The Story Book: Ukweli Kuhusu NYUKLIA, Dunia iko kwenye Hatari Kubwa
Вставка
- Опубліковано 19 тра 2022
- The Story Book: Ukweli Kuhusu NYUKLIA, Dunia iko kwenye Hatari Kubwa
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Namm leo naombeni like zenu wakubwa, nimejitahidi kuwahi kipindi🤣
huo ujinga utawaisha lini. like zinakusaidia nin
@@hallin9561 Zinanisaidia mm na mama yako tukiwa chumbani. Hicho ndio ulichokitaka fala ww. Kwan ungepita kimyakimya ingekuaje?
Nmekupa like ila acha ushamba
@@Tanzanian395 Huwezi kumjua mshamba km ww si mshamba. Kwhyo nimekuelewa mshamba mwenzangu.
Nimekupa ila huu upumbavu acha
Nafikiri kila aliye comment amepata
Like moja kutoka kwangu
Hapa Kenya mm huwa nafunnza SoMo la historia na hizi video za professor Jamal.
Thank you so so much.
Jamani naombeni like na kama unamkubali professor jamar ngonga like twende sawa❤️❤️❤️❤️❤️
Sawa
🇰🇪 daa Jamal Kenya tunakuenzi watching wasafi Tv from Nairobi Kenya
Editor wa The Story Book yuko vizuri balaa na Jamaal anakaza 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
DAAAH! MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE, MAANA NYAKATI ZA MWISHO TUTAKUTANA NA MENGI "
Jamani kwa taarifa hiyi ya nyuklia ni sababu ipi yaweza kuniskumia Nika like maana matumbo yangu yanatetemeka kabla hata nyuklia hizo hazijatupwa 😭
Hadi tumbo limeniceza subhanallah.... yarabh tunusuru waja wako🤲
jamal my greatest storyteller i love you jamal
Mungu akubariki proffesa wetu tunaenjoy ni MB zetu tuu na masikio yetu
Nimeipenda comment yako.yaani unajifunza au unaelimika Kwa MB zako
Kweli kabisa elimu ni bure tu
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Big up professor Jamal.
Ikiwezekana pia tuletee hiyo story ya Heroshima na Nagasaki tujue kuanzia Mwanzo hadi mwisho
Tazama hii waych this ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Tafuta channel inaitwa life guide utaipata story hii apo na ni nzuri sana
Professor mungu akubariki kwa elimu bora unayotupa sisi watoto tunaopenda masomo ya science unasababisha uchochez mkubw wa kuzid kuwa wa chunguz by kanuth
Tazama hii waych this ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
There is a movie called "The Terminator",it talks about robots and the Judgement day.everything you normally see in a movie will be real one day trust me
big up brother wewe fundi
The story book ya leo ni nzuri,na yenye funzo kubwa
Mwenye siraha Kali kuliko zote 2kor 10.4 -6.Amen
Tunaomkubali Professor Jamal Tujuane Hapa👇🏻
shukrani kwa hili fundisho nikiwa kitale kenya
Asante sawa from Burundi 🇧🇮🇧🇮 in Cape town south Africa 🇿🇦🇿🇦
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Ukichunguza sana hii life bora ule bata tu ,, mengine hatuyawez
😁😁😁😁 duuu Aya bhana
Asante, yani wewe umeongea point.
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Moja ya vipindi ninavyovutiwa navyo sana.shukran prof Jamal
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Huh its very emotional 😥😥😥but this is the best african show with the bunch of facts big up jamal 💥💥💥
Sijutii kutazama video zako kaka.. Much respect
Your story have touched my sphere
Only one Professor✊
is so fantastic story congra to you proff
Mmhh jamal unajua salute kwak...story nzur emotional...
I can’t wait to watch this
You won't see it because before your eye open everything is over
This is so amaizing🔥
Albert einsten alizingua sanaa dadekiii Kutengeneza haya mabom bora angekausha na angeteketeza asee jau sana
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Shule tena thanks jamal👏
Mmarekanini muuaji enzina enzo mungu atatulipia tuje tumusahau au uwe story tu
Jamal huko sawa sawa Mwenyezi Mungu Hakuzidishie miaka nyingi hili tuzidii kupata hadithi
We need to know more thanks professor jamal
Tazama hii waych this ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Unyama mwingi Sana aisee nimekuelewa vizuri
Hii ukisikia tutauwana wenyew Kwa wenyew ni hii sasa like it
Asante Sana bro kwa habari zako
Much respect Mr Jamal April
TIA LIKE KAMA TUKO PAMOJA KWA MR JAMAL APRIL
Jamari 💪🙏🔥🔥🔥
Duh mungu tusaidie
Excellent jamal
Hapo sawa professor
Msikinganishe Mungu na binaadam.
Binaadam hana lolote, dhaifu mkubwa, kiumbe mdogo kabisa anamtesa km corona, utamlinganisha n mungu ,
Someni dini mtajua .
Allah ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hajafanana na yeyote mfano wake.
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Swadakta wanajua nikutosikia kwao na kutoona kwao kunawafanya wazungumze kinyume .
Samahan professor nawez kukucorrect kdg khx hypersonic missile, inakimbia 5×speed of sound tofaut na ulivyosem awal khx speed of light
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Professor Jamal April Jazakallahu Kheri
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Amini usiamini Dunia hii iloumbwa na MUNGU mwanadamu hawezi kuifuta MUNGU Ndio uliianzisha na mwenyewe ndiye atae ifuta. Tuko pamoja prof Jamal.
Waafrika hakuna mnachokijua zaid ya imani pekee,
@@hallin9561 true bro💯
@@hallin9561 kwa imani Daudi alimuua jeneral wa jeshi Goliati kwa jiwe mtu aliekuwa amejihami na mpiganaji wa vita siku nyingi
@@gilliardgodfriend5745 kwamba ameshindwa cha kutufanya au 🤣🤣 anatuonea huruma tu tena sababu ya wachache wazuri waliopo
We ndo ume comment ukweli. NUKTA.
Sina maneno mengi profess🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Professor forever
Wewe mungu tusaidie
Keep it up bro 💯
Big up sana Professor love from Tz..
Subhanallah mwenyezi mungu atunusuru naogopa
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
At my job where I work we have 3,000 robots working. Prince from Oslo Norway 🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Upo vizuli Kaka be blessed, madini yameingia
Just good napenda san the story book coz napata knowledge zaid thanks professor kaz nzur
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
5 times speed of SOUND 🔊 not LIGHT 💡 ...Humans not yet invent anything physical to travel at light speed..
Yeah speed of sound not light
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
i love you history mr.jamal iam in kenya
Daaa yaani Leo umenikuna hivi ndio vitu vyangu
Hiiii nomaaaa
Mungu akutie Nguvu
Asante sana bro, ni mimi Hassan Gamal Tobiko from balmadhi Somalia
Facts ,,,, truth,,,,,congrats Jamal
Hata Waunde Kitu Gani Mwenye Kuimaliza Dunia Hi Ni Mungu2 Ambaye Anajua Alivoiumba Dunia Hi Nasisi Pia Kuiangamiza Dunia Wakati Awajui Dunia Imeumbwa Vipi Izo Fikila Za Kujipa Ubabe Baina Ya Nchi Na Nchi2
nalile lilo tokea japan ilikuwa ni ffikra zakujpa ubabe baina ya inch au sio? Au huamini kama kilitokea soma bibilia vizuli wewe maneno yamungu yana sema hato iangamiza tena dunia kwa maji wala moto bali binadam watajiangamiza kwamatendo yao wenyewe. We unafikili ayo matendo niyepi? Chamsing nikuomba mungu atuepushe bas. Vita vyakagera tu tulitia jambajamba nying hapa je hili zilazila? Jaman tuwe tunafaham tunachoongea sio kulopoka tu
Thanks for sharing this massage about nuklear.
I like your story
I love this professor 👌
Brother nakukubali sana 🙏
Safi sana jamal
Jamal Kazi njema, tuandalie mengi na mengi🙏👍
Anayeweza kumaliza Uhai wa Dunia ni Mwenyezi Mungu pekee. Mungu azidi kukuweka Profesa Jamali na Wasafi Media ili tuendelee kupata Maarifa ya Ubongo.🇹🇿
Waafrika hakuna mnachokijua zaid ya imani pekee,
@@hallin9561 kwa imani tunaamini MUNGU yupo ingali hatujawahi kumuona kwa macho..
@@hallin9561 sawa mzungu😅😅😅
@@hallin9561 Imani zenyewe wamerisishwa na hao wanao miliki mabomu
Mungu mwenyewe ndo mjuz wa yote mana km akil, utashi na uwezo hvyo vyote vimetoka kwake na cyo kwa uwezo wa mwanadamu mwenyewe. Eeh Mungu tujalie mwisho mwema
Kumbuka jambo hili kuna Mungu mwanadamu na shetani hao wote wana mipango yao juu ya dunia Kwaiyo usiegemee 2 upande wa Mungu pekeyake.
Hizo akili zenyewe wamepewa n Mungu.
Km binaadamu ana uwezo basi aumbe kiumbe chochote mfano w kiumbe chochote alichoumba Allah n kukipa uhai n akili . Ndio uyajia km binaadamu ni dhaifu
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Ni kweli wataharibu tuu kwa sababu ya kutikitiza binaadamu ila hawawezi futa Dunia ispokua Allahu ( Mungu ) peke yake nime kuunga Mkono
sema safii tu walipue tu
Jamal Kazi safi , zidi kututayarishia mengi kwanye Makala haya👍
Muchh respecttt pr jmaall
Yaani waafrika nimeamini bado tuko nyuma sana,,, Japan mwaka 1945 ilikua kama sumbawanga lkn leo licha ya matatizo wapo juu tyr,ss sijui Mungu katunyima nn
waafrica aliye turoga alisha kufa muda sana 😂😂😂😂😂😂
tumekosa umoja, tumegawanywa na udini, ukabila na ukanda. pia viongoz wetu wamelaanika
Usidanganywe na hizo picha japan unayo uiona hapo ili ihenyesha marekani for more than two years. Ilikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi na kiteknilojia. Kajapan visiwa kadhaa tu kenye eneo doogo kalitawala(Colonize) china, na ukubwa wake wooote ule, imetikisha Korea,Indonesia ,ufilipino na kwingineko
Usithubutu kabisa kulinganisha Japan na Nchi yoyote ya Africa hata Misri . Japan Ina Miaka million 150 tangu kuundwa kama taifa usi ichukulie poa kabisa japan
@@edwardsamson7951 kweli. japan ni nchi ambayo siku zote ipo mbele ya mda
Tazama ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Bora tu MwenyeziMungu aingilie kati binadamu wataingamiza dunia
Professor wewe ni noma sana
Am so happy that I got this man professor
Vip kaka mimi naweza ivi huu uwezo wa ku tu teka hakili
Love from mozambique 🇲🇿🇲🇿 wasafi 4ever
Nakubali jamar
Hapana it's intelligent story ever👏👏
Jamal your the best 💪💪💪And i would like to hear from you about the real israelites are they blacks or whites
Pole na elimu zako ndugu yangu
3 x 1000000000m/s this are the spees of light brother. KAMA HUJALEWA. BASI HAKUNA KITU CHOCHOTE KINA UWEZO WA KUTEMBEA SPEED HIYO ACHILIA MBALI BOMU LA NYUCLEAR.
3×100,000 Km/s hizo ni nyuklia lakini 3×100,000,000Km/s
🔥🔥🔥
Mungu hakuongezee elimu
Daaah hypasonic cruse
Ce très magnifique professeur Jamal🥰
Thanks professor,alla akupe maarifa saidi ya kutuelimisha
Tazama hii ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
I love the channel
Subhanallah
Allah tulinde
Asante kwa story!
Mr Jamal Mimi naomba kuuliza je Bomu LA Nyuklia linaweza kuzuwilika likisha rushwa/pigwa?
Tazama hii waych this ua-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/v-deo.html
Either you believe it or not, nothing can wipe humanity to zero, earth is superior
Unatisha sana mzeee
Asanteee
Ubarikiwe bro
Waaaaaaaaah hio ni zaidi ya hatari