WENJE, LISSU, NA "PESA ZA ABDUL." SAKATA LILIANZAJE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @AntonyKawage
    @AntonyKawage 16 хвилин тому

    Mr wenje,umeongea hovyo sana,na hii siku itakufanya ujute maisha yako yote.yaani umeharibu mnooo,na si kwako tu majibu na tuhuma zako zimeharibu kabisa hicho unachosema chama chenu.

  • @assengamn
    @assengamn 3 години тому +2

    There's no question Wenje amelamba ubuyu,

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 години тому +2

    Kwani Abdul. Ni nani Serikali hii?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 3 години тому +1

    Huyu mtu aligombea kanda na kashinda kitu gani kilimsukuma kugombea umakamu taifa kama sio hofu , lkn hata kuchukuwa from ya uwenyekiti chanzo ni huyu kutaka kumuondoa lissu kwa mawazo yangu madogo😮

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 години тому +1

    Kwa maelezo haya ya Wenje TAKUKURU bado tu hamjamhoji Wenje?

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 43 хвилини тому

    Kwahiyo Lissu akiidai serikali ndio anatakiwa kulipwa na mtoto wa Rais. Huyu Wenje na masitazi yake bhana😂😂😂😂

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 2 години тому +2

    Jamaa unaonekana mwongo kabisa!???!!!!!!

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 43 хвилини тому

      Washapiga pes hawa za kutosha
      wanatuzingua tu
      siasa za bongo ni mchezo chafu
      Lisu ni mkweli sana ,

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 33 хвилини тому

    Nyanda...hongera sana.

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik Годину тому

    Wenje siku nyingine kumbuka waandishi wa habari wanaweza kukupandisha au kukushusha dhamani yako usikurupuke kujibu maswali yao tafakari kwanza mara mbili au zaidi kabla ya kujibu .Kwa hili umekosea !!!! Kitendo cha wewe kwenda kwa Lisu na mtoto wa raisi kinatia mashaka acha kujiuma uma

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba Годину тому

    HUYO NI MMOJA WA MAJITU AMBAYO YAPO KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO HAYO NDIO MAPANYA KABISA HUYU JAMAA NILIKUA NAMUHESHIMU LAKINI KUMBE PANYA LOOO!😢

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga Годину тому +1

    Wenje hapo umeongea uongo .abudy ni Nani kwenye serikari .anacheo gani .amripe lisu pesa

  • @JohnTemba-o8t
    @JohnTemba-o8t Годину тому

    Aliyeko VEMA ni Lisu, Moja kama KWELI walienda kwake kwa ajili ya malipo ya Lisu ANZIA mwaka Jana HADI Leo huyo Abduli amemletea Lisu pesa yake?na kama Lisu amevumilia miezi 5 akaona hakuna kitu kwa nini asiseme walikwenda kumuhonga? Kama ni kweli kwa maelezo ya wenje HIYO pesa ingetakiwa Lisu ameshapewa pesa yake. LAKINI HAKUNA HADI LEO. Sisi tutasfirije? Mkweli Lisu.

  • @pamaco_wa_viwanda
    @pamaco_wa_viwanda Годину тому

    Abdul akapambane Lissu alipwe akiwa kama nani??

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 35 хвилин тому

    Ansbert nakuomba ufanye mahojiano na Lisu na Wenje. Utamaliza ubishi

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 Годину тому

    Mpinzani wa chadema urafiki na mtoto wa rais wapi na wapi mnatumia siasa kujenga network za uchumi wenu kwa kujivisha ngozi za wapigania haki kulaghai wapenda haki wa kweli lissu mnampiga vita ili kutetea nafasi ya mbowe anaefanya neutral politics kuendelea kunufaika na networks za uchumi kuna kitu nimejifunza hapa

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en Годину тому +1

    😂😂😂tuhuma ukweli tunahitaji kiongozi kama lissu wewe wenje unakwepesha ni mlamba asali lissu alisema kuanzia mbowe mpaka ww mnachukua pesa za ccm mnakula 😂😂lissu ni mtu wa msimamo na yuko Street wenge ukiwa muongo usiwe msahalifu maana unaongea hata mdomo unatetema tunahitaji kiongozi kama lissu

  • @revocatuspaul42
    @revocatuspaul42 Годину тому

    Naona wenje unakwepa na kuzunguka swali, umeulizwa Abdul ninani? Mtoto wa Rais hana mamlaka na influence kwenye serikali

  • @doreennanyaro2428
    @doreennanyaro2428 3 години тому +1

    sidhani kama Wenje anajuwa ancho sema😅

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Годину тому

    Wenje alijirahisi sana kwa mtoto wa rais, ulikuwa ni mtego

  • @stanfordsaulo5403
    @stanfordsaulo5403 46 хвилин тому

    Ingekuwa busala kama ungekaa kimwa Kuna tatizo kubwa kwenye chama

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 2 години тому +1

    Kumbe kweli

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 52 хвилини тому

    HUYU JAMAA WA AJABU SANA INAMAANA HII NCHI NI YA ABDULI NA MAMA YAKE? HII NCHI SIO YA KIMALIKIA😮

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l 5 годин тому +1

    Wa kwanza leo

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Годину тому

    Maswali ni mengi kuliko majibu

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Годину тому

    Ukitumia akili ya kawaida utajua tu alikuwa agent kwa kujua au kwa kutojua

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 21 хвилина тому

    Kumbe tukio lili fanyika kweli

  • @haki4244
    @haki4244 2 години тому

    Wewe na wenje wote ni mercenary politicians

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 години тому +1

    Lisu yuko sahihi.

    • @malinzirutta3391
      @malinzirutta3391 2 хвилини тому

      Why? Usiletw mahaba, be objective, yuko sahihi kwa vipi? Wanamuhonga ili iweje? Kwa kumuogopa? Kwani atawafanya nini, atamfanya nini Rais. Fikiri kwa undani na si mihemko

  • @sophiaamnaay9726
    @sophiaamnaay9726 Годину тому

    Umeeleweka

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 години тому

    Nyooka Wenje Acha kuzunguka.
    Swali Ulishaenda nyumbani kwa Lisu ukiwa na Abdul? Yes or no

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 3 години тому

    Jibu swali je ulimpeleka abduli kwa lisu?

  • @Mwakamele
    @Mwakamele 3 години тому

    Wenje amenyoosha maelezo. Sasa Lissu aje na ushahidi.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 Годину тому

      Hakuna kilichonyooshwa hapo, wenje aliingia mtego wa Abdul.Amka broh

  • @JumaMakenga-t2o
    @JumaMakenga-t2o 4 години тому

    Pameanza kuchangamka 😂😅

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 2 години тому

    Jibu swali ulimpeleka Abdul kwa Lisu?