LATRA yafanya ukaguzi Treni ya Mchongoko

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 121

  • @philipisohe8035
    @philipisohe8035 2 місяці тому +43

    East Africa inasonga mbele vizuri na miundo misingi bora. Hong era tz more love from 🇰🇪

    • @Brilliant-k2k
      @Brilliant-k2k 2 місяці тому +3

      Asante jirani

    • @clevermngao7565
      @clevermngao7565 2 місяці тому

      Hongereni na nyie kwa kuwa na Treni ya Dizeli! Worry not ipo siku mtafikia hii stage 😂

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 4 дні тому

      ​@evermngao7565 dizeli kama tractor 🚜 😅

  • @MohamedChillo
    @MohamedChillo 2 місяці тому +23

    Ila mnyonge mnyongeni Rais wetu mama Samia anafanya kazi kubwa sana apewe maua yake ,hongera mama Samia Rais wa URT

    • @PaullyPuyetrov
      @PaullyPuyetrov 2 місяці тому +2

      Katiba mpya ndio tunataka

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 2 місяці тому +3

      Angekuwepo Jemedari JPM angeleta Ile ya Japan inayokimbia kuliko zote dunian ila ngoja tumpongeze mama kajitahid maana n ngumu kukamilisha kitu alichoki asisi mtu mwingine

    • @iddikimia4951
      @iddikimia4951 2 місяці тому

      Kweli nakubali

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 2 місяці тому +4

      ​@@PaullyPuyetrovkatiba kaandikee wew na mkeooi hatujamaliza vitu vya msingi uleta mambo ya hovyoo au mkimbizii nn wewe😂😂😂

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 2 місяці тому

      TAFTEN HERA KO MNADHAN KATIBA MPYA NDO ITAWALETEA UGAR NYUMBAN KUNAMAMBO YA MSINGI MAKUBWA YA KUFANYA KATIBA IPO NA ITAENDELEA KUWEPO TU KWAN UNADHAN HATA IKIJA MPYA ITAKUWA NA MAAJAB WATUNZI S WALE WALE WABONGO 😢😢😢😢

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 2 місяці тому +6

    Hongereni watanzania wenzangu cha msingi tuvitunze hata aliyeanzisha atakuwa anafurahi huko aliko,Hongera sana mama etu Raisi wetu mama Samia❤

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 2 місяці тому +1

    Tanzania nchi yangu safi sana

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 місяці тому +2

    Hongera sana kazi nzuri

  • @dallerbwoyniglo8675
    @dallerbwoyniglo8675 2 місяці тому +8

    Ok jpm anaishi na ataish hata milele

  • @mosesngelej
    @mosesngelej 2 місяці тому +1

    Hongera sana mama

  • @kagarukifred7372
    @kagarukifred7372 2 місяці тому

    Hatari sana

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley 2 місяці тому +1

    Hii rangi ya Treni ingekaa rangi ya Taifa letu ,

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 2 місяці тому +6

    Mnamaliza lini ukaguzi? When are you starting the operations officially ?

    • @aliamour7815
      @aliamour7815 2 місяці тому

      Trh 1 Nov

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 2 місяці тому

      @@aliamour7815na wewe 😂 Muongo mbona umeandika kwa wasiwasi 😂

    • @aliamour7815
      @aliamour7815 2 місяці тому +1

      @@worldtechlab katafut tangaz lao usom

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 2 місяці тому

      @@aliamour7815si unipe nione jomoni

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 2 місяці тому

      @@aliamour7815ahsante my mpenzi nimeona sasa

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 місяці тому

    Ni nzuri sana na Nauli yake nayo ni nzuri sana

    • @abelg2488
      @abelg2488 2 місяці тому

      Nauli imetajwa wapi hapo??

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 2 місяці тому

    sijui kiswahili sababu mimi ni mghana, ila hongereni sana ndugu zetu wakenya.🎉

  • @hadharmakame
    @hadharmakame 2 місяці тому

    #KAZIIENDELEE #MAMA❤❤❤❤

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu Місяць тому

    Mwendokasi wa km/hr?

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 2 місяці тому +2

    mama tufikishie kigoma😂😂😂😂😂😂

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 місяці тому +1

    Safii

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 2 місяці тому

    Shusheni Gharama

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +2

    Safi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡

  • @JustinMwashilindi
    @JustinMwashilindi 2 місяці тому

    Jambo zuri san

  • @African511
    @African511 2 місяці тому

    Tanzania 🇹🇿 ya ukweli

  • @Pmaker19
    @Pmaker19 2 місяці тому +1

    Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @VictorKivuyo
    @VictorKivuyo 2 місяці тому

    HAPA KAZI TU SPEED 160. MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley 2 місяці тому

    Hii kazi ya Magufuli. Mama kaendelezatu ,

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 місяці тому

    Speed hikoje?

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 2 місяці тому

    Tunawajua vizuri ninyi Watanzania! Kuanzia leo mpaka miaka kumi ijayo, hakutakua na mchongoko wa SGR! Itakua takataka tu! Kwani DART iko wapi? Hakuna kitu!!!!!

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 2 місяці тому

      Kwani BRT haipo?,Treni itakuwa takataka kwa sababu gani,Uchafu uko Kenya siyo hapa Tanzania,Kama mmezoea uchafu Ni nyie,hapa kwetu usafi Ni desturi yetu.

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @geofreypiusy4718
    @geofreypiusy4718 2 місяці тому

    Safi nauli je na vigezo gani vinatakiwa niwe navyo ili niweze kusafiri

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 2 місяці тому

    Hii ni Tanzania

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 2 місяці тому

    Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 2 місяці тому

    jpm oyeee

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 2 місяці тому

    ❤️❤️🇹🇿🇹🇿🤟

  • @HajiMgwami
    @HajiMgwami 2 місяці тому +1

    TUZIDI KUA SMART JAMANI HAYO MAJANI NI NINI TENA HAPO RELINI

    • @MohdSalum-y5i
      @MohdSalum-y5i 2 місяці тому

      Majani yanasaidia kubomoka njia

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 місяці тому +2

    Mnatumia muda mrefu kukagua kuliko muda waliotumia kuitengeneza, na hamna chochote mnachojua

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa 2 місяці тому

    Electric Multiple Unit

  • @PacchaYassin
    @PacchaYassin 24 дні тому

    Huu ni unyama kabisa nimekubali hivi vichwa

  • @erickbabu4404
    @erickbabu4404 2 місяці тому +1

    Nulisoma Ka tren ya mchango du

  • @nganzimwaliza8191
    @nganzimwaliza8191 2 місяці тому

    Tunaambiwq kuwa train hii Ina speed kubwa kuliko hii ya kawaida, speed yake ni kiasi Gani maana standard speed ni km160/hr

    • @user-kr5dp2ip9g
      @user-kr5dp2ip9g 2 місяці тому

      EMU (treni ya mchongoko) speed yake ni km 250/hr lakini kama ulivyosema speed Standard ambayo tumeamua kuanza nayo ni 160km/hr labda baadae tutaweza kuongeza speed zaidi!

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 2 місяці тому

      180 km/hr

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 2 місяці тому

    Duh, bado tu wanafanya ukaguzi, mama Samia ingillia kati🤣🤣🤣

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 2 місяці тому

    Wazungu hawapendi maendeleo haya. Wanaweza kuleta NATO kuja kuharibu njia yote hiyo ya reli na hizo treni.

  • @Robbymabangoprinting
    @Robbymabangoprinting 2 місяці тому +2

    Magufulification mitano Tena huko huko uliko

  • @KibwayaMsouth
    @KibwayaMsouth 2 місяці тому +2

    Mnazingua kilasiku majaribio aumumeleta kama fashion

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 2 місяці тому +1

      We vitu vya mabilion uwezi kuweka relini2 haraka haraka

    • @highlife6779
      @highlife6779 2 місяці тому

      Oya hayo ni maisha ya watu mzee. Lazma ukaguzi ufanyike wakutosha

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 2 місяці тому

      HIZ n comment za watu wa chadema yan ukiiona tu wala huhitaj D mbili kuijua😂😂😂😂

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 місяці тому

      Na utashangaa cv zao na elimu waliokuwa nao ukute wana diploma au degree za civics na kilimo

  • @johnchem1632
    @johnchem1632 2 місяці тому

    nani kaona mkurugrnzi akiwa anaongea na madam apo wa dark blue🤪

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 місяці тому +1

    Vipi hao watu wa LATRA wana uwezo gani wa maana wa kukagua treni hizo wakati inaonekana hawaijui hiyo teknologia hata anavyojieleza unajua ni mbabaishaji tu

    • @protasdismas516
      @protasdismas516 2 місяці тому

      Hamna anachokagua, ni ubabaishaji mtupu, treni yenyewe ndo mara yake ya kwanza kuiona atakagua nn

  • @giftmeela6250
    @giftmeela6250 2 місяці тому +1

    Unamaanisha nini unaposema hii inakimbia zaidi wakati treni zote mwendo ni 160km/hr maximum.

    • @protasdismas516
      @protasdismas516 2 місяці тому

      Muongo huyo na mbabaishaji, kama ni kweli angesema zimeongezeka speed ngapi kutokea hiyo 160kph ya kawaida

    • @DanielKullwa
      @DanielKullwa 2 місяці тому

      Nadhani kajitamkia tu...maana hajatupa uthibitisho sisi watazamaji...kaitoa wapi

    • @alexissangali8650
      @alexissangali8650 2 місяці тому

      HII INAKIMBIA KULIKO ILE JAPO NI SPIDI SAWA KWA VITU VIWILI
      1.UMBO LAKE LA MCHONGOKO LINAFANYA AIR RESISTANCE INAKUWA NDOGO NA PIA INAWAHI KUCHANGANYA NDANI YA SEKUNDE 15 IKIONDOKA INAFIKA SPIDI 100KM/HR
      2.IDADI YA BEHEWA HII INA BEHEWA 8 INAKUWA NYEPESI, COMFORTABLE NA SMOOTH ILE NYINGINE INA BEHEWA 14
      NA UKIANGALIA ILE RATIBA YA KUONDOKA NA KUFIKA DOM TO DAR MCHONGOKO INATUMIA MASAA 3 DK 15,YA KAWAIDA MASAA 3 DK 50,MORO DK 85, YA KAWAIDA DK 105

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki 2 місяці тому

    Wanakagua nini na hawana ujuzi wa treni ya umeme

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 2 місяці тому

      Chuki kutoka Kenya,tulia jirani na treni lenu la steam engine,mtamaliza miti!

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 2 місяці тому

      Wacha roho mbaya wewe chadema Nini? Ndio wapinga maendeleo

    • @maneno_kairuki
      @maneno_kairuki 2 місяці тому

      @@abdallahselemani6423 ni wakenya hahahaha

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 місяці тому +1

    Hili jina la "Latra TV" lingeandikwa kwa herufi kubwa zote kwasababu sio tu neno au jina ila kila herufi ina maana yake au inawakilisha neno lake hivyo herufi zote zingeandikwa kwa herufi kubwa (LATRA TV) na sio ndogo. Huu ni Ushauri tuu.

  • @ernestwegga6557
    @ernestwegga6557 2 місяці тому +1

    Utaalam mmepata wspi

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 2 місяці тому

      @@ernestwegga6557 kwani sikuna ile nyingine inatembea au tatizo watanzania baadh mnapenda sana haraka haraka hicho chombo kitaishi zaidi ya miak30 lazima umakini uwepo kabla haijaanza kazi alafu ndio kanuni za treni sio kama wanajifanyia2

    • @abuelolongavida7261
      @abuelolongavida7261 2 місяці тому +1

      Ni dhambi kubwa kujidharau.....je Kama ingekuwa wazingua ungeuliza hili swali?

    • @Brilliant-k2k
      @Brilliant-k2k 2 місяці тому

      We ujasiri wa kuuliza umepata wapi?

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 місяці тому +1

      Ni wababaishaji tu hata wanavyojieleza unaona ni magumashi hawaongei kama wataalamu

  • @AAAAlphan
    @AAAAlphan 2 місяці тому +1

    Me nataka ya ghorofa maan sisikii tena

  • @EDWARDSANTOS-ny8sr
    @EDWARDSANTOS-ny8sr 2 місяці тому

    Edward santo's

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 2 місяці тому +2

    LATRA wanakagua nn sasa wamekaa juu ya viti kama wasafiri

    • @onlinecashtv7037
      @onlinecashtv7037 2 місяці тому

      Huna akili

    • @aliakrabi8321
      @aliakrabi8321 2 місяці тому

      @@onlinecashtv7037 akili yako nzuri sana😄

    • @nth3512
      @nth3512 2 місяці тому

      😂😂😂 ulitaka wawe chini kweny matairi

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 2 місяці тому

      ​@@nth3512😂😂😂😂

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 2 місяці тому +3

    Hovyoo kabisa kila siku maneno mengi vitendo vichache

  • @utopolo543
    @utopolo543 2 місяці тому +1

    wanakagua nini kwa wao ni ndo waundaji? Posho tu

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 2 місяці тому

      Likitokea lolote utarudi kuuliza kwa nn wanapokea tu vitu half hawakagui

    • @zzy1141
      @zzy1141 2 місяці тому

      Kweli utopolo

    • @utopolo543
      @utopolo543 2 місяці тому +3

      @@agapemunyi2095 sasa wanakagua nini wakati wao sio wataalamu wa fani husika? Au latra wana engineers wa hyundai?

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 місяці тому

      @@utopolo543 unajuaje sio wataalam ila akili za wabongo ni 0 kabsa

    • @godlistenmnkeni2454
      @godlistenmnkeni2454 2 місяці тому

      ​@@utopolo543 huna akili 😂😂🤦🏾

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 місяці тому

    HAN HUM KUNA COMMENT UKIIANGALIA UTAJUA TU KWAMBA HII N COMENT YA CHADEMA 😂😂😂😂 KAZ MNAYO KUITOA CCM BADO SANA 😂😂😂 NAJUA INAWAUMA ILA NDO IVYO HAMNA NAMNA😂😂😂

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 місяці тому

    HIYO SI BULET????

  • @BernardBenedicto-o9w
    @BernardBenedicto-o9w 2 місяці тому

    😂