Naomba uunganishe na silisi za maigizo kupitia nyimbo zako Mimi naona kabisa unachoimba nakile unacho andika unamaanisha ni stor ya kueleweka ukiweka mfumo wa seanson itapendeza Zaid na mashabiki tutaongezeka zaidi
Sio " nimeikubali sana hii nyimbo" bali ni " nimeukubali sana huu wimbo" Nyimbo = wingi Wimbo = umoja Jamani eeh, tujitahidi kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili
20% Mungu akubariki sana mimi hata usipoimba tena nyimbo zako zile zile nitazisikiliza milele mpaka kufa kwangu mimi furaha yangu kubwa ni hivyo tu ninavyokuona ukiwa mzima wa afya ya mwili na akili
TUMERUDI KATIKA MISINGI YETU YA MIZIKI. GOOD MUSIC, GOOD SOUND. SASA NAELEWA KWA NINI MZEE WANGU ANASIKILIZA NYIMBO ZA 20 PERCENT. TUENDELEE KUELIMIKA NA KUBURUDIKA.
haya ndio maisha uaukweli pray for might Allah type ujumbe watatiii ww ukumbuke umezaliwa na kipaji iyo ni super power from might God bless 2% and druculer 🙏🙏🙏
Wengine wananipenda, baadhi wananiponda Wengine wananisifia, wengine wananipondea Sitoweza kuwatenga, sitoweza kuwatenga Hata kama wakiponda daima nitawapenda Wanaona nawabana, wao kuwa nayafanya Hali hii itakuwaje mi nitapoiaga dunia Wengi watalia, wengine watafurahia Siku itakapofikia mi utappoiaga dunia Wengi watalia, wengine watafurahia Siku itakapofikia mi nitapoiaga dunia Kwani kufa kufaana Na wengine kifo waaniombea Kwani kufa kufaana Na wengine kifo wanakuombea Nikifikiria kifo, kulala siwezi Sihitaji mpenzi na sifanyi ushenzi Nahitaji nikae tu, nimuombee Mwenyezi Siku ya kifo changu anipende mama kafi Ukimaliza kuteseka unakwenda kule Ile ndio nyumba ya milele Haina hodi hodi, haina kodi kodi Ukimaliza kuteseka unakwenda kule Ile ndio nyumba ya milele Haina hodi hodi, haina kodi kodi Maisha ni kutoka kisha kucheka Yaani ukishafika juu ni kudondoka Umepita kwenye raha shida ni balaa Pumzi umeshakata ndo unapanda motokaa Mpende mama mtenge baba ndicho umejenga The way utacholipwa ndicho umetenda Tuko up tuko down muda unakwenda Tupo njia ya Kanumba na Papa Wemba Dada mama, baba unanitenga Zikifika nitaondoka bila kupenda Unapojenga ukipenda funga renta Nitazima ka mshumaa kisha nakwenda Naona kunadondoka pigwa panga Chini hakuna godoro kuna michanga Mida ya kula modoo kufunga kanga Sasa legeza kidogo funga kamba Sitaki tena midoo nataka mwanga Upepo sina maji sina nipe sanda Ukimaliza kuteseka unakwenda kule Ile ndio nyumba ya milele Haina hodi hodi, haina kodi kodi Ukimaliza kuteseka unakwenda kule Ile ndio nyumba ya milele haina hodi hodi, haina kodi kodi
20% , Mungu akujaliye Neema maana mimi kufwata songs zako ni kama kwenda shule, nasubiri song Yako kwa ajili ya kifo cha Magufili, wengine wameimba ila hawaimbe, nakusubiri , hii song inaniachiya neno kubwa ila fanya ngivu, ipo siku natakuona live, greet drakula
Nilikua wew ukiachia hukosei una mashaili yakufundisha sio kama wasanii wengine matusi tu Hakuna mafundisho sema Ile igizo ya Fulaha iko wapi brother ulisitaliwa kupewa tuzo ya wagizaji bora Tanzania kipindi kile ulijenga watu wengi nakuwatia moyo ukatufundish vijana
I have been following 20 percent since I was young. I Used to love his song "Mama Neema" because this song is the story of my life. I was also abandoned. From Malawi but a Tanzanian by from Kilimanjaro.
Nice music song Kaka Bado tupo na wewe Usije hisi upo pekee Yako🙏🙏🙏Mungu Akupe Nguvu na Akili Zaidi usiangalie mwenzio kafanya Nini angalia unahitaji Ku-focus Vip 🙏🙏
Broo kama broo abass hamis naelewa sana kazi zako
Naupenda Sana muziki wako wa bila matusi wapi like zake
Merci
Naomba uunganishe na silisi za maigizo kupitia nyimbo zako Mimi naona kabisa unachoimba nakile unacho andika unamaanisha ni stor ya kueleweka ukiweka mfumo wa seanson itapendeza Zaid na mashabiki tutaongezeka zaidi
20twent percent ukweli nyimbo zako zina ujumbe mzito mno mbaka machozi yananitoka mungu awe na wewe❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimeikubali Sana hii nyimbo Kama umenipenda nyimbo hii achia like
Sio " nimeikubali sana hii nyimbo"
bali ni " nimeukubali sana huu wimbo"
Nyimbo = wingi
Wimbo = umoja
Jamani eeh, tujitahidi kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili
Unaona wenye nyimbo zao hadi moyo wangu unapatwa na hofu big up sana 20
Nakunali muziki hii dungu
Daaah,😪😭 kama una amini huyu jamaa bado yupo vizuri kwenye game basi dondosha like yako hapa twende sawa.🔥🔥
Hakika
Hakika
Kaka muziki unaju sana ,sema matokeo wanapanga wao, Yote tumwachie MUNGU. Achia nyengine.
Jaman like kwa Percent hakika kaka anaweza gonga like kama umeyakubal aya mashail
Nikisikia kifo hata kulala siwezi 😭😭😭 nyumba ya milele hakuna kodi ,like Kwa 20%
We acha tu
Safi sana kazi nzuri
Wimbo mzuri sana nime ukubali
Asante twent
Twenty percent Ni mutu mwingine sana kwa nyimbo zisizo na matusi na zenye kuleta ujumbe muhimu,, like nyingi kwake twende sawa.
Poa poa
Wewe ndo msanii KIOO cha JAMII wewe ndo maana halisi ya muziki .
Nipeni like za LEGEND za kutosha.
Peace ✌🏽nad Love ♥️
Msanii wangu wa mda ote tz twenty percent mtunzi Bora kabisa
Kama umerudia kuicheki zaidi ya mala mbili Twende sawa🇹🇿
Daaa machozi aisee Niko Zambia mimi najiskia kuja tz yetu 20%paaa waonyesha turiipamoo mwandii
Hizi ndio nyimbo sasa achana Na kelele za siku hizi 20%asilimia chache sana lakin ina vitu vyingi ndan yake 🙏🙏🙏🔥🔥🔥
20% Mungu akubariki sana mimi hata usipoimba tena nyimbo zako zile zile nitazisikiliza milele mpaka kufa kwangu mimi furaha yangu kubwa ni hivyo tu ninavyokuona ukiwa mzima wa afya ya mwili na akili
Indelea kuifunza dunia baba..natamani hata siku moja nikuone uso kwa uso daah!! 🇨🇩🇨🇩👋👋
Yupo karib ukiwa dsm tutakupa namba umpigie video call umuone wala usjal karib sana
20%mungu akutie nguvu kwakweli❤❤❤❤❤❤
Kabla sijaangalia nimesha-like coz huna kazi mbovu
🔥🔥💖 bonge la wimbo napendaga sana kusikiliza huu wimbo jaman
Daaah mwamba anajua Sana like za kutosha 🙏🙏🏼🙏🙏🏼💪💪💪
Unaweza kaka
Daima nyimbo zako zina ujumbe sio kama wengine wanaimba mapenz tu
Kama umemwelewa huyu nguli wa muziki shusha like zako hapaa 🔥🔥🔥🎶🎶🎶🎶🎵🎻
🔥🔥🔥🔥
Daaaa hiyo ngoma Mzee kari kinoma
@@hassandaud5308
.
g g g
Nakukubal Sana rasta
Ukovizuri kaka
Wewe ni mtu wa muhimu sana kwangu na wengine maana mimi najifunza kupitia nyimbo zako mungu akupe miaka mingi na heri duniani 20%
We ndo mflme wa muziki tz👑👑20 paa % asilimia chache sana🙏🙏🇹🇿❤️❤️
Kwann niseme uongo bn, hyu jamaa ninamkubali sana tangu enzi na enzi, hajawah haribu katika mziki, welcome back our legend 20%
Noma sana
Dah maile hakika ww ni mwanamuzik hodar Sana IPO cku tz na Africa nzima itaelewa we ni nan
Hii ngoma inatukumbush kumrudia na kumkumbuk mwenyezi Mungu Kila wakati.
Kabisa yani
2024 mko wapi? huu wimbo nausikiliza zaidi ya mala 1000 kwa siku✊✊ keep like
Tupo Pamoja sana 🤝🙏
Yaani mwamba huyu dah namkubali sana Mungu akujalie ndugu yangu yaani nyimbo zako zinaamasisha
Itabaki daima milele yongoma ukitaka ubaki miaka 10 Uimbii iyo itakua Hit milele 20%🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yani uyu ana mpinzani jamani
😢😢😢 Kamtaja Kanumba na Papa Wemba 😢 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama unajua kwamba kaburi ndio nyumba yetu ya milele bula hodi hata kodi dondosha likes zako
Muandishiii wa mzikii Kati ya waandishii hongeraa Sana kingg
Unajua Sana mzee baba mtu unasikiliza nyimbo unatulia Kama unanyolewa Ani big up asilimia 20
Nakubali unatulia kama unanyolewa para ..bonge LA ngoma
Nzuri sana
Shujaa Hafii hua anatulia Kwa mda wapeleee music
TUMERUDI KATIKA MISINGI YETU YA MIZIKI. GOOD MUSIC, GOOD SOUND. SASA NAELEWA KWA NINI MZEE WANGU ANASIKILIZA NYIMBO ZA 20 PERCENT. TUENDELEE KUELIMIKA NA KUBURUDIKA.
Iyo nikweli ndugu yangu
Umenifurahisha sana kurudi kwenye gem nikikosa laha Kabisa kwakushitaki milikiwa sina nilikuwa malikia moyoni bado malo HUSSEN machozi
Sijui kwanini Nimechelewa kusikiliza ngoma kama hii.my legend is back 🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍
Lui c'est le vrai, cette chanson met fait pleurer 😭😭😭😭 donc soyons calme.
Aisee twent huyu jamaa anajua sansana br💯💯 big up
20 Nihodari Sana muziki wake unahisia Sana nauna kumbusha Jambo big up
Ngoja safi sana kaka twenty tena inaujumbe sana
Hizi ndo zenyew sio Kama zile za TUNAWEKA WAAAH
Nakukubaligi sana Kaka Siyosiri Nahishigi nawewe moyoni mzee wa mashairi yakikubwa💪💪
haya ndio maisha uaukweli pray for might Allah type ujumbe watatiii ww ukumbuke umezaliwa na kipaji iyo ni super power from might God bless 2% and druculer 🙏🙏🙏
The best Msanii ,wimbo mzuri kutoka kwa Msanii Mbunifu 20% forever # softreggae@Muonekano mzuri
Wengine wananipenda, baadhi wananiponda
Wengine wananisifia, wengine wananipondea
Sitoweza kuwatenga, sitoweza kuwatenga
Hata kama wakiponda daima nitawapenda Wanaona nawabana, wao kuwa nayafanya
Hali hii itakuwaje mi nitapoiaga dunia
Wengi watalia, wengine watafurahia
Siku itakapofikia mi utappoiaga dunia
Wengi watalia, wengine watafurahia
Siku itakapofikia mi nitapoiaga dunia
Kwani kufa kufaana
Na wengine kifo waaniombea
Kwani kufa kufaana
Na wengine kifo wanakuombea
Nikifikiria kifo, kulala siwezi Sihitaji mpenzi na sifanyi ushenzi
Nahitaji nikae tu, nimuombee Mwenyezi
Siku ya kifo changu anipende mama kafi
Ukimaliza kuteseka unakwenda kule
Ile ndio nyumba ya milele
Haina hodi hodi, haina kodi kodi
Ukimaliza kuteseka unakwenda kule
Ile ndio nyumba ya milele
Haina hodi hodi, haina kodi kodi
Maisha ni kutoka kisha kucheka
Yaani ukishafika juu ni kudondoka
Umepita kwenye raha shida ni balaa
Pumzi umeshakata ndo unapanda motokaa
Mpende mama mtenge baba ndicho umejenga
The way utacholipwa ndicho umetenda
Tuko up tuko down muda unakwenda
Tupo njia ya Kanumba na Papa Wemba Dada mama, baba unanitenga
Zikifika nitaondoka bila kupenda
Unapojenga ukipenda funga renta
Nitazima ka mshumaa kisha nakwenda
Naona kunadondoka pigwa panga
Chini hakuna godoro kuna michanga
Mida ya kula modoo kufunga kanga
Sasa legeza kidogo funga kamba
Sitaki tena midoo nataka mwanga
Upepo sina maji sina nipe sanda
Ukimaliza kuteseka unakwenda kule
Ile ndio nyumba ya milele
Haina hodi hodi, haina kodi kodi
Ukimaliza kuteseka unakwenda kule
Ile ndio nyumba ya milele haina hodi hodi, haina kodi kodi
Anipe mema makazi cy anipende mama kafi
Big up
Hakika 20 wewe ni mwamba nakupenda sana..mungu akuinue tena bro👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Haukoseagi maneno unatufundisha mungu kakupa kipaji ACHA NAHAWA WAJINGA WA KUTUIMBIA UJINGA NYINGIII
Yeah King. Mziki wako unaishi. Jah guide n protect...👏
RIP George Kilanga Maganya Mungu ni mwema Kwa yote, ata anayetuonea ataifikia nymba île Mungu anamuona
20% , Mungu akujaliye Neema maana mimi kufwata songs zako ni kama kwenda shule, nasubiri song Yako kwa ajili ya kifo cha Magufili, wengine wameimba ila hawaimbe, nakusubiri , hii song inaniachiya neno kubwa ila fanya ngivu, ipo siku natakuona live, greet drakula
Wewe ndiye musani unaye towa vitu vya uhakika vyenye maadili (endelea kutoa vitu)
Safi sanaaa.miondoko ya legelaga power
Ukweli ktk viwango vya juu sana 20%, Hongeza kwako na Timu yako
Kaka unajua sana..unatufundisha sisi vijana tunaopitia mengi na haya maisha ...be blessed our beloved Brother 🙏🙏🙏🙏
Nimependa wimbo huu sana, kwanini sikusikiliza hii zamani najuta.
Sijawahi kukupingaa
Angusha like yko ap tujuane tunao mkubali mwamba
Nikiwa malawi namsikiliza 20% . vipi wew ukiwa wapi? Gonga like
Nmukbali sana twenty mungu ampe Maisha marefu🤲🤲🤲
Kali
Goodtwenty
Wa congomani🇨🇩 dje tupo wapi kwaku msapoti huyu mwamba♨️🔥
Eeeeeeeeeeeee..... Very congregations@20per hakika we umeonyesha kuwa ni nguli wa mziki mhhhh keep it up bro
Sijui nikuweke kundi gani Kaka 20% tambua wew ni mwanaume kweliii kweliii ktk music good brother.
Nakukubali sana tujuane wanao sikiliza wimbo huu 2024🔥🔥🔥🔥🔥
Dah!! Mwamba aisee kal saan
Safi Sana 20 per % sijawahi kuona ukiimba nyimbo zinazo husu mapenzi ,unaimba kitu kipo real in our life
Nilikua wew ukiachia hukosei una mashaili yakufundisha sio kama wasanii wengine matusi tu Hakuna mafundisho sema Ile igizo ya Fulaha iko wapi brother ulisitaliwa kupewa tuzo ya wagizaji bora Tanzania kipindi kile ulijenga watu wengi nakuwatia moyo ukatufundish vijana
Daahh mpaka naliya 😭😭😭jama anajiwa sana💯🔥🔥🔥💪🏽
Legend dh bad tup nyum ako
Mziki tulio kuwa tunasubiri umefika big up brother 🧡❤love from Australia ❤❤🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺
Aloo natamani one day nitoe wimbo na uyu mwamba
Kizazi kinapotea Kaka 20% tuokoe please okay my brw.
Twenty we nakukubali sana, nakupata wilaya mueda msumbiji
Respect 20% umetisha kaka
Hongera kwa ujumbe mzuri percent Mungu akulinde
Jamaaa anaweza sanaaaaaaaa
,20%nakukubali jipemoyo mungu hamutupi mjawake
Namkubali huyu ndugu. Kweli kipaji hakipotee alikuwa ametuhacha na kihuu cha mziki, nahona katukumbuka tena. Vraiment nalingi nzembo oyo makasi. Kutoka Canada 🇨🇦🇨🇩🇳🇦
20 pasent mzee wa tuzo 5....nakukubali
Huyu ndo mwamba 20 per 20 asimiaile nguli huu ndo mziki tulioumiss
Sijuwi ulitosha wapi neno kama izi,kwakusema kweli uendeleye ivo ivo tuuu. Congratulations man🎊🎉🎇
Legendary @@@
#kazi nzuri sana always!!!
Oner love ujio mpyaa wa 20 wengi tumefulahi ❤ ❤ kama naww umependa ujio wake like kwa wingi hapo
Dude kama rege hivii sema 20 fundi sana kaka yangu
Tupe makali man.Sema wachanaji sio mpango ,hii nyimbo ilienda poa bila huyo jombaa.Anaweza ila sio kwa hii.Asante
I have been following 20 percent since I was young. I Used to love his song "Mama Neema" because this song is the story of my life. I was also abandoned.
From Malawi but a Tanzanian by from Kilimanjaro.
Huyu mwamba anajua sana mimi ni shabiki wake mkubwa kila akitoa ngoma lazima niitafute, saluti kwake
Kama unamkubali huyu Mwambaa shusha like zako hapaa 🔥🔥🔥🥰
20 power unajuwa Imbaaaaa sana music bakuache ako kaka
Ancoo kaz nzr nakubar xana
Duuuh unamaanisha kaka mpaka tunaogopaa!!
Nimekuelewa Sana kaka
Kweli kaka unaimba siwezi kukulinganisha daimond
I'm here since 1k na sasa ni 1002k mdogo mdogo tunarudi kwenye game. Kazi nzuri 20%👏👏👏
Nice music song Kaka Bado tupo na wewe Usije hisi upo pekee Yako🙏🙏🙏Mungu Akupe Nguvu na Akili Zaidi usiangalie mwenzio kafanya Nini angalia unahitaji Ku-focus Vip 🙏🙏
Good 20%
This man is GOAT he deserves more one of the most underrated legend ⚜️⚜️
Mungu bado hajatuonea huruma afute hii ki2!
Nice Song Mzee Baba, one love, Tuijenge Jamii
Safi kaka tengeneza bendi ya rege boss, imelda vizuri
Mziki wako mzr br ila toka urud naona mzki wako unapooza sana kila ngoma naziona km zinaendana uwezo wako sote tunaujuwa dua 20%
Twenty asante Kwa ujumbe mzuri✍️🔥