@@charleslyuki691 Offcourse ni kazi inayojufanya utumikie watu kuliko Mungu na inakunyima Uhuru wa Kukaa karibu na Familia yako na uhuru wa kusafiri pia🙏🙏🙏
Prof Jamal ,you are complete investigative,researcher and historical Journalist,every Documentary is amazing,the creativity is on another level,wewe ni mfano wa kuigwa.
Jamal April wewe sio mtu ni jini!!!duhh unahangaika sana kutupa simulizi za kusisimua….akilini mwko kuna madini mengi sana…much respect!!much blessed#thestonetown.
Story nzuri sana ,but I doubt kma JTF2 walishawahi kuwa na OP Columbia dhidi ya waasi wa FARC ( Fuerzas Armadas Revolucionarias de Colombia )orodha zote za matukio ya KAZI za JTF2 zipo vitu hivi sio Siri Hasa vikifanyika kwa ufanisi na mafanikio, lakini pia kujiuliza vya kutosha kuwa Tears of The Sun kama action thriller film ilishasemwa ime-base on true story😍😍..
nimebaini lugha ya kiswahili ina nguvu kubwa sana kwa kupitia makala hii ya professor jamal april.kwenye comment section makala imetuleta pamoja watanzania, wakenya, warwanda,waburundi, wacongo na watu wengine nje ya jumuiya ya afrika mashariki. hongera sana professor jamal, endelea kuenzi lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Dah we mwamba unatisha kaka mm niliwahi kuangalia hii muvi ya TEARS OF THE SUN na ni muvi yangu pendwa sana na katika maktaba yangu ya muvi pendwa hii ni mojawapo ila sikujui kama ni muvi yenye story ya kweli kabisaaaaa Dah salute kwako kaka mkubwaaaaa
Safi 👊🏽 Sana Jamaal uko vizuri kwa makala zako za kiswahili nimependa hii story imenifanya nijue medani za kikomandoo. Endelea na kazi yako nzuri kutupa ufahamu.
Wamarekani mabwege sana stori hii wameitolea filam ila wamekwepa kuizungumzia American wameileta Africa dahhh..sawa bana kweli uongo haudumu. Big up kwa kutupa ukweli Professor Jamal.
Tears of the sun kacheza mtu mmoja anaitwa Bruce Willis nchi husika ni Nigeria na mpakani ni Cameroon katka hyo movie.. moja of the best Movie kwa Bruce Willis
Ur the best story teller, I can spend a day without listening to your stories, I like them very much, I appreciate your work, I love you so much, and your welcome to our beautiful country Kenya, to make story from different places culture, historical sites, leaders and many more, your welcomed brother, karibu Kenya , twakupenda sana kaka
Jamal ninapenda story zako kiasi kwamba kila siku lazima ni sikilize story kama tatu nne hivi mpaka nimeyamaliza zote sasa hua narudia kuyasikiliza tena upya
Akili nyingi sana kichwan kwako kipaji kikubwa sana kwenye taifa letu napenda sana kipindi chako ww ndo umenifanya nifatilie history Allah akupe afya njema na uzima❤
Mwanzo hadi katikati nilihisi hii story ni ya kutengeneza ila mwisho uliposema hbr za hyo movie ndo nikaupongeza ubongo wng.. ila nikupongeze bro unajituma sana kufukuwa mambo..hongera sana...
Success comes by being genuine and different and professor jamal is on road to become one of the greatest you tubers in Africa through story telling, I believe in him and I would even bet on him. Keep on building your brand brother soon the world will know you, I believe you can.
Akili nyingi mno kichwani kwako kipaji kikubwa sana ndani yako mtu wamaana sana nchini kwetu nakipenda sana kipindi chako wewe ndo umenifanya nifatilie historia Allah akupe umri mrefu na uzima❤
Niliamini kuja kutokea anguko la kipindi hiki, kutokana na Kujitenga moja ya mshirika wako mliyeanza naye na ulimfanya kipindi hicho awe na jina kiasi kukuzidi hata wewe mwaandaji na mtafiti wa story book. Lakini siku hadi siku story book jinsi unavoiwasilisha imekua bora mara dufu. Good job Prof Jamal April
Nimekusoma mapema profesa Jamal mwanzo wa simulizi na katikati nikaifananisha story hii na movie ASANTEE MWISHONI umekubali kua tears of the son waliigiza filamu inayofanana na kisa hiki uko vizuri
@@georgemwakyeja9719 hii sio muvi tu bali ni historia ya kweli jmn ko jamal huwa anatoa story ambayo watu wanamuomba dm haijalishi tyr ilishafanyiwa movie au laah
Profesa. Napenda historia kama hizi. Naomba tuandalie story ya Africa magharibi, kwanini kuna mapinduzi ya kijeshi mara kwa mara...historia za kina Thomas Sankara, wa Burkina Faso. 🙏
Hii Movie ilo igizwa kutokana na kuvujishwa na huyoo Mfunguaji na Leo pia nimeiona na niliumia sanaa! Yupo mwafrika mmoja katili Sana na amecheza filamu nyingi.
Wooooow that's awesome and amazing,kazi nzuri,mungu akulinde,akuongoze na akuzidishie heri na maarifa kwenye kazi zako na mipango yako yote Aamin.much love from+254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
jamaal twakupenda hapa kenya...yaani mimi na dereva wangu tukitoka kisiwani mbsa tukiemda popote jamaal watesa simu zetu..naomba likes za dereva wangu aliyenifunza kumsikiza jamaal
Mimi mwenyewe siwez kupitwa na story zake
Nasie tunawapenda uku tz
@@jacklinejacklinejonh6530 😂
@@jacklinejacklinejonh6530 😀
😮
Never disappointed bro kam umeikubal hii story gonga like ap🇹🇿
Ngoja nikupe kabsa hongera yako kabla hata sijaimaliza,,maana najua tu itakuwa fire fire,
Hajawai kukosea huyu bro namqubal
Hakuna kazi niliyokuwa naipenda,naipenda na nitaendelea kuipenda km kuwa mwanajeshi ila haikuwa bahati yangu! Naomba Mungu mwanangu abahatike Amina
Yaani wewe kama miee basi tuu hapa bongo mpk upate mtu wa kukushika mkono ndio Shida hiyo
Daah kwakwel hata mimi
Tunatofautiana sana aise . Hakuna kazi siipendi kama biashara za majeshi .
@@charleslyuki691 Offcourse ni kazi inayojufanya utumikie watu kuliko Mungu na inakunyima Uhuru wa Kukaa karibu na Familia yako na uhuru wa kusafiri pia🙏🙏🙏
Mimi niliipenda sana,hatimae 2007yes!
My favorite movie…! Tears of the SUN
Yes boy
Sasa mbona hii ni movie ya seralion
MAPENZI YA KISASA
Kama unayo hii movie naomba nirushie basiii🙏
Yeah 🔥🔥
Prof Jamal ,you are complete investigative,researcher and historical Journalist,every Documentary is amazing,the creativity is on another level,wewe ni mfano wa kuigwa.
MAPENZI YA KISASA
Nikiangalia hii story inanikumbusha movies tears of of the sun
iii ni movie
Jamal April wewe sio mtu ni jini!!!duhh unahangaika sana kutupa simulizi za kusisimua….akilini mwko kuna madini mengi sana…much respect!!much blessed#thestonetown.
SANA SANA SANA,,HUYU JAMAL C MCHEZO DUUH
Kama wew Unaikubari sana sauti ya Professor Jamaal .......Toa Likes
Sasa we wakike au? Huwezi kuwa dume upende sauti ya kidume mwenzako.
Pastor; go with God commander
Bruce; God left Africa....
Tears of the sun 🌞
One thing i like about this guy is consistency in his voice and storytelling. He's a national treasure who should be protected at all costs.
MAPENZI YA KISASA
Well said, he have consistency, and very very organised. He take time to read understand and to prepare things in details. Good lucky for him
@@caroligasper5251 okloookk
Oolooolololollllmommmm
Does he have his own channel?
Story nzuri sana ,but I doubt kma JTF2 walishawahi kuwa na OP Columbia dhidi ya waasi wa FARC ( Fuerzas Armadas Revolucionarias de Colombia )orodha zote za matukio ya KAZI za JTF2 zipo vitu hivi sio Siri Hasa vikifanyika kwa ufanisi na mafanikio, lakini pia kujiuliza vya kutosha kuwa Tears of The Sun kama action thriller film ilishasemwa ime-base on true story😍😍..
Nilitaka mwanangu awe mwanajeshi lakini kazi ya mungu haina makosa,RIP my lovely son
Pole sana dear
Jamaal napenda sna kazi yko
Sorry for your loss
Pole sana
I'm so sorry
tunaomba story book kuhusu makomando hatari zaidi duniani na kazi zao if possible 🙏
Story Nzuri Sana, Naisi Hii Story Ndio Wametumia Kuchezea Movie Ya TEARS OF THE SUN
Yeeeh
Ni yenyewe
kabsaaa walitumia stori hiii
Kama unayo hii movie naomba nirushie nimeshindwa kuipata 🙏🙏
Kabisaa kwasababu kila kitu vinaendana
the love for the storybook and Prof Jamal keeps growing daily....big up bro
MAPENZI YA KISASA
This is more than the best storybook 💯
Tears of The Sun 😢🔥🙌🏽
Saafii we kiboko muv ilikua inakuja kabisa kichwan
nimebaini lugha ya kiswahili ina nguvu kubwa sana kwa kupitia makala hii ya professor jamal april.kwenye comment section makala imetuleta pamoja watanzania, wakenya, warwanda,waburundi, wacongo na watu wengine nje ya jumuiya ya afrika mashariki. hongera sana professor jamal, endelea kuenzi lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Prof your narration of different stories and history of events is one memorable thing that makes me your follower...... And reader
Movie Tears of the Son.. Professor Jamal to the world 🌎
sure copy n pest...
@@husseindumwala3431 just a history bro cz this is the real story and any one can narrate it in his favourite way
Kwa kweli bro dah 😂😂😂
Umenikumbusha bro nilisahau jina
Amaizing! Yaan Hadi nineacha kazi niskilize vizur kila kioengele! Tears of the sun niliiona kitambo sana movie hii!
Tears of the sun, Bruce Willis
Wow...wow..wow..this is amazing💕...you never disappoint Jamal👏
Dah we mwamba unatisha kaka mm niliwahi kuangalia hii muvi ya TEARS OF THE SUN na ni muvi yangu pendwa sana na katika maktaba yangu ya muvi pendwa hii ni mojawapo ila sikujui kama ni muvi yenye story ya kweli kabisaaaaa
Dah salute kwako kaka mkubwaaaaa
Safi 👊🏽 Sana Jamaal uko vizuri kwa makala zako za kiswahili nimependa hii story imenifanya nijue medani za kikomandoo. Endelea na kazi yako nzuri kutupa ufahamu.
Wamarekani mabwege sana stori hii wameitolea filam ila wamekwepa kuizungumzia American wameileta Africa dahhh..sawa bana kweli uongo haudumu. Big up kwa kutupa ukweli Professor Jamal.
From Kenya am your big fan nawapenda Bure story zenu safi kabisa
God blessed you Jamaal for this amazing long storybook ❤
I have learned a great lesson through this Story book. Big Appreciation to All creaters 🔥🔥
More blessed prof jamal good story , enough details , amazing voice
Nakubongeza jamani umeiva mno zidi tena na tena kwa kutujusha uvumbuzi mwingi hongera!..profesa.
I live my comment here when someone like it it will remind me this perfectly story book
Tears of the sun kacheza mtu mmoja anaitwa Bruce Willis nchi husika ni Nigeria na mpakani ni Cameroon katka hyo movie.. moja of the best Movie kwa Bruce Willis
Ni colombia i saw it in history
Ur the best story teller, I can spend a day without listening to your stories, I like them very much, I appreciate your work, I love you so much, and your welcome to our beautiful country Kenya, to make story from different places culture, historical sites, leaders and many more, your welcomed brother, karibu Kenya , twakupenda sana kaka
Soundtrack yako inavuta concentration sana jamal kazi nzuri kwa ubunifu huu
Hii soundtrack ukiisikiliza Kwenye story ya king Solomon utajikuta umepata usingizi
Kumbe sio mm tu nnaevutwa na hii soundtrack much love jamal🇹🇿
KABISAAAAAA SASA
What a story it's so fantastic, keep up professor 💪
Finally we wish everyday iwe lisaa kama hii prof Big up mzee U made it
Hii story imetumika kucheza movie nyingi za kivita ,the hard way,tears of sun etc ,story nzuri KAZI nzuri hakika we ni prof jamal
Prof Jamal april, i appreaciet your story book segment. And your more fabulous, salute bro
Nilikuwa nawaza kuwa unaeleza story ambayo umekopi kwenye movie ya tears of the sun. Mwishoni ukaweka wazi kuwa movie hiyo ndio ilikopi. Asante
Hii ni kazi nzuri kwa kweli. Jamal April THE GREAT
need more stories lyk this, it is awesome 🙄🙄🙄bravo@prof JAMAL APRIL🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Really this guy is well spoken . Jamal April. I like story book 📖
Big up brother. You do very well
Jamal ninapenda story zako kiasi kwamba kila siku lazima ni sikilize story kama tatu nne hivi mpaka nimeyamaliza zote sasa hua narudia kuyasikiliza tena upya
PROFESSOR JAMAAL....huyu jamaa Masha Allah anajua ....
Tears of the sun ☀️
Exactly ndo nlikua nawaza n movie gan hii
Katupiga hapa haha
Please ustadh jamal tunataka story ya prophet mohmmed صلي الله عليه وسلم coz I love prophet Muhammad عليه افضل الصلاه والسلام
صلى الله عليه وسلم 💖
KWELI
Tuungane kwa pamoja ili professor aione hii
Much congrats to you bro your narration has gone beyond even a movie
Akili nyingi sana kichwan kwako kipaji kikubwa sana kwenye taifa letu napenda sana kipindi chako ww ndo umenifanya nifatilie history Allah akupe afya njema na uzima❤
Mwanzo hadi katikati nilihisi hii story ni ya kutengeneza ila mwisho uliposema hbr za hyo movie ndo nikaupongeza ubongo wng.. ila nikupongeze bro unajituma sana kufukuwa mambo..hongera sana...
tears of the sun ya Bruce Willies 😍😍😍😍 I watched that movie one
Kuna mda maisha yanachagua nini ufanye sio shida Mungu atakupa funzo juu ya mwisho wako ishende hofu jaza imani
Tears of the 🌞
YESSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
Jamal umeua sana kweny hii nime enjoy sana wew ni Tanzania one👍
Mungu akulide,, umtunjulisha mengi mimi na my San. Asante Sana.
Success comes by being genuine and different and professor jamal is on road to become one of the greatest you tubers in Africa through story telling, I believe in him and I would even bet on him. Keep on building your brand brother soon the world will know you, I believe you can.
Pro.Jamaal your number one intertainer jounalist...That is AMAZIIIIIG....🙏🙏
Respect bro for what you have done . kamodi 🌟
Ni kweli kaka Jamal great things takes time
Jamari jamari this is so lovely story book
Hauna baya jamal April unajua kinoma the story book on fire 🔥 ukifa huozi ukioza haunuki
Jamal the bigger thinker God blessed
I watched it na nkafikiria ni movie tu. Skujua ni ilikuwa historia ya ukweli. Asante jamaal
Jamal your the best storyteller 👍
Akili nyingi mno kichwani kwako kipaji kikubwa sana ndani yako mtu wamaana sana nchini kwetu nakipenda sana kipindi chako wewe ndo umenifanya nifatilie historia Allah akupe umri mrefu na uzima❤
Am like watching "TEARS OF THE SUN" while listening to this
Twakupenda sana Jamal tunavipenda stori zako hapa kenya
Jamal I love you with my heart your work is admirable I wish one day I will work with you
Niliamini kuja kutokea anguko la kipindi hiki, kutokana na Kujitenga moja ya mshirika wako mliyeanza naye na ulimfanya kipindi hicho awe na jina kiasi kukuzidi hata wewe mwaandaji na mtafiti wa story book. Lakini siku hadi siku story book jinsi unavoiwasilisha imekua bora mara dufu. Good job
Prof Jamal April
Good
This is awesome shout out professor✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kaka Jamani nakukubali Sana asante Sana wasafi kwakutufundisha baaz yavitu tunavo vijuwa kutufanya tuvijuwe zaidi Au tusipo vijuwa tuvijuw
Kali sana hii
Nimekusoma mapema profesa Jamal mwanzo wa simulizi na katikati nikaifananisha story hii na movie ASANTEE MWISHONI umekubali kua tears of the son waliigiza filamu inayofanana na kisa hiki uko vizuri
Akili nyingi sana professor jamal🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tears of the sun by Bruce Willis
@@georgemwakyeja9719 hii sio muvi tu bali ni historia ya kweli jmn ko jamal huwa anatoa story ambayo watu wanamuomba dm haijalishi tyr ilishafanyiwa movie au laah
Yes my brother today you make me happy too your story man big up bro🇿🇦🇧🇮
Vp
There’s a movie dedicated to this story, it’s call TEARS OF THE SUN by BRUCE Willis my favorite movie of all time
TEARS OF THE SUN
Profesa.
Napenda historia kama hizi. Naomba tuandalie story ya Africa magharibi, kwanini kuna mapinduzi ya kijeshi mara kwa mara...historia za kina Thomas Sankara, wa Burkina Faso. 🙏
UMEONGEA POINT SAHIHI KABISA KABISA MWAMBA
Thank you so much Brother for all the information you gave to us you make my day be blessed 🙏
Pfopheser Jamal atafutiwe jina lingine,mana ako juu zaidi ya Pfopheser.
Cheers chake ni Shujaa wa Mapropheser.
Ijumaa ya leo pia ingepita kimya sijui ingekuaje!😆 Thanks prof jamal, now nainjoy na story.
Hii Movie ilo igizwa kutokana na kuvujishwa na huyoo Mfunguaji na Leo pia nimeiona na niliumia sanaa! Yupo mwafrika mmoja katili Sana na amecheza filamu nyingi.
Tears of the sun 🙌🏿
Wooooow that's awesome and amazing,kazi nzuri,mungu akulinde,akuongoze na akuzidishie heri na maarifa kwenye kazi zako na mipango yako yote Aamin.much love from+254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera kwa kazi yako,ila kama naiyona movie ya TEARS OF THE SUN
Hujasikiliza hadi mwishm
kaka huakika kabsa Tears of the sun ✅
Prof Jamal upo vizuri sanaa,unaongea kiufasaha na unaeleweka pia
Upovizuli kaka nakubalisana kaziyako mzee baba endelea
Kak jamal tunaomb sana the story book zije za kijeshi kam hii apa man wengine tunapenda sana mamb ya vita na jeshi
The greatest professor
Bravoo, unahadithia vyem .. nipo kama natazama movie hivi,its amazing!
Tears of the sun
Bro unatufumbua sana vitu ambavyo tulikua atuvijuii big up sana mungu akupe maisha malefuu
Fully story ya Tears of the Sun Movie.
Tumekupata mkuu, kazi nzuri.
My favorite documentary, hongera jamaal
TEARS OF THE SUN 🌞
Mule Mule aisee Bruce wills aliitoa kwenye hii story
Tears of the sun Movie hii kama ilivyo Daa 🙌🏾
Nimeshakaa mkao wa Kula nipo na popcorn 🍿🍿 zangu ntapata knowledge kutoka Kwa professor in jamali Mungu akuweke
Usimalize popcorn kabla ya muvi lakn
it's the best story book, tuletee pia storybook about Barack Obama, queen Elizabeth,
Nataka story kuhusu mwamba Putin. Brother Jamal njoo na hii story
Tears of the sun, moja kati ya movie Kali ya kijeshi
I like this story coz is like movie called TEARS OF THE SUN