nakumbuka nlikua nmemaliza shule ya msingi mwaka 2008 nlikua nkiusikia kwny TV au redio naacha ninachofanya naenda kuuangalia 😭😭😭😭 old is gold hadi Leo bado nkiusikia nasisimka 2017
napenda saaana nyimbo za Bongo especially za zamani.. that song proves the says of the great men:" when it rains, it pours" pole sana hio ndio maisha ya kiume
this song brings back memories during my 2 years stint as vso volunteer in kagera region, tanzania wayback 2008 - 2010. it was a great experience worth keeping for a lifetime. asanteni sana 🇹🇿 from a grateful filipino vso volunteer 🇵🇭
I feel good wen this song is played always it should be played to the new generation that is there currently it has lots of wisdom good work old is gold in deed
May you keep on forward! >These are the very needed socio-educational songs. I am Burundian and loved this reggae-based music so much tangu niliisikiliza
Been looking for this ...3 years ago I heard it somewhere and loved it but I forgot to take the title till today an angel played it..still my favorite🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hizi ndo zilikuwa nyimbo sahii kelele tu na matusi...kama uko hapa 2020 nipe like from Kenya.
Ni kweli sasa hiv akuna nyimbo
Kwel hk
Nko apa 2022
Kweli kabisa Nikona wewe
😆😆😆😆😆2022
Ki ufupi sijawahi kuchoka kuangalia ama kuusikiliza huu wimbo daaah mliua sanaa,,,,, kama umeuangalia 2024 gonga like hapa jamen
Ngoma za Zamani zilikuwa zinabeba uhalisia ya maisha Yetu gonga like chini Kama Zina uhalisia
Kabisa mwangu
Certo😢😢😢😢😢😢
ngoma zilikua ngoma haswaa saivi hawa wabana pua utopolo mwingi
Hii nyimbo itaishi miaka yote nilikuwa mdogo ila mpaka Leo naipenda😍like hap kama unaipenda hii nyimbo kila siku kila asubuhi yako👍👍♥️
2022. Hehe, I can't recall listening to this on my walkie radio those days. 🤣. I'm indeed a legend. This is a masterpiece.
I'm here 😁😁 2022
Good old days
We together
Golden days
Nipo.nikijifunza ulevi🤭
Kama bado unatazama hii ngoma 2024 sema asante mungu 😢❤
❤
Naipenda sana jmn🎉🎉❤❤❤
Asante mungu
Nikiwa Oman muscat
Thanks lord
Kama umerudi kuja kuangalia huu wimbo kwa mwaka 2024 gonga like hapa
Kipindi hicho najifunza u dj
@@joshuasamweli6139 😄😄😄😄
Feb27,2024
@@joshuasamweli6139 hahahahahahaahahaha
Hizi ndio nyimbo zina ishi mpaka sasa, nyimbo unaifeel achana na amapiano
gereza sio kaburi!! safi sana kaka madee.
omar hassan katuni
Jmn turi apa 2024 tujuane kwa like
Tupo
24/3/2024
Mm hapa
@@WashikiMarwa lzje
Tupo
nakumbuka nlikua nmemaliza shule ya msingi mwaka 2008 nlikua nkiusikia kwny TV au redio naacha ninachofanya naenda kuuangalia 😭😭😭😭 old is gold hadi Leo bado nkiusikia nasisimka 2017
m wingira
Same year nlimada cls 8
Hongera
Kumbe we classmate wangu ingawa shule tafauti
miss Renee sikweli
Spark rudi kwenye game asee july 2020 ngoma bado inaleta hisia kama imetoka jana vile
Kweli inauma sana sio kila anyekwenda jela ana hatia
13 year now but still a hit, much love fron kenya 🇰🇪
moja kati ya chaguo langu...naipenda sana hii nyimbo
Hasina hamza
Moja kati y chaguo langu naiependa sana hii nyimbo ningal naiangalia 2019 gonga apa
Kweli
napenda saaana nyimbo za Bongo especially za zamani.. that song proves the says of the great men:" when it rains, it pours" pole sana hio ndio maisha ya kiume
good song
ngoma itaendelea INA SMS nzto.
Kamaunasikiliza huu bas 😭😭 tuliye pamoja 2024 🇰🇪
Leo trh 6/9/2019 ijumaa
Bado naitazama hii ngoma wangapi tupo pamoja gonga like twende sawa
this song brings back memories during my 2 years stint as vso volunteer in kagera region, tanzania wayback 2008 - 2010. it was a great experience worth keeping for a lifetime. asanteni sana 🇹🇿 from a grateful filipino vso volunteer 🇵🇭
Welcome back
Tanzania ya sasa sio Ile ya zamani. Proud of Magufuli. Karibu tena Arusha UFURAHII..
Welcome again
@@nazanasa6108 Mungu amrehemu baba
I love this song very very much, nashukuru sana sana, ngoma za zamani zimetugwa kwa utaribu na message safi mno
Kama uliisikiaga hii nyimbo ukiwa primary embu like
Embu iko Kenya sio hapa😐😐
Pamoja zana
Primary
Du
Nakumbuka mbali sana
Yuko wapi anaesoma commert kama mm like twenda sawa
Oyaaaaaaa
Leo ni 2019 na bado nawatch hii....Niko pekee angu ama tuko wengi?
Kumbe tupo wengi
Tupo tupo! Daah nakumbuka mbaal saana hili goma
weng xanaaaaa
tupo wengi mzee
IPO guf xana
Huku kwetu ndo kama imetoka Leo, vipi huko kwenu
Gonga like ndani ya 2019
Daaah hizo ndo nyimbo harixia kbx xo kama zaxahiv
Cwezi Jua Huu mziki nimeutazama nakuusikiza Mara ngapi toka 2010mpaka 2025 . Kazi nzuri,elimu yaani kweli
Spack respect kwa hi kazi,, tunda always on point and madee always flowing
2020 gonga likes kama mpk leo unasikilza hii ngoma 🔥🔥🔥🔥
😭😭
@@carolinengina4903 moja ya nyimbo bora sana
@@carolinengina4903 "
SAM Tz 1
SAM Tz 1 hatariii
2024, bado nasikiliza huu wimbo Hz ndizo nyimbo bhana
Kama bado unasikilisa ngoma hii 2020 like hapa twende
Acha bwan
Mozzah issa Haaaa
Nyimbo km hzi cku hzi hazipo
Daaa pw sn
Nakukubali tunda mani
Kama unamkubali tunda na spark dondosha Like
25th Friday June 2021 and the song is still hitting....wow....love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I usually cry wen listening to this music😭😭😭😭
😭😭😭
Nyimbo nzuri haichuj ndan ya 2019 kama unaichek big up kwako
Leo 2019 Bado naskiliza kama Na ww waskiliza gonga like
Ti
Hiii ngoma kal kinomaa
Nc
Wakati huo woofer hazikua,,nani anaskiza 2023🙌
Old is Gold nyimbo za zaman ziliimbwa aisee.. Nani tupo pamoja hadi leo
I feel good wen this song is played always it should be played to the new generation that is there currently it has lots of wisdom good work old is gold in deed
Rakel Kamau hi 👋 Rakel
Amen
naikubali ngoma io
May u translate for me. I like tz bongo music but nowadays the style is not produced anymore
Dah hiii nyimbo ya kufungulia mwaka kabisa gonga like apa ❤❤from tanzania 🇹🇿
2021 and I'm here listening to this great song ❤❤❤
Sme❤️
Nani ako hapa na mimi 2019, it gives me memories , kama pia wewe unasikiliza gonga like
Yaaap
Still here 2022
I can't get enough of this shit....it practically addresses of contemporary issues...a lot of loves from Kenya.
2020 anyone?😄
Tupa
Me😁
Here😀
Me
Am here
Damn! I never get enough of this hit. One of my all-time favorite. Watanzania najua hamjaelewa. Nasema mistari imeenda shule.
Nikisikiya naliya sana inatiya uzuni
Nakubali sana inatiya uzuni sana
@@jumahadidja9395 hichi kiswahili siyo cha Tanzania
Kumamayo nation gays endeleeni kufirwa mbwa nyie
Achana na Stereotype Poor kenyan
hizi nd'o enzi wasanii walikuwa wanatunga mashairi,,,siku hizi pesa zimeharibu usanii,,,@2024 bado nausikilizaaa
Nani bado anaangalia 2019? Like Apa tujuane
Yaan ihi nyimbo uwa INA niliza San miaka mia itatamba
mimi nakumbuka mbali sana
Hakika
tuko pamoja from Burundi
tuko pamoja from tz kiukweli hakuna tz nyimbo yenye mashiko kama hii
Kama bado unaangalia hii ngoma mwezi huu wa December gonga like twende sote 2020 kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Good
May you keep on forward! >These are the very needed socio-educational songs. I am Burundian and loved this reggae-based music so much tangu niliisikiliza
Nani akoo na Mimi 2020 ...Ruendee kwa Kujuanaa ....Gonga like 👍👍
Raha mpaka Leo tundaa wangapi bando wanaangalia Hadi sasa2018
Nice
inanikumbusha mbali mnooo hiyo ngomaa mpaka inanitoa machozi
Noma
Penz
Juma michael
Kama unaitazama hii ngoma mpka Leo 2023 piga like twende mbele
2020 who is still watching like me
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Missing this days
Hivi hawa wameenda wap
Spark, rud tena kwenye game jamaa tunakumis sana bro, kama unaisikiliza 2019 gonga like chap
I don’t understand the language but I have been looking for this song since 10years now. Till today am happy one love from Zambia 🇿🇲
It's all about prison life
Kama bado unaangalia hii ngoma mpaka sasa 2019 gonga like down
kweli wangekuwa wasaniii wnaimba hivi wangekuwa bola zaidi
Mm nimeyikumbuka
Nyimbo hii yaliza watu😥
Until today, this song sound good. It reminds me of those old days, I have a reason to watch it daily without getting tired
Bongo original.... Salute my guys Dudu, Temba, Chege, professor, Jaydee, Ferooz, Tundaman, Matonya,
mda wote moyo n mali ya mungu huu mwimbo unagusa had kwenye figo kabsa 11
/08/2017
Mohamed Daudi .ni kweli kaka unagusa hadi kwenye moyo pia
ikobomba!
Mohamed Daudi hakik unaumiza haswa
This song had everything correct, flow of lyrics n good composition. I love it.
Naikubali sana hii ngoma hisi ndio nyimbo sa kuelimisha jamii nawakubali sana Spack and Tundaman na wote mlio shiriki
yes kabisa
tunaoangalia ngoma kari kama hizi mwaka 2019 gonga like twenzetu
Muksini Kambi
vp
Kama Una angalia hii Ngoma gonga lk
Sure boe
this song always inspired me and reminded me the hard time...I will still watch it in 2025
😅😅😅😅2025
Now it's 2025 in reality😂😂
When a memory card was still precious 😂
Anaesikiliza ngoma hii March 2019 gonga like twende sawa
Salim Mbise
Pole Sanaaaaa,,,nyamaza achakuliaaaa,,simple but touching chorus I still love this song till date
Nyimbo zilikuwaka zamani. Za leo ni nyimbo ze hazina maana sawa gisi: tetema, ainyegenyege. Nipe ripoti ina nikumbusha 2010.
2019 September na bado ngoma inanikosha hatari mno ❤️❤️❤️
Nani yupo huku jamani machozi yananitoka sana
Nassor Lido I'm crying
Buwe
Duuuh htr najikut nalia t
Am here too
Xmart
Jamani Napenda Sana Huuu Wimbo Umetisha Bro Ndo Maana Nakupenda Tunda Man Mzee Wa Msimbazi,
Daaa 2009 rafiki Yangu Omie alikuwa anaimb huu wimbo tulipokuwa darasa la saba RIP OMIE Ngom yako naicheki
Pole sana kaka kwa kuondokewa na rafiki yako
Pole
Pol San
Hta mim rafiki yangu alikua anapenda kuuimba huu wimb nae sahz Ni RlP leimon
Pole sana
2020 mkowapi🇹🇿
2020tuko
Tupooo
Mimi apa
Tup
Tupo
Mtakaoicheki hii ngoma 2030 mtanikumbusha😢 sjui ntakuepo hai bado ila kikubwa uzima wanangu 🤝🏾📌
Hii ndio bongo flavour sio kama ya sasa hivi. 2018
JoyJoy Shangwe Kisura nice
JoyJoy Shangwe Kisura noma san
hiv sasa wanasifia ngono tu
2020 Bado naona tu song'i iko makini au ni mm tu
Aminia mzee
song iko powa san
This song remind me of those who escape justice by buying it. So many people are in but never committed the crime
Been looking for this ...3 years ago I heard it somewhere and loved it but I forgot to take the title till today an angel played it..still my favorite🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2019 bado naicheki....mojawapo ya nyimbo zilizopendwa
2022 the song is still touching my heart.
😭😭😭😭😭😭
We acha to yaan
@@josephineatieno2338 ,2,,
nice❤️😥
Nyimbo yakitambo enziizo Nipo msingi mpaka 2019 Laha sana
Ester Msemwa tunda ngoma
Inawagusa watu wengi ukowapi
Kaka
Naipenda sana
Tupo pamoja wadau wangu
Leo November 04-2019 na bado unaikubali hii ngoma like twende zetu mpaka 2020
Ngoma ipo vzur
Sana
Rest in peace uncle magufuli
2023 and the song is still splendid 👍
Zilizo vuma Enzi zetu! Watching 2017
Yes kijana. Tz tund man
Duh
2019 kama uchek gonga like twende sawa
dar noma Sana Ngoma Kali hongeren tundaman sipak na madee
Leo mbk 2019 bdo nacheki nyimbo za hivi au Niko.peke angu jmn maana nyimbo za zaman Tamu sana
Who is listening with me 👂 2018?
Furahinibahati Bahati me
Hi ilikuwa balaa
Me
Me too
Maryan Ali mambo
Dangg so many years have passed and i still get teary eyes listening to this
One of greatest song of all times in bongo flava history!
Nani bado anaangalia 2019 like twende sawa
nakumbuka mbali sana,❤
Kama bado unalikubar goma mbaka Leo 2018 gonga like
Iko vzr
daaa ngoma hii noma sana kwan awali walikuwa wanaimba ila sio saiz
Nice wana
Kali sana
inamenikuta ngoma hivyo utafikiri amenimbia mm
Leo Taree 16 -10-2019 bado na gonga ngoma ! Tunda goma hii kali❤️
Bigup bratheee from another mother nyimbo ina mafunzo kibao
Kama bado unaicheki 2019 piga like
Kama umerudi kuja kuagalia huu wimbo Kwa mwaka 2025 gonga like hapa
2025
2017 am still loving this one from kenya ,
korir cosmas me 2
Pia mimi bana
Me too
tudamani ndie muxani jamani Mm ni simba
Good music is timeless 💯 2022 and it still hits
DAAH HII NYIMBO KILA NIKIIANGALIA NAMKUMBUKA JAMAA YANGU
ILA SAIZ WAPO POA SANA NEVER GIVE UP
Nani bado anaangqlia 2018 like twende sawa
Mimi hapa
Wimbo huu unanigusa sana jamani
Waoh mamaa
Still listening
Inyimbo ininanigusa sana
2016 and still this song still rocks.Loving the message
Ian Maru baba wimbo huu ulirusha watu roho kinoma yani ilikua nishida
Back here tuko 2023 I tell u
These are the songs I recognize.2024 na Bado nafuatilia
twende pamoja 2019! Nipo ulaya na hii ngoma bado inabamba balaa huku
Wonderful, a real life experience and an entertaining song.... listening from Kenya.
Bado 2023 mwezi wa5 nasikiliza nyimbo hii wenye tuko pamoja nipe like