The Story Book: Ujambazi Wa Kutisha JFK Airport
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- The Story Book: Ujambazi Wa Kutisha JFK Airport
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#thestorybook #wasafitv #wasafifm
(Prof Jama April, Prof Jamal April the story book)
Uko safi sana
somo la mwisho zuri...
I like it moree❤
The fantastic sound
Fine ooh
🎉🎉
ni kali sana
Kiambu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hey
🎉🎉🎉
Best story
Nimewai Leo nipeni like9 nammimi
The story book ❤
Kaka ni kweli huu msemo
From Rwanda harouna Dickson,Jamal nomaaaa
Good story jamal
Hii dunia watu wana akili
Good
Jamali unajuwa kielezea sana yan
Big job brother
Hatari sana like
Ndo imefika mwisho
Mwanaume kuomba likes ni umama
Nakupata vzr nikiwa hapa France
wazungu.wanaakili nyingi sana mipango ya wizi inapangwa miaka2
From mozambique, good good goog...
Hiii guy
You beautiful
Mbona hazidownload
❤ story 🎉
Duh yaani huyu msimulizi ananikoshaga sana mimi
Ichi ndo kipindi pekee ninachokipenda kwenye wasafi Tv😂😂kikiisha mm huyo naamisha channel, napenda sanaa Storybook, hichi kipind kiendelee tu kuwepo
man unajua
😢
Wakenya mpo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
💓💓❤️
Jamar unajua sana hiz ndio atory tunataka like 5 jaman twende sawa 🎉🎉🎉
Ungekua unasimulia bila kuuza sura story ingekua nzur
DAH STORY IZI ZAWIZI WIZI NI NZURI ILA ZINAONESHA KUPENDWA SANA KWA WADAU ILA CHACHA MTA TENGENEZA VIBAKA WENGI #TANZANIA WENYE HARAKA YA MAISHA KAMA MIMI GONGA LIKE TUJUANE KAMA UNA HARAKA YA MAISHA KAMA MIMi TUJUANE 😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣
Me nataka kuwa pablo
Tisha sana Mr.professor Jamal April
Bro ,Umetisha !!
Jamali we kiboko kaka unampinzani
Aaaaaaah ndomaana pale tegeta kukaitwa wazo hill sanabu ya wizi huu hahahaha
uko sawa ubarikiwe
Au likes ni chakula😅😅😅
Tuliokua Tunaisubiri The Story Book Kutoka Kwa Professor Jamal April Tujuane Kwa Likes Nyingi👍🏿
Aya malegend wa 2024 piten apa😂😂
Uyu mwamba anajuaa🏆🏆
Naomba uunde Lewinsky-Clinton scandal
stori za ujambaz zinaleta msisimko sana kuliko story za peponi
👉🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umenchekesha
🤣🤣🤣
@@nai7876 🤣🤣😂kanchekesha mi ya pepon skuimaliza
@@sophsoph4740 mm ndio hata sikutaka kufungua niko muoga hahahaha
also from nairobi
Mchumba ❤️❤️❤️jamaly
From kigali like 10
Stopwatch gang were be the best
Jamali wewe ni noma sana nime kukubali sana
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
Kaka wewe wa moto congratulations
The Goodfellas
Unanikonga moyo kaka
xxxtantacion story book please
Ongera sana Jamal
🤣😂😅kumi moja takatifu
Hamisy
Movie gani...ime act this story
Nimewai Leo nipeni like 10
Moja
jmn msaada huwa the story book inatokag kila juma ngap
Daaa story yooote ipo sawa
Likubwa zaidi ni ujumbe wamwisho uliyo fungia kikao Allah akupe mwisho mwema
Mwamba huyu apaaaa ♻️
Noma sanaaaa
Nakubal Sana the story book
Unatafsili. Hii yote kukosa elimu wabongo wengi..unatsfsili kutoka vitabu na mtandao .. its open ure genius and bright. Big up unapaswa kuwa waziri kwajli utagather reproductive ideas only.. bigup wasaidie mambumbubu ambao pia hawajari elimu
🚮🚮🚮🚮
Jomny.. Jamali... Nimeona.. Kikombe.. Changu ❤️cha.. Chai...
Story za uyu jamal ndio chakula cha akili yangu sasa
From Kenya
km naww unapndz za ujambaz gonga like zfke 200
Nakubalii brother
Hao wezi ni fezea
🤟
Sauti yako tuu imejibeba broo noumer sana
Prof. Jamal Unatuwekea wakati mgumu sana kusubiri sehemu za pili, ungezipandisha sehemu zote mbili kwa wakati mmoja.
Eleza stori ya khalid bin walid
Amazing 👊 i wanna only 10 likes
Unakitumia vizuri kipaji chako, hongera sana
Natumain na mm ntapata like 😁
Wekeni basi kipengele cha download ili tuwe tuna zidaunilod humu humu na ku watch later maaana ni hij chanel tu ndo haina ...tofatuti na anania/,mpagaze
Tumia videoder kudownload
Jamaa anasimulia vizuri sana ,na mimi naombeni like zenu zifike 500. Na nyie nawapa like za zenu
Jaribu kifupisha mb zimekua ghali
Hii dili ishaingizwa watu weeengi naona faida ishakuwa kidogo sana🤭
Nakubali Sana kazi yako Jamal
Jamy Jamy 😍😍😍
Jamali unajua Sana.
Hizi ndio story sasa, jamani like 10 zinatosha gusa twende sawa
Jamal unatanya kazi Safi Sana. Busia Kenya is listening
Nimeipenda sana simulizi hii
Big up
The story book
Ni zaidii ya home
Ukweliii na Maarifa
Dili limekuwa na watu wengi mnoo. Kila anayepewa dili anafeli kuchora mchoro
Shukran professor
🔥🔥
Vp
Jaman naombeni like ila Jamal ni hatari🔥🔥
Mmmh
💥💥💥
Jamal ujue unafundisha ujambazi😄😄
Kwenye kila story book yako nasemaga hv naleo narudia "Jamal Mustapha wewe ndiye best story teller in Tanzania"
Asante sana my brother from another mother
Duuuuh... Kuna Watu Wanatumia Akili Balaa Yaani Ni "Masterminds" 🙌🙌🙌🙌🙌
Wow jamal yupo kwenye hotel nzur sana ile walioigizia Single Dad ❤
Ramada hotel