Ferouz basi.. Hebu tuliza nafsi.. Pole sana kwa mkasa wa boss.. Tuombe Mungu apunguze mikosi... Achana na visasi.. (Utakuja jijutia) 😅😅😅 kama wewe ni Legend weka like apa
Nagonga like hapo mwanangu dah sijapenda solo thang japo nahis wameshindwa kumpata yupo ulaya nahisi ata yeye kawanyima ushirikiano kina p funk au feruz au kabanwa na majukumu jaman binadam tunamengi anaweza kua ata aliugua.ila juma nature sijaelewa
Idea ya kuzirudi naona haijafanya poa sana..sababu zile nyingine zilishakamilika kwenye audio..ila hii idea ya video ndio itawapa tena hela hawa wasanii..Great idea..na najua ma director wengi wataibuka kuzifanyia video hz nyimbo
Hongera sana Majani kwa Kutuletea video za kitambo ambazo hazikutoka zamani,madogo wa 2000 mlikuwa Tetee,Kaeni pembeni Baba zetu tunaangalia Ngoma zinazoishi milele
Sana alafu video haina different location haijachangamka kabsa. Nguo zile zile. Sehem ya solo thang wangeweza kufanya hata kama kapokea simu na jamaa anamshauri kupitia simu sio lazm awepo physically . Na mazingir yalitakiwa yawe local kdgo au kijijin kabs ndy ingependeza
Katika Mazingira ya kawaida Hakuna mfanyakazi Mwenzako ataenda kumchana boss Moja Kwa Moja Kwa sababu ya kutoka na mke wako. Lakini atakushauri tu kutokana issue ilivo
Sijapenda......kwann mwenye bongo fleva yake au sauti yenye mamlaka na ujazo hayupo🤔😞alafu kipande chake mkakiruka"hamjui kwenye utamu wa hili gharika ulikuwa pale boss anapozwa???
Miaka 💯 ad sasa cjawai ckia Beat production kali kama za P funk. Hii test na intrumental mixing bdo atujapata Bongo kufikia science ya Pfunk Majan aise ad leo! 🙌🏿🙌🏿
Video imeliret namatukio safi kabisa SEMA ves ya neture ilibid awe anamchana boss😂😂 ingekua noma zaid maana alikua anamfokia ferooz mambo yaboss all in all video kali ❤
Kuna kipande cha solo theng kimekatw feluz bas embu tuliza nafs pole sana kea mkasa wa boss hii ngoma watoto wa 2000 hawawez kujua kama kina kitu kimepungua
Jamani wa 198.. Na 199.. Pia early 200.. CD's... Hizi zilikua ni moja ya Bangs zetu. 2024 nipo glad na feel the music one of the legends. 2024 goes ==> 2025 zilipendwa gather here 💽 🇹🇿
Matusi 0%
Picha za uchi 0%
Kipaji 100%
Elimu/Maarifa 100%
Ujumbe 100%
Kuboa 100%
🤕🤕🤕
Hao wakina inama nipachike Rungu sio wasanii kelele tu
@@vinny.morales😂😂😂Daahh nchi imevurugwa
Kuvutia 100%
Story 100%
Melody 100%
Team ferooz tujuane apaaa kwa like
Video inataliwa iendane na maneno unaya yasema kama hivi alivo fanya feruzy🎉🎉
Ndiyo mmi ktka kenya
Ferooz na Juma Nature🤝
wanaosema wasanii wa zamani warudie nyimbo zao kwa video ya u ubora kama ivi gonga like👍
Tumewamiss mno😊
Huyu director kaharibu uhalisia wa wimbo hapo ferooz sio duni ..
Kweli kwa hii nyimbo unaona ferooz ana maisha duni?? Au elimu ndogo?
Ni kwel director amezingua, boss alitakiwa awe hapo na wafanyakaz hata watatu hiv iwe mazingira kama ya ugomvi hv
Woteee warudieeeee
video imepndez
Naomba iludiwe ngoma ya ferooz ft pr jay starehe kama unaungana na mimi gonga like
Starehe video ishajitosheleza ile
Wanashoot nyimbo ambazo hazikuwa na video..
@@SukariYao-o5vni kwel kabsa
@@SukariYao-o5vEti! Imeshajitosheleza. Why ruin a classic?
@@ndaulinendaulina5715 baba majani anatoa video za nyimbo ambazo hazina video elewa hapo
Watoto wa 2000 hamuwezi elewaa,wale malegedi tujuane kwa like hapa
Prefanki Mani kwenye Bett nishida tupu mwamba
Tunaomba ifuate video ya "Elimu Dunia" ya Daz Baba ft. Afande Sele & Ferooz. Kama unaungana na mimi tujuane kwa likes.
Dah! Watu walikuwa wanaandika, na wanaimba.. kweli muziki umechakachuka 😢
Kweli
Alleged hiyo kabisa.
@@ChapajogooTrue
❤❤❤❤😊
Ferouz basi.. Hebu tuliza nafsi.. Pole sana kwa mkasa wa boss.. Tuombe Mungu apunguze mikosi... Achana na visasi.. (Utakuja jijutia) 😅😅😅 kama wewe ni Legend weka like apa
Verse ya mtu mzima Solo Thang haimo kabisa.
imekatwa juu kwa juu
Hayupo Tz itakuwa
Na mm nilikua najiandaa na hio verse ghafla imekatwa 😮
Anaitwa SOLO THANG!! Dah nimekereka sana kipande hiki kutokuwemo....!!
Fer00z mzee baba bora uvumilie🙏🙏 we nikipaji
Watoto wa 2000 huyu ndiye alikuwa Diamondi wa kitambo hicho,
Watoto wa 2000 tuna tabu sana😂😂😂😂
Usimlinganishe Ferooz na waimba matusi & mashoga.
@@eng.makolal1367kweli uyu kaimba nyimbo mbk leo zinaish
Hapana uo uwongo
😂😂😂
Wale tulio muona ferooz kwenye mabanda ya cinéma wekeni like apo chini❤ DRC lubumbashi
❤
Upendo mwingi toka Nairobi kenya... Weka like hapa
Kama ww umetazama hii wimbo 2024 weka like hapa
Nisiwe mnafiki ili goma nikali sana na sitafanya vizuri nisipo acha comment yangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Umeongea yupo
Mziki mzuri..elimu na maisha..kenyans here nipe likes mazee..au kweli hivi ndo hali ilivyo
Tuloumia solo kutokuwemo humu gonga like hapa 😢😢😢
Nagonga like hapo mwanangu dah sijapenda solo thang japo nahis wameshindwa kumpata yupo ulaya nahisi ata yeye kawanyima ushirikiano kina p funk au feruz au kabanwa na majukumu jaman binadam tunamengi anaweza kua ata aliugua.ila juma nature sijaelewa
Sijuhi kwann ayupo 😢
Kwan kuwa Ulaya si angekutuma clip
Dunia ya digital sasa
Solo yuko wapi munaana ubinafs Bila yy umefeli mwamba
Mungemchukua hata mpoki mungemueka hapo ingekua noma Sana
Fadhila ya kuwapa awa watu ni kuwapa views za kutosha. Tujongee hapa.
Good sana mzazi umeongea kitu kikubwa sana mwingine asiejua ataona kawaida kwa ulichosema
Niview ×10 natoka narudi tena
Kwel kabisaaa
Bora nature lkn ferooz aliwahi kupewa gari na mzee mkapa tena jeep sijui alifanya nini hadi maisha yake niyachini
Huyu jamaa anaongea 1000 words per second na hakosei😂😂
Hahaha
Tulokua tunamskilizia juma nature atakavyoingia tunyooshe mikono juu🖐🏻😂
Bora wakongwe mmeamua kutukumbusha enzi ztu maaana kizaz cha sasa ni nyegenyege tu
Sure asa nachukia sana kitu inaitwa amapiano
tatizo amuwapi nafasi ila wapo kibao
Yaani
Yaan nyimbo ya kitambo kali kama ya jna lkn leo ii et mtu anaimba natka kuweka
Hahhahaaaa
Wa kongomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Watoto wa 2000 wakae pembeni kwanza 😂
😁 😁 Kwel kabsa
Nipo hapa unaachaje vitu classic kama hivi
Tuwaache na Amapiano zao😂
Kabsaaaaaaa
😅😅😅😅kabisa nyimbo zao zamatusi😅
Huyuu jamaa tumpe mauwa yake🎉🎉
Bongo records fufua zote in a current version afu uone bongo flava inavyorudi kwenye afya yake sasa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Idea ya kuzirudi naona haijafanya poa sana..sababu zile nyingine zilishakamilika kwenye audio..ila hii idea ya video ndio itawapa tena hela hawa wasanii..Great idea..na najua ma director wengi wataibuka kuzifanyia video hz nyimbo
Watoto wadogo wanajua mzigo mpyaa huu
😅mnatudharau sana, kwamba hata namna ya uimbaji tushindwe kujua kama ni Ngoma ya zamani
Hapo nimelala niko kitandani starehere zimeniweka matatani..ferooz kanifanya nijifeel mtoto tenaa.. Big up brother❤️
Jamaa anakipaji sana wanaomkubali ferooz weka like apa 😊
Kipande cha Juma Nature kuna matukio yalipaswa kuwepo, Director kazingua.. Nature anasema Ferouz mwalibie halafu boss mwenyewe haonekani
Nimewaza Ivyo piaa
Walishafikilia kabda yako sikiliza vizur wimbo 😂😂
Mwanzo nilihisi kama ww lkn wimbo unakukana mbeleni😂😂 wako sahihi
Boss yupo ofisini alitaka aingie ofisini
Kwel itakuwa video ni loo bajet MANA hii video wamepewa oda TU
ngoma safi sana na mafunzo pia 🔥🔥
Majani endelea na mpango huu ili wasanii wetu waanze kupata mirabaha wafurahie matunda ya kazi yao
Zama hizo maisha yalikuwa magumu sana ,kwahyo nyimbo kama hizi zilikuwa na hisia za kweli.
Legend ❤❤
Oya majani bongo record salute kwako kwa hii WAZO la kutoa video za kitambo
Hiyo nafasi ya boss ingemfaa sana JB!
Yes true JB could b much better thanks u 4 big thoughts +254
Piga zote ni kali mno
Aisee huyu jmaa basi2 ferooz kautendea haki muziki wa Tanzania, ukisikia muziki wenye ujumbe basi ni wasanii wa zaman
Gen Z hawawezi elewa...kama Gen Z mnaukubali huu naomba likes zenu hapa✅
Nakubali ferooz ludi kwenye game kaka 🥀🌹🌹🌹
Hongera sana Majani kwa Kutuletea video za kitambo ambazo hazikutoka zamani,madogo wa 2000 mlikuwa Tetee,Kaeni pembeni Baba zetu tunaangalia Ngoma zinazoishi milele
Hii ilitoka ya zamani ipo
Asanteni wote kwa feedback na support yenu kubwa 🙏🏽. Je mgependa wimbo upi wa zamani ushutiwe video 🎥 ? Tupeni Comments zenu tuzifanyie kazi!!! 👊🏾
Km unataka Dem Alf mbn verse ya solo haipo?
Elimu dunia daz baba
Good idea.....Elimu dunia
Kamanda Dazz Itakuwa bomba sana
Kamanda
Ngoma nikali ferooz 🇨🇩🇨🇩
🎉🎉daah sina lakusema ila tunatak mrudi kwenye game maana diamond hakuna mafunzo iko anatupa
Ferooz basi! tuliza nafsi,Pole sana kwa mkasa wa boss ..........tumalizie vesi ya solo
Unyamaa❤
Ferooz my Man...wapi likes zake
Wazee tulipiganie ii dude!!! Ikae trending ata sku mbili awatingishe awambnga wa nynyenye!!??
Pole bro najuwa umesha achaga mziki daah,kweli kipaji akiozi .kaza tu mwana wane❤
Natoa wazo.kwa majani na wasanii wa zamani,warudie video zao na warekodi kwa kiwango kizuri ili wapate maokokoto ya UA-cam 👌👌
Kabisa maana wanaudai sana huu mziki
At least wafanye hivi wapate pesaa
Hizi ndio nyimbo sasa zinaujumbe flan amazing, safi sana wasanii wa zamani kuzirudia hizi ngoma 👏👏
Burundi 🇧🇮 tume kubal kitu kak ongera sana shusha vitu 😂😂❤❤❤❤❤
Kipande Cha nature razima boss akiwepo mmezingua wazee
Sana alafu video haina different location haijachangamka kabsa. Nguo zile zile. Sehem ya solo thang wangeweza kufanya hata kama kapokea simu na jamaa anamshauri kupitia simu sio lazm awepo physically . Na mazingir yalitakiwa yawe local kdgo au kijijin kabs ndy ingependeza
@@thabitdaudi9815wangetakiwa wafanye kama wakina joti walivofanya ingekua noma
Wanatumia gharama lakini ubunifu mdogo
Katika Mazingira ya kawaida Hakuna mfanyakazi Mwenzako ataenda kumchana boss Moja Kwa Moja Kwa sababu ya kutoka na mke wako. Lakini atakushauri tu kutokana issue ilivo
Tholo thang mmemtoa dah piA hapo nature niltaman nmuone boss akiwepo but tunasubiria Barua 🔥nazan utaua sanahisia ziendane na matendo
Tholo thank aliua sana humu
Barua imefanywa na bongo records.?sio mika mwamba.?
Sijapenda......kwann mwenye bongo fleva yake au sauti yenye mamlaka na ujazo hayupo🤔😞alafu kipande chake mkakiruka"hamjui kwenye utamu wa hili gharika ulikuwa pale boss anapozwa???
Upo sahihi apa Kuna Namna mtendo piah hayajaendan na matukio.. piah kumtoa solo wamearib
Barua mika mwamba aligonga
Umetisha ferus huo wimbo naukubali sana ❤❤❤
Kuna watu watajua Ferooz katoa ngoma mpya 🔥🔥🔥🔥
Kweli
Miaka 💯 ad sasa cjawai ckia Beat production kali kama za P funk. Hii test na intrumental mixing bdo atujapata Bongo kufikia science ya Pfunk Majan aise ad leo! 🙌🏿🙌🏿
Halafu kuna takataka moja inajiiya s2kizz inajiona bonge la producer wakati kelele tu
ferooz always my heroo ......... broo ngoma zako zina ujumbe
Watoto 2000 hawaa ndio kina diamond wa enzi zetu 5:26
Nyimbo Kali,ujumbe mzuri,wasanii wa zamani kwa mashairi mazuri walitisha sanaa,🔥🔥🔥
Safiiiii ingefaaa zirudiwe za zaman zoteeeee watoto wa 2000. Tupisheni kidg
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 siku zote 🤴 tunakuskiza story line deadly 😢😢
Ze comedy waliitendea haki..hii nyimbo... . ilq kuhusu hii ngoma feruuz ulitisha bro
Hii ingoma ukoaje sasa😮
Video imeliret namatukio safi kabisa SEMA ves ya neture ilibid awe anamchana boss😂😂 ingekua noma zaid maana alikua anamfokia ferooz mambo yaboss all in all video kali ❤
Hata mimi niliona ingekuwa ivyo lakini uwenda wakawa na sababu zao za msingi
sure niliwaza hivo pia
Kuna kipande cha solo theng kimekatw feluz bas embu tuliza nafs pole sana kea mkasa wa boss hii ngoma watoto wa 2000 hawawez kujua kama kina kitu kimepungua
Kipande cha muhimu sana kile na ndo kinaleta maana halisi ya wimbo
Achana na visas utakuwa vijutia
Dah sio kwa kinyimbo kizurii❤❤❤❤
Feruzi,ganwe mzulu,,,,,,karibu sana good time bus ,,,mzee mgido Peace ✌️
Wape Hi chama la wana Moshi wa d*w@...
Watoto wa 2000 watajua ni msaniii mpya na nyimbo ni mpya
Shenz kabsa 😂😂nilzan mpya😅
@@Mr.luckywellybrand2022 teh teh
😅😅
Hakie 😂
😂😂😂😂😂kbs
Weka mbali na watotoooooooooo 📣🙌🏿♥️
Dully nae atoe dhahabu
Navompenda dully ntaruka ruka
Director aliyeshoot amefanya kazi nzuri kutengeneza uhalisia wa nyimbo...👊🏿😊
Nature ameshasahau mistari😂😂
Aisee mmetisha sana. Watoto wa 2000 hawawezi elewa hizi hit🙌🙌
Sema ile waliyo fanya ze comedy masanja na joti nikali kuliko hii
Ile ilikua Kali sana
Oyaaaa hili goma limenikumbusha mbali sana
❤❤❤ ferooz good job
I'm Mozambican, but I've loved ferroz since I was a child... get up ferroz, God bless you 🙏🙏
Mkasa wa boss...
Asante saana Mdachi
❤❤❤ngoma kal sn good song and vdio
saffi sana bongo Records
Video ni kali sema kuna baadhi ya matukio yana miss
Asha kuimba kaka
nani kashtuka kuna kipande imekatwa hapo sijui cha solo thang kile, ''ferooz bsi hebu tuliza nafsi, pole sana kwa mkasa wa bosi.......
Tena imekatwa fasta
Huyo jamaa alikufa ama vipi màana sijaelewa kwanini kipande kimekatwa
Ferooz pacome wa bongo fleva🔥🔥🔥🔥weka like kama unamkubali
Daa nimekumbuka mbali bongo za zamani zilikuwa moyoni ..kama kweli put ❤
Daaah TBT waanajuaaga sna
Kipengele cha solo sijakisiia ferooz basi tuliza nafsi pole sanaa kwa mkasa wa boss tuombe mungu aondoe mikos
Ferooz enzi izo ndo mlikua mna imba mziki wenye ujumbe mkali sio leo wana imba ume chukua umeweka uwaa
Sikapenda kipande cha SOLOTHANG hamjakiweka,feruz basi,
Jamani wa 198.. Na 199.. Pia early 200.. CD's... Hizi zilikua ni moja ya Bangs zetu. 2024 nipo glad na feel the music one of the legends.
2024 goes ==> 2025 zilipendwa gather here 💽 🇹🇿
Ayinag shombo nc Song my brother 🎉🎉🎉🎉❤
Feruzi basi tuliza nafsi
Pole kwa huu Mikasa wa bosi
Tumwombe Mungu, aondoe mikosi. Achana na visasi utakuja jijutia.......
Dah vers ya solo thang haipo😢
MSG delivered ferooz ni mwamba Hizi ndio nyimbo tunahitaji za mafunzo.upande wa pili mukae kwa kutulia
Nyimbo za zaman nikali sana zinaishi matukio yaleo safi sana brooo big up
Twende pamoja na watoto zetu na wadogo zetu wa 2000 kwani huu ni wakati wao ... for this time...ulio tengenezwa na wakati wetu ndani ya nyimbo hii
Timu Sir Nature Juma Nature tujuane❤❤❤❤❤❤❤🎉
Umegongewa na si mayai wala mlango much love from Kenya 254 🔥🔥🔥🔥🔥
Wanangu hiki ndiyo kitu ambacho
Ulikisaau Mr ferooz
Wimbo freshy lakini mie hapo pa bora niangamie ng'o namtimua naleta mwingine maisha mafupi kujipa stress
Radha kama hii tumeikosa kwa mda mlefu sana safii sana umetukumbusha enzi zetu za furish age🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Verse ya Solo thang ilikuwa na namna sana pia💪🏿
Wamezingua sana.
Kuna watoto hawadandishi kit'u apa......ila siie wa miaka ya tisini