20% wewe ni ndugu ya mziki, maana huimba maana,shauri, 20% Mungu akusaidiye, katika Afrika sikulinganishe na mwengine mwana mziki, ipo siku nitakutafuta wewe,
Good brooo badooo tunakupenda sanaa Kama we ni shabiki wa 20% like Kama zote tufike 1000 naa huyuu jaman anae mkumbka nazani huwezi pita bila like yako hapa
Mwanangu 20%sio mtu mzur yani wew kweli ni msanii wa kudumu hatareee yani.ushauli wangu tuu wekeza mno ktk music usiogope kutumia galama kubwa ktk video ili ufike mbali zai.yani namona ndani yako jah prayzah
MANENO YA MTOTO ALIEFUNZWA AKASIKILIZA YA WAZAZI NI MKUU DAAA KUNA ZINGINE UKIWA NA WANAO UNATOKA MBIOO MWENYEWE BILA KUFUKUZWA FULL RESPECT PAA ASILIMAILE
Uwiiiiiiiiiiiii leo nmefurah sn nmeiakia hiii ngoma Kali kbsa wape wembe 20 percent nmeelewa noma sn hakika game unaliweza shabk zako tulikusubioi kwa ham sn sahv hamna kurud nyuma tunasonga mko vzur na huyo mkali
from 254.... nairobi kenya ni kwa mara yangu ya kwanza kuwajua nyote wawili.... mziki mzuri video safi yenye heshima na message safi nipeni like za kenya.... tukiendelea kusubscribe na kulike na kushare
Huyu ebl Dracula huyu daaah basi tu ....ili huyu jamaa anachan kipekee kbsa in short jamaa anajua San hazungumzwi maredio lkn ni 🔥 air time wanapewa weusi badala wapewe watu kma hawa Dracula ...🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Broo 20% mashabiki zako bado tupo hatujakutupa, kama na we nishabiki mwenzangu like apo chin
Ngoma Kali.. Wangap tumemfat 20 Pasent
Ngoma Kali kinoma
Watake wasitake kwa 20 watakaa namkubali mwanangu wa kimanz
Roho mbaya cna chuki cna majivuno cnaa nimejaaliwa hekima heshima na utu uzimaa mola wangu WAPE WEMBE. Dah noma thana
20% wewe ni ndugu ya mziki, maana huimba maana,shauri, 20% Mungu akusaidiye, katika Afrika sikulinganishe na mwengine mwana mziki, ipo siku nitakutafuta wewe,
Good brooo badooo tunakupenda sanaa Kama we ni shabiki wa 20% like Kama zote tufike 1000 naa huyuu jaman anae mkumbka nazani huwezi pita bila like yako hapa
tukonyumaake broooooo
Kama unamkubariiiiiiiii 20per cent eb gonga like yako hapa nione kwanza
mimi nakubalii tagu nikiwa mtoto mudogo nabali yimbo ya tamahambya nayakubali nipe namba yako nikupigiye kaka
akuna musaniyiii namukubalii kama wewe
Nilivyojua yupo 20% nikaiwahi like zangu jaman kama unamkubal
😃😃😃😃😃
Namkubali kinyama mwamba huyu
Namkubal sana 20%
yaan jamaa tunamuombea arud kwenye gem itakua pw sana
Dah nyimbo safy aseeeee hakuna matus matus.....😭😭😭🙏🙏🙏 Safy embu mtafute mpge nyimbo nyingine
Kama unamkubar 20% gonga like!
Mwanangu 20%sio mtu mzur yani wew kweli ni msanii wa kudumu hatareee yani.ushauli wangu tuu wekeza mno ktk music usiogope kutumia galama kubwa ktk video ili ufike mbali zai.yani namona ndani yako jah prayzah
Naimani twent atadondosha mwakauhu nakuamini sana anaaye mwamini sana shusha like kama zote🔥🔥🔥
20pasent mkomaze jembe mana Nawakubalii sio siri
Uyu jama namkubali sanaaaaaa
😍
20% noma sana jmn
20 pancent noma
♥️ kwa msani wangu nimpendaye sana ,ninayo furaha kumba mnoo yakumuona tena akirudi ,%kweli wape wembe wanao jivuna !⚒️⚔️. ✌️🇨🇩🇨🇩
Walio kuja baada ya kuona 20% like hapa👇👇
Nakubali nimeilew
kama kunamtu kaurudia huu wimbo zaid ya mara mbili gonga like tujuane
Tulio angalia na wtt wetu bila aibu piga kelee kwa 20 ake we wewe weweweeeeee
Huu ndio music wenye international melody kazeni Wana huu msic sio wa wanna pua
Mziki mzuri haujifichi lazima wa2 wausikilize muda wote big up sana bro 20👏
Nimeamua kuirudia tena aiseee ujumbe bomba sana wakina tembo wanaimba mapenz tu sijui wanafundisha uko nn
From Burundi like nyingi hapa kwa 20%
Kwatulielewa ngoma Hiyooo like Kama zoteeee
Kipo POWa sana
@@robertmangowi7156 khaa hhad twent yupo au ndot
Jamn nauz 20 percent kwel yupo au ndoto?
Saana asilimaile 20% mkl
Aiseee bonge la kaz.....watu wazima wenzangu tumsapot20 kwa Hali na mali.
Hebu hii song 20% irudie bila ya featuring imba pekeyako najua ingekua kali sana CHORUS sounds so so nice
20% tunakupenda usikae kimya... tupo fans wako tutaview hadi kieleweke... sema huu wimbo ni🔥🔥🔥🔥
Ngoma la kufungia Mwaka.....
Tulokuja sababu ya 20% tujuane kwa like na reply hapa
🥰😍😃😃😄
@@samwelychomba6951 🤝🏻
Kwel nimeamin Panga la Zaman haliishi makali .....💪💪💪💪 kwako twenty
Nikiwakilisha Kenya. Kaka ngoma zako zimenifunza mengi sana. Zidi kutuelimisha na kututumbuiza. One ❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wape wembe kaka 😝😝😝😝😝 piga kazi bonge la song tisha sana 20% 100% kaka
Mimi toka nianze kumfatilia 20 hajawahi kuimba nyimbo mbovu hakika zote nimashine
Nyimbo ya kawaida saaaana labda ukiweka umakini kwa baadaye utaweza
Uyu ndio msniii wangu wamaisha yangu yote nauyu ndio tem yngu
Dunia sio janja janja Kama Babu tale hivyo ndio nilivyockia au masikio yangu
King 20% We ni Moto ludi Kaka tumechoka matusi mbele ya watoto wetu
Pamoja sana
MANENO YA MTOTO ALIEFUNZWA AKASIKILIZA YA WAZAZI NI MKUU DAAA KUNA ZINGINE UKIWA NA WANAO UNATOKA MBIOO MWENYEWE BILA KUFUKUZWA FULL RESPECT PAA ASILIMAILE
KWELII TUPUUU NGOMA ZOTE MOTO💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥🔥🔥🔥🔥
Mafala zote wa Nairobi na wapa wembe haki siyo Mimi%
Uwiiiiiiiiiiiii leo nmefurah sn nmeiakia hiii ngoma Kali kbsa wape wembe 20 percent nmeelewa noma sn hakika game unaliweza shabk zako tulikusubioi kwa ham sn sahv hamna kurud nyuma tunasonga mko vzur na huyo mkali
from 254.... nairobi kenya
ni kwa mara yangu ya kwanza kuwajua nyote wawili....
mziki mzuri video safi yenye heshima na message safi
nipeni like za kenya.... tukiendelea kusubscribe na kulike na kushare
Pitia kwangu nawimbo prz pitia you
nakubali
njoon msikie muziki na sio makelele mixer matusi...kama umenjoy zaid yangu like yako muhimu..
VPL na EPL havifanan na ndo ata kwwny mziki wa tz kuna wengne wanafanya mziki wadunia na wengne wanafanya mziki wa watz tuu
Tuliza mshono maaana yake nini
Na neno nyege nyege maana take nini
Kama unaimba nyege nyegezi unapaswa kuacha na uimbe nyimbo za maana lkn ukikatika nyege nyege nakupunguza Wenge kwahiyo unatuliza mshon
Sure! Umeweza na sauti yako 20% iko vile vile nzuri
Ebl drucula maile mbish nyinyi ni hataree
Mwamba usipotee tena shikilia nafasiyako kwamikonomiwil tulikumiss sanabroh welcome again for your Carie
Mmekosa jina LA kisanii kweli LA kumpa huyu mwamba mpaka kutumia *DluCuLa* 😂😂😂😂😂 jina gumu mnoooo linasahaulika ndani ya dakika 2
Ngoma kal sana inaujumbe wakutosha hakuna tisi humu kama umegundua hilo gong lik twende saw
Wenye muziki wao washarud mjin, honger San brother kaz buti
Nakukubali jama
jamaa huwa hakosei kabisa big up 20%
Wenye wivu wajinyonge wataelewa tu ✌
braza unajua unaimba vi2 vya kufundisha achana na wanaimba matusi
Pamoja broo twenty ukiwa na kakaetu mpendwa druqla tunawapenda Dana
Nakubari mwalimu wa muzik wa maisha tunataka yakufungia MWAKA 20% huyo mwanamzik wako yupo vzr abahatish kibampa aikatai
Huyu ebl Dracula huyu daaah basi tu ....ili huyu jamaa anachan kipekee kbsa in short jamaa anajua San hazungumzwi maredio lkn ni 🔥 air time wanapewa weusi badala wapewe watu kma hawa Dracula ...🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani 20% ni jah prayzah wa bongo.ndio namuona hapo ebu isilize hiyo nyimbo malanyingi uone umsikie vizur jah prayzah
Sawa broo kaza game niyako hiii toka kitambo 2nalijua hilo
Jamn ww kwa ukali uyo mko fresh kwel❤️💘
20% wewe ndo kamanda wa music uko wapi babaaaa Leta vitu basi
Pamoja sana ndugu pia tunaitaji mzik mzur na weny isia nzuri
Saluti kwako 20 P tumemiss sana kaz zako salamu zikufikie popote ulipo
Mziki mzuri unajipeleka mwenyewe ongereni sana from Canada 🇨🇦
Kama bado unamkubali gonga like apooo...
Ngoma kali🇨🇩🇨🇩💪🚶🚶🚶🏃
Respect sana mmetisha bonge la ngoma ya 🔥🔥🔥 mungu abless kazi za mikono yenu pamoja sana. 🙏🙏🙏
Nimekubali mzazi bonge moja ya kazi..chorus umeitendea haki kma ilivyo kawaida yako huwa hukosei..ONE LOVE!
20 unajua mzeeeeeeeee daaaaaah usikae muda mrefu boss unatunyima raha mashabiki zako.
Combinenga nzur Sana hii
Nimekubali kazi Kali bonge la kazi anaejua anajua tu
Hii nyimbo inanikosha sana, hakika mmekutana vichwa vitupu,❤❤❤❤❤
Nakupenda pia.napenda.ngoma
Yako.20% nakuku Bali
Jaman walimushiaga amekufa daa mungu akupe maisha marefu
My favourite Tz artists, Respect from Canada 🇨🇦 to 20 Percent and EBL Drucula
Where in Canada ?
Hi
@@wilsonbonface7189 hello
@@espoirmushokole2006 Canada montreal tuko pamoja dracul
nyimbo kali sana nakwambia lakini mungu awajalie 🙏🏽🙏🏽❤️❤️and I love them so much
Kama mumekubali kuwa tumekuja kupotesa miziki zamatusi piga like apa na kama umewakubali weka neno apo
Mziki.ile ya akina tembo anadidisha mkonga yan wanankera kwel
@@afterfull-time1348 kumbe nawewe umeyaona
Nyimbo za kuelimisha Jamii siyoo uchafuu Kama za wasafi
Twent paa...20% katishaaa kwenye kolas
20%,,,mshauri esha baba lao kujiweka kama msanii wa kisasa amekaa kama muimba nyimbo za kisukuma hata cheza yake.
Mola wape wembe wajichane wenyewe, wimbo uliokomaa bado tunakupenda 20%
Shusha mizigo bro once twenty always twenty
A lion 🦁 will always roar
Roho mbaya sina,chuki sina,majivuno sina
Nimejaliwa hekima,heshima na utu uzima
Tuwape wembe masnich ngoma inapepea!!!!!
Ujui tu watanzania tunavo kupenda usitepote tena bila twent muziki hamna labda matusi na mipasho ludi mjini. Jumla
Brother 20 aisee tulikumis San kaka kalibu tupo kaz nzuri jikaze kaka hata Kama game ni ngum bhna b💪 Dr sauti ile ile Yan
Aisee 20%nakupendaga siku zote ebu rudi kwa game basi
kaka mkubwa nakukubari sana kazi buti mzee
Kizazi sana...!!
Na kweli 20 unaga rombaya wala majivuno nakukubali kinoma
20 per njoo ututoe katika huu mziki wa kisasa maana saivi wazee hawapigi nyimbo za kibongo kabisaaa
20% wewe ni fire nyimbo nzuri sana kweli wewe regend
Twent mwenye mziki wakeee heshima kwako
My favourite Tanzania artist, 20%kenya loves you 🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇼🇰🇼🇰🇼♥️♥️♥️
really?
Umutisha Sana brother
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
🇯🇲🇯🇲🇯🇲👍👍🔥🔥🔥🔥
Daaah ngoma Kali sana honger trent
Wee jamaaa unajuwa wengine wanazingua tu
Nampendaga sana huyu kaka jamani uwii hajawahi nitokaga kwa kweli
Oooh karud mwenye mzk wake
Nakubali DRA cula Feat twenty percent,sasa mfanye cruel kabisa,iwe kama mmekuja kivinge mtoa track NYINGI,then ndio kila mtu afanye kivyake
Tumekumis 20%😢💞💞 now humerudi kwenye game
🔥🔥🔥🔥 song
20% tulikumiss sana
Mama
Hivi kwnn huwa mnaomba like
20 paaaaaaaaaa sauti ya kipekee.Nakukubal mpk basi👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Here we go! the waiting is over 20% the best artist of all time
Hongereni sana sana kwa wimbo mzuri. Elb.
Pitia kwangu nawimbo prz pitia you
20% unajua sana,tatzo nn!
20% Iposti kwako please ni kali sana🔥🔥🔥🔥
Pitia kwangu nawimbo prz pitia you
Iyo nipoa
Hello Tanzania 20pacenty is back never foget you my brood never give up you are so tarent man
Twenty imba peke yako ungetisha Sana kwa hii ngoma bt sio mbaya ata ivo
Big Up DruCula na Hekma za Asilimaile tangu Enzi zile. Definition ya Msanii for Real. Mad props from the 254
.much love 20% wewe ni mwanamuziki
Kichupa💪💪😘😘20 pacent ludi mjini babaa