Jibu safi kutoka kwa Mwalimu ndacha,Mwana Punda ni wa Yesu aliyeweka Hapo kwa njia ya Roho, Na Mali yote ni ya Yesu, yote ni yake maana yeye ni Mfalme anayetawala kila kitu duniani Na Huko mbinguni.Kwa Mazinge anasoma Bible kimwili kama wale mafarisayo walivyo muuelewa Yesu kimwili Na ndio waliangamia kwa dhambi zao.Licha Ya Bwana Yesu kujaribu kuwafungua Macho ,wao walisimama Na msimamo wakamwambia Yesu ati baba yao ni Abraham Na wanazifuata Sheria za Musa kwa hivyo wao ndio waliokua kwa njia nzuri sana ya kumfikia Mungu.Na hawakujua Mungu alikua pamoja nao kwa njia ya mwili,maana Shetani aliwafunga Macho wasiione ukweli wa Yesu Na Nuru yake..Na mwishowe Yesu amesalia kua Mfalme Mshindi asiyeshindwa Daima.
Francis and Paul May almighty God bless you abundantly protect you wherever you go, I know the ministry you're doing is not that easy almighty God in heaven will see you through you will deliver more Souls to Jesus
Ahadi Ni Deni Mazinge Alipe Alicho Muahidia MUNGU❤ La Sivyo Ata Pata Kichapo Cha MUNGU❤ Tena Kwa Ahadi Yake Alisisitiza Ana Apa Na Aka Aga Wisilam Baibai👋🎉🙌. Ewe Mwenyezi Mungu Mumba Mbingu Na Nch Ndili Na Huyu Mzee Mazige🙏💖.
@ic, chacha Yani ww unafata akili zandacha kisha husomi maandiko ,,Acha nikuandikiye Marko 11:2-5 kisha uwone Kama alisema atarudisha kisha utupe andiko Yesu baada yakusema kurudisha alirudisha ao
Punda, mwenye punda na waliutumwa wote ni wa BWANA YESU 😇😇😇🤗🤗🤗💃💃🤸♀️🤸♀️Aminaaaaaaaaaa🙏🙏🙏... Mazinge ni mnafiki utaapa hadi kaburini, yeye ni pesa anatafuta hana haja na wokovu
Huyu maskini mazinge anausongo Wa kuapa kila anakokwenda mnaksha Wa kidini ,Huu pia ni msiba waislamu mumsalie dua jameni.. ndacha kidume Yesu amekukweza Amani yake iwe juu yako
Nameishi na waislam almost 10years now,kuhapa ni aramu kwao Mzee unakosea sana,utahaba mbaka uingie kaburini?aibu sana, Mr Ndacha and Paul God bless you 🙏
@@michaelsyuma3860 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣How 🤔❓Like how..However am just struggling to raise awareness and my standards But my relationship with God is awesome stuff and personal
Mazinge kweli ni kama kalewa etii, ama anaigiza? Maswali Kama hayo sio ya mtu ambaye mnamtegemea . Mr Ndacha kibano chako matata. Mungu wa mbinguni akubariki sana. Hakika kanisa la kizazi hiki limenufaika sana na uwepo wako.
Unawapa na ushahama wewe mazinge utakua kama Paulo umeapa na imani yangu ukutane na Yesu ana kwa ana kabla ili akudhihilishe oskofu mazinge .karibu .wewe ni chombo mazinge.
Nimemziea Mr mazinge na comedy zake bt kilioko ni kile anajua ukweli ndio yuapa kila wakati ile waislamu wafungunge macho atakapobadilika kuenda kubatizwa wasilamu wasimtese
Thank you pst ndacha.pongezi kwa kutetea Bwana wetu Yesu kirsto.swali, hata kama Yesu angerudisha mwana punda. wangekua wakristo ama wangendelea kupinga?waingie ukirsto waache maswali hayana maana kwa biblia.
Eti anajiita professor Mazinge hakuna professor hapo elimu ya kupambana na sisi wakristo tunaojitambua na kusoma maandiko hawatuwezi eti lugha ya kiarabu ndio tukufu kumbe hata waganga wanatumia ndo mana hata maandishi yanatisha unaanza kusoma kushoto unamaliza kulia daaaah
Mazinge kajibiwa pap hapo sawa mwalimu Ndacha...MUNGU akuthidishie Neema.
Ukweli uliopo hakuna muislam wa kushindana na Mkristo....Mazinge anatuletea kinyago cha kuchonga na kutupa habari za wasiojulikana
Wewe masige unakosea Sana mungu akufumbue macho
Jibu safi kutoka kwa Mwalimu ndacha,Mwana Punda ni wa Yesu aliyeweka Hapo kwa njia ya Roho, Na Mali yote ni ya Yesu, yote ni yake maana yeye ni Mfalme anayetawala kila kitu duniani Na Huko mbinguni.Kwa Mazinge anasoma Bible kimwili kama wale mafarisayo walivyo muuelewa Yesu kimwili Na ndio waliangamia kwa dhambi zao.Licha Ya Bwana Yesu kujaribu kuwafungua Macho ,wao walisimama Na msimamo wakamwambia Yesu ati baba yao ni Abraham Na wanazifuata Sheria za Musa kwa hivyo wao ndio waliokua kwa njia nzuri sana ya kumfikia Mungu.Na hawakujua Mungu alikua pamoja nao kwa njia ya mwili,maana Shetani aliwafunga Macho wasiione ukweli wa Yesu Na Nuru yake..Na mwishowe Yesu amesalia kua Mfalme Mshindi asiyeshindwa Daima.
Amen
True❤
You have improved my thanking ability Mr dacha 🎉🎉🎉 congratulations to your information pastor
Watumishi mubarikiwe sana, Mungu amewapa kipawa special sana during this age,Yesu Kristo wa Nazareti awalinde sana
Ndacha the east African genius.
He is the Christian Prince of Africa
Amen Yesu mzuri kweli kweli Allelujah
Nakuona
Pamoja sana
Kazi nzuri sanaa mwalimu
Umenifanya nikajua mengi sanaa kuhusu dini ya Kristo
Thank you so much pastor Ndacha my God Almighty reward you abd strength you for the good work🥰❤️
I love Ndacha's sense of thinking 🤔May God protect him for us
Mazinge wewe hauna elimu ya vitabo, Ndasha ongera sana kwakumujibu Sheikhe mazinge
Punda ni ya Bwana Yesu😂🤣🙏💪👏
Nawaombeeni Ndugu zetu waalimu Ndacha Na wenzio. Endeleeni kazi nzuri kumtetea Christo .Mungu na awalinde
Ubarikiwe sana mtumishi Ndacha kwa kazi hii unayoifanya. Bwana ukuziwdishie afya njema na uzima.
Hongera mwalimu mungu akuzidishie hekima
Umeona eee
Francis and Paul May almighty God bless you abundantly protect you wherever you go, I know the ministry you're doing is not that easy almighty God in heaven will see you through you will deliver more Souls to Jesus
Mazinge ulihapa utahama uislamu. Swali lako lilijibiwa na mwalimu Ndacha. Ubatizwe na, Karibu sana kwenye ukristo.
Mbona hajabatizwa wakati aliapa, jamani mbona hamumtendei haki mtu wa Mungu huyo Mazinge?
Ni comedian tu uyo,ajui chochote
Pastor Ndacha God will bless you
Huyo mzee arudi Tanzania hamuwezi ndacha amuonage tuu kwa youtube
Ahadi Ni Deni Mazinge Alipe Alicho Muahidia MUNGU❤ La Sivyo Ata Pata Kichapo Cha MUNGU❤ Tena Kwa Ahadi Yake Alisisitiza Ana Apa Na Aka Aga Wisilam Baibai👋🎉🙌. Ewe Mwenyezi Mungu Mumba Mbingu Na Nch Ndili Na Huyu Mzee Mazige🙏💖.
Karibu katika ukristo
t
Ubarikiwe mwalimu ndacha hakika kumcha bwana ni chanzo cha maarifa
Mazinge is just a comedian, anashindia kupeana ahadi na hatimizi. Mungu amuonekanie aweze kujua ukweli na aache kupotosha waislam.
@ic, chacha Yani ww unafata akili zandacha kisha husomi maandiko ,,Acha nikuandikiye Marko 11:2-5 kisha uwone Kama alisema atarudisha kisha utupe andiko Yesu baada yakusema kurudisha alirudisha ao
Yeye ni Bwana na vitu vyote ni vyake Sasa atarundishia Nani, ata ww swali kwako amrundishie Nani
Mazinge is an apostle not comedian like you
Ww ndio hujui lolote coz unanawa na tissue alafu unaenda abudu mungu ikiwa na Mavi
tunafaa kuwa on toes kwa word...nimejifunza mengi kutoka kwa hii ministry...Mungu Aibless sana
Waislamu okokeni jameni ili muihepuke jehanam yesu ni njia ya kweli na uzima
Shekhe umeongea kweli kbs Mungu akubariki waache kulalamika ovyo hawawezi kushindana na wakristo
Dah!! Mungu akutumie zaid mtumishi
Punda, mwenye punda na waliutumwa wote ni wa BWANA YESU 😇😇😇🤗🤗🤗💃💃🤸♀️🤸♀️Aminaaaaaaaaaa🙏🙏🙏... Mazinge ni mnafiki utaapa hadi kaburini, yeye ni pesa anatafuta hana haja na wokovu
Asante mkuu pamoja kumbe mashehe wapo kila kona pia kupambana na wakristo haifai...
Huyu maskini mazinge anausongo Wa kuapa kila anakokwenda mnaksha Wa kidini ,Huu pia ni msiba waislamu mumsalie dua jameni.. ndacha kidume Yesu amekukweza Amani yake iwe juu yako
Sijawai kuona mhubiri Kama ndacha,, hakika wewe Ni genius na pia unaongozwa na roho mtakatifu wa Mungu.
Mazinge mm nampenda sana make hufurahisha pale anapobanwa jinsi anavyochomoka kwa kuigeuza mada
Watumishi mbarikiwe sana mungu awabariki 🙏🙏🙏
Ubarikiwe Sana mwalimu Ndacha
Nameishi na waislam almost 10years now,kuhapa ni aramu kwao Mzee unakosea sana,utahaba mbaka uingie kaburini?aibu sana, Mr Ndacha and Paul God bless you 🙏
Bwana yesu akubariki mwalimu wangu
Amen nabarikiwa sanaa na mafundisho
Congratulations 👏Apostle Ndacha we really appreciate your efforts ❤thanks for uploading
Hello my sister l hope you are doing great..
You have been quite for long
@@michaelsyuma3860 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣How 🤔❓Like how..However am just struggling to raise awareness and my standards But my relationship with God is awesome stuff and personal
@@margaretmargaret5744 okay but we miss you when are you going to be back on platform?
@@michaelsyuma3860 The road I've travelled hasn't been easy sir but I will try
Daaaaa safi sana ndacha biblia ina majibu yote
Mazinge kweli ni kama kalewa etii, ama anaigiza? Maswali Kama hayo sio ya mtu ambaye mnamtegemea
. Mr Ndacha kibano chako matata. Mungu wa mbinguni akubariki sana. Hakika kanisa la kizazi hiki limenufaika sana na uwepo wako.
Mazinge wewe mbona hutimizi ahadi ambazo unaahidi timizantuone
❤❤ uyu mzee nakupenda sana umesema ukweli
Huyu mazinge mtu hovyo sana anathani mungu niwakuchezewa
Mwalimu Ndacha barikiwa, injili ya kweli .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤌Evidence of a confused person like Mr Mazinge Eeesh Mr Mazinge is more than a comedian
Mazinge comedian not a shekhe😀
@@christophertarimo3044 that's why Jesus said that You will know them by their fruits and now we can see Mr Mazinge coming on the categories
@@margaretmargaret5744 of course
@@christophertarimo3044 No Bproblem comrade Aluta continues Such confused people are written in the bible the book of revelation
Mazinge chizi ,hivi unaweza iba gari halafu unapita kwa mwenye nalo tena huo wizi au
😂😂😂
Huyu Mazinge amechanganyikiwa kabisa,,na hayo maneno unaapa Kwa njina la Mungu,,, Siku Moja utakuja baptized
Ndacha Mungu akubariki sana
Huyu shehe ameongea ukweli kabisa waislamu wote wangekuwa na hekima hii
Ndacha sinachakukupa zaidi yakukuombea Mungu akuongezee maarifa mtumishi
Mazinge acha unafki mzee
Unawapa na ushahama wewe mazinge utakua kama Paulo umeapa na imani yangu ukutane na Yesu ana kwa ana kabla ili akudhihilishe oskofu mazinge .karibu .wewe ni chombo mazinge.
Mchungaji uko vizuri kwa hoja huyo habibu maznge hakuwezi na sio tu hata na waislam wote,
Nimemziea Mr mazinge na comedy zake bt kilioko ni kile anajua ukweli ndio yuapa kila wakati ile waislamu wafungunge macho atakapobadilika kuenda kubatizwa wasilamu wasimtese
Toeni aya yesu karudisha pundaa
Huku kwetu Tanzania aliapa kubatizwa, akajibiwa na akavunja ahadi yake,,huyo Mazinge ndiyo zake anatoa ahadi akijibiwa anavunja ahadi yake
Siku yake itafika TU....
siku yaja kwa neema ya MUNGU atabatizwa
Mazinge aki amechanganyikiwa kweli?
Bravo Ndacha!
Ndacha the goat of east Africa
Ndacha ubarikiwe sana
Nawaziya Mazinge kaacha uwislam
Huyu Mazinge ni professor wa maigizo
Yohana 14:6 Yesu kristo Ndiye Njia,UKWELI, na Uzima
Acha kuapa Mazinge ni bora utumie lugha nyine kwasababu huwa hautekelezi kiapo chako.
Ukristo rahaa sanaa
Mwenye punda ndiye mwenye kondoo aliyo itoa sadaka ibraimu
Mzee umenena mnoo. MUNGU wa mbinguni akupe uzima wa milele
Mazinge huyu hana hakiri mzee huyu, arafu ana kinywa tu kimenzidi, 😄😄😄😄😄
Kutetea iman ya paulo ...haki ni shida ....I thank God for selecting me as a muslim 🌍🌍🌍🌍
Jehanam yakungoja ww,,msipinge ukweli achana na dini ya majini jameni
Huyu sio kipofu 😂😂😂😂😂
Mazinge bona we upenda kuapa bure na neno la Mungu
Mazinge kimya!
😂😂😂yaani mazinge Hilo ndo swali anauliza kla Mahali Hana lolote huyo Aja arudi madarasa
Pastor Ndacha nimependa kazi unayofanya na ningependa uje Sega in siaya county siku Moja ama Hata UKWALA town
Thank you pst ndacha.pongezi kwa kutetea Bwana wetu Yesu kirsto.swali, hata kama Yesu angerudisha mwana punda. wangekua wakristo ama wangendelea kupinga?waingie ukirsto waache maswali hayana maana kwa biblia.
Mr mazinge ni tu panganga na vicomedy.kajibiwa na mwalimu ndacha lakini hawezi kubari ukweli
Mr Mazinge on a serious note 📝You are in the Mortuary room Spiritual 😀RIP Mazinge 🙏🏼
🤣🤣🤣🤣👌
@@immaculategesare5896 This Mazinge is the Devil 🤘😈himself
@@immaculategesare5896 Mazinge has been promising Ndacha he will be baptised but at end of the podium he collect money 💰and go back to Tanzania 🇹🇿
@marg,,mazinge is a perfect devil 😈 first he asked a very awkward question infact his thinking capacity is very law
@@immaculategesare5896 he's just trying to make some jocks with Ndacha's knowledge
Asante pastor,Tena kufungu kinasema punda hajapendwa na mtu yoyote
Nimependa sana huyo shehe wa Tanzania (si Mazinge) Mungu na amwongezee hekima hats akaiona njia ya Uzima
Amina ,BWANA amwangazie Nuru yake.
Hn chochote huyu shehe no mbwembwe tu hana jamuhimu
Ndacha ni shujaa, Mazinge asikwa haya tu yakuokoka. Aliishajuwa ukweli, ila ni roho ngumu tu ndio maana hageuki.
Pst ndacha wanyoreshe kweli
Huyu Mazinge ataendelea kuapa hadi lini na hajawai timiza ahadi hata akijibiwa swali lake.
kuapa tu mpaka uingie kaburini.. mazinge ubatizwe basi leo
Viva maznge viva❤❤❤❤❤
Waislam hali mbaya
Mazinge amejawa na upuzi mingi sana
Huyu ndacha ana ulizwa hivi ana jibu vingine kabisa, mazinge haja sema Qur'an nyinyi wa kristo Mwenye Enzi Mungu awa hidi yaarab
Hakuna kajibu vizuri alionyesha kwamba vilivyomo humu duniani ni vyabwana xo yesu ni bwana sasa huyo mwanapunda pia n wake hajaiba
Tanzania aliapa akajibiwa kuhusu dini kitabu cha halali na haram UK 223 hakusilimu Leo tena anaapa, si mnafiki huyo.
Wewe ni Mtu wa Mungu sababu unawaambia ukweli waislam wenzako ninyi hamna hoja
Huyu shehe ameongea vizuri na ameongea Ukweli.
Sheikh umeishiwa
God people always wriht...🙏🙏🙏
Mungu awabariki sanaa
Mazinge wewe ni midomo hunajo vitendo huna
Kumbe swali la kitoto pole sana mazinge pole,
Kajibiwa Kashi kashi kashi alivyoo fanya Tanga leo amefanya vile vile mnyooshe uyu hana elimu mazinge Bwebwe
Thats a great answer to our fellow muslims
sasa ndio umejibu nn hiyo Zabur uliotoa bwana hapo ni Mungu na swali limekuja kwa Yesu ,huwezi kujibu maswali ya mazinge
😄 🤣 😂 tushakuzoea wewe mzee wa kuapa apa kuapa kwenye ndini yenu sio issue kubwa
Mazinge maswali dhaifu sana
Ww mazinge🤣🤣🤣achamuchezo
Amina🙏
mazinge ni munafiki wa hari ya juu