Mwalimu mwalimu welcome back again tume ku miss saana tume miss hii kipindi saana wasafi ebu watu rudishiye kipindi chetu cha the story book by Mwalimu Jamal. Asanteni tena mwalimu.
Nimejifunza kumbe inawezekana kulala masaa 2 kwa siku na mtu akaishi zaidi ya miaka 70+ Respect sana Mr Tesla aisee hii imeenda. amna kulala wakuu 6:55
Shukran sana Kaka... Tunaomba siku moja utuletee wavumbuzi wa kale wa bara Asia kama kina Hassan Al Baswri,Ibni Sina, Al Gabra na mfano wake ili tuelimike zaidi...
Welcome Back 🙏. Umeongelea hesabu za integro umenikumbusha advance. ..integro na differentiation zilinishinda kbisaaaa😂😂🙌. Ila hapo kwa Tesla kugundua xrays si kweli..x rays ilgunduliwa na willium Conrad Röntgen..ndio maana s i unit for radiation exposure is Röntgen (R) Ata umeme hakugundua Tesla pia..waligundua William Greene , Schuyler wheeler na Emil fein Tesla ni mgunduzi wa magnetic field density, ndio maana Tesla (T) ni unitfor magnetic flux index Anaelewa zaid anaweza nirekebisha.. that's wat i know
Wakenya ni ndugu zetu wa damu mashindano ni sehemu ya maisha tu ❤ l love 🇰🇪 from Tanzania 🇹🇿
Welcome back bro we really missed you, much love from Kenya 🇰🇪, weka like kama unamkubali Jamal April
Gonga like Kam ni kipenz cha the story book,,
The story book
Let's go together
Tanzania vs Kenya ni Watoto wa Taifa Moja❤ respect Jamal April 🇹🇿
Barikiwa sana one love
@@fatmaally7252 Attention Sana
❤❤❤❤
🙏🙏💪
@@fatmaally7252Attention sana
Tupo sambamba
The best story teller in Africa 🌍
Also Abel mutua 💕
@@elsiekainyu4794
Yupo Sky Walker wa SNS naye yuko vizuri sana.
Bila kusahau Ananias Edgar
Woow you are back again,, nimekuwa nikijaribu Kila ijumaa kuona kama umeweka KAZI yako mtandaoni,,,,,shabiki kutoka Kenya
Kaka tulikumis sana karibu sana professor.Much love from Finland 🇫🇮
Kitambo sana mtoto wangu jamal nilikumiss sana wajina la mwanangu🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka. Jamal. Ulituchukuwa. Ukatuacha. Jangwani. Bila. Maji. Bilachakula. Leo. Umerudi. Nagaraja. Nanguvu. Yakuamisha. Hukouliko. Ulikuwa. Ukiishi. Nasi. Nakujuwa. Kunawatu. Uliowaacha. Hukuwakikutegea. Asante. Kwakurudi. Allah. Akutie. Nguvu. Naafya. Amin
Amiin inshallah
Sasa mbona umeandika umeweka nukta kibao Ivyo ndugu 😢. Nini shida lkn
@@juniorsonofgod5675😂 haki nimecheka
Kaka tuletee Ful story kumuhusu Tesla
Mhuuuuuu hatari
duuh Mungu mwema kwa jamall kurudi ten tumekumiss kinoma Rafik yangu
He narrates the best way possible.. I like his methodology.. I'm a Kenyan but this is another one
Kama mkurugenzi 😊
Dah ii Dunia Kuna mengi yakujifunza umenifumbua kichwa changu blo mungu aingiliwi katika kazi yake alhamdulillah Allah akbar
Napenda kujifunza kupitia izi story za jamali hakika ni nzuri❤
Nakubali sanaa Jamali uko vzr kwa uchambuzi wa kila hatua story ya kujifunza mpaka unaelewa Mungu akupe maisha marefu ❤
Mwalimu mwalimu welcome back again tume ku miss saana tume miss hii kipindi saana wasafi ebu watu rudishiye kipindi chetu cha the story book by Mwalimu Jamal. Asanteni tena mwalimu.
Storybook is back, thank you Mr Professor
Have been waiting for story books for long but here we're we need this everyday Jamal doing good job
Wangapi walimisi sana the story book tujuane hapa❤
Very wonderful 🎉 closing remarks, hili ni somo Moja kubwa Sana, appreciate Professor
Tulio kua tunasubiri hadithi mwishoni 🖐🏼 👉🏽
Like nyingi❤
Good things come to those who wait and I have proved it bro much respect none of us are astonished
Much love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimejifunza kumbe inawezekana kulala masaa 2 kwa siku na mtu akaishi zaidi ya miaka 70+ Respect sana Mr Tesla aisee hii imeenda.
amna kulala wakuu 6:55
Welcome back, i was crying always for Jamal to come back
Jamal haujawahi kutuangusha unajua sana kaka🙌🏿🙌🏿 chukua maua yako💐
Safi sana the story book imerudi hewani 🎉🎉
Tulikukumbuka sana mwamba. Safi sana ka kurudi
Kaka Jamal welcome back brother we love you stories
Shukran sana Kaka... Tunaomba siku moja utuletee wavumbuzi wa kale wa bara Asia kama kina Hassan Al Baswri,Ibni Sina, Al Gabra na mfano wake ili tuelimike zaidi...
#jamalmustapha
Prof tulikumiss sana kwaiyo nakuomba ubaki kama zamani ya inshallah namuomba Allah akulinde na akupe mwisho mwema
Umekawiaaa snaaaaaa broo ,tunafuraha umerudii
Welcome back...Professa Jamal we've missed your fantastic stories for over a year 😢
TUANDALIE MAKALA YA UNDANI WA SHEREHE YA KUZALIWA CHANZO CHAKE #HAPPY BIRTHDAY
Iki kipindi nilikimiss sana kama ww ulimisi kama mm achia like apo
Kila siku ya Mungu nilikua natafta story book.
Nakubal wajina
Jamaaani daaa unatusahau mno mpaka tulianza kukusahau da
Big up bro Ugandan nakufuatilia sana kaka bila shaka uko mbele kihistoria professor 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
😊The story book 📖 imerudi Good 👍
Hatimaye umelud professor tulikumic sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤welcome back
Shida story book zinakawia sana kwenye kutoka.. jitahidi kila week au baada ya wiki mbili kuachia hizi kazi adimu
Duuh! The King Jamal is back🔥watching direct from Belgium 🇧🇪 🇹🇿
Tulikumis Sana boss wetu
My favorite story book is the story book
Karibu sana, bado na kupotea kwako bado tuko sana ndani ya story book. 🇰🇪 🇰🇪
Big up my professor, I always learn something from your videos❤❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duhh proffesor tulikumisi sana kaka siamini kama story book imerudi yani Mungu azidi kukulinda brother
Kaka sema ulituacha xana
..ila kazi kubwa unafanya big up sanaa🔥🔥🔥
Hatarii sana km umeielewa story ya nyumbani Tanzania gonga like 🎉
❤shukurani kwa kuludi madini yanatembea mgodi mpya
Wapili Naomba like
The man is back.... I can't wait to have the story book daily keep going broo
Finally the story book is back ❤❤❤
Nikashindwa sana, mkuu wangu kapotelea wapi, Jamal you inspire
Stori nzuri sema skuizi umetutelekeza Sana jamali
Hii ngoma cjui km nitatoboa mpk mwisho na huu umeme kukata full giza 😢 na uchawi na giza nasikia ndo dam dam
😂😂😂😂
😂
😂😂😂
Nawakumbusha tuu , wanasayansi hawaamini uumbaji yaani wanayansi hawaamini kwamba Kuna anaye itwa mwenyenzi mungu .
Uchawi haupo
Aaah bro Jamal umerudi 👏👏
Dah🤔tuliku miss Sana sauti yako kaka usipoe sana 🤝🤝🇿🇦🇹🇿
Siamin the story book imerud kaka Jamal nimepata shida Sana mpaka narudia story zako mara Kumi kumi😢😢
Mimi hata mara kumi ni Macha machache Mimi ata siezi hesabu😊😂
Missed you brother ❤❤much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Professor tulikuwa tumekumiss sana , watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe kazi ilikushinda..tulihamia Kenya kwa Abel mutua....one story per year ndugu ...inachosha kungojea
Umekuja kufanya nini sasa si uhamie huko milele we kenge
Karibu tena Mtaalamu wa The Story Book
Yan the story book nilikua nmeimiss xana bora imerudi upya love xana the story book
Welcome without this hard times fir me to sleep 💤
BACK TO LIFE THE #PROFESSOR HIMSELF WE LOVE YOU BRO.! UR INFINITY🦅
GENIUS OF ALL TIME.!! 🙌🙌
Ya kibabe sana hii ....keep it up
Ni yeye tena 🙌❤️
Welcome back bro.
Much love from 254🇰🇪
Apo tunaenda sawa sasa jamal
WASAFI WOTE GONGA Like ktk hii Comment. ❤
Asante sana kwa kurudi tena kutu elimisha na kutupa ladha ya kuzungukia huku
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunawapenda, ushindani ni jambo la kawaida
Nampenda sana Nickol Tesla...simulizi safi sana
Finally, showing love from kenya❤️
Jaman nifurahaaaaaaaaaa the story booooooook With Jamal April❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yeah
the most awaited... huyu kijana alikuwa amejificha wapi
Finally The story book is back 🔥🔥
The Best Story Teller
Karibu tena, profesa, ni furaha kukutana hapa baada ya muda mrefu umepita 🤗
Ooooh the story book imerudiii siamini kwakweli
Gonga like ❤ kwa Jamal April 🫡
Jamal, welcome back legend 💪
Tulisubiria storybook..bora imeanza tena 😀tuendelee mbele na stories zetu.
Jaman nilimsubir saaana profesa respect to you🙏🙏🙏
Wa congo 🇨🇩🇨🇩 tukowapi mazee clique aime iyo comentair alors kama wew ni mcongoman kweli
Tupo
Wallae huyu jamaa unibamba seriously ❤
Welcome Back 🙏.
Umeongelea hesabu za integro umenikumbusha advance. ..integro na differentiation zilinishinda kbisaaaa😂😂🙌.
Ila hapo kwa Tesla kugundua xrays si kweli..x rays ilgunduliwa na willium Conrad Röntgen..ndio maana s i unit for radiation exposure is Röntgen (R)
Ata umeme hakugundua Tesla pia..waligundua William Greene , Schuyler wheeler na Emil fein
Tesla ni mgunduzi wa magnetic field density, ndio maana Tesla (T) ni unitfor magnetic flux index
Anaelewa zaid anaweza nirekebisha.. that's wat i know
Umemsahau Michael Faraday
Nakupenda saana jamal mustafa natamani mtoto wangu ni muite jina lako
Jamani umerudi tena ❤❤❤
I personally missed you..... Acha kupotea ivo..... safari ya Egypt to canan bado naingoja
Wangapi tu me miss the story book 📚 ❤❤
Mzee tumbo is typing 😂😂😂😂
Hongera kwa kutumia Kiswahili vizuri bila kuchanganya na uzungu. Wapo wanaoongeza mapenzi kwa Lugha hii na kujifunza
We missed you aky...I always searched the story book with your sound... finally
Welcome back Jamal..
Jamal welcome back,,,, hope you'll not lost this time,,,,I want to be seeing you recently ❤❤
na usipotee tena bana💖
Tulikumc sana Yan tulikumbuka sana storybook
SAWA professor nimekuelewa Sana. Salute nyingi kwako
Nakubali sana😊