AMPLIFAYA: 20 PERCENT ASIMULIA FREEMASON WALIVYOMFUATA AJIUNGE NAO “UKIACHA KUTESEKA HAUTATESEKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 Рік тому +17

    Wewe ni Mwanamuziki wa kizazi kipya uliyeandika tungo nzuri sana zenye mantiki. Hongera sana kwa msimamo wako duniani tunapita tu. Hakika pambana utabarikiwa. Allah SW Anatosha .

  • @irengebarhabana12
    @irengebarhabana12 Рік тому +18

    hongera saana 20%.wewe ni mshindi ndugu yangu twenty..mema iko mbele Mungu ata kulipa tu,kwani Mungu ni mwaminifu kwa wanao muamini na kumutegemeya🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤝🙏🙏

  • @simonheavenlightshoo1503
    @simonheavenlightshoo1503 Рік тому +55

    Moja ya msanii niliyekuwa namkubali kipindi nasoma primary Ni twenty per cent 👏👏👏😅

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Рік тому

      20 percent anakubalika na kila mtu anaejua mziki mzuri

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +25

    Yesu Kristo azidi kumtunza Twenty percent

  • @mussasebatiano4787
    @mussasebatiano4787 Рік тому +6

    Sana Daddy kula jasho yako mtu wangu maana tamaa mbaya ulisema nimeshuhudia yakitokea kwa Sharo ngwea Kanumba na wakina recho nawengine kabis

  • @hamzalipuye7198
    @hamzalipuye7198 Рік тому +16

    Tokea zamani nampenda sana 20, yaani huyu jamaa ni mkweli kuanzia uimbaji wake na hata kauli yake nje ya muziki na huko mkweli pia kwenye maisha yake,

    • @AmaniCosmetix
      @AmaniCosmetix 9 місяців тому +1

      Tunakwnda nawakati tupakulee

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Рік тому +6

    From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @saiddimarley8445
    @saiddimarley8445 Рік тому +1

    Nakukubali mia kwa % Acha tujenge ahera Duniani tunapita.Kula kidogo uridhike usije ukawa kama hao wengine.Big up to you bro

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 Рік тому +8

    Life is spiritual
    20% Mkubwa Mungu mwite anaitika na yeye ni mwema sana kwetu

  • @redpromediat.o.tstrongteam1679
    @redpromediat.o.tstrongteam1679 Рік тому +13

    We twende tu,kwani hao unaowatesa nimewaumba mimi. Asante sana 20% . Nimekuelewa sana.

  • @ainealazaro7321
    @ainealazaro7321 Рік тому +12

    Jamaa ana upeo mpana sana so wonderfull

  • @Intertainment_896
    @Intertainment_896 Рік тому +5

    Kimbilia kwa Yesu Kaka ndiko kwenye salama na uzima hawakupati ng'o ukiwa Huku ila ukiendelea kubaki huko asee Neema ya Mungu ikufunike shetani ameona kitu kwako

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu Рік тому +5

    Maua yako 20% Mwamini Mungu atakupa kwa wakati wake, kiukweli nyimbo zako zina ujumbe mzito.

  • @msilangamusoma1502
    @msilangamusoma1502 Рік тому +7

    Mirady uko vizuri karibu sana geita

  • @MamaFahady-wu4wk
    @MamaFahady-wu4wk Рік тому +9

    Nmekuelewa twenty... Nimekuelew maisha ya dunia. Nimapito. Tu

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 Рік тому +21

    Pole sana 20% msanii uliyeni motivate sana

  • @jumaally2469
    @jumaally2469 Рік тому +4

    Tusimame kwenye iman na tumuombe mungu atuongoze

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum Рік тому +13

    Mtu Tatu ndani ya Track Moja, Ebhana hii Team Ninawaelewa sana.. Ishini tu hamna baya.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Рік тому +12

    Kaka 20 percent umenifundisha kitu nimekukubali nakushsuri mtafute YESU KRISTO kuwa ni mkombozi wa maisha yako

    • @jescameck7027
      @jescameck7027 Рік тому

      Mwenzio Muislam.. unataka asaliti dini ksa ww? Wamemshindwa Freemason utaweza ww... Mungu Ni mmoja.

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 Рік тому

      ​@@jescameck7027hee nguvu ya YESU KRISTO na freemason vinalingana?? Acha utani basi

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 Рік тому

      Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri

    • @EzekiaMichael-jn5np
      @EzekiaMichael-jn5np 10 місяців тому

      Nimempa ushauri tu kaka 20 Wala siko kwenye utani alinielewa ameelewa kua namshauri amfuate alie shinda kifo na Yu hai kama ni mtazamo ni huo mtazamo wangu

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 Рік тому +18

    Dunia ina mambo mengi sana mungu tulinde baba

    • @hot2music
      @hot2music Рік тому

      ua-cam.com/video/fEjoxeRyNKU/v-deo.htmlsi=0rz7ABFTq-HfEnJZ

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 Рік тому +11

    Mungu awe nawe 20%.Ila Mungu ni Mungu tuuu.

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 Рік тому +15

    Nawapenda sana nyie watu❤❤❤

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs Рік тому +6

    Brother w mtangazaji unaakili sana unaelewa chap

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia Рік тому +9

    Nyie mnapeleka maana kwenye utapeli, lakini sie tunajua jamii hiyo ipo na inaweza kufanya hayo, na ndivyo inavyofanya. Richa ya kuwa wapo matapeli wanaweza kufanya namna na wao. Ila binafsi siwezi kumpuuza 20 na hoja zake

    • @ScolaMwansasu
      @ScolaMwansasu 10 місяців тому

      Ungekuwa kwenye dunia yake ungemwelewa

  • @IsaacIsaya-ii2co
    @IsaacIsaya-ii2co 6 місяців тому

    I like your decision,keep up

  • @KAROKIATV
    @KAROKIATV Рік тому +2

    Milladr ayoo ndo rolemodel wanguu namkubaliii sanaaaa naomba unipe sapoti kaka please

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 Рік тому +6

    Sema twenty mswahili sana kama hujui kutafsiri hauwezi kumwelewa

  • @AlbertYangson
    @AlbertYangson Рік тому +10

    Maisha ndivyoyalivyo chamana nikumcha Yesu

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale Рік тому +7

    Nimecheka kweli,,,et "unaweza ukacheka usimaanishe"😅😅😅😂😂😂

  • @MASASILASGROUP
    @MASASILASGROUP Рік тому +1

    I love so much free mason.

  • @bless-2002
    @bless-2002 Рік тому +1

    Best presenter of me is millard ayo

  • @robertanold6846
    @robertanold6846 Рік тому +5

    Jamaaa anajibu vizuri sana

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +2

    Pole cn 20 zote ni changamoto za maisha kikubwa ni kumuamini mungu tu

  • @hilmykassim903
    @hilmykassim903 Рік тому +4

    awa watu wapo wengi wa mtandao wa frmson , walishawai nifata adi maelekezo yote adi kuja kufata tuongee ili tufanikishe

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +3

    20% nakukubaliiii since day one mpk mwishooo

  • @einsteinchacha5797
    @einsteinchacha5797 Рік тому +2

    WaTanzania wengi hawajui maana ya Freemason, kila ushetani unatafsiriwa kama freemason.
    Freemason ni Taasisi ya kawaida tuu ambayo inasaidia sana katika sector tofauti tofauti Tanzania

    • @AbdulMichael-g4o
      @AbdulMichael-g4o Рік тому +1

      Unaumwa mavi wewe eti taasis ya kawaida je Kama ni taasisi ya kawaida unajua nn kinaendelea kwenye mahekalu yao.

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 9 місяців тому +1

    Daaah hii kali mzee du

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 Рік тому +2

    Ukisema humpendi 20%ujue maisha yako yanakusumbua na una hasira na kila mtu

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 Рік тому +2

    20% ni msanii wangu bora wa muda wote na nyimbo zake zinaishi milele

  • @AhamadiMussa
    @AhamadiMussa Рік тому +80

    Leo mimi wakwaza nipeni maua yangu

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 Рік тому +2

      Kuma wewe halafu mwanaume mzma unasema nimeni mauwa yangu

    • @EsaPoju
      @EsaPoju Рік тому

      @@handenitakuru6696 kwaiyo mwanaume mzima atukane sio

    • @modekaijames
      @modekaijames Рік тому

      ​@@handenitakuru6696😮😮mbona mzee una hasira

    • @Dipeson700
      @Dipeson700 Рік тому

      Aaah kmk😂😂😂😂

    • @Max9_captain
      @Max9_captain Рік тому

      ​@@handenitakuru6696😂😂😂😂😂

  • @OlivierKayige
    @OlivierKayige Рік тому +1

    Fire burn Dem ...meditation ya Hali ya juu toka kwa 20%..real rastaman

  • @frankkitelugwa9261
    @frankkitelugwa9261 Рік тому +16

    Kusema na ule ukweli, nimemis ile amplifier ya zamani, ya habari 10...

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Рік тому +6

    Nawapat Kutoka 🇺🇸, Nakubal Xan Ila Watanzania Msahidiyeni Twenty20 Anahali Ngumu Xan Kihukwel

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji Рік тому +1

      Sasa wamsaidie nn maisha ndivyo ya livyo nikupanda nakushuka kawaida tu 20 wew utamsadia nn kwaapo alipo kila kitu kakifanya uyo kamaliza kikubwa Aishi kikawaida

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h Рік тому

      Wewe hutaki kumsaidia maana huyo mungu tu yupo mbinguni anatusaidia sasa wewe hapo marekani jirani kabisa mtumie hela hata kwa M pesa😂😂😂

    • @katibampya8442
      @katibampya8442 Рік тому

      Uwe marekani afu hujui kuandika?

  • @JonasMasinde-x6r
    @JonasMasinde-x6r Рік тому +4

    20percent mimi huwa ninakukubali sana wewe ni kijana uliyebalikiwa sana Mwenyezi Mungu akili na ujasiri na maneno ya hekima

  • @howardbillionaire
    @howardbillionaire Рік тому +9

    kama waijua definition ya the real rastaman gonga like sema #wagwaan

  • @waragaronline578
    @waragaronline578 Рік тому +9

    Me nahisi kama kweli clouds wanataka kutoa msaada Bora wamdaidie 20 maana huyu jamaa ana akili kuliko chidi

  • @chenge3223
    @chenge3223 Рік тому

    Napenda interview zinatokea milard ayo

  • @jamaliselemba
    @jamaliselemba Рік тому +25

    Aseee😢😢 sema jamaaa namuelewa sana 20%

  • @aslam_musa4190
    @aslam_musa4190 Рік тому +4

    Kwanza cjawahi ona anaye tongozwa kueka jambo hadharani sasa hata kama kweli ukisema ndo nini, kikubwa aache bangi na ubishi atafanikiwa. Bila shaka alifuatwa tu na matapeli na si vinginevyo, vitu usivyo vijua na visivyo na maana kwako si vya kufikiri.

    • @mallemaOg
      @mallemaOg Рік тому +2

      We nae freemason

    • @daimavlog
      @daimavlog Рік тому +1

      Yes ni matapeli wa kibongo wanamcheza

    • @daimavlog
      @daimavlog Рік тому +1

      @@mallemaOgfreemanson wasikie wewe hawako hivyo.

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Рік тому +16

    Uku USA ni kanisa kabisa. Milan Ayo ukija Ohio Dayton nitakuonyesha uingie mwenyewe ila mimi nitabaki nyuma😂

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 Рік тому +13

    Mirlad mbona unazungumzia kiunyonge sana ikifika swala la kutaja Freemason yaani kama autaki kuongelea sana kama nafsi inakusuta hivi kuna nini kwani?

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +4

    Mtu wa peponi InshaAllah 🙏🙏🙏🙏

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 Рік тому +3

    Hayo mambo hamuwezi kuyaelewa mbaka muyakute mm nisha kutana nayo hayo na hao huwa hawa kulazimishi isipokuwa wanakushawishi ili ww mwenyewe na nafsi yako uingie😢😢

    • @daimavlog
      @daimavlog Рік тому +1

      Siyo kweli wamejaa huku ulaya na hawafanyi kazi kiivyo. Hao ni fake wachawi tu

  • @dashdiane
    @dashdiane Рік тому +6

    Hv kuwa na gari ndo kuwa na maisha mazuri,twenty akili kubwa

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Рік тому +23

    Ndio maana Vanesa mdee alijiongeza. Nimekundua wasanii ambao sio matajiri wamekataa masharti Ya kuzimu. Lakini Hamonaiz amesha imba kwamba mziki ushetani

    • @behindzscenes3826
      @behindzscenes3826 Рік тому

      kwenye wimbo gani huo

    • @edsongamuga7375
      @edsongamuga7375 Рік тому +2

      Kushoto kulia

    • @ismailabbas4197
      @ismailabbas4197 Рік тому

      Muziki ni ushetani kweli we huoni Mzee yusuph pamoja na kutubu na akaenda kuhiji lakini bado alirudi kwenye musiki , sababu tayari alikuwa ni member wa freemason na baada ya kuamua kuacha muziki walimpokonya kilakitu na kumuacha mweupeee.... Kwakuwa hakuwa tayari kuyaishi ya tabu na hakuwa na (YAKINI) moyoni ndiomaana akarudi tena kwenye muziki lakini maisha yake bado ni yatabu tu kama zamani

    • @onesmomelkiol813
      @onesmomelkiol813 Рік тому

      Wimbo unatwa dunia by harmonize

  • @damianmachira7535
    @damianmachira7535 Рік тому +2

    Kumbe Katekela alisema kweli majamaa yalikuwa ya na mtafuta pole ila MUNGU nimwema mtumaainie Mungu

    • @AbibornAlex
      @AbibornAlex 11 місяців тому

      Hii ni kweli nimeikumbuka na mimi, katekela aliwahi kusema hata tuzo wao ndio walimpa, alipogoma wakamfuta kwenye music industry

  • @anoldkavishe9223
    @anoldkavishe9223 Рік тому +3

    Good 🎉🎉

  • @servantofalmightygoddranth2511

    Kuna pointi kubwa Sana ameziongea huyu jamaa 20% kuhusu freemason ndio msanii wa kwanza wa nyimbo za dunia kuweka kazi mambo ya freemason, YESU KRISTO ALIE HAI AMLINDE maana akina diamond,ali kiba wamejiunga uko na wasanii asilimia 90% wa sasa wapo huko na wanatoa makafara

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Рік тому +1

      Una ushahidi wa hayo uyasemayo!shida yenu hamuamini uwepo wa Mungu!mnacho amini kuwa maskini akifanikiwa utaskia mara Freemason mara mchawi hayo ni mawazo mgando!Mungu umpa amtakae na ndoma huwa hamfanikiwa mana mshaamini bila ya shetani haiwezekani!hacheni hayo mawazo mgando Mungu anatosha mafanikio hayana mwenyewe!!

    • @Max9_captain
      @Max9_captain Рік тому +1

      umeongea pumba sana

    • @servantofalmightygoddranth2511
      @servantofalmightygoddranth2511 Рік тому +1

      @@Max9_captain wewe ni shoga mwanaume huwezi kuwa mbeya nani kakuita kwenye comment yangu unafokonyolewa mkundu wewe

    • @servantofalmightygoddranth2511
      @servantofalmightygoddranth2511 Рік тому

      @@adaboychibu1659 HATA JEHOVAH MUNGU ANAJUA kuna freemason sasa wewe mshindia maharage kutwa kujamba mishuzi inayonuka unabisha nn au na wewe mmoja wao ndio maana hamna nguvu za kiume marinda mlishatolewaga nyie

    • @Max9_captain
      @Max9_captain Рік тому +1

      kwenye ubongo wako kuna tundu la kuma, hizi comment ni za public kama vip ungemtumia ayo inbox maelezo yako yakishoga frimason ya mamaako fanya kazi tafuta hela utafirwa kuma wewe

  • @Bushman000
    @Bushman000 10 місяців тому

    20% yuko bright sana kwenye tungo, the way anaongea tu unaona ni mwandish mzur

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому

    huyu 20ni shuja wa aina yake duniani mungu akurinde sana 20 paa

  • @gentiljabpretty
    @gentiljabpretty 5 місяців тому

    Majibu ya akili ❤❤

  • @Fadhili-gz6gb
    @Fadhili-gz6gb Рік тому

    Milado ayo hhhhhhhhhhh tunakujua upo humoooooooooo bwege wanaichi wanajua kila star ninani sema ALIKIBA TU SIO FRMSON

  • @lusticabernad9982
    @lusticabernad9982 Рік тому +12

    Leo mimi watatu, nipeni likes zangu

  • @trapqueen7885
    @trapqueen7885 Рік тому +1

    Karibu mbeya Bro

  • @roswithernaaly1332
    @roswithernaaly1332 Рік тому +2

    Napenda sauti ya vidoo

  • @Suleiman99
    @Suleiman99 Рік тому +5

    Unaweza ukacheka usimaanishe nimeioenda Sana hii 20%

  • @mgallahson3650
    @mgallahson3650 10 місяців тому

    Ukiwandoa wanamuziki wa zamani akina Marijani ,kizazi hiki 20% ndo mwanamiziki Bora wa hiki kizazi

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 11 місяців тому

    Jamaaa kafanikiwa kiakili sana ,.

  • @deovisual
    @deovisual Рік тому +4

    Duh! Hii shughuli kweli kweli, 😢

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto Рік тому +6

    Wale jamaa hua wanafuata watu wenye vipaji tu.

  • @trapqueen7885
    @trapqueen7885 Рік тому +4

    Hii interview inalugha ya kisanaa sana

  • @issahamisi674
    @issahamisi674 Рік тому +12

    nmewah skya kwa wale wakenya mtu na mkewe😢😢

  • @ZachariaNgesse-el1ge
    @ZachariaNgesse-el1ge Рік тому +1

    Nakuhakikishia huyo boss wenu wa millad Ayo, mwenyewe hapo nae ndie walewale waabudu shetani, 😏🤗na anajua kinachozungumzwa sema anajitoa ufahamu

  • @nasekawanga1737
    @nasekawanga1737 Рік тому +2

    Sio kweli awajamfata uyo we unafikili wangemfata asinge kubali😅😅😅

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Рік тому

    Huyu jamaaa ni stopper..... Yaanii ni machine VIP

  • @AkyooHosea
    @AkyooHosea 11 місяців тому

    Use na msimamo uwo Mungu atakutetea

  • @fadybeatz
    @fadybeatz Рік тому

    😂😂. Icho kicheko kinaboa , cjuh pombe cjuh bng

  • @ShakieBebe
    @ShakieBebe 11 місяців тому

    Na wamemsuuza kweli, huyu baba alishine sana😢

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Рік тому

    miradiAyo 😂😂😂😂 nakuonaaa nakuzoooom 😂😂😂😂 kula chumaa hiyooo
    Ole wakooo..... Utie Neno hapo 🤣🤣🤣🤣 zuga zuga hivyo hivyo baba hatukamwiii kulalekiii

  • @ImeldaPetro-g8h
    @ImeldaPetro-g8h Рік тому +3

    Binafsi Nmeierewa hii nasubiri pa2

  • @rizzsafi9989
    @rizzsafi9989 Рік тому +2

    Mmmmmmh jamaaaa kaongeza kweli na vitu vipo

  • @emanuelmichael5295
    @emanuelmichael5295 Рік тому +1

    20% nyimbo zake ni zenye ujumbe mzito ulioakisi maisha halisi ya watanzania. Na pia zenye adabu unaweza sikilizwa na watu wa rika lote sehem yotote sio hawa wasasa matusi matupu na videos za uchi

  • @yrwa313
    @yrwa313 Рік тому

    Inaonesha ni kweli hao f masoni walimsaidia ila tuu yeye alikataa na ndiyo maana anateseka Mpaka leo

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA Рік тому +6

    Hana cha freemason bangi nyingi tu

  • @juniorwiseprophet1240
    @juniorwiseprophet1240 Рік тому +2

    Nikweli huwa woote waliojiunga huwa hawacheki kiuhalisia wengi wanadanganyika na wasanii wakubwa na maisha yao kumbe hawajui kua wakikaa pekeyao wanalia

  • @malkiakinyemi5282
    @malkiakinyemi5282 Рік тому

    Yn nilishawai kusikia awa fremason wakikupenda wanakufata wenyewe

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba Рік тому +1

    Miradi ayo ni freemason mkubwa nandio maana ataki ata Kusikia.....yeye miradi ayo freemason ndio wamemuinua....wamempeleka mpka ugerumani nizaidi ya mara mbili kwaiyo miradi ayo ni freemason mkubwa sana uyo jamaa

    • @samiahJoseph
      @samiahJoseph 11 місяців тому

      ndo naelewa kwanini amepoa boss kubwa😮

  • @haddrazee8848
    @haddrazee8848 Рік тому

    Yaani bongo bila gari we ni maskini😂😂😂😂 yaani nyie mnawaza gari tu kwenye maisha hili mtombe wa toto wa watu na cyo biashara wala manyumba

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 Рік тому

    Waulize waliokutangulie utajuta, Dimond yuko kibihashara

  • @AfroMedic
    @AfroMedic Рік тому

    Hakuna freemason wowote kwa 20% , shida huleta mawazo na fikra za ajabu ajabu

  • @KikofiaMwanda
    @KikofiaMwanda Рік тому

    Namkubali sanaaa

  • @danielkenedy4357
    @danielkenedy4357 Рік тому +4

    Bangi sio nzuri. Ona madhara yake

  • @AbdukareemYusuph
    @AbdukareemYusuph 3 місяці тому

    Mbaya

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +16

    Wamemuona ana kitu ndiyo maana

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 Рік тому

      Ukweli Uko hivo, hata wanatoa tuzo wako kwenye mnyororo wa rucifer ,na baadhi wanazan Ni matapel wake kwenye mitandao ya Sim Ila huyu jamaa anaficha baadhi ya maneno hawez kuwataja directly Ni fran.

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 Рік тому +7

    Watu msichukulie poa mambo haya yapo dunian nmesoma comment naona mtu anasema Bangi mara nn ujue ukiwa katka mzunguko fulan wa kaz zako ndio utaona hasa chenye ufahari saana dunian lkn kwel hawa jamaa wanamtafuta mtu kama una nyota ya kuwashawsh watu kwa jambo fulan ishu izi zipo n kumuomba MUNGU azd kuepusha tu

    • @svt3
      @svt3 Рік тому +1

      Acha upuuzi Freemason wamutafute mtu sawa 20% ? Tuna ishi karibu na kanisa lao na hawatafute mtu mbona Africa tuna akili za chini? Labda waganga wachawi ndio mnaitaka Freemason

    • @faabymusic
      @faabymusic Рік тому

      ​@@svt3asa Freemason akufuate wewe utampa faida gani!!
      Freemason wanafuata mtu ambae ana talent,, au ana mkusanyiko wa wawatu,, ndomana wana fuata had wasanii,, kwaajili mxanii ana futwa na watu wengi xana,, aaya kaka niambie we unafuatwa au una angaliwa na watu wangapi😂😂
      We utafuatwa na babu wa tanga utajiri bila kafara

    • @svt3
      @svt3 Рік тому +1

      @@faabymusic sio talent ya kimadkini ya afrika dunia ya tatu, hao wakunuka uchafu tz ndio unasema talent those you think they have talent ni talent ya njaa

    • @faabymusic
      @faabymusic Рік тому

      @@svt3 apo una nipanga bro!!
      Kwaiy tz haina watu weny talent??

    • @svt3
      @svt3 Рік тому +1

      @@faabymusic sijakataa talent ziko na level, talent za tz ni za hapo tz sio eti Freemason wanahitazi talent za tz wazifanye nini? Talent za tz zitasaidia Freemason na nini ?

  • @AmaniCosmetix
    @AmaniCosmetix 9 місяців тому

    Wambieni 20 paa cent aache mziki atafute kazi nyengine aache kiki

  • @yavanjaphet997
    @yavanjaphet997 Рік тому

    Hii ni muvi kabisa bonge la sesson

  • @leonardaugustino4072
    @leonardaugustino4072 Рік тому

    Jaman huyo ni20% sio chid benz, apo tuelewane kidogo.

  • @EmpireMoviesNseries
    @EmpireMoviesNseries Рік тому +1

    Hahaa!!!! misamiati yake naipenda mwamba!!!!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому

    Kuna hicho kipengele cha freemason kila mtu uso umekuwa na huzuni kulikoni hamnishirikishi 😂😂😂😂