20 Percent Akiimba na Watu Wake 72 ya JK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @patrickmkude6968
    @patrickmkude6968 2 роки тому +14

    💪💪💞💕sijawah kuchoshwa na nyimbo zako Toka umeanza kuimba....Mungu akuongoze katika mapambano yako 20% .... Tunakuomba Rudi tena kwenye game sisi watoto wa tandale tunajivunia wewe

  • @degwaboy8128
    @degwaboy8128 2 роки тому +48

    Dah mpaka Raha Sasa hv naona mafuta na maji yameanza kujitenga nilikuwa na Iman ipo cku moja utakuja kurud kwenye game Ila nilikuwa cjui ni Lin naona Ile cku imewadia wale wenye mziki wa big jii kwishney Sasa hv watu wamechoka matuc, shukran Sana clouds Fm shukran (mh) kikwete na jopo lote mlioamua kuturudushia mwanamziki bora wa muda wote TZ 20 POWER, MAILE MBISH BIG UP SANA MWAMBA

  • @djkayumba
    @djkayumba 2 роки тому +17

    Punch imekata kabisa mkali wetu sema sio mbaya cha zamani kipewe heshima Asante sana Kaka 20%

  • @marosylvester2851
    @marosylvester2851 2 роки тому +6

    Kwa upande wangu nakumbuka Enzi za nyimbo yako kiukweli zinaujumbe wenye kima na kiarifu.unaswawiri dhana ya uyakinifu wa simulizi.from Mwanza TZ@sele one .hasa mama Neema ni real fact in our society.salute 20%

  • @sanaanimaisha4072
    @sanaanimaisha4072 2 роки тому +46

    20% ni msanii mkubwa sana. Ona hadhira inaimba Naye, na ukiangalia wakati anahiti hadhira kubwa ilikuwa changa, lakini wanazijua nyimbo zake. Hongera sana 20%.

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 2 роки тому +13

    That Natural Voice from 20PA.... Lovely

  • @izzoboy
    @izzoboy 2 роки тому +14

    20 pacent ni musanii ambae alikua mkl Sana so never disappoint

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 2 роки тому +9

    Duuh!! Namtambua 20% siku sote maana mashairi yake yana ujumbe mzuri kwa sisi vijana, hata hivo sauti yake ni ile ile tokea mwanzo👏👏👏

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 2 роки тому +6

    mh alikua anapata hisia kali sana kwa kweli 20 percent nyimbo zako zilikua zinz hisia sana kusaga msaidie huyu jamaa

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 2 роки тому +28

    Huyu ndiye msanii mkubwa TANZANIA. Congratulations BROTHER 20%♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥

  • @sylasmusic6773
    @sylasmusic6773 2 роки тому +5

    Namkubali sana huyu jamaa kwanza vitu vyake vyote vinaelimisha sana kwetu bangi likikubar halimtupi mtu piga kazi %20

  • @charlesgervas7566
    @charlesgervas7566 2 роки тому +4

    Daaaah hakika nyimbo zake hua zinanituliza akili nikianza kuzisikiliza
    Maana zinaingia kwenye mishipa ya damu
    Hakika huyu ni bonge la legendary mkubwa sana i love him so much

  • @bahatipeter6304
    @bahatipeter6304 2 роки тому +161

    Tukatae tukubari tanzania 🇹🇿 hii hakuna anae weza andika nyimbo yenye radha na mpangilio wa vina kama 20%.kama unaungana na mimi gonga like

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 2 роки тому +8

    kunawasanii wana power tz hadi siku watakapokufa huyu mwamba anapendwa sana aiseee

  • @farajajosephat6022
    @farajajosephat6022 2 роки тому +3

    MI NI UPCOMING ARTIST PIA,,LAKINI 20% NAKUKUBALI MPAKA KESHO,,I CAN'T EVEN EXPLAIN THE FEELING BRO!! WEWE NI MAANA HALISI YA LEGEND!!! MAISHA MAREFU SANA

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 роки тому +7

    Da huyu mtu ametunza sauti ,mpaka Leo ipo vizuri,

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 2 роки тому +18

    Yan nyimbo za kitambo lkn Hadi sasa inasikilizika mpaka sasa ado unainjoy

  • @zakiaramadhan6976
    @zakiaramadhan6976 2 роки тому +5

    Duuuuh!!nmejikuta nadanlod hizi nyimbo aiseee nakumbuka mbal Sanaaa,huyuuu Kaka ni msanii mkubwa sanaaa

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 2 роки тому +10

    Good voice 20% natural 👏👏

  • @nehemiamollel3186
    @nehemiamollel3186 2 роки тому +14

    Stay blessed King 20%

  • @abrahamanidd1860
    @abrahamanidd1860 2 роки тому +3

    Dah nafrahi sana kumuonaga huyu bro akiskika tena maana tulimic kipaji chako tulimic mziki wako pia nafrahi kwakua tupo wengi ambao tunaendelea kukuamini na wengi wanakushangilia wewe ni moto bro turejeshee vitamin music tena

  • @anthonymururu4046
    @anthonymururu4046 Рік тому +6

    Legend always 💪💪

  • @GidionNgala
    @GidionNgala 5 місяців тому +1

    Asilimia ishirini,,,,,,,❤❤❤❤ kenya nakupenda sana

  • @nassornassor4402
    @nassornassor4402 2 роки тому +3

    Huyu ndio msanii wang boraa wa muda woote💪💪

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 2 роки тому +8

    20 nyimbo zako zitaishi miaka 1000 tizama mashabiki wanavo furahia nyimbo za Sasa ivi gidi hazinampango wowote

  • @PhilipAndrew-et3nq
    @PhilipAndrew-et3nq 8 місяців тому

    Yaaa ukizingumzia wasaniii ambao sjawahi kuchoka nyimbo zake nyimbo nzuri zinaishi pia zinagisa kabisa maisha yetu yote ya mtaani kak mungu akupe maisha marefu sana

  • @fyneboy9646
    @fyneboy9646 Рік тому +2

    20 yani nalia nikisikia nyimbo zako kbs na flm ya nema kbs upagawe kabisa Asante sana

    • @jamesmwanyula5434
      @jamesmwanyula5434 Рік тому

      20% nakupenda Sana naonaga nyimbo zako nafika mbari sana

  • @lovirinaa
    @lovirinaa 2 роки тому +13

    😢❤legend as always

  • @NduwayezuMarc60-zb1uh
    @NduwayezuMarc60-zb1uh Рік тому

    Hongera mkuu 20.nasisi warundi tu nyuma yako

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 2 роки тому +8

    Msanii kapiga show kistalabu sana hapo wengine ugesikia weka mikono hivi wakati nyimbo zao siyo za kucheza

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online Рік тому +3

    Aendelee kupewa heshima yake daima🙏🙏🙏

  • @jnkb257tv5
    @jnkb257tv5 Рік тому +1

    Love from burundi

  • @workbizy4853
    @workbizy4853 2 роки тому +6

    Huyu jamaa ni org clouds heb mchukuen japo kwenye fiesta haf mtanambia atakacho fanya

  • @hamzaeleuter8268
    @hamzaeleuter8268 2 роки тому +11

    Daah sijui nyota, msanii Mkubwa ambaye historia yako inajieleza

  • @fanuelsulle6039
    @fanuelsulle6039 2 роки тому +18

    Nimemwona mheshimiwa jakaya kikwete aliyemwona kama mimi gonga like 👍

  • @saimonking4958
    @saimonking4958 2 роки тому

    jakaya anapelekwa na vibe la banged sema ndoiv 😂😂😂😂

  • @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
    @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt Місяць тому

    Huyu jamaa aliweza sana Raha ,na burudani kwa sana simfananishi na yeyote

  • @jamarmuddy9212
    @jamarmuddy9212 2 роки тому +2

    Mungu ampe maisha marefu hii ni tunu yetu

  • @nostressfreedom8615
    @nostressfreedom8615 2 роки тому +7

    Waoooo😢❤🔥🔥🔥

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 2 роки тому +5

    Mimi 20 kwakweli nikimsikliza Anita machozi

  • @uwasevalantine9206
    @uwasevalantine9206 Рік тому +3

    Fire 🔥 🔥🔥❤️❤️❤️👍

  • @witnessniclass3777
    @witnessniclass3777 2 роки тому +2

    Nikiskiza nyimbo hiz mbaka mwil unanisisimkaa😍😍

  • @yusuphthabiti1394
    @yusuphthabiti1394 2 роки тому

    Kaka kazi unaweza sema hyo Shetan aliyo kupanda ndio kahalib kila kitu

  • @PoloMerengaly
    @PoloMerengaly Місяць тому +1

    Nani anamjua polo merengaly anawasalimia gonga like kama Salam imekufikia

  • @costantinevedastus8536
    @costantinevedastus8536 Рік тому

    Much love 😻

  • @hypolitehabonimana6671
    @hypolitehabonimana6671 Рік тому

    Twenty power anaweza kweli kwake hakuna mpinzani

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 2 роки тому +1

    SAIVI UTASKIA
    GIDI!! GIDI!! GIDI!!
    GAGA!! GAGA!!
    Mpuuzi mtupu😁😁😁😁😠😠😠😡🤬😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😬😬😬😬

  • @murugaisaya6681
    @murugaisaya6681 2 роки тому +8

    Nyimbo za way back zinaishi mpaka leo

  • @AslausKnylon-bn1jr
    @AslausKnylon-bn1jr 9 місяців тому

    Yani always nazimiss sana nyimbo zake test nyimbo forever

  • @bishensadock8233
    @bishensadock8233 2 роки тому +7

    Be blessed 20%

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 2 роки тому +5

    Uyo ndio anaweza kushinda na simba kibongoo

  • @hamissfesto6492
    @hamissfesto6492 2 роки тому

    Bad man 20 pacent atareeeee💪💪❤️

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 2 роки тому +4

    Mameneja mko wapi msaidieni twenty wekezeni hela kwake bado anakitu

  • @StanislasFbf-e4i
    @StanislasFbf-e4i 10 місяців тому

    Félicitations mon frère

  • @kel500
    @kel500 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥👌👌👌huyu jamaa ni konyooooo

  • @shomaribani2164
    @shomaribani2164 2 роки тому +4

    Big brain

  • @seangraceswt8037
    @seangraceswt8037 2 роки тому +1

    Aisey kumbe Bado yupoo

  • @fatumasaidi497
    @fatumasaidi497 2 роки тому +3

    Nakukubali sana

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 2 роки тому

    Good music brother 20 p

  • @jumabidery5051
    @jumabidery5051 2 роки тому +1

    Huyu mwamba nyimbo zake Bado zipo so hot

  • @FelixMatiabo-cn9qm
    @FelixMatiabo-cn9qm 4 місяці тому +1

    2024🎉

  • @richardmosses6776
    @richardmosses6776 2 роки тому +3

    Mwambaaaa 20 paaaa ni firee ase

  • @kefamkv3743
    @kefamkv3743 2 роки тому

    Ila cameraman huyu dada alovalia nyeusi
    Mbona ulimuandama kias hiko😄😄😄

  • @ZebedayoLazaro-y3z
    @ZebedayoLazaro-y3z 4 місяці тому

    napenda sana mziki wa zamani kama huu

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 2 роки тому +1

    Asirimahire 20% nyimbo zako zote nzuri sana ,nakumbuka bado kambini Nyarugusu nyimbo zako zote zilivuma vibaya binamu alipenda mama neema mpaka walimpanga baba neema.

  • @mcdj_tonnizo_muxeed
    @mcdj_tonnizo_muxeed 2 роки тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Motoooooo hot 🥵🥵🥵🥵🥵🥵

  • @shadrackniyomukiza9045
    @shadrackniyomukiza9045 Рік тому +1

    Miziki yako na ikubali

  • @saleheathuman4904
    @saleheathuman4904 Рік тому +1

    NDUGU HUJAKOSEA ILA WATU WAMETAWALI NA NYIMBO ZAMATUSI NI NYIMBO AMBAZO HAZISHI ILA KWA NYIMBO 20PA NOMA SAMA

  • @touches4lifeonlinetv46
    @touches4lifeonlinetv46 2 роки тому +1

    Jamaa anajua haujifichi yaan

  • @kulukusantutv3541
    @kulukusantutv3541 Рік тому +1

    Twenty atabaki kuwa mkali wa Tanzania miaka na miaka

  • @tmpbusinesses1205
    @tmpbusinesses1205 2 роки тому

    Kwa kwel 20 alimkosha mh rais mstaaf nani anabisha jamn,,,,?!?
    Na ndio inatakiwa iwe hivyo, wimbo uguse hisia za hadhira. Thanks 20 pa

  • @gabrielwilliam4822
    @gabrielwilliam4822 2 роки тому +4

    20% fund sana ww bigup mwamb

  • @shadrackniyomukiza9045
    @shadrackniyomukiza9045 Рік тому +1

    20% percent unaua sio poa akuna ata tusi

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga8051 2 роки тому

    20% uyu ndio kioo cha jamii ..2022 here we go

  • @ELIFASIMwigema
    @ELIFASIMwigema 3 місяці тому

    Mfuniko ni 20: miaka lak. Wengine matusiiii tupu.

  • @mhmundenga5519
    @mhmundenga5519 Рік тому

    Merci beaucoup

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Nampenda hatar
    Daaaaa nakumbuka mbali

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 2 роки тому

    Noma sanaaa

  • @emmanuelluhozya3909
    @emmanuelluhozya3909 2 роки тому

    jamani tunampenda musani huyo adileo tunaomba muturushie nyimbo ya sasa ya mwaka wa 2022 🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 2 роки тому

    Noma San,Huyu jamaa afanye arudi kwnye sanaa

  • @petermwalyene814
    @petermwalyene814 Рік тому +1

    20℅ pacent ni hazina ya nchi

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 2 роки тому +3

    Noma kweli

  • @jumabidery5051
    @jumabidery5051 2 роки тому +1

    Namkubali huyu mwamba kuliko wasanii wote kwa hii dunia

  • @MaxicM
    @MaxicM 3 місяці тому

    Munngu akuinnuwe kaka 20%

  • @ndevuemcee3000
    @ndevuemcee3000 2 роки тому +1

    Huyu jamaa hatumii uwezo alonao vyema. Ana heat songs na voco kali sana ila uwezo wake wa kupiga show ni mdogo na hasa matumizi ya hizi play back ndio zinazidi kumfanya awe mzembee.

  • @AdrianHenry-tl6sc
    @AdrianHenry-tl6sc Рік тому

    Noma sana mwamba

  • @jossephgorge522
    @jossephgorge522 2 роки тому

    Nakubari sana

  • @SynphorienZamukul
    @SynphorienZamukul 2 місяці тому

    rudisha samani ya muziki kwa mahadili ya africa

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 роки тому +3

    %20🙌🙌🙌azichuji

  • @alfredyego1664
    @alfredyego1664 Рік тому

    Living legend

  • @MartinDaridajega
    @MartinDaridajega 7 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅😅 bangi bangi

  • @kingayoubshabani2551
    @kingayoubshabani2551 2 роки тому

    Dah..!! Ila 20%

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 роки тому +1

    Katka wasanii wote kwenye show hii huyu ndio alifanya kweli kwa wote waliokuwepo hapa

  • @eddyclassic8996
    @eddyclassic8996 Рік тому +1

    20bmkali wao milele

  • @jacksonchristopher6310
    @jacksonchristopher6310 2 роки тому

    Mzee wa kazi sasa utawaua wqtoto wa sasa mana umekuja na moto

  • @osman8ziro906
    @osman8ziro906 2 роки тому

    Man walter man maji asilimia ni ile ile 20%

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 2 роки тому

    Super Nyota 💥💥💥💥20 percent

  • @allykivunja5511
    @allykivunja5511 2 роки тому

    naangalia hapa watu wanaimba huku wanafurahi tena wanaimba kwa hisia na sijaona 20 kuvua shati ,kuwamwagia watu maji ,kuwaambia watu wapige makelele mzee kikwete huyu twenty ni icon mpe njia

  • @frankkibira9147
    @frankkibira9147 2 роки тому

    Nzur sanaaaa

  • @BobByamungu
    @BobByamungu 10 місяців тому