/WANATAKA KUNIUA/KUNA GARI INANIFUATA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 738

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 місяці тому +32

    Musiba pole sana walikuonea. Munyonge hana haki wakakupoteza. January Makamba baada ya haya yote, akapewa uwaziri. Hii ni kuwatapikia watanzania

  • @aliceannasepan9644
    @aliceannasepan9644 Рік тому +8

    Brother musiba mungu akulinde we ni shoka big up huna unafik Kama walio nao wapuuz wengne hawana msimamo mwanaume yakupasa kuwa na msimamo c kunyekea wenye au kuogopa mtu musiba aisee hongera saaaana

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw Рік тому +9

    Hongera unasaidiaje swala la bandari inatuuma sana watanganyika

  • @saidmalata5154
    @saidmalata5154 2 роки тому +2

    Pole sana musiba kwakukosa check and balance
    Hujafa hujaumbika
    Sasa ujifunze kwa kiherehere chako
    Siku zote anaemtegemea mtu badala ya mungu amefeli sana

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 2 місяці тому +8

    Asante sana musiba unatuonyesha viongozi wenye sifa mbaya sana ninachoomba raisi wetu usituletee viongozi wasio waaminifu watatumaliza .

  • @robinchristian3125
    @robinchristian3125 5 років тому +5

    Hongera Musiba na poleni sana wazee. Mwanafalsafa aliwahi kusema historia huandikwa na mshindi.Wazee na vijana wao wameandaliwa mtego wakaujaa kirahisi. Ilikuwa ni kiasi cha kuwasubiri
    wawasiliane kwa simu tu. Sasa tushajua matatizo yetu yote tangu tupate uhuru kasababisha nani! Hizi zote ni harakati. Sio za 2020 bali za 2025. Kuna kambi imeingia kambini mapeeema.

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 5 років тому +15

    Kwa hili nakupongeza sana bro mungu akubarik

  • @kenanmakere5325
    @kenanmakere5325 3 роки тому +4

    Wajumbe mlivyowanafiki bado mnamulewa musiba 2021😀

  • @YusufuDunga
    @YusufuDunga 2 місяці тому +2

    Du nilikosa mda vitu vya ukweli,msiba uko sawa nakukubali sana

  • @georgeerick3140
    @georgeerick3140 5 років тому +45

    ndugu watanzania wazalendo tuseme ukwel wa mungu ktk watanzania wazalendo na waliojitoa kutetea nchi huyu musiba yumo ebu tunamuunge mkono kwa kugonga like hapa kum-suport yan tumtie moyo.

    • @titorazalo2546
      @titorazalo2546 2 роки тому +3

      Brother upo?? Kama upo fanya basi kwenda kumchangia izo bilion 6 mzalendo.

    • @czmediaconsultant5640
      @czmediaconsultant5640 2 роки тому +1

      @@titorazalo2546 Musiba yupo na yuko salama 100% mnaomuombea mabaya kamwe hamtafanikiwa.anakula maisha

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 2 місяці тому

      Hongera bro Musiba

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 2 місяці тому +1

      Mwana wasu simama na Yesu kristo atakuonekea tu kwani msema kweli hupigwa mawe

    • @JosephmwitaJosephmwita
      @JosephmwitaJosephmwita 2 місяці тому

      Muunge mkono mwenyewe huyu msiba ni mhuni,,huyu huyu si ndo alikuwa akiwatukana watz wenzake kwakiburi kutoka kwa magufuli,,

  • @jumamavind7713
    @jumamavind7713 3 роки тому +5

    Asante kaka kwakutufahamisha , sasa watu hao hawana nafasi tena katika nchi hii

  • @AdamuChayupa
    @AdamuChayupa 2 місяці тому +1

    Mungu akulinde na maadui kwakupigania haki ya taifa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +10

    Sana ililiwa sana sasa hivi wananchi wameamka kila alae hii nchi afe

  • @MussaHassani-q8b
    @MussaHassani-q8b 2 місяці тому

    Kk kk unanikosh daa sema sikuanza kukuelewa Leo tuka umeanza namungu ataukulinda na duwa zetu

  • @KafumuBoniphace
    @KafumuBoniphace 2 місяці тому +6

    Hongera musiba kwa hizo nondo.Tunaomba umsaidie Samia wanamsumbua sana watu hawa.

  • @luttumohamedfafara9630
    @luttumohamedfafara9630 5 років тому +15

    Kama namuelewa huyu bwana!! Mmmh,hatari sana.

  • @getrudangoto6742
    @getrudangoto6742 2 роки тому +5

    Amina nimekupata Mr msiba hakika na kweli

  • @sadickmkanda4531
    @sadickmkanda4531 5 років тому +15

    Sema tu baba kuna mijitu mijinga bado tu haikuelewi achana Nayo.

  • @princepiusmutaihwa9606
    @princepiusmutaihwa9606 5 років тому +55

    Kwa kweli nashauri mmojawapo kiongozi mkuu mwandamizi wa CCM ajitokeze hadharani aombe radhi watanzania kwa kulea wezi, mafisadi na walanguzi. Hongera JPM

    • @mo-linehabari9569
      @mo-linehabari9569 5 років тому +2

      Kina Zitto wanasema hao wanaosenwa ndio WEMA sio hawa wasasa

    • @latlailat274
      @latlailat274 5 років тому

      yap

    • @davidraulence305
      @davidraulence305 5 років тому

      Mmh haya bhana

    • @mosaymophosa9567
      @mosaymophosa9567 5 років тому +2

      my friend siasa ni mbaya sana pengine hata huyo anaeongea ni FSD

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 5 років тому +2

      Katika mtu ataingiza nchi kwenye vita ni huyu Musiba. Bada ya Lusifa/Shetani kuona Tanzania haijawahi kumwaga damu ameamua kumtumia Musiba kutimiza lengo lake. Kwa kuwa akili za Watanzania ni finyu sana wanashangilia maneno ya Musiba wasijue huyu katumwa na Shetani kuwaingiza Watanzania vitani. Musiba amekuwa akiwasema watu hadharani asijue kuwa watu kama akina Slaa walikuwa katika vyama vya upinzani. Atuambie yeye yuko chama gani cha upinzani mpaka awataje watu hadharani wakati anajua kabisa hao anaowataja wana familia na wana ndugu. Hivi mtu anapotaka kugombea uongozi nchi hii kitu gani kinamzuia wakati katiba inakubali. Kila Mtanzania anaruhusiwa kukopa Bank hata kama ni kiongozi. Kinachotutesa Watanzania ni kuogopa kukopa. Wenzetu wa kanda ya Kaskazini wameendelea sana kibiashara mpaka kuitwa Mafisadi na Magufuli. Huyu Rais amerudisha wafanya biashara nyuma sana kwa kuwafilisi na kuwasingizia ufisadi. Tanzania haya yakiendelea lazima zipigwe tu. Muulizeni Magufuli moshi uliojitokeza akiwa kusini ulitoka wapi. Huyu amuongezee tu Magufuli maadui akijidai anamfanyia kampeni kumbe anamuongezea maadui. Waache wakuhurumie maana wana Dini.

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 7 місяців тому +1

    Sawia kabisa

  • @MwanahawaMusa
    @MwanahawaMusa 2 місяці тому

    Asante sana baba

  • @Landisy
    @Landisy 2 місяці тому +1

    Ooooi nchi yangu Tanzania kuishaaaaa! Tuende wap cc mungu wangu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Ahsante mungu atakusaidia sana mbona sasa hivi simu zote zinasikilizwa

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 2 роки тому

    Mmmmmh mungu akulinde wewe baba watakuzuru watu wengi binadam wachache ukweli siku zote unauma

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 Рік тому +4

    Amepandishwa Leo hii Waziri mambo ya Nchi za nje CCM mtaleta vita nchini mwetu!!

  • @kuryangamakesenimakeseni2611
    @kuryangamakesenimakeseni2611 5 років тому +30

    Huyu jamaa Musiba naanza kumeelewa, yuko right kabisa!

  • @CharlesMaduka-n4g
    @CharlesMaduka-n4g Рік тому +1

    Kweli bwana

  • @yasinshaban4933
    @yasinshaban4933 5 років тому +15

    Leta vifaa ijengwe reli ziwa victoria 😂😂😂
    Hapo veeepeee

  • @mbarakafitina8255
    @mbarakafitina8255 5 років тому +9

    No comment for me today... We Musiba tukuache2 sababu kama ulivosema haya tunaugeni nayo kuyasikia... Lakini Mungu akutangulie Inshallah.

  • @chrisantgeorge3677
    @chrisantgeorge3677 5 років тому +14

    Jamaa anajiamin sana, huu ndio UANAUME KAMILIO SIO KULIALIA

  • @tembeletadei7136
    @tembeletadei7136 5 років тому +9

    uko vizuri,tupe ukwel

  • @gwaujuma2531
    @gwaujuma2531 5 років тому +7

    Msiba we mnafiki namba moja na ni mtu hatari hata maongezi yako Yana maegemeo upande mmoja na hajui tageti mi naona muogope mungu

  • @zenj1986
    @zenj1986 5 років тому +7

    Dah Musiba. Nakuunga mkono. Wazee hao waje kujibu hoja. Kila mtu atakufa lakini namuombea maisha marefu rais wangu na wale wote wanaotaka kuinyoosha nchi.

  • @lucylyuki4852
    @lucylyuki4852 2 місяці тому

    Hivi hii nchi ni ya watu wa aina Gani? Jifunzrni Kenya jamani ...Ukweli na uwazi ,hao ndio nani .asantee msiba kwa kuwaheshimu nguli wakuu wanchi hii

  • @khalefkhamis9735
    @khalefkhamis9735 5 років тому +8

    Vip Uamsho mbona hawajapata zamana mpaka leo ?

  • @mo-linehabari9569
    @mo-linehabari9569 5 років тому +25

    Ukweli hujitenga na uongo daima. Hongera Musiba kutoka kwenye microphone moja mpaka 20.

  • @babrashabanu7073
    @babrashabanu7073 2 роки тому

    Mwenzangu sura yako Leo iko wap Mana membe yuko hot .January ni wa moto nape wa moto

  • @listerelieza56
    @listerelieza56 3 роки тому +3

    Supiriani majula msiba,nakupa hongela sana kwa yote ulie kuwa unae yasema KILA mala mimi niko tayali nikutafte kulingana na wewe kwa ajiri ya kutetea Taifa letu,naomba niruhusu nikutafte

  • @anethlukuna1474
    @anethlukuna1474 3 роки тому

    Asante Sana nimekukubali wewe ni mwanaume uogopi kabisa

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 5 років тому +10

    Mm nakuelewa sana kaka musiba ......timua vumbi timuaa

  • @HalidiKasimu
    @HalidiKasimu 2 місяці тому

    Ndugu umeiona ya January tu, mbona 1.5 trilion ya jiwe hukuisema ?

  • @MustafaOmach
    @MustafaOmach 2 місяці тому +5

    Mda mwingi SANA sijakuona kwenye midia

  • @isaacsanga6171
    @isaacsanga6171 2 місяці тому +1

    Mama yetu SAMIA SULUHU HASAN RAICE WA JAMHURI YA MUNGANO. AMTEUWE HATA KUMPA UWAZIRI HUYU JAMA ANAUZARENDO WA DHAT NA ATAKUSAIDIA. AMA ANGALIE MAHAL PAKUMUWEKA. MUNGU BARIK TANZANIAN MUNGU BARIK AFRICA

  • @ZwenaSaid-i8y
    @ZwenaSaid-i8y 2 місяці тому +1

    Aliyataka Mama yoote haya matapishi urudie kuyala nikichefuchefu ayaone hayo atahiyo kikwete naye ndio kigogo mkuu

  • @sanyengekiyumbageita9107
    @sanyengekiyumbageita9107 5 років тому +5

    Upo sawa bro

  • @abdallabashili2295
    @abdallabashili2295 2 роки тому

    Mungu akusaidie

  • @philibertlwiwa297
    @philibertlwiwa297 3 роки тому

    Mkuu tuambieee Ss yotehayo tulikuwa hatuyajui😇😇😇😇

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 3 роки тому +1

    Mi nashauri tujitenge tuu mara inne hii inch nikubwa sana imekosa wazaleondo kuiongoza wamebaki loyal familia kufaidika na haki za wengine

  • @peninamafuru9638
    @peninamafuru9638 2 роки тому

    Mungu akutetee naona magu amesimaa umenikumbusha magu baba sema

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 місяці тому

    Tu aomba mhe.utusaidie hili swala la bandari ila Tanzania tuna watu wenye akili sana hongera kijana wangu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 місяці тому +2

    Mama Samia mpe zawadi Musiba na mpende kwa taarifa zake tale yaliyomkuta Msgufuli na wewe yamekukuta Mama umewarudisha lakini wamekusaliti wanataks Urais

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 2 місяці тому

      Margarethpolepole una maana wasingekua wanazengea kiti chake angewaacha tu eti ee! Wananchi tumeshajua ccm hakuna yeyote mwenye kumuogopa Mungu atakayethubutu kuuachia utajiri abaki amepauka!!?

  • @ObedJamel
    @ObedJamel 2 місяці тому

    Ulikuwa wapi sku zote pumbavuuu

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 роки тому

    Wee Jamaa Nakukubali Sana Yaan , Yaan wewe pure Ni Mtanzania Mzalendo Timu JPM , Nakupenda Sana Mimi mwenyewe Timu JPM 4life

  • @sambiaj
    @sambiaj 5 років тому +5

    Jamaa ana hoja nzuri sana

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 5 років тому +7

    mimi sielew kabs sasa kama huku kwetu kondoa hatuelew hata nch inaendaje celew kabsa

  • @sosasoda567
    @sosasoda567 5 років тому +7

    Hongera bwana Musiba.
    Keep it up

  • @leonardmfikwa78
    @leonardmfikwa78 2 місяці тому

    Mr msiba this country msiba mungu akakulinde

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 роки тому

    Kuna msemo 'kuvua watu nguo..ambayo inaeza kua ata shati.. Lakin hii sasa ni kuvua Boxers kabisa.. JE NIA NIKUREKEBISHA NA KUONDOA UFISADI kuonekana mzalendo AU KUDHALILISHA MTU DIRECT?
    Je isingekua busara ungeomba kuonana na wahusika ukayazungumza tu Privately? Ili nao WAPEWE NAFASI ya KUJIBU aya? Badala ya kutumia nitandao tena insonekana zaidi ya 10..

  • @meddyyassin4741
    @meddyyassin4741 2 роки тому

    Alhamdulillah hatupo kwenye hizi zama tena.

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому

    Mh! Wakiisikia hii maskini sijui watamfanyaje na hivi wameshika mpini!

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 5 років тому +14

    Hatukani mtu. Anatuelimisha, hasa sisi wanyonge. Tunamshukuru sana , Endelea Musibaaaaaaa

  • @shabanabdala4265
    @shabanabdala4265 2 роки тому

    Ila kama nikwel haya jamani yasemwayo wenzangu wahali yachini tumuombeni mungu baada ya kifo chetu tupunguziwe kama sio kuondelewa adhabu mana tunateswa na mengi hapa duniani mungu tusaidie waja wko masikini

  • @dbmsoftball8056
    @dbmsoftball8056 2 місяці тому

    Shida huwa unasema yakipita ,hebu uwe unasema wakati wakiwa madarakani mbona wapo wengi waovu na huwasemi??

  • @frankmsasa948
    @frankmsasa948 3 роки тому

    Nakuelewa sana blo musiba hawa watoto waviongozi huawanahis hawafi kwakweli

  • @tafaqurtvtz7669
    @tafaqurtvtz7669 3 роки тому +1

    Kaka hongera unauzalendo mkubwa hongera

  • @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
    @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 2 місяці тому

    Vipi umemlipa pesa za membe?

  • @papafikiri
    @papafikiri 5 років тому +10

    Lushoto imelambwa Bumbuli imetikiswa ...wapi watu wa Mayo na Funta.????

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 роки тому

    Shida viongozi wa ki Africa ni wanafiki sana,wakishiba ugali wanajisahau,halafu wanapeana ugali waokwao,mungu atusaidie,mama anawaapaje uongozi watu kama hao,au hajui

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 2 роки тому

    Asant kwakutetea taifa mungu akulinde

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 5 років тому +8

    😂😂😂lakini cheo kikija ntashukuru mungu...

  • @maxwelmbuna9979
    @maxwelmbuna9979 5 років тому +4

    Hongera kiongozi, ila na sisi tunaweza kutoa maoni yetu kama wewe??

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      Maxwell toa maoni yako wala hukatazwi baba

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      Kiboko hiyo muuza pembe za ndovu kama kweli

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      Mwaga mwaga umezaliwa siku moja na utakufa siku moja kwa kweli huo mtambo uliniathiri sana maana nilikuwa humo ndani nilisomesha watoto kwa shida mshahara tulikuwa tunalipwa shs 5000 tù kampuni ilikuwa inakombwa sana mungu awalaani sanaa sasa wanaumbuka adhabu haiko mbinguni iko hapa hapa duniani

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 2 роки тому

    Leo ni tarehe 09/08/2022.... nachoweza kusema ni 'Siasa OYEEEEE' hahahaha

  • @upgo6112
    @upgo6112 5 років тому +7

    Hahaha fumua bro..Tunakuombea kwa Mungu

    • @emilianimalala9306
      @emilianimalala9306 5 років тому +1

      Unajua watu was ccm siwaerewi na raising wao wajipime

    • @mashakaemmanuel7147
      @mashakaemmanuel7147 3 роки тому

      Kuna kenge anasema msiba ni mchonganishi au wewe nae nifisadi Nini au makamba no mme wake?

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 2 роки тому

    Kweli kweli kabisa mungu anawaona mungu atalipa hapa hapa duniani

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 років тому +3

    Mmmhhh nchi ililiwa kweli Rais amefanyakazi hebu jibuni hoja hizi so painful

  • @johnphatmgaza3816
    @johnphatmgaza3816 3 роки тому +1

    Tulikuwa tunakuona mjinga lakini mmm.pacha magufuri

  • @jeremiah90199
    @jeremiah90199 5 років тому +1

    tunakoelekea n hatar sana lakn haya mambo mbona mwanzo yalikua hayasemwi, mmi nafikiri viongozi mnatakiwa kujipangapo na kanchi huru haka inakuaje mtu akitoa ya rohoni ndio watu wanakuja na mambo haya, hivi wangekua hawajatoa waraka wao mambo haya hayasemwi, ( kuna katatzo hapo)

    • @abdulkarimhamissi3755
      @abdulkarimhamissi3755 5 років тому

      Kklichopelekea mpaka waraka kutolewa ni maneno haya haya musiba haongei kisa wametoa waraka ila wametoa waraka sababu musiba kaongea

    • @saidfundikila6555
      @saidfundikila6555 5 років тому

      Wanafiki hawawezi kuisha huyu kijana anatafuta cheo hakuna jambo alilozungumza bila kumsifu raisi nikweli unachokipongeza lakini usitumie raisi kiwe kichaka cha kutikana watu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 місяці тому +1

    Dunia lazima ukiishi uweke mipaka ya maneno na uweke akiba ya maneno dunia lazma mtu auchunge ulimi ulimi ni hatary katika maisha ya binaadamu

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 2 місяці тому +1

    Hatahivyo huyokinana simtanzania nawala hanauzalendo .sisi tunaponzwa na upolewetu nandiyo utamaduni wetu. tofauti namajilani zetu.

  • @rehemamlowe1464
    @rehemamlowe1464 2 роки тому

    Tunakupenda msiba chonde chonde msiba,

  • @isackmbwambo141
    @isackmbwambo141 2 роки тому

    Hela ya membe ushalipa?

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 2 місяці тому

    Unapo sema utaratibu wa kuleana haupo je hatua kali alizo chukuliwa ni huko kutenguliwa au, mbona mnapo ambiwa habari za katiba yenye ma shiko mnagoma na mko kimya sasa mnafikiri kwakutumia maneno mengi kwenye vyombo vya habari kunaisidia nini,na Taifa linazidi kuteketea ?

  • @jacksonedward201
    @jacksonedward201 5 років тому +10

    Duuu!maneno haya ni mazuri na mazito.mbona haukumsuauri Rais asimteu Mwizi huyu.msaidie Rais mzee

  • @maximilianbiyemotungaraza6422
    @maximilianbiyemotungaraza6422 2 місяці тому

    Uko wapi?

  • @kidodosimichael349
    @kidodosimichael349 5 років тому +5

    Microphone 1 mpaka 20😄😄😄😄😄😄😄
    Kazi kweli kweli!!!

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 місяці тому

    Wewe kama nani?

  • @mkushioriginalsillo5074
    @mkushioriginalsillo5074 2 місяці тому +1

    Tanzania kumezuka Joka moja la kufugwa litasumbua sana.Joka hili linafugwa kwenye shamba linaloitwa ccm

  • @nestor384
    @nestor384 5 років тому +15

    Musiba hawakuzoea waambie.. Na sali nikiombea hawa wote kina January, Kinana nk mkono mkali wa sheria na ukawe juu yao..
    shame on them!!!! Magufuli for life, long live JPM

    • @ramadhanaldawiyya8659
      @ramadhanaldawiyya8659 5 років тому

      Sir:Musiba nakuomba umuambie Mheshimiwa MKINGA nae afuate nyayo zako na UJASIRI.

    • @ramadhanaldawiyya8659
      @ramadhanaldawiyya8659 5 років тому +1

      "Ninyi ni nuru ya ulimwengu,mji(nchi)haiwezi kusitirika ikiwa KIZANI..." Ramadhan aldawiyya from ZANZIBAR

    • @edithazmwasanga7091
      @edithazmwasanga7091 5 років тому

      Nestroy Buyungu Ndugu tureze

  • @ArsihubKimonje
    @ArsihubKimonje Місяць тому

    Weka malengo yko juu ya tanzania,na watanzania ilitufahamiane ndugu

  • @raji3432
    @raji3432 5 років тому +10

    Mwanaharakati anaetetea serikali sijawai kuona maana wanaharakati wanakosoa serikali 😇😇

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 роки тому

      Raji unakosowa serikali kama ina makosa. Kukosowa serikali inayotimiza matako ya wananchi. Serikali ya watu

    • @kabongebugwigwi300
      @kabongebugwigwi300 4 роки тому

      Nate Hugo ameanza zake

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 5 років тому +25

    Hatimae mic zimeongezeka tulizoea mic 1 Mungu ni mwema

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 років тому +1

      Selemani Mkonga haaaaaaaaaa, umeniacha hoi, kwa kweli, ila umaarufu ni shughuli, jamaa katoili haswaaa

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 роки тому

      Kama mobutu

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 місяці тому

    Umefufuka ulikua wapi tumeku miss sana musiba.😅😅😅😅wellcome again nape kaondoka unajitokeza alikua amekubania au nn

  • @FabianJustine-bq6qv
    @FabianJustine-bq6qv 2 місяці тому +4

    bgap sana wambie

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому

    Kwa kweli nape kanitesa kuuza huo mtambo niliteseka sana kusomesha watoto niliuza maandazi samaki chapati ili wanangu wasome mungu walaani wote waliouza mtambo wa modern printers mtambo wa uhuru mungu toa jibu

  • @sosasoda567
    @sosasoda567 5 років тому +16

    Wape wape Baba Musiba...

  • @jabirikilagilile9799
    @jabirikilagilile9799 2 роки тому

    Upo wapi mwanaharakati huruuuu

  • @SeveriniTemu
    @SeveriniTemu 2 місяці тому

    Dahaaàe hatariiiii kasemae lakini mwiba ukikuchoma mguuni kutoka ulipoingilia acheni kujadili mtuu mmoja mmoja tunachahitaji ni siaasaa safiii isyo kwa ya matusii unafiki tuelezeni mtakachofanyia watanzania wekeni mpira uwanjani mupimwe CCM Chadema''' wazalendo CAF fainali tuta amua seye wapiga kuraaaaa Apo vipi

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 2 місяці тому

    Huyu mchonganishi,hela za marehemu Membe ameishalipa?

  • @DrSuleman-r1d
    @DrSuleman-r1d 2 місяці тому +2

    Uko vizur

  • @bulunjumjuli9572
    @bulunjumjuli9572 2 роки тому

    Angalia