KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    Unaweza Tuma Sadaka yako MPESA number +255 753 333 008
    #jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

КОМЕНТАРІ • 255

  • @Ivycedric25Wambua
    @Ivycedric25Wambua 8 місяців тому +10

    Naomba mungu anibariki siku moja watu uku nje waache kunidharau i need respect one one day,,,,Amen God is with me in Jesus name

  • @ChanceKalire
    @ChanceKalire 5 днів тому +1

    Mimi ni chance mucongomani anaye ishi uganda kama mukimbizi.nimezowa kufiata mafundisho yako kwenye mutandao ya UA-cam,kweli nimezbarikiwa na mafundisho yako mutumishi wa Mungu ime nisogeza mahali fulani katika maisha ya ukristo.acha mbingu zi nene mema juu yako.

  • @GraceZunda
    @GraceZunda 3 місяці тому +2

    MUNGU naomba nipate kibali nikubalike kwenye biashara yangu na familia yangu ipate kibali katika kazi zao kwa damu ya YESU Ameeen

  • @NoellaBilembano
    @NoellaBilembano Місяць тому

    Ubarikiwe niongee mtumishi wa mungu ili na Mimi Muwe nami Ali ubarikiwe

  • @RhodaKapaya
    @RhodaKapaya Місяць тому

    Naomba Mungu akaachilie kibali ndani yangu

  • @hffh7717
    @hffh7717 2 місяці тому

    Amen 🙏 ubarikiwe pastor

  • @annbonareri
    @annbonareri Місяць тому

    Amina mungu naomba kibali juu ya maisha yangu..juu ya familia yangu juu ya kazi yangu..juu ya nyumba yangu❤❤

  • @VeronicaJohn-l5s
    @VeronicaJohn-l5s 9 місяців тому +4

    Mwenyezi Mungu azidi kukutumia ili ss tuokolewe nimejifunz meng ukungu akubariki

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 17 днів тому

    Ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @MaryNginia
    @MaryNginia 8 місяців тому +3

    Mchungaji namka Saa Tisa usiku na ninalala Saa Tano usiku na biashara yangu hainisaidii inaisha tu😢😢😢

  • @RashidNyongesa
    @RashidNyongesa 7 місяців тому +1

    Naomba kibali Mungu ndoa irejeshwe na isimame

  • @paulostephano9221
    @paulostephano9221 9 місяців тому +4

    Nimejifunza sana mengi katika masomo yako pastor George

  • @AnnaBuritho
    @AnnaBuritho 7 місяців тому +1

    Napokea kibali cha kukubaliwa kwajina la YESU.Amen

  • @zaituniwambura2949
    @zaituniwambura2949 8 місяців тому +1

    Ni somo zuri. Sana ndio muda ninaopitia lakini naamini kuanzia muda huu nitakubarika Amen

  • @NitakaseKonga
    @NitakaseKonga 9 місяців тому +2

    Asante Mungukwa ujumbe mpya wa kunitia nguvu kupitia mtumishi Pastor Mkabwa.

  • @ElizabethMuthui-k5g
    @ElizabethMuthui-k5g 3 місяці тому +1

    Pastor may God continue blessing you always 🙏❤️👍💪,,,aki tangu nikujue kupitia mitadao ukiubiri neno la mungu ,,,nimejifuza mengi katka hii safari ya ki Imani 👏👏👏👏,,,

  • @annawanjiko2838
    @annawanjiko2838 8 місяців тому +1

    Mungu nipe kibali, pesa yangu iwache kupotea potea. Amen.

  • @FatumaNakamba
    @FatumaNakamba 8 місяців тому +1

    Mungu naomb Kibari nikubalike kila napokanyaga na kila nifanyacho Kipate kubali mble zako🙏

  • @rosemuia
    @rosemuia 9 місяців тому +3

    Amen Amen mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha my GOD bless you and your family growly to JESUS

  • @XavierManfred
    @XavierManfred 5 місяців тому +1

    Ameen napokea kibali kwa Jina la Yesu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 2 місяці тому

    Ahsante sana Mtumishi wa Mungu umefungua njia zangu haki nimejua nilipopotelea ! Kupitia huu ujumbe njia zangu zimefunguka

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 3 місяці тому

    Asante paster unaniponya

  • @janekanyonyo4768
    @janekanyonyo4768 2 місяці тому

    Mtumishi umbarikiwe sana nimejifunza mengi kutoka kwako Mungu azidndi kukuongoza

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 8 місяців тому +3

    Naomba kibali Mungu wangu

  • @ImanueliNyela
    @ImanueliNyela 8 місяців тому +1

    Mungu.nipe.kibali.nikubalike.kila.mahali.nitakapopita.amina

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 8 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana Baba ninakuelewa sana wewe hunilea kiroho sana Mungu akutunze

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 місяців тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana mutumishi wa mungu ❤❤❤❤

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 2 місяці тому

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Mungu wewe ni Mungu wa kweli! Zidi kunipa kibali chako kila wakati! Nipe kibali kitokacho kwako shusha malaika wako kwangu eeeeh! Mungu wangu

  • @merveillekavira1446
    @merveillekavira1446 6 місяців тому +1

    Baba mimi nimepoteza kibali changu mimi mwenyewe.Mungu anisamehe sana anirudishiye tena hicho kibali.

  • @beatricestanslaus3787
    @beatricestanslaus3787 8 місяців тому +2

    Napokea kibali kwa jina la yesu.

  • @JOSHUANASSARY-r9v
    @JOSHUANASSARY-r9v 7 місяців тому

    Amen pastor.Napokea kibali cha Mungu.

  • @Barakakny
    @Barakakny 8 місяців тому +2

    Naomba leo mungu anikubalie maombi yangu

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому +2

    Mungu naomba unipee Kibali

  • @oman5875
    @oman5875 3 місяці тому

    Amen,nimepokea kibali kuanzia leo kwa jina la Yesu 🙏🏿

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому +1

    Ameen pastor niombee nipate kibali

  • @barack2692
    @barack2692 7 місяців тому

    Amen napokea ktk jina la yesu aliye hai

  • @juliethkimario2454
    @juliethkimario2454 8 місяців тому +2

    Mungu naomba kibali mimi na familia yangu hatuna mtu wakutusaidia katika shida

    • @joycelanda8987
      @joycelanda8987 7 місяців тому

      Yupo Yesu aliye hai atakushindia

  • @ResparGirbert
    @ResparGirbert 8 місяців тому

    Amen Amen, Bwana naomba kibali chako kimaisha,na hata Huduma yangu nami nitakutukuza Bwana

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому

    Ameen and Ameen Our God is powerful

  • @SophiaSteven-nc1li
    @SophiaSteven-nc1li 4 місяці тому

    Asante yesu kwa neno hili baba ubalikiwe

  • @CatherineMwanjala-v8g
    @CatherineMwanjala-v8g 26 днів тому

    Kuanzia sasa natangaza kukubalika kwa jina la yesu

  • @NeemaDaudi-vp1eg
    @NeemaDaudi-vp1eg 3 місяці тому

    Nashukuru Mungu kwajili yako yote uliyofundisha ni mm kbsa kila neno ulilosema ni mm kaabsa

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 2 місяці тому

    Mungu nipe kibali cha kukubalika Nipe Neema ya kipekee itokayo kwako! Mungu niongezee kibali Mungu wangu!

  • @jacklinegodfrey2968
    @jacklinegodfrey2968 9 місяців тому +1

    Amina ubarikiwe sana 🙏 siku nikija mwanza natamani nikione nikuletee na zawadi nabarikiwa sana mahubiri yako

  • @jenifariwa2588
    @jenifariwa2588 8 місяців тому

    Mungu naomba unipe kibali nikubalike barua nilizoandika ipate kibali nipate kazi Amen

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому +1

    Ameen Ameen and Ameen Our God is powerful

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому +1

    Ameen pastor

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому

    Baba nisaindie nikubarike bwana Yesu Kristo wanasareti

  • @ketrinamakobwe9078
    @ketrinamakobwe9078 8 місяців тому

    Mungu nipatie kibali niweze kupata kazi nzuri

  • @christinaemanuelyusta4228
    @christinaemanuelyusta4228 7 місяців тому +1

    Mungu naomba unipe kibali kwenye biashara yangu niweze kutoka maana ninachangamoto.nipo chalinze naombee mnsaidie jaman

  • @ConfusedBakedCustard-go7vf
    @ConfusedBakedCustard-go7vf 7 місяців тому

    Napokea kibali cha kukubaliwa kwa jina la yesu ameeeeen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 місяців тому

    Mungu naomba kibali kubali mbele ya matifa mbele ya watu mbele ya makabila Bwana nisaindie nibe kibali hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 😢😢😢😢

  • @MaryKariuki-u8d
    @MaryKariuki-u8d 3 місяці тому

    Mungu nipee kibali nafanya kazi ngumu pesa hainisadii kil😢😢🙏

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 Місяць тому

    Hv where was I to know this pastor earlier?it's like God is speaking to me now kwa habari ya maisha yangu.

  • @JudithMokaya-kw8dn
    @JudithMokaya-kw8dn 7 місяців тому

    Mungu nipe Kibali maombi yangu napo omba yakubaliwe n napo omba maudui wanatoroka

  • @DeboraDaniel-i9n
    @DeboraDaniel-i9n 7 місяців тому +1

    Be blessed more pastor God may use you for more and more and you have a good message to on each reson

  • @GueenMwashambwa
    @GueenMwashambwa 3 місяці тому

    Mungu hakik unaishi ninaamini upon na uta

  • @SophiaEmmanuel-e3p
    @SophiaEmmanuel-e3p 5 місяців тому

    Umenitia moyo mtumishi wa mungu anipe kibali Kwa jina la yesu

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 8 місяців тому

    Mungu wa George napokea kabari na kukubalika kila mahari niendapo ktk jina la YESU 🙏

  • @luckyelijah8260
    @luckyelijah8260 7 місяців тому

    Pastor may God bless you for the powerful word.. nmengangana muda mwingi bila mafanikio bt now I have known the truth.

  • @Jane-h5n7u
    @Jane-h5n7u 8 місяців тому +32

    Naenda kazini kila siku na sipati kulipwa na watu wengi wamenizulumu pesa zangu kilasiku naanza maish mapya 😢😢 Mungu naomba kibali

    • @saumusulaiman4742
      @saumusulaiman4742 8 місяців тому +4

      😭😭😭😭😭the same me

    • @ElizabethLaizer-h5i
      @ElizabethLaizer-h5i 8 місяців тому +4

      We we ni mimi jamani, Ee Mungu nope kibali machoni pa watu wako, nipe kibali Cha kazi yangu ikubalike, nipe kibali Biashara yangu itambulike kimataifa,

    • @SandraNyota-cy6qn
      @SandraNyota-cy6qn 8 місяців тому +1

      Mungu atusaidie

    • @PeterChemos-f5m
      @PeterChemos-f5m 6 місяців тому

      Ww 2 book​@@saumusulaiman4742

    • @MariaJuma-q2k
      @MariaJuma-q2k 5 місяців тому

      Pokea kibali Cha kazi nakulipwa madeni Yako yote kwa jina la YESU KRISTO,kuanzia Leo hiyo Roho yakadhulumiwa naikemea juu yako kwa mamlaka ya JINA la YESU,utainuka tangu Leo nasiku zote zamaisha Yako hutorudi nyuma Tena.

  • @GraceNyau
    @GraceNyau 8 місяців тому

    MUNGU nipe kibali katika maisha yanayo endelea hapa duniani na familia yangu

  • @SaidAliSaid-r1s
    @SaidAliSaid-r1s 4 місяці тому

    Naomba mungu anipe kibali chakukubalika kila sehemu

  • @AnnaBuritho
    @AnnaBuritho 7 місяців тому

    Napokea KWA jina la Yesu.

  • @JudithMokaya-kw8dn
    @JudithMokaya-kw8dn 7 місяців тому

    Mungu nipe kibali nikubaliwe kazini

  • @ZipporahMakumi
    @ZipporahMakumi 7 місяців тому

    It's my prayer God will make me a walking testimony after listening to this sermon in Jesus name.🙏

  • @kanezajosephine461
    @kanezajosephine461 8 місяців тому

    Naomba muniombeye mume wangu apate kazi

  • @ZenaPeter-w7f
    @ZenaPeter-w7f 8 місяців тому +1

    MUNGU kupitia nenola mtumishi wako nipate kibali mbele zako MUNGU wangu

  • @NipherRubia
    @NipherRubia 7 місяців тому

    Amen nimezidishiwa na mungu

  • @isabellaluhombo2289
    @isabellaluhombo2289 8 місяців тому

    Naomba mungu nikubalike katika jina la yesu

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l Місяць тому

    Mungu nipe kibali

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 8 місяців тому +1

    Amen Pastor.

  • @priscamalombosimba7174
    @priscamalombosimba7174 8 місяців тому

    Mungu nipe kibali chakukubaliwa na kila mtu pia nikubariki siku zote

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 8 місяців тому

    Asante pastor kwa hili somo barikiwa sana Hallelujah

  • @alinebasimika
    @alinebasimika 3 місяці тому

    Mungu nipe kibali machoni pa wazazi wangu na familiya zima sina kibali tangu utoto wangu

  • @faryndobesa7600
    @faryndobesa7600 8 місяців тому

    Hamujambo bandung u mimi ninataka Mungu anipe kazi nzuri isiyo na matatizo nakukaamuda.mrefu na kuombeya watoto wangu 😅❤❤❤🎉

  • @nadzua1750
    @nadzua1750 9 місяців тому +1

    Napokea kibali leo kutoka kwa mungu amen 🙏 🙌

  • @ruthabed
    @ruthabed 7 місяців тому

    Mungu naomba kibali katika biashara zangu

  • @RukiaKipenzi-k9f
    @RukiaKipenzi-k9f 8 місяців тому +4

    Kuna mtu alinidulumu pesa nyingi sana so naomba mungu unipe kibali

  • @hopetweve9388
    @hopetweve9388 9 місяців тому

    Amina pastor ubarikiwe sana kwa kufanya nimefingukaa na kujua Niko ktk kiwango gani mie 🙏🙏🙏

  • @emmymongina5420
    @emmymongina5420 7 місяців тому

    Napenda kusikiza pastor 🙏🙏🙏🌹

  • @PerisChari
    @PerisChari 8 місяців тому

    Mungu naomba nipate Kibali machoni pako na pa wanadamu

  • @DinahMiloyo-k5w
    @DinahMiloyo-k5w 8 місяців тому +2

    Mimi Niko Saudi na ninapitia halii hii ngumu sana pastor,ninabadilishiwa manyumba Hadi nimechoka,nahitaji maombi sana

  • @HekimaHissa-de3lu
    @HekimaHissa-de3lu 6 місяців тому

    mwenzi mungu nipe kibali nikubalike kwenye maisha yangu

  • @alicemalombo6813
    @alicemalombo6813 9 місяців тому

    Ameen... ubarikiwe mtumishi..baba naomba kibali chako🙏

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 7 днів тому

    Napokea kibali kuanzia sasa hivi Kwa damu ya Yesu Kristo

  • @Jenitha-ub8mr
    @Jenitha-ub8mr 4 місяці тому

    Naomba mungu kibari kwenye ndoa yangu

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 8 місяців тому

    Mungu Naomba Kibali Cha Kupata Kibari Cha Cha Kukubariwa Na Watoto Wangu.

  • @richardmurokozi7875
    @richardmurokozi7875 9 місяців тому

    Hii ni Kitu Inayotusumbua Sana Pastor

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 9 місяців тому +5

    Ahsante yesu naomba Tina na rehema mbele zako nisamehe Kwa kuwa mtovu WA nidhamu Kwa habari ya kutokuwa mtiifu na mwaminifu nisamehe,,naomba roho mtakatifu usiniache niambatanishe na wewe nikasimame Kwa shauri lako na kuwa mwaminifu

  • @NitakaseKonga
    @NitakaseKonga 9 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi nimebakiwa sana.

  • @herbertmutunga4281
    @herbertmutunga4281 8 місяців тому

    Masomo mazuri sana.Barikiwa mchungaji.

  • @jenipheradhiambo4814
    @jenipheradhiambo4814 2 місяці тому

    Poster niombe sana nimekataliwa na marafiki baka kwa ndoa

  • @EstherMgumila
    @EstherMgumila 8 місяців тому

    Mungu nipe kibali mimi na familia yangu

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 9 місяців тому

    Amen Amen ubarikiwe Pastor George

  • @RajinaMagimpe
    @RajinaMagimpe Місяць тому

    Mungu naomba nipate kibar katika kanzi yangu nitimize ndoto yangu ninaamin bwana atatenda

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 8 місяців тому

    I received in Jesus name

  • @AnniciaPinda
    @AnniciaPinda 5 місяців тому

    Naomba bariki kazi za mikono yangu

  • @MariaJuma-q2k
    @MariaJuma-q2k 5 місяців тому +4

    Nakushuru Mungu kwasomo hili,kwani nimelipata kwa majira sahihi,ya uhitaji wangu,Mungu amenifunulia nakataliwa nandugu zangu Mimi nawatoto wangu,then nakutana nahili SoMo,haya nimajira sahihi yakushughulikia hii roho

    • @princessshila6130
      @princessshila6130 28 днів тому

      Very powerful teachings

    • @MamaAlani-d9f
      @MamaAlani-d9f 11 днів тому

      Mungu atusaidie Dia hii hali ata mm Na inaniumiza sana....MUNGU ATUTETe

  • @hffh7717
    @hffh7717 2 місяці тому

    Amen Amen 🙏