LATRA WATOA TAMKO KUHUSU NAULI YA TRENI YA MWENDOKASI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @ceciliaathanas3135
    @ceciliaathanas3135 7 місяців тому

    Nikisikia neno umeme nashtuka,sembuse treni ya umeme.Sina Imani kwakweli😥

  • @Idd-s7w
    @Idd-s7w 7 місяців тому

    Musa

  • @OmbeniShoo-kg8dr
    @OmbeniShoo-kg8dr 6 місяців тому

    Tupatieni ahuani ya usafiri tuone labda mabasi yatapungua kutumalizia ela zetu kwenda nje

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 7 місяців тому +2

    MAVIONGOZI YETU YAMEKAA KITAPELI TAPELI, YANI MTU ANAONGEA LAKINI SURA YAKE KAMA HAINA UAKIKA NA MDOMO WAKE UNACHOKISEMA.

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 5 місяців тому

      We ulitaka aweje? Kama Kuna dosari tutoe maoni, wataelewatu maoni yako

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 4 місяці тому

    Tunajua usafiri wa treni duniani ndio usafiri wenye gharama nafuu sasa ngoja tuone hizo za kwenu

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 7 місяців тому

    Hovyo

  • @dahlainismail6837
    @dahlainismail6837 7 місяців тому

    Hatupandi train ya mchongo train kinyonga

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 7 місяців тому

      Ukute kwenu ni bagamoyo apo umezoea nauli buku 2 hadi kwenu

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 5 місяців тому

      Mimi nitapanga maana inanihusu

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 7 місяців тому

    Na olewenu mweke nauli ambazo siyo rafiki ili hali ni kodi zetu zinatumika.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 7 місяців тому +1

      Sasa nauli zikiwa ndogo itajiendesha vipi

    • @malugukushaha6764
      @malugukushaha6764 7 місяців тому

      @@kwisa4899 mi sijasema ndogo, bali ziwe rafiki kwa pande zote.(Abiria afurahie na shirika nalo lipate mapato)

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 7 місяців тому

    Yani endeleeni kufurahia vichwa ovyooooo mm sitaki hata kusikia hizo tarifa kwani mkikaa kimya bila kutuambia wala hatujawauliza mtajipendekeza wenyewe itatusaidia nini

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂