Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 291

  • @jichofoundationtv6893
    @jichofoundationtv6893 3 роки тому +19

    Hii ni speech ya kimataifa kaka Joel Nanauka. Hii ni speech inayoamsha akili zote zilizolala. Hii ni speech ambayo ni ya kusikiliza kila siku ya maisha inaamsha hisia na shauku. Hakika umekuwa bora sana kati ya WATU ambao ni bora hapa nchini kuamsha watu na kuhamaska kuchukua hatua. Mungu akubariki sana sana. Ahsante. by JULIUS Michael

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 3 роки тому +32

    Niliwahi kufeli mitihani ya secondary, nikawa narudia kuna baadhi ya ndugu waliniita kilaza😭💔, at the end nimepamba na nitapambana mpk sehemu iliyopiyiliza, na mpk sasa waliojiona wanaakili na waliojiona wanafaa ndio hao hao wanaonitumia text na kuniambia, wananiamini zaidi, hakika Mungu km alikuchagua uwe mkuu utakuwa tuu no matter what 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @highzacknnko4002
    @highzacknnko4002 3 роки тому +5

    "Unainua imani yangu kila wakati brooh!!!! Come on brooh Joel!!! Lini utakuja arusha kwa ajili ya kongamano!!!!tunakungoja pia huku

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 3 місяці тому +1

    Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana

  • @fettymdoe2100
    @fettymdoe2100 3 роки тому +4

    hpna hii inataka kuntoa machozi kabisa daaaahhhh mwenyeazi MUNGU akuweke Mr joel

  • @anastaziagerad1646
    @anastaziagerad1646 3 роки тому +3

    Wawoo nilikuwepo iyo siku ,,,sikuwahi kuenda kwenye mkesha na nisinsinzie lkn kwa mara ya kwanza hii siku nilikesha na nilikuelewa kaka angu,,ubarikiwe sana

  • @denissanga454
    @denissanga454 3 роки тому +2

    ajionavo mtu nafsini mwake ndivo alivo,uwezi kushindwa kabla ujakubali kushindwa, nimeelewa vizuli shuklan kwa somo zuli Mr nanauka.

  • @merryjohn9520
    @merryjohn9520 2 роки тому +1

    Barikiwaa mnoo, hakika na imani Mimi ni mtu mkubwa sio mda mrefuu🔥🔥🔥kwa jina la YESU kristo 👏👏👏👏

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 Рік тому +3

    nimeiskiliza kwa hisia sana hii

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 роки тому +7

    Ingawa tunapita katika magumu, lakini mungu ametupa mlango Wa kutokea means NANAUKA

  • @floraritha1454
    @floraritha1454 3 роки тому +4

    Asante sana kaka Joel akika naona kuvuka kwa viwango vya juu sana kupitia mafundisho haya.

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 Рік тому +1

    Dah!!! Hii Speech imenijenga tena na kunitoa machozi!!! Brother Joel Nanauka ninakufuatilia sana miaka mingi now!!! Speech zako zimenibadilishia maisha!!😢💪💪💪 Nilipata nguvu ya kuacha ajira 2019!!! bila kujua nini nitakwenda kufanya, Bt nilijifunza kutoka kwako na niliiamini nafsi yangu kile iliniambia kufanya, Now nimefikia hatua nzuri tu kibiashara💪💪💪 Mungu akutunze sana, na kukubarikia Kila uchao🙏🙏🙏

  • @marymgore6714
    @marymgore6714 3 роки тому +1

    Aiseee, nimekupenda bure toka vilindi vya moyo wangu,I wish ungekuwa Kaka yangu,umenifurahisha,umenipa ujasiri,umeniondoa ujinga,zaidi umenipa tumaini jipya,nachoweza kusema Mungu azidi kukutunza

  • @FredrickSeshahu
    @FredrickSeshahu Місяць тому

    I love this person because he is only my rolemodel to my life. Godbless him

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 роки тому +2

    Kina kitu kimechoma moyoni kwa kusikiliza maneno yako bro nakupenda sana na unaniongezea ujasiri wa kusonga mbele

  • @myahudichrisostom
    @myahudichrisostom Рік тому +2

    Najikuta sasa nataka kusikiliza kila unachozungumzia🙏🙏🙏,
    You are inspiring me into this field, hope you'll see me at the top where you are 💪

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 3 роки тому +2

    Ahsante Mungu kwa ujumbe mzuri kupitia mtumishi wako nahisi iyi video ni jibu tosha ya yalio ni sibu mda huu hakika Mungu husema nasi kwa njia nyingi hata huyu, ujumbe ni moja wapo barikia sana kaka Joel.

  • @abdulrahmanis-hakka3347
    @abdulrahmanis-hakka3347 3 роки тому +1

    Kaka Mungu amekufungulia kutuonesha njia tulio wengi sana. Kilichobàki ni kujisalimisha tu.

  • @polomondeniss5511
    @polomondeniss5511 3 роки тому +2

    Ahsante Sana kwa elimu yako kiongozi, bwana akupe nguvu

  • @dazboy-sl7cm
    @dazboy-sl7cm 2 місяці тому

    Nataka kuwa mtu mkubwa katika hii dunia hii nanauka mungu akubariki sana

  • @davidkengambi491
    @davidkengambi491 3 роки тому +2

    Hii ni video ambayo imenijengea Kitu Kikubwa sana...na ninapenda Sana Kuisikiliza , Napenda Imani za hivi

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Рік тому

    Mungu akuweke miaka 1000 kaka hakika umekuwa baraka sana kila ninavyo kusikiliza kuna kitu nachukua barikiw sana 🙏🙏🙏

  • @user-os9nb8ub6k
    @user-os9nb8ub6k Рік тому

    Nimefulahi sana kwa maneno hayo na yameniingia kisawasawa lazima nibadilike sana kimaisha na namini sana ❤

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 Рік тому +1

    Nakupenda sana brother your the best 🇹🇿🙏.

  • @lilymatoli7117
    @lilymatoli7117 3 роки тому +6

    Joel your among best motive speakers I have seen

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 роки тому +1

    Sawaaaaaa pastor

  • @dainesimkombo9218
    @dainesimkombo9218 3 роки тому +1

    Nakupenda sana maneno yako Kaka mungu ataniongoza siku zote za maisha yangu

  • @BilalHassan-jj8yo
    @BilalHassan-jj8yo 4 місяці тому

    Amiin ishalaa nakutakia mema molaa akuzidishie barika maisan mwako ishalaa

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому

    Amina, kweli kuna nguvu kubwa ya kukiri kwa kinywa na matendo,by Mithali 18:20-22.

  • @daudidaniel230
    @daudidaniel230 2 роки тому

    Ahsante sana kwa fundisho hili.
    Limenitia nguvu sana na nitajibadilisha ninavyojiona.
    Akili yangu na maisha yangu vitakuwa na nilivyondani yangu.

  • @SijaliChisunga-b3k
    @SijaliChisunga-b3k 6 днів тому

    Nashukulu sanaa mungu aniwezeshe lakini mungu akupe maisha marefu

  • @mwajumayunus2041
    @mwajumayunus2041 3 роки тому +1

    You make my day kaka Joel yaaaaaan umenipa ukomavu wa akili leo pamoja na ubongo wangu MUNGU azidi kukuweka kaka yangu ✍️✍️✍️✍️✍️✍️ kuanzia Leo kitu naenda kujinenea aiseeeee nitakataa roho ya uoga

  • @thelesiapaulo7790
    @thelesiapaulo7790 3 роки тому +1

    Bwana akuongezee maarifa zaidii,Asnte sana wanoa vichwa vya wengi broo

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому

    Mungu akuongezee maarifa, nitabadilisha mawazo mabaya, nakataaa kufeli

  • @ireneinnocent4128
    @ireneinnocent4128 Рік тому

    Hakika mimi ninmshindi na malengo yangu yatatimia. Asante sana na Mungu anisaidie. Hakika dunia ni watu na ukiwaangalia watu watakichanganya. Nabadilisha fikra sasa nasonga mbele

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 Рік тому

      Na ww umefatilia hiki kipind leo km mm hakika tutafanikiwa

  • @lauradeogratias3055
    @lauradeogratias3055 Рік тому +1

    I am glad for you man of God

  • @deogratiasmakali5099
    @deogratiasmakali5099 2 роки тому

    Mafindisho Yako yanamibariki sana uwepo wako kwangu ni wamhim sana ahsante

  • @makandaigarobi4765
    @makandaigarobi4765 Рік тому +1

    Asante

  • @luluproches5107
    @luluproches5107 3 роки тому

    Mungu kakupa kipawa Cha pekee Kaka umenitoa chin sana katika mafundisho yako mpaka hapa nilipo ni kwa kufwatilia UA-cam tu Kaka naomba uandae semina ya kuja Arusha ili nasi tupate kubarikiwa zid🙏🙏🙏🙏

  • @barikikimaro9165
    @barikikimaro9165 3 роки тому +1

    Kaka joel kwakweli MUNGU akubariki sana kwa mafundisho mazuri unayotupa

  • @neemakweli461
    @neemakweli461 3 роки тому

    Asante sana ,ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.

  • @sifamdaki966
    @sifamdaki966 3 роки тому +2

    I'm crying😭😭mimi nasemaga kwamba siku moja nitakuwa mtu mkubwa sana, nitakuwa mfanya biashara mkubwa sn wananicheka ila hawajui nguvu ilioko ndani yng hawajui jinsi ninavyojiona😭asantee sn kaka Joel unanipa nguvu zakufikia ndoto zang hakuna anae nimini ila ipo siku nitatoa ushuhuda nitaisimulia dunia na kunyesha watu mbele za mungu hakuna kinachoshindikana

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 9 місяців тому

    Mchungaji Mungu amekubadilisha kiasi kwamba namshangaa Mungu sana

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 роки тому

    Nakuelewa sana kaka Joel... kwa kweli leo nimepata amani hata nafsi yangu imeinuka na nimejiona mimi na ninajiweka ndani yako kaka Joel na kwa uweza wake Mungu nami nitakuwa.

  • @work24onme
    @work24onme 8 місяців тому

    Holy Spirit Amen 🙏🏼
    Asante sana mwalimu Joel, God Bless YOU, Amen 🙏🏼

  • @visionelectricals
    @visionelectricals 2 роки тому +1

    Thanks so much

  • @lucyjuma8478
    @lucyjuma8478 2 роки тому

    Ninasababu Ya Kusema Ahsanteeee Sana Broo Ubarikiwe Sanaaaa. Mwenyezi Mungu Akuinue

  • @imanndambo2918
    @imanndambo2918 3 роки тому +1

    Unanibariki sana kaka Joel.Mungu aendelee Kuku bariki

  • @ednaednamillanzinia2826
    @ednaednamillanzinia2826 Рік тому +3

    Inspiration, aleluyah

  • @DiazPilipili
    @DiazPilipili 5 місяців тому

    Mungu awabariki saaana na kukuzidishiya siku za kwishi

  • @andrewkszinza7047
    @andrewkszinza7047 3 роки тому

    Wow am changing my mind to more postive....groly be to GOD

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 Рік тому +1

    upo makin sana kaka🎉

  • @winifridaleo4443
    @winifridaleo4443 3 роки тому +1

    Mungu azidi kukuinua zaidi kaka nimebarikiwa sana

  • @neemaprisca7126
    @neemaprisca7126 3 роки тому

    Asante sana presenter,unanitia moyo sana,hakika aonavyo MTU nafsini mwake ndivyo alivyo

  • @mathiasjohn9979
    @mathiasjohn9979 2 роки тому

    Kweli wewe ni kifaa cha Mungu,, najivunia Sana

  • @paschalinasulle6233
    @paschalinasulle6233 3 роки тому

    Hakika kaka mungu akuinue zaidi ya unavyofikiri hapa nilipo speech yako inaniliza nalia kwa sababu nimependa mnoo hivyo tutaonana juu form to day am the best in this world

  • @denismtui7833
    @denismtui7833 3 роки тому +4

    Blessed Nanauka 🙏

  • @chotark1881
    @chotark1881 Рік тому

    huyu jamaa alistahili kuwa mchungaji mwema kabisa , hongera kaka nakukubali sana

  • @rozimwasi6137
    @rozimwasi6137 3 роки тому

    Asante sana kaka joeli na mungu azidi kukubarik na ulioyasema yaendelee kukaa ndani ya moyo ili niendele kuwa na miutisha katika kutimiza ndoto zangu

  • @DoctorEvarist
    @DoctorEvarist 10 місяців тому

    Asante San kwa elimu yako father 🙏

  • @sadickchatila2130
    @sadickchatila2130 3 роки тому

    Amina mtumishi neno LA Leo linaenda kubadilisha maisha yangu ubarikiwe sana

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 Рік тому

    Ameeeen barikiwaa sanaa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @emmanuelziro4205
    @emmanuelziro4205 Рік тому

    Blessed are the wise speakers,I love you brother,let my goal accomplished through your motivational speaking to me

  • @barakaephraimu7503
    @barakaephraimu7503 Рік тому

    Ubarikiwe sana Joel ww n Lulu ya Tanzania najifunza mengi juu yako

  • @johansenjackson960
    @johansenjackson960 3 роки тому +1

    Amen ubalikiwe sana

  • @user-wh5co1oc4s
    @user-wh5co1oc4s 4 місяці тому

    sema nn bro 👊👊👊

  • @FelicianJacob
    @FelicianJacob 25 днів тому

    Ahsante mwalimu

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 2 місяці тому

    Thanks Mr Joel

  • @kenyantotoz4244
    @kenyantotoz4244 3 роки тому +1

    Sauti peke yake ni Baraka kwako,,, congratulations bro

  • @sangasadick3350
    @sangasadick3350 3 роки тому

    nmejifunza kumtanguliza #Mungu na kubadili nnavojiona

  • @zainabozainaty6188
    @zainabozainaty6188 3 роки тому

    Ukweli kabisa asanteni endelea kutupa elimu ili tufikie malengo yetu mungu akubariki sana🙏🙏🙏

  • @liobajoseph8255
    @liobajoseph8255 3 роки тому +4

    Great brother Joel, I admire you

    • @tobycolt4726
      @tobycolt4726 3 роки тому

      You all probably dont give a shit but does anybody know a tool to log back into an Instagram account?
      I was stupid lost the account password. I appreciate any tricks you can give me!

    • @callendarian3313
      @callendarian3313 3 роки тому

      @Toby Colt instablaster ;)

  • @peterjoseph997
    @peterjoseph997 3 роки тому

    KAKA nashukuru sana kwa mafundisho yako maana kupitia hayo nami nazidi kuwa msahada kwa vijana wengine katika jamii yangu, nimependa sana somo hili maana linainua na kufufua akili za vijana na kwa upande wangu limeniamsha tena na kunifanya kuzidi kusimama zaidi " MUNGU akubalike sana " karibu mwana kaka..

  • @nicholausmwangomo4418
    @nicholausmwangomo4418 3 роки тому +10

    Leo Umejibu swali langu ambalo nilikuwa najiuliza huyu ndugu namfuatilia facebook anahekima na ufahamu huu wa mambo ameutoa wapi? Kumbe Mbingu inaishi ndani yako. Mungu akutunze sana

    • @chrismassawe2939
      @chrismassawe2939 Рік тому

      Mbingu inaishi ndani yake vipi mkuu siri ni kujifunza na kusoma vitabu na kuamua kuwa tofauti

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 16 днів тому

    Umenipa ujasiri Sana na kuuza imani yangu sana

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 2 роки тому

    Am the Head nt atail in Jesus name na jitangazia ngambo ya pili

  • @deboraclass9282
    @deboraclass9282 Рік тому

    Shukrani sana kaka Joel Nanauka! Umeniinua hatua nyingine.

  • @tinawangwe2332
    @tinawangwe2332 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu

  • @joelparmwat6029
    @joelparmwat6029 7 місяців тому

    Amen god bless you 🙏🙏

  • @jkyamba3200
    @jkyamba3200 3 роки тому

    Nimebarikiwa na hili neno kwa kweli.. ubarikiwe na MUNGU

  • @breshnyanjwa3102
    @breshnyanjwa3102 3 роки тому

    Oooh God I'm denying all the delays in my life I'm nt a failure

  • @festoelias7884
    @festoelias7884 3 роки тому

    Asante sana ubarikiwe na Mungu

  • @elijahanthony7667
    @elijahanthony7667 3 роки тому

    Wow the God of mercy is working

  • @greatman296
    @greatman296 3 роки тому +5

    Good job! Kaka naomba siku ikikupendeza utuandalie video inayohusu vitabu gan vizur ambavyo mtu anaeanza kuosoma anaweza kuanza navyo! Tofaut na ulivoandika ww, maana vyako karibia vyote nimesoma

  • @gastomasawe9176
    @gastomasawe9176 2 роки тому

    Jamaa upo vizuri Sana aisee Kwa mafunzo

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 4 місяці тому

    Nakataa kuwa mtu wa chini ❤

  • @johariphilemon8630
    @johariphilemon8630 3 роки тому

    j mungu akuinue zaidi namimi niko nyuma yako

  • @abdullahbarwani8306
    @abdullahbarwani8306 3 роки тому +1

    Kazi nzuri sana kaka asante

  • @evahealthservice7390
    @evahealthservice7390 3 роки тому

    Asante, asante sana Nanauka Mungu akuinue zaidi. Mimi ni mwenye mafanikio makubwa sana.

  • @user-me9rq7xx6d
    @user-me9rq7xx6d Рік тому

    😂😂😂kwakwel bro umebalik vyote ahsante sana

  • @lucymathias9045
    @lucymathias9045 Рік тому

    Powerful speech🙏joelnanauka

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 10 місяців тому

    Be blessed. Amen🙏🙏

  • @anishiemgala8203
    @anishiemgala8203 2 роки тому

    Ubarikiwe Sana,Nimejifunza kitu🙏

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 10 місяців тому

    Shukran kaka. Mm umeniinua kimawazo maàna nais mawazo!!!!

  • @irenekweka7905
    @irenekweka7905 Рік тому

    So blessed today to here ths..I needed ths

  • @michaeltimoth366
    @michaeltimoth366 2 роки тому

    Word....nabadilisha nnavyojiona

  • @freesociety7858
    @freesociety7858 3 роки тому

    Always I understand what you say we are together I can't comment more but we are together

  • @zabibusephania2415
    @zabibusephania2415 3 роки тому

    Asant sana Kaka mungu akubariki umenivusha Mahalia.

  • @chrissally2397
    @chrissally2397 3 роки тому +1

    Àhsañte Sana kaka JOEL NANAUKA

  • @frankaloyce6438
    @frankaloyce6438 11 місяців тому

    Greatest speech never seen before 🤝🤲🔥🔥🇹🇿