Huyu anataka kumuaminisha kwamba walikutana na Abdul ndani ya siku moja wakazoeana siku hiyohiyo urafiki ukaanza mpaka wanatembea pamoja mpaka kwa Lissu hamna kuna kitu hakipo.sawa
Uko sahihi kabisa ! Lisu ni mkweli sana na ni kwa sababu nature ya Lisu ni mwanaharakati na hawa wengine ni wanasiasa 100% na siasa asili yake ni kuwa Muongo sana hata ikibidi kujiongopea mwenyewe. Ukimsikiliza hapa maneno mengi ila ukweli jamaa ni Dalali 😅😅😅
Wamekula hela ya Wazungu ya mgodi wa Barick..Kipindi Magufuli anawafukuza na kuvunja mkataba,,Lissu alikuwa akiwatetea wazungu na alitaka Magufuli aache,kwasababu ataliingiza taifa kwenye madeni...Walipiga hela wakaahidi kuwasaidia wazungu..Na ndiyo chanzo cha kupigwa risasi Lissu...
Wenje anasema kiongozi anatakiwa awe na subra na uvumilivu , na yeye kavumilia, ila anashanga Kwa nini lisu kavumilia muda mrefu kumtuhumu yeye. Pumba juu ya pumba. Jamani kafanyeni biashara, siasa sio sehemu yenu.
Udhaifu: Ni approach nzuri kutaka Lissu alipwe malipo yake kupitia kwa Abduli? Kama unataka lisu apate hela zake ili na wewe ulipwe tumia approach nzuri. Na sio kupitia kwa mtu kwa figure ambayo ambayo haipo kwenye uongozi wowote wa Taifa. Kuna ukakasi hapo
Nilicho gundua sikuhisi waandishi wa habari hatuna Tanzania. Waandishi kama A.Majura, C.Hilali, Masako n.k hajuna tena. Mwandi anahoji maswali ya kuangalia upande mmoja na majibu ya Muhojiwa ndio yanawapoteza kabisa wanahoji maswali ya mtaani. Dah!! Tasinia ya habari inahitaji more and More training. Wahadishi wa sikuhizi ni bure kabisa.
Shida kubwa hapo ni kila mmoja anaamini siasa bila kumchafua mtu siyo siasa ya hawezi kueleweka pia wamezoea kuichafua serikali so wamejisahau na yamekuwa mazoea ndo maana Hadi ndani ya Chama wanachafuana Sasa. Mbowe is the best kwanafasi yake pia Lisu is best kwenye Sheria!!!
Lissu anaidai Serikali, tufanye Abdul ni sehemu ya Serikali, kwa hiyo Serikali ilienda nyumbani kwa Lissu kuchukua documents ili imlipe pesa yake? Bora ungenyamaza tu!!
CCM siyo wanahonga kila mtu..Huyu wenje unahonga nini?Hata kujieleze hajuwi..Anayehongwa ni Mbowe..Mbowe kipindi Lowasa anaenda Chadema,,Mbowe alipiga hela ya kutosha..Huyu Wenje hajuwi chochote,,yee ni mtu wakutumwa tu...
Ukimskuliza wenje nia anatafuta kujisafisha tuu Abduli ni nani kwenye serikal hadi amsaidie lisu kulipwa anacheo gani had afanikishe swala la malipo wenje umejikorog unanisafisha tuu bt nilichogundua lissu ni mtu smart san
Kweli nimemuona Lissu ni mtu wa ajabu, hivi utaishi na wenzako kama mtoto wa Rais alitaka kumsaidia akakataa. Lissu nilikuwa namuona mtu wa maana kumbe ni mtu wa ovyo sana. Hongera sana Abdul kwa juhudi zako.
Wenje anasema amesingiziwa toka mwezi May, anakuja kuongea mwezi Desemba, amenyamaza kwa miezi 7, na anasema huo ni ukomavu wa juu wa kiuongozi. Lakini Wenje huyohuyo kwenda kwa Lissu na Abdul mwezi wa 12 mwaka jana na Lissu kuja kusema mwezi May mwaka huu, gape la miezi 6 huo ni udhaifu mkubwa kwa Lissu. Imagine 😂😂😂 Ebu tazama hiyo double standard 😄😄😄😃
Wenje ni muongo lisu kwanza Abdul ni nani selekalini mpaka aende kwa lisu aangalie adocument aakafanye mambo lisu alipwe hela zake lisu yupi huyo akubali na anajua abdul sio mtumishi wa selekali Leo nimeamini anayosema lisu ni kweli wenje anajikaanga mwenyewa
Abduul ni kiongozi wa hii serikalini au ni kibwengo wa mama yake kuhongo kwa niaba ya kuuwa vyama vya siasa? Kwanini isifuatwe sheria za nchi? Kwenye MWENYEZI MUNGU yupo muda utaongea
Utumishi wa umma ni kujitoa ndio maana chombo cha umma kinapokuwa hakina uwezo mzuri wa kiuchumi watu hujitolea au kupata ujira mdogo. Ukiona mtu anategeneza umiliki wa chombo cha umma huyo hakuwa na lengo la kupambania haki ila ulaji
Binafsi naamini WENJE alitanguliza ubinadamu kwanza ili Lissu alipwe stahiki zake huwenda njia nyingi zilitumika na uzuri LISSU alikiri kumpa Abdul nyaraka ili alipwe
Huyu jamaa nilikuwa namheshimu kumbe ovyo tuu. Sasa mbona hasemi kama Abdul alimsaidia Lissu kupata malipo yake, na kama no hivyo basi nae Lissu anawajibika kwa Abdul any time kwa sababu KAMSAIDIA
Sasa kama issue ya Abdul na Lissu ni malipo na documents zilimfikia Raisi maybe au Mwigulu je Alilipwa hizo Pesa. Kwanza kuanza kumsifu Abdul ni Muungwana kwa kwenda kwa Lissu kumlipa deni mzee?!! Hapo Wenje umejivuruga sana bora ungeendelea kukaa kimya. Kama kweli ww unamdai Lissu basi unakidai chama na chama mwenyekiti wake ni Mbowe basi malizana na Mbowe.
Jina la function ambayo hata mtoto wa Rais, yumo ni function gani? Abdul, alikataa kabisa kuwa yeye siyo mwanasiasa na siyo govt staff au govt leader, kwanini ashiriki? Kijana Abdul, angeweza kufikisha ujumbe kwa mama na Mama angelipokea na kulifikisha kwenye vyombo husika maana inajulikana, wizara ya Fedha; siko CDM lakini viongozi aina ya huyu anayeongea, "anajenga fallacies nyingi tena za ovyo kabisa!". Taifa letu, lianzishe tena upya IDM Mzumbe, kama hali hii itakuwa namna hii, taifa letu mbeleni litateteleka! IDM nyingine irudi kwa mstakabari wa taifa letu. Huyu hana legacy yoyote katika kuongea! 😊
Lissu alisema jambo moja tu, kama Abdul anadhani anaweza msaidia basi amsaidie apatiwe haki yake ya gharama za matibabu. Na akampatia nyaraka za matumizi ya matibabu. Lissu akamuahidi Abdul kama ataweza msaidia hilo atakua rafiki yake. Aligoma kupokea aina nyingine yoyote ya msaada ambazo yeye alitafsiri kuwa ni HONGO. So alichofanya yeye ni kumpa option Abduli badala ya kumpa msaada mwingine yeye amsaidie tu kuwasilisha nyaraka zile kwa mama yake.
Anzia hapa. Wenje anataka kumpeleka Lissu hotelini kukutana na Abdul. Lissu anakataa kwenda kwa kutoa udhuru. Lissu anapendekeza, Wenje aje na Abdul nyumbani kwake. Wenje anamleta Abdul nyumbani kwa Lissu Tegeta.
@ Ni hekima kubwa mno Lissu aliyoitumia Lissu. Huku akijua kua yawezekana ni kweli mwana wa Rais anania njema lakini je kama ana nia ovu, akakwepa mtego wa kukutana hotelini akasingizia tumbo ili tu awavute waje kwake pahala ambapo alipaona ni salama zaidi kwake lakini pia kujenga heshima kuwa si mim niliyekufuata bali wewe ndie ulinofuata. Akili nyingi alitumia.
Ndio maana tunasema CHADEMA ni chama cha wapiga dili tu sasa huyu Wenje anakiri bila aibu kwamba ni sahihi kumtumia mtoto wa Rais kufanya mambo yao ya kibiashara yaende 😂 Sasa kesho na kesho kutwa wakipewa Nchi watu kama hawa hiyo HAZINA yetu itasalimikaje!?
Wenje anasema walikutana na Abdul mtoto wa Rais kwenye function Fulani, function gani? Kuna kitu kimejificha hapa kati ya wenje na abdul. Huyu anatufanya tuamini ya Lissu kuwa alimpeleka kwa lisu kwa ajili ya rushwa
Watanzania tulijua wenje utaongozana na Abdul wote, mje kwa pamoja mjibu tuhuma alizo toa Lissu, sasa mbona wenje umekuja pekeyako, Japo waandishi walikuita ww, kwakuwa abdul awamjui, ila kwakuwa ww unamjua abdul na umekiri kwenda naye kwa lissu ili alipwe na abdul, tulitegemea wenje uje na abdul mjibu tuhuma za lissu ambazo unasema ni za uongo. Lakini kwakuwa wee usha ongea sasa tunaomba utuletee abdul, usipo mleta ww ndo utakuwa muongo. Na si lissu.
Wakati Msigwa alivyoweka mambo hadharani baada ya kutoka Chadema mlisema kwa nini asingeyaongea akiwa hukohuko chadema. Sasa Lisu kaamua kusema akiwa ndani ili makosa yarekebishwe
Kwakuwa Lussi kaongea hadhalani, kwenye media, na Wenje umeongea hadharani kwenye media, SASA Watanzania tunataka, ABDUL Naye aongee Hadharani kwenye media. Ili sasa tujue mafuta yapi na maji yapi. Msitufanye wajinga. Waandisi tunataka abdul naye aongee kwenye media, na tujue yeye ni mhasibu, au nani serikalini.
Kuna shida ipo kwa wanachama wa vyama vya siasa. Wakiwa ndani ya vyama vyao hudhania hawapaswi kushindana na kupingana. Hili si sawa. Timu mahiri ni ile inajifua maziezini kwa juhudi kana kwamba wapo kwenye mechi ili ikifika siku ya mechi iwe Fiti. Huwezi suburi kushindana na chama kingine ikiwa ninyi wenyewe mnashindwa kustahimili kushindana ndani ya chama chenu.
Hapa nilipo nafanya comparison ya maneno ya Msigwa baada ya kutoka Chadema, maneno ya Lisu na maneno ya Wenje. Ila nimegundua kinachomuumiza Lisu ni ukweli na uwazi
Yani wenje kumbe nae tahiraaa Yani anaongeaa kabisaa kukutana na dully ni bonge moja la exposure dah aisee😂😂😂😂😂😂 afu anakwambia ana masters dah pumbavuuu kabisaa huyu jamaaa
Huyu wenje ni kilaza kweli..yani lisu anadai malipo yake halali ambayo yako kikatiba..kwanini mpaka mtoto wa raisi akamuombe mama ili lissu alipwe?!..hii nchi inaongozwa na utawala wa sheria kweli?!
This is among the best interview, mmembananisha vya kutosha
Huyu anataka kumuaminisha kwamba walikutana na Abdul ndani ya siku moja wakazoeana siku hiyohiyo urafiki ukaanza mpaka wanatembea pamoja mpaka kwa Lissu hamna kuna kitu hakipo.sawa
Very good comment
Lisu ni mkweli sana!
Kaka wenje umeongea mambo mazito Sanaa 🤝
Wenje ni mkomavu sana
Abdul anacheo gani serikalini
We wait for interview with Tundu Lissu on this issue..
Wenje umedhihirisha umbumbumbu wako hadharani, what a shame 😅
Huyo Wenje Amegeuka Mawenje.Anabakia Kujisifu Na Haitakii Mema Chadema.Kwa Maongezi Yake Ukimsikiliza Huyu Ni Mla Rushwa.Ashatajwa Huwezi Kumtetea.
Nilicho gundua ni kwamba Lisu ni msafi sanaa,Lisu ana dhambi chache sana,maana kwa hasira hizi ikiwa angekuwa mchafu,Wenje angesema sanaaa.
Uko sahihi kabisa ! Lisu ni mkweli sana na ni kwa sababu nature ya Lisu ni mwanaharakati na hawa wengine ni wanasiasa 100% na siasa asili yake ni kuwa Muongo sana hata ikibidi kujiongopea mwenyewe. Ukimsikiliza hapa maneno mengi ila ukweli jamaa ni Dalali 😅😅😅
Ungesoma saana we ungekuwa nesi, good
Wamekula hela ya Wazungu ya mgodi wa Barick..Kipindi Magufuli anawafukuza na kuvunja mkataba,,Lissu alikuwa akiwatetea wazungu na alitaka Magufuli aache,kwasababu ataliingiza taifa kwenye madeni...Walipiga hela wakaahidi kuwasaidia wazungu..Na ndiyo chanzo cha kupigwa risasi Lissu...
Kadiri Aloyce Nyanda anavyozeeka anazidi kufafa na Chenge Kwa sura❤
Wenje anasema kiongozi anatakiwa awe na subra na uvumilivu , na yeye kavumilia, ila anashanga Kwa nini lisu kavumilia muda mrefu kumtuhumu yeye. Pumba juu ya pumba. Jamani kafanyeni biashara, siasa sio sehemu yenu.
Udhaifu: Ni approach nzuri kutaka Lissu alipwe malipo yake kupitia kwa Abduli? Kama unataka lisu apate hela zake ili na wewe ulipwe tumia approach nzuri. Na sio kupitia kwa mtu kwa figure ambayo ambayo haipo kwenye uongozi wowote wa Taifa. Kuna ukakasi hapo
Huyu ni tapeli
@@mohamedothman5792wenje ni miongoni mwa matapeli wa kisiasa
Nikisema ni mwongo namkosea adabu ila simkweli juu Yako Wenje !
Nilicho gundua sikuhisi waandishi wa habari hatuna Tanzania. Waandishi kama A.Majura, C.Hilali, Masako n.k hajuna tena. Mwandi anahoji maswali ya kuangalia upande mmoja na majibu ya Muhojiwa ndio yanawapoteza kabisa wanahoji maswali ya mtaani. Dah!! Tasinia ya habari inahitaji more and More training. Wahadishi wa sikuhizi ni bure kabisa.
Wenje hata umchafue vipi lisu tunamtaka awe mwenyekiti wachama halafu punguza uchawa
Shida kubwa hapo ni kila mmoja anaamini siasa bila kumchafua mtu siyo siasa ya hawezi kueleweka pia wamezoea kuichafua serikali so wamejisahau na yamekuwa mazoea ndo maana Hadi ndani ya Chama wanachafuana Sasa. Mbowe is the best kwanafasi yake pia Lisu is best kwenye Sheria!!!
Hata ishu ya kina MDEE mbowe na mnyika wanajua.
Sina uthibitisho juu ya huyu jamaa kama ni kweli au siyo kweli. Ila mameno yake yanatudhihirishia kwamba kuna kitu hakipo sawa.
Uchaguzi hu Umetufumbua Mengi Tumejua Langi Halisi za Watu wengi Chadema pale wanafanya biashala
Hakika😂😂
Lissu anaidai Serikali, tufanye Abdul ni sehemu ya Serikali, kwa hiyo Serikali ilienda nyumbani kwa Lissu kuchukua documents ili imlipe pesa yake? Bora ungenyamaza tu!!
Sure, Abdul ni nani kwenye system ya serikari
😂😂🤣🤣
Kwanini anyamaze wakati Lissu mwenyewe naye alisema kuwa alimpatia documents? Never rely on a single narrative.
Kuna dalili za kutosha kwamba CCM inaendesha kundi ndani ya Chadema ambalo walau Wenje ni mhusika mmoja wao
Wenje anaonekana kahongwa.
CCM siyo wanahonga kila mtu..Huyu wenje unahonga nini?Hata kujieleze hajuwi..Anayehongwa ni Mbowe..Mbowe kipindi Lowasa anaenda Chadema,,Mbowe alipiga hela ya kutosha..Huyu Wenje hajuwi chochote,,yee ni mtu wakutumwa tu...
Tundu Lissu ana matatizo sana na yote anayafanya kwa kujua na kuiteka hadhira ya wanachama wa chadema na chadema inaparaganyika
Ukimskuliza wenje nia anatafuta kujisafisha tuu Abduli ni nani kwenye serikal hadi amsaidie lisu kulipwa anacheo gani had afanikishe swala la malipo wenje umejikorog unanisafisha tuu bt nilichogundua lissu ni mtu smart san
Alikuwa hana haki ya kumpeleka Abdul nyumbani kwa Lisu hayo ni makosa ya Lobbing. Ni kashfa tayari
Bro wenje umeongea point ni kweli baada ya uchaguzi mkawa united hiyo ndy itakuwa siasa ya kweli nawaombea uchaguzi wa utulivu na amani
Mtoto wa Rais anahusika vipi kwenye malipo halali ya utumishi wa lisu ?😂😂😂
Danganya danganya hii ya Wenje.
😂😂
Naiona chadema inaenda kuhalibiwa nawatu wenye njaa akimo wenje njaa tupu hebu mcheki kwanza alivyo vaa utafikiri mcheza ngoma.
Kweli nimemuona Lissu ni mtu wa ajabu, hivi utaishi na wenzako kama mtoto wa Rais alitaka kumsaidia akakataa. Lissu nilikuwa namuona mtu wa maana kumbe ni mtu wa ovyo sana. Hongera sana Abdul kwa juhudi zako.
Wenje anasema amesingiziwa toka mwezi May, anakuja kuongea mwezi Desemba, amenyamaza kwa miezi 7, na anasema huo ni ukomavu wa juu wa kiuongozi.
Lakini Wenje huyohuyo kwenda kwa Lissu na Abdul mwezi wa 12 mwaka jana na Lissu kuja kusema mwezi May mwaka huu, gape la miezi 6 huo ni udhaifu mkubwa kwa Lissu. Imagine 😂😂😂
Ebu tazama hiyo double standard 😄😄😄😃
Hahaha
Nimesikiliza hapo nimecheka sana 😂😂😂
Wenje alitaka mpunga wake tu akaona opportunity akasema ajaribu pengine noti zake zitatoka nothing else .Na pengine lisu aliona inaweza ikawa kiki.
Chama kinakufa, wao wanasena kinaimarika
Ameshindwa kujibu
Viongozi wa chadema Amna kitu. Lisu na huyu bwana wenje hamna kitu
Kwanini huyu Abdul hakamatwi kwasababu anattowa rushwa live
Mbowe ni mashine sana...ana hekima mnoo.
Hana hekima ya kumzidi Lisu
Lissu uongozi hawezi hana busara wala hekima ni kichwa boksi tu yule,,,,sawa na aliye juu yake
Mh. Lisu ni mkweli, munyazi Mungu akulinde, akupee afya, uzima pia tunakuamini uzidi kutusemea yale yaliyokweli, haki, ukweli ukweli.
Wenje acha uongo ongea ukweli wewe ni dalali kweli hata ongea yako tu inaonekana kuwa mlienda kutoa rushwa na Abdul
Huoni anavyokwepa majibu 😂😂😂😂😂
😢So sad hivi Lissu kwa alivyo mgumu anaweza kutoa nyaraka zake muhimu kirahisi hivyo na ghafla hivyo tena kwa mtoto wa mama
Comments ni nyingi nmeshindwa kumaliza ila nmejitaid kuzisoma nme enjoy. Mimi Abdul kazi iendelee.🎉
Hahahahaaaa
Ni rahisi kutetea Ukweli.Ndiyo maana majibu ya Wenje hababaiki.
😂😂😂😂😂😂 kweli eeeee😂😂😂😂😂😂
Wenje anamaswali ya msingi sana LISU avumilie miezi 6????
Is very true influence ipo kila sehemu. Marekani pia lobbying na influence ipo
Wenje ni muongo lisu kwanza Abdul ni nani selekalini mpaka aende kwa lisu aangalie adocument aakafanye mambo lisu alipwe hela zake lisu yupi huyo akubali na anajua abdul sio mtumishi wa selekali Leo nimeamini anayosema lisu ni kweli wenje anajikaanga mwenyewa
Wakati swali la Abdul ni nani jamaa mwenye kipara alikua anacheka
Abduul ni kiongozi wa hii serikalini au ni kibwengo wa mama yake kuhongo kwa niaba ya kuuwa vyama vya siasa? Kwanini isifuatwe sheria za nchi? Kwenye MWENYEZI MUNGU yupo muda utaongea
Km Abdul ana uwezo wa kusaidia MTU alipwe pesa zilizo kikatiba basi hatuna uongoz wa sheria
Wenje umenongwa 100% usikwepe anikharibu chama pamoja na we nzako
😂😂😂 kwamba fisi akitaka kula wanae anaskia harufu ya mbuzi
Ivi umeshafikiri Lisu mwekiti Wenje makamu
Utumishi wa umma ni kujitoa ndio maana chombo cha umma kinapokuwa hakina uwezo mzuri wa kiuchumi watu hujitolea au kupata ujira mdogo. Ukiona mtu anategeneza umiliki wa chombo cha umma huyo hakuwa na lengo la kupambania haki ila ulaji
Abduli ana selikali ulikosea kumuomba abduli pesa mnatuchanganya mno blo
Binafsi naamini WENJE alitanguliza ubinadamu kwanza ili Lissu alipwe stahiki zake huwenda njia nyingi zilitumika na uzuri LISSU alikiri kumpa Abdul nyaraka ili alipwe
Zilifanyiwa kazi??? Ajenda waliyoendea ilikua sio ambayo lissu alimpa aondoke nayo...lissu akili Mingi
Kama lengo lilikuwa ni kumlipa Lissu stahiki zake, je alilipwa?
Jamani naombeni mtu mwingine achukue fomu ya umakamuu huyu amana kitu galasa hili jama hata mchezo haujanza
Huyu jamaa nilikuwa namheshimu kumbe ovyo tuu. Sasa mbona hasemi kama Abdul alimsaidia Lissu kupata malipo yake, na kama no hivyo basi nae Lissu anawajibika kwa Abdul any time kwa sababu KAMSAIDIA
Sasa kama issue ya Abdul na Lissu ni malipo na documents zilimfikia Raisi maybe au Mwigulu je Alilipwa hizo Pesa. Kwanza kuanza kumsifu Abdul ni Muungwana kwa kwenda kwa Lissu kumlipa deni mzee?!!
Hapo Wenje umejivuruga sana bora ungeendelea kukaa kimya. Kama kweli ww unamdai Lissu basi unakidai chama na chama mwenyekiti wake ni Mbowe basi malizana na Mbowe.
Anguko la CHADEMA limefika sasa, Lisu bora aachane na hawa vibaka akina Wenje aanzishe chama chake tu
Jina la function ambayo hata mtoto wa Rais, yumo ni function gani?
Abdul, alikataa kabisa kuwa yeye siyo mwanasiasa na siyo govt staff au govt leader, kwanini ashiriki? Kijana Abdul, angeweza kufikisha ujumbe kwa mama na Mama angelipokea na kulifikisha kwenye vyombo husika maana inajulikana, wizara ya Fedha; siko CDM lakini viongozi aina ya huyu anayeongea, "anajenga fallacies nyingi tena za ovyo kabisa!".
Taifa letu, lianzishe tena upya IDM Mzumbe, kama hali hii itakuwa namna hii, taifa letu mbeleni litateteleka! IDM nyingine irudi kwa mstakabari wa taifa letu.
Huyu hana legacy yoyote katika kuongea! 😊
Mahojiano haya yametupa picha halisi kwamba serikali tayari imeweka mkono ndani ya chadema.
Lissu alisema jambo moja tu, kama Abdul anadhani anaweza msaidia basi amsaidie apatiwe haki yake ya gharama za matibabu. Na akampatia nyaraka za matumizi ya matibabu. Lissu akamuahidi Abdul kama ataweza msaidia hilo atakua rafiki yake. Aligoma kupokea aina nyingine yoyote ya msaada ambazo yeye alitafsiri kuwa ni HONGO. So alichofanya yeye ni kumpa option Abduli badala ya kumpa msaada mwingine yeye amsaidie tu kuwasilisha nyaraka zile kwa mama yake.
Anzia hapa. Wenje anataka kumpeleka Lissu hotelini kukutana na Abdul. Lissu anakataa kwenda kwa kutoa udhuru. Lissu anapendekeza, Wenje aje na Abdul nyumbani kwake. Wenje anamleta Abdul nyumbani kwa Lissu Tegeta.
@ Ni hekima kubwa mno Lissu aliyoitumia Lissu. Huku akijua kua yawezekana ni kweli mwana wa Rais anania njema lakini je kama ana nia ovu, akakwepa mtego wa kukutana hotelini akasingizia tumbo ili tu awavute waje kwake pahala ambapo alipaona ni salama zaidi kwake lakini pia kujenga heshima kuwa si mim niliyekufuata bali wewe ndie ulinofuata. Akili nyingi alitumia.
Wenje hizo porojo kundi lako na mbowe yumo,Lissu atatoa wapi nguvu ya kuwa wajibisha
Wanaungana na mbowe kumtoa lisu hawa
Yaani wenje anajidharirisha kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanae wakimwona wanajisikiaje
Kama binadamu kuhitirafiana ni suala la kawaida msamehane maisha yaendelee ,lkn hizi tuhuma hazitowasaidia kitu,
Makachero wa kiimla at work.
Ndio maana tunasema CHADEMA ni chama cha wapiga dili tu sasa huyu Wenje anakiri bila aibu kwamba ni sahihi kumtumia mtoto wa Rais kufanya mambo yao ya kibiashara yaende 😂 Sasa kesho na kesho kutwa wakipewa Nchi watu kama hawa hiyo HAZINA yetu itasalimikaje!?
Kwani kwa Sasa imesalimika?
Hazina iko salama mikononi mwa CCM 😂😂
hujajibu swali mh wenje
Wenje anasema walikutana na Abdul mtoto wa Rais kwenye function Fulani, function gani? Kuna kitu kimejificha hapa kati ya wenje na abdul. Huyu anatufanya tuamini ya Lissu kuwa alimpeleka kwa lisu kwa ajili ya rushwa
Hakuna kitu hapo
Watanzania tulijua wenje utaongozana na Abdul wote, mje kwa pamoja mjibu tuhuma alizo toa Lissu, sasa mbona wenje umekuja pekeyako, Japo waandishi walikuita ww, kwakuwa abdul awamjui, ila kwakuwa ww unamjua abdul na umekiri kwenda naye kwa lissu ili alipwe na abdul, tulitegemea wenje uje na abdul mjibu tuhuma za lissu ambazo unasema ni za uongo.
Lakini kwakuwa wee usha ongea sasa tunaomba utuletee abdul, usipo mleta ww ndo utakuwa muongo. Na si lissu.
Wakati Msigwa alivyoweka mambo hadharani baada ya kutoka Chadema mlisema kwa nini asingeyaongea akiwa hukohuko chadema. Sasa Lisu kaamua kusema akiwa ndani ili makosa yarekebishwe
Ulimuuliza Abduli stahiki za Lisu kwani Abduli ni nani serikalini?
Lisu awe kama Dr silaa alikua haongei bila dataa
mhh siamini maneno ya wenje
Kwakuwa Lussi kaongea hadhalani, kwenye media, na Wenje umeongea hadharani kwenye media, SASA Watanzania tunataka, ABDUL Naye aongee Hadharani kwenye media. Ili sasa tujue mafuta yapi na maji yapi.
Msitufanye wajinga. Waandisi tunataka abdul naye aongee kwenye media, na tujue yeye ni mhasibu, au nani serikalini.
Anajikanyaga huyu. Kama kweli alimpeleka Abdul, keshasema alikuwa na interest yake binafsi kupata deni lake akishalipwa Lissu
Tuhuma za Lissu zinashahibiana na za Msigwa, Lissu alisema zijibiwe, hazijawahi kujibiwa.
Fisi😂😂😂😂😂
Swali Zuri Sana Kijana,Abdul Ni Nani? Hahaa anazunguka Mbuyu👏💪👏
😂😂😂
Duhhhhh sasa huyo ni nani serikalini
Kuna shida ipo kwa wanachama wa vyama vya siasa. Wakiwa ndani ya vyama vyao hudhania hawapaswi kushindana na kupingana. Hili si sawa. Timu mahiri ni ile inajifua maziezini kwa juhudi kana kwamba wapo kwenye mechi ili ikifika siku ya mechi iwe Fiti. Huwezi suburi kushindana na chama kingine ikiwa ninyi wenyewe mnashindwa kustahimili kushindana ndani ya chama chenu.
Ww mwongo mno mtoto wa Raisi anahusikaje na madai ya serikali
Upumbavu mtupu
Kwa utaratibu mbovu wa nchi yetu, mtoto wa raisi Ana ushawishi mkubwa sana sana sana serikalini, kikatiba si mtu yoyote kabisa.
Hapa nilipo nafanya comparison ya maneno ya Msigwa baada ya kutoka Chadema, maneno ya Lisu na maneno ya Wenje. Ila nimegundua kinachomuumiza Lisu ni ukweli na uwazi
Hili jamaa nilifikiri Lina akili kumbe jinga kabisa 😢😢😢😢😢😢😢😢
Wenye akachunge ng'ombe au akalime siasa haiwezi tena hana hoja
Wewe mbona umekaa kimya mpka Leo unatoa maelezo
😂😂😂😂😂😂
Lakini jamaa ana hoja asikilizwe Bila kuegemea upande wowote...
@@ramadhanishamtandulo1510 kusema ukweli hakuna hoja
Miaka imeenda kaka Wenje amezeeka😅
Siku azigandi aisee 2010 ndo aliingia bungen
Yani wenje kumbe nae tahiraaa Yani anaongeaa kabisaa kukutana na dully ni bonge moja la exposure dah aisee😂😂😂😂😂😂 afu anakwambia ana masters dah pumbavuuu kabisaa huyu jamaaa
Wacha nicheke yaani!!
Kaka kazi nzur sana hakika mmeonyesha ukomavu katika kazi yenu
Walikuwa na uwezo wa kuhoji maswari more technical, but uwezo hawana.
Nimekuzarau sana wenje kumbe ukowaajabu hivyo
ITS NOT ABOUT WENJE NOR DULLAR NOR LISU NOR CCM NOR CHADEMA BUT IT IS A SCANDLE
Sasahuyo jamaa alitaka kuwasaidia yeye kama nani
Wenje in the best interview
shame very shame wacha lissu is very very bright lissu ni mkweli mungu wangu leo aibuu kubwa sana
Kusikiliza maelezo ya wenje ,huyu jamaa ni mpigaji ,kupitia yeye viongozi wengi wa Chadema wakula hiyo hela,isipokuwa LISU
Wenje jibu swali Abdul ni nani? serekani hadi ampelekee pesa mwamba lissu tena nyumban sio unaruka ruka tu?
Hujaelewa Abdul hajapeleka hela kwa lisu alienda kuchukua nyaraka za lisu ilikulipwq
@mohdkhalfan1380 abdul anaende kuchukua nyaraka kama nani serenading?
@@mohdkhalfan1380yeye kama nani katika malipo hayo?
Duh! Haya ni mauzauza kumbe Tundu Lisu yuko sahihi serikali inadaiwa ila anayeshughulikia si mtu wa serikali
Aisee Wenje daaa!
Wenje is very weekleader hafai hata kidogo
Huyu wenje ni kilaza kweli..yani lisu anadai malipo yake halali ambayo yako kikatiba..kwanini mpaka mtoto wa raisi akamuombe mama ili lissu alipwe?!..hii nchi inaongozwa na utawala wa sheria kweli?!
Katumia uzoefu kuongea Ila hajaweza kutoka kwenye mtego Wa kina Abdul
Sura ya wenje inaonyesha KAHONGWA.