Asante Mchungaji,kweli mimi nawambiaga English is my third language. Wanakuwa interested kujua my first and second language,ambacho ni Kihaya na Kiswahili.Niko proud sana. Utukufu ni wako Yesu Kristo wa Nazaleth .
Yesu wangu ni kumbuke na kutumainia kweli wewe ni mganga mukuu ku zidi wanganga wa duniani ni wewe una neno juu afia zangu na mume wangu na watoto wangu
Mtumishi Yehova akirinde maana. Unatoa siri ambazo wengi wamefumbwa midomo yao. Nikama unajiripua. Yehova akurinde sana. Pia yesu atusaidie kutufumbua macho ya lohon. Barkiwa sana.
Asante Mchungaji,kweli mimi nawambiaga English is my third language.
Wanakuwa interested kujua my first and second language,ambacho ni Kihaya na Kiswahili.Niko proud sana. Utukufu ni wako Yesu Kristo wa Nazaleth .
Asente pastor you are my hero natamani nitembee kwa nyaya yako
Nabarikiwa sana na injili yako We We ni mtumishi wa kweli tunauombea Baraka na ulinzi wa Bwana
Following from Nairobi Kenya so much blessed pastor
Bwana leta msaada waki hushumi ndani ya famillia yangu
Uko mkoa gan
Nabarikiwa sana nikiwa kitandan kwangu tarime MUNGU akubariki sana mchungaji
Yesu wangu ni kumbuke na kutumainia kweli wewe ni mganga mukuu ku zidi wanganga wa duniani ni wewe una neno juu afia zangu na mume wangu na watoto wangu
Amen 🙏
Asante mchungaji. Kwa kutugunza Mungu azidi kukubariki , Tumebatikiwa sana
Asante Sana pastor kwa neno nzuri la MUNGU
Amina, Mungu atukuzwe.
Ameeen, mtumishi wa Mungu.
Damu ya yesu ika okowe mahisha yangu
Ahsante Yesu kwa neno lako na ufahamu wako umenielewesha hii hekima, ninaomba uendelee kuachilia mafunuo yako juu mtumishi wako ameen🙏
Naomba waumini wa SDA mwenye namba za pastor Mbaga anipe tafadhali❤❤
Paster niombee kazi imeanguka gaki
Amina ubarikiwe na Bwana
Amina Amina Amina barikiwa pia
Bariki kaz ya mikono yangu
Ubarikiwe san
Hubarikiwe mtu wangu kwa kazi unaendeleya kuzifanya mtandahoni kwakutu djenga
Amen
AMEN
Kwa kweli mchungaji unanifurahisha sana, ubarikiwe na Bwana
Amina
Mushungaji mungu akubariki sana kwa mahubiri mazuri
Amen 🙏
Amen!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki kwasomo zuli Sana mchungaji
Pr kumbuka familia ya msichana wangu cate and Mike
Mtumishi Yehova akirinde maana. Unatoa siri ambazo wengi wamefumbwa midomo yao. Nikama unajiripua. Yehova akurinde sana. Pia yesu atusaidie kutufumbua macho ya lohon. Barkiwa sana.
Amen
Aminaaaaaa
Nikumbuke kazi yangu
😂😂😂😂
Amen
Amen