Nakukubali sana 20% fanya urudi kwenye ramani Kwani unakipaji unique kumbuka matuzooo yakooo Tz kipaji kama chako hamna!! Just chill andika mizigo onana producer wako man water man maji mtafanya Wonders , _ kitaa fans wako tupo ✓ 🎉❤️. Work on this plz!!
Mm sio mnyaturu ni mzanzibar ila napenda sana watu wanaothamin tamaduni za kikwao na kujivunia na kwao, hii song nzur san ilitakiwa ifanyiwe video wapatikane wadada wakinyaturu warembo halafu waicheze kimila zaidi itapendwa sana na kupata views wengi sana, Zanzibar Ukhaya😊
Jaman na mkubali kinoma 20 asee❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanauwana, Jirani zetu wanaulizana. Wenzi wengi ni vijana, mbona wale wanaimba sana.
Mbona wale washirikina wanafanya ma kafara? Wasitufungie riziki wazikuze bishara za kwao.
20% baba mi shabiki wako toka kitambo sana nakukubali sana aisee MUNGU Akurinde sana WEWE NI NEMBO YA TAIFA LETU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿📖📖📖📖🙏🙏🙏🙏
Wapili mimi like Zangu jamani
Bgap %20 njooooobaba tunakupali
Safi sana 20kutoka ifakara
Usiachane naye bro anajuwa tchana vizuri munaendana
20 unatisha ngoja tuone Yamm naww
Ili song angeshilikishwa best naso ingeua Sana fanya kitu na best naso itakua pw zaid
Watu wanaimb vzr baad muwapongeze nyiny mnatak like sjui mkoje
Nakubali iyo
20 naikubali asilimia chache zenye maana cyo mm no 1 alafu mziki tee baba m ni twenty pekee na wengine marejendar
Kama media zikimpa nafasi huyu mwamba, atasumbua sana Kwa soko la East Afrika
Yani hinyimbo ninzuli kweli
safi kaka nakubali unachofnya reggae nzuri,inaujumbe,mziki wakuish,namimi nafnya reggae nataman kufnya naww kaka
We kamanda hongera Sana
This good music for brother is super dong
Wimbo mazuri sana ndugu,kutoka Kenya tumeupenda sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
uyu mama ni noma mazeeee
Mungu azidi kukuinua kakangu
Burundi unatuburudisha vya kutosha 20%
Nakukubali sana 20% fanya urudi kwenye ramani Kwani unakipaji unique kumbuka matuzooo yakooo Tz kipaji kama chako hamna!! Just chill andika mizigo onana producer wako man water man maji mtafanya Wonders , _ kitaa fans wako tupo ✓ 🎉❤️. Work on this plz!!
Kweli twenty wewe niwakuigwa mana naona vinaja wako umewakomaza vizuri
Ongera sana bro!
umerudi kaka
Wewe n'a alikiba muko walimu tena muna kipadji nandimi bino 🇨🇩
Big up
Poa sana
Good sana , mi hua nacoment kabla sijasikiliza cos najua unajua 20
Chozi limelengalenga sauti hii mwalimu wangu
Jaman mupo vizuri from congo
Ww ndio msanii wangu katka maisha yangu yote bro mungu akusimamie kwa kila hatua unayo Piga ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Drucula bado sana, Collabo zako na Nas B ndo zilikuwa zinabamba.
Achia wimbo wa Magufuli YASIYOWEZEKANA KUMBE YANAWEZEKANA ni mzuri sana.
Nyie ndugu c mrudi kwenye gem 2namic voice na maneno matamu
Naamini kabisa Tanzania tuna vipaji vingi vya Reggae ni vile tu hakuna ma meneger wanaoamini katika reggae! A bless young bro!
20 pacent like hapa
Respect Mzee parcent.
Good song, naenjoy sana hyo combination
Tunataka mziki mzuri kama hyo
Kaka badilisha upepo wa hii gemu ulidishe eshima
Yes mwamba huyu hapa
nakubal kaka kimanz1
Bro wewe siyo 20% bali 100%
Unajuasana
Sina comment likes Kwa 20power
Nanisauti kweli
Songa mbele mwana witu
Nakupenda Twenty 20%
Saut yangu nimeipenda endelea kutupa magoma tusikusahau bro mi ni shabiki yako
Motomoto usingoje uzime utakosa moto
Barikiwa 20% usonge mbele zaidi
HAPA, NI KUTOKA MONZAMBINQE, NIMEIPENDA IKAZI, 🎹🎙🔥🔥🔥
Namkubali 20 power sana kuliko msanii yeyote ❤️❤️
hatar
Kenya tuko lock kimoma collaboration na 20% akina Dracula kaboooom
Big up sana 20%
Goma Kali
Maile mbishi, ebl drucula mmeua Sana ngoma ni Kali balaa
🔥🔥🔥🔥🔥
We appreciate all the best you do
This is from the United States
Keep it up
Always God knows our lives
Sauti Yangu📢📢📢. Daaah Sichoki kazi zako broo
Izi ndo nyimbo zinatakiwa kiwa na pigwa😂sehemu zote nmaana hata kanisani inaenda iyi, maadili mema, ushauri, mafunzo
Always you are the best to me 20 percent 🔥🔥
Sijawahi kkupinga mzee habar ujumbe mkali huna habar nao.
hamjawahi kuniangusha from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Boom hii..moto sana 100%
Bro you can sing 🎤 just keep it up and you never disappoint 😭🙈🙏
Ungekuwa unajua jinsi gani watu tunavyo umia Kwa ajili yako maana kukaa bila kusikia sauti yako ya garama na mafunzo tunaumia sana
Bien vraiment
Aiseee mpo vizuri sana 20 tumekumiss.
Vipi wezangu mii 80% nawatafuta tuungane tuwe 100% tuulemishe ulimwengu plz
A Wallah nyimbo nzuri na kipaji bado kipo
Tuli kumiss sana bro 🔥❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nmefurah kk kukuona umerud kwenye game
You never Disappoint me my dear friend
Uishi milele boss,
Yungwa
Aukoseagi 20 power we are togethe👊
Ngoma imepangwa ikapangika ❤❤❤❤❤ one love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Natotela lesa wandi aa mungu karudisha heshima ya musc
Namkubali Sana huyu kaka
nyimbo kalii👏👏
Asilimia ishirini nakukubali sana Brother 💪👏👏👏
Cyo mia
Respect for you
inapendeza sana ebl dracula
I was really missing you from Burundi 🇧🇮
Good music,alimond from congo
yaani nyinyi mkipiga goma la pamoja munaua sana
Safi sana 🙏🙏🙏👍👏👏🙏🇨🇩
20% please post MAMA Neema tena pleaseeee ‼️‼️
Mm sio mnyaturu ni mzanzibar ila napenda sana watu wanaothamin tamaduni za kikwao na kujivunia na kwao, hii song nzur san ilitakiwa ifanyiwe video wapatikane wadada wakinyaturu warembo halafu waicheze kimila zaidi itapendwa sana na kupata views wengi sana, Zanzibar Ukhaya😊
God bless you 20 %
Nice song ...wengine wamebaki kutoboa mapua
20% your 100%
That's great music and vibe 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe kali Kaka bukuashe tu
Mwalimu wa mziki yaani wewe ndo mwenyewe....
Wimbo mjuli sana
🔥🔥🔥🦅🦅
💥💥💥 noma sana ngoma kali
Nakubali 🔥🔥🔥🇹🇿✍️
You are always there bro 20% wewe ni wajuu japo media kama vile hazikuoni kwa harakati zako
Power
Jah bless Asilimaile
We like your music to much bro ,