MAJARIBU YANAPOTUJIA MAISHANI - PR. DAVID MMBAGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @vinniebaraka132
    @vinniebaraka132 Місяць тому +1

    Mtumishi nimekuwa nikifuatilia mafunzo yako, lakini Leo nimeguzwa sana. Mungu akubariki sana Kwa kazi nzuri na uzidi kutuelimisha mapenzi yake mwenyezi Mungu.

  • @Ab-el8ir
    @Ab-el8ir 3 місяці тому +8

    Leo namleta kwako Bwana, Mungu muweza wa yote mtoto wangu wa mwisho mlinde na umkinge na mipango yote ya mwovu shetani zaidi umlinde katika ukuaji wake akue vyema!! Amina!!!

    • @jonaskaminsa1810
      @jonaskaminsa1810 3 місяці тому

      Mke wangu anaumwa Sana anaitwa Maria Kililimbi naomba kumuombea na watoto wote

    • @user-gn7he4yu4k
      @user-gn7he4yu4k 3 місяці тому

      Mchugaji natamani kuonana nawwe 6:00

  • @robardmutisarobard4605
    @robardmutisarobard4605 3 місяці тому +2

    MUNGU wa Ibrahim naomba niweze kupata uelewa mnzuri ndani la hili Somo. Na umbariki mtumishi wako mmbaga

  • @ElizabethKaseza
    @ElizabethKaseza 2 місяці тому

    Pastor Mmbaga, ubarikiwe sana kwa mafundisho na maombi unayotupatia. Mungu wetu Mwema atukuzwe milele.

  • @user-bw3wd6xn2u
    @user-bw3wd6xn2u Місяць тому

    Naomba mungu anisaidie nimarize mkopowangu wabodaboda na pia nimarize nyumba yangu

  • @user-co5vo5kc4b
    @user-co5vo5kc4b 22 дні тому

    Mwenyezi mungu akubariki sana mchungaji,mahubiri yako,kila napoyasikiliza,hunibariki sana,maana imani yangu huniongezea mie,ubarikiwe sana mchungaji.

  • @janebonareri8749
    @janebonareri8749 3 місяці тому +3

    pastor am going through tough times,i have so many debts and i believe God will enable me pay all and be free, Pray for me,while i fast and pray earnestly,am tired,i feel like giving up.

  • @laridistrict4710
    @laridistrict4710 3 місяці тому +4

    nashukuru sana bwana ameleta hili neno kwa wakatI NILIKUWA KWA KILE UMEZUNGUMZIA ...NAOMBA NEEM KUPITA SALAMA

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 місяці тому +1

    Shaloom naitwa merynagu jastn mshana Niko Oman nafanyakazi napitia changamoto ndogondogo tu ila kinacho nichanganya nakosa amani kiasi ambacho natamani Hadi kulia

  • @user-hw4zn2zy3y
    @user-hw4zn2zy3y Місяць тому

    Mungu atusaidie nifikie kusudi aliloliwekea maishani pia nilijue kwa kina

  • @christinamafuru4784
    @christinamafuru4784 3 місяці тому

    Mchungaji Mungu akubariki na fanilia yako naomba uniombee Mungu anibariki nipate mtoto

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 3 місяці тому +1

    ASANTE MUNGU Kupitia Mchungaji wetu tumeinuliwa viwango vya Imani.Naomba umuombee Binti yangu ajifungue salama na kwa wakati sahihi mipango yote ya shetani ishindwe kwa jina la YESU Amina

  • @user-un5kd9ej9d
    @user-un5kd9ej9d 3 місяці тому +1

    Barikiwa Mchungaji Mungu anakutumia endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana ulio hodari...pia Bwana anitendee na kunijibu...

  • @user-oc1zu1vg6i
    @user-oc1zu1vg6i Місяць тому

    Pastor, ubarikiwe na BWANA. Asante kwa hili somo, umeniokoa, na hofu, mashaka, na wasi wasi, nitaongeza nguvu ktk maombi, nitaukaza uso wangu kwa BWANA.
    Nahitaji haya masomo, uliotoa mwezi huo wa 5. Masomo ya jum tano

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 3 місяці тому

    Asante Kwa kujibu maombi yangu kweli Mungu mwema

  • @MargaretNakhone
    @MargaretNakhone 5 днів тому

    Mchungaji naomba uniombee mtoto wangu kwa ability ya ugonjwa wa sick cell ambayo imemusumbua tangu akiwa miezi saba hadi sai ako 17yrs. Sasa hivi qko hospitalini ,ameongezwa dam mara mini sana. Nko Saudi

  • @RuthIsaya
    @RuthIsaya 26 днів тому

    Ubarikiwe sana sana kwa masomo mazuri

  • @PeterCharles-yc7tn
    @PeterCharles-yc7tn 3 місяці тому

    Mchungaj nmekata tamaa ya maisha ndoa yangu inamigogoro isio isha nimeomba maombi mengi lakin hamna kitu na mme wangu amehama kabisa ndani naomba ushaur wako chungaji

  • @rizikimakupe-tw2sj
    @rizikimakupe-tw2sj 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki akupe maisha marefu uzidikitu fundisha njia za mungu ameen🎉🎉🎉

  • @benaharuna-bo1sf
    @benaharuna-bo1sf 3 місяці тому +1

    Axant mung kw amani ya moy ninaposikia neno lako amen

  • @EucabethOyagi
    @EucabethOyagi 3 місяці тому +1

    Kwa kweli somo hili ni zuri limenigusa moyo wangu.

  • @FloraMalembeka
    @FloraMalembeka 3 місяці тому

    Mchungaji naomba uniombee mume wangu aniruhusu kuavudu katika kanisa la wasabato ,pia nae aamini mi flora

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 3 місяці тому +1

    Amen hallelujah

  • @MARIE-iy4bx
    @MARIE-iy4bx 3 місяці тому

    🤲🙏EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA UJUMBE HUU UKAFANYE MUUJIZA KWA MAISHA YANGU KAZINI..🙇‍♀️🙇‍♀️

  • @user-od8fj1to9w
    @user-od8fj1to9w 3 місяці тому

    Naomba mchungaji niombee Nina changamoto ya mme wangu kua na vimada wengi

  • @AgnessMrutu
    @AgnessMrutu 3 місяці тому

    Haleluyaaa Pr, Mungu M/Mungu akuinue ufikie viwango vya juu mno wewe na familia yako, akuzidishie ulinzi

  • @elienew3788
    @elienew3788 3 місяці тому

    🎉Mchungaji tuuombee kwa famili yetu changamoto tofauti tofauti kamavile ndoa pia.kutofaulu kimasomo napia kutofaulu kimapato

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 3 місяці тому

    Mch.Mungu akubariki sana tena sana sababu umefika mahali nilipotaka kutekwa na huyo mshindani wetu ,nashukuru sana kwa mafundisho yako Mungu akupe maisha marefu na mafundisho mengine mengi

  • @Mo-kei-rah
    @Mo-kei-rah 3 місяці тому

    God Help me to hold on my faith even when tempetions come to me, Give me strength to have faith and overcome.
    Amen

  • @upendomaduhungalula6641
    @upendomaduhungalula6641 3 місяці тому

    Ahsante Pr Kwa somo hili,Ahsante Kwa ombi limenigusa moja Kwa moja. Nina amini Bwana atanitendea, Naamini ATATENDA kwa Mume wangu,Kwa Wanangu.

  • @MilkaMbogo-kb8lq
    @MilkaMbogo-kb8lq 3 місяці тому +1

    Mchungaji napita katika pepeto mafundisho Yako yamegusa yote ninayo pita naomba uniombee

  • @user-gw9cs8km3o
    @user-gw9cs8km3o 3 місяці тому

    Asante mchungaji ubalikiwe mungu akuongeze malaria tangu nigundue hii channel Niko na Amani rohoni

  • @inyourarea1886
    @inyourarea1886 3 місяці тому

    Mungu akubariki Mchungaji wetu ninaomba unihombeye kwa changamoto ambayo nimepitiya

  • @kangwambassa6690
    @kangwambassa6690 3 місяці тому

    i needed this so bad

  • @noellabibe6520
    @noellabibe6520 3 місяці тому

    Nashukuru sana kwa somo hili, natamani kuongeya na wewe baba mchungaji lakini sijuwi nifanye je ili niku pate please

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 місяці тому

    Nimerudi Tena nimemjua wapi nilikokosea cose ckfanya maombi nilipopata ukosefu wa amani ila cjachelewa naanza sasa mungu nisamehe pale nilipo puuza god help me Asante sana kwa neno zuri

  • @LevinaRutashongerwa
    @LevinaRutashongerwa Місяць тому

    Majaribu ni kitu cha kawaida sana kwa mwanadamu

  • @AnthoniaMwiru
    @AnthoniaMwiru 3 місяці тому

    Mchungaji naomba uniombee katika mahusiano yangu yaweze kufika mbali pia uombee Familia yangu iweze kua na upendo na mshikamano

  • @ngikandilanha605
    @ngikandilanha605 3 місяці тому

    Mchungaji umwombee kijana wangu nimvuta bangi ni mlevi ni mwizi pia nisaidie kwa maombi

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 3 місяці тому

    Mungu naomba aniimarishe katika imani

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 3 місяці тому

    Nashukuru nimebarikiwa sana na MUNGU azindi kukutumia pastor

  • @ngikandilanha605
    @ngikandilanha605 3 місяці тому

    Mchunaji Mungu akubariki kwa ujumbe unaotupatia

  • @stellamosota26
    @stellamosota26 3 місяці тому

    Mungu akubariki pastor umenijenga kiroho

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 3 місяці тому +1

    Amina

  • @user-sr3rn1ty9g
    @user-sr3rn1ty9g 3 місяці тому

    Mungu ponya wa2wako amen

    • @louisekichochi-ye7fi
      @louisekichochi-ye7fi 3 місяці тому

      Past naomba unisaidie kwa maombi na sumbuliwa na magonja na omba namba yako yawasapu

  • @user-bw6rr7rp5c
    @user-bw6rr7rp5c 3 місяці тому

    Nafuraiya mafunzo mazuri ila pastor naomba msahada wako mm naona sina mawazo lakini kichwa kinawanga kila siku naomba usaindizi wako

  • @chachamargaret2221
    @chachamargaret2221 3 місяці тому +1

    Hello pastor, how do we know that, this is temptation or test?

  • @laridistrict4710
    @laridistrict4710 3 місяці тому +1

    NGUVU ZA KIROHO NAHITAJI

  • @liroytito2472
    @liroytito2472 Місяць тому

    Tai ni myama gani kwa English

  • @denniswanjara7144
    @denniswanjara7144 3 місяці тому

    Naomba e-mail address yako PASTOR
    AKHSANTE