Mola atusaidiye na atuondoleye maradhwi haya ya corona.Tukubaliye funga zetu na utukubaliye swala na maombi yetu..Hongera BBC na Ramadhani kareem wa maqbul.
Hta huyo rais mwenyew anae tangaza amepata dawa ya #covid 19 hana uhakika na jibu lake wataalam wa afya ndani ya hiyo nchi yake wameonyesha was was na hiyo dawa yake kwa maana haija pimwa kitaalam kuihakiki kma ni tiba au lah kwa maana dawa ya kienyeji haija pimwa kma ina madhara au vp kifup mi nasema amekurupuka tu na kufanya haraka kutangaza
@@mursalseleman2174 kama unazungumzia huyo wa Madagascar, ni kwamba uenda ni kweli. Bro magonjwa kwetu yapo tangu jadi, je ni nani alikuwa anayapima madawa tuliokuwa tunatumia? Tumekuwa watumwa wa nchi za magharibi mwanzo mwisho. Madaktari wazawa wamekuwa "brainwashed" ndio maana hakuna kitu tutafumbua huku Afrika. Wanasubiri nchi za magharibi zifumbue dawa tu, watuletee sumu za kupunguza idadi ya watu! Tumechoka bro.
Hapo ndipo baadhi ya watu weusi twashindwa kuaminiana wenyewe.Dawa kwa kua imegundulika Africa,eti muafrica mwengine anapinga,kisa kaisha aminishwa kua watu weupe ndiyo wenye uwezo wa kuvumbua jambo.Kwa mtindo huu tutaletewa sumu sana,kisa akili zilisha karirishwa kua jambo la mzungu lina manufaa kwetu.
BBC hongera kwa matangazo yenu mazuri uchambuzi wa kina. Pamojabna hayo mmetukosea Tanzania. Mmetangaza walio na virus vya Corona na waliokufa. Lakini waliopona hamtangazi. Jitahidi kuweka uwiano Mzuri. Mungu awabariki
Marekani nashindwa kuwaerewa wenyewe tu wamelemewa na wagonjwa wengi vifo vingi ndo wanaongoza. Eti wanakuja kusaidia nchi mbili za africa c wamalize tatizo lao kwanza ndo ukasaidie kwa jirani au kuna kitu wanatafuta
When spraying the locusts they should spray the ground, choose a time when evaporation is not high. When they spray at the bushes the eggs remain underground and hatch later. Thus the continuity of locusts.
Africa pia tume gundua mbona hamja tangaza? BBC Mjue tu wazungu wana chukua mimea kwetu alafu wanapeleka kufanya Tafiti kwao ili watu uzie Africa. Mbona magufuli anajitahidi wagonjwa wamepungua na wana Pona kabisa Tanzania.
Japhet kicheko cha mpumbavu ni kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Siku vifo vikiingia nyumbani kwako utajua maana ya maneno haya ya hekima kutoka kwa manabii.
@@emanuelgavile7474 Hizi dalili zote ni fursa ya kumrudia Mungu. Au kwa lugha nyingine hii ni nafasi ya kurejea kwake aliyetuumba tuache ubishi mwisho umekaribia mno
Tanzania maambukizi yaongezeka ghafra baada ya kutumia vifaa vya misaada kutoka kwa wafadhili tuna wasiwasi hao wanao tulaumu wanaweza kua wana agenda ya siri si unajua Tanzania ni nchi tajiri sana wa madini
Tanzania tumejipanga kwa njia zote. Magufuli anajitahidi sana ku control korona please msipende kuharibu majina ya ma rais wa Africa pale wanapo onyesha kuji tambua. Mkafanya kama Mugabe na Gaddafi. Magufuli wa Tanzania tuna mpenda. Tena mkome kumuingilia hovyo.Tangazeni mazuri alio fanya ku control.
Arusha kuna mgonjwa amekufa jana mount meru hospital na hakupewa huduma inayo stahili na alikua akiiahiwa pumzi na walijua ni dalili kubwa ya corona inaskitisha sana wauguzi walikua wakimkimbia yote tunajua na taarifa zao tutazitoa ili watanzania wajue
Mola atusaidiye na atuondoleye maradhwi haya ya corona.Tukubaliye funga zetu na utukubaliye swala na maombi yetu..Hongera BBC na Ramadhani kareem wa maqbul.
Allahummaa Aaaaaamiin Raab
Juhudi zimeanza kwamajaribio yachanjo kwasababu waafrika tumegundua dawa Asante baba God kutupa taifa la Madagascar
Hta huyo rais mwenyew anae tangaza amepata dawa ya #covid 19 hana uhakika na jibu lake wataalam wa afya ndani ya hiyo nchi yake wameonyesha was was na hiyo dawa yake kwa maana haija pimwa kitaalam kuihakiki kma ni tiba au lah kwa maana dawa ya kienyeji haija pimwa kma ina madhara au vp kifup mi nasema amekurupuka tu na kufanya haraka kutangaza
@@mursalseleman2174 kama unazungumzia huyo wa Madagascar, ni kwamba uenda ni kweli. Bro magonjwa kwetu yapo tangu jadi, je ni nani alikuwa anayapima madawa tuliokuwa tunatumia? Tumekuwa watumwa wa nchi za magharibi mwanzo mwisho. Madaktari wazawa wamekuwa "brainwashed" ndio maana hakuna kitu tutafumbua huku Afrika. Wanasubiri nchi za magharibi zifumbue dawa tu, watuletee sumu za kupunguza idadi ya watu! Tumechoka bro.
FM Morn Star ,Ahsante kwa kumuelimisha huyo yeye kakalili , hadi nchi za magharibi zisema ndio anaamini ni dawa ya kitaalamu !
Hapo ndipo baadhi ya watu weusi twashindwa kuaminiana wenyewe.Dawa kwa kua imegundulika Africa,eti muafrica mwengine anapinga,kisa kaisha aminishwa kua watu weupe ndiyo wenye uwezo wa kuvumbua jambo.Kwa mtindo huu tutaletewa sumu sana,kisa akili zilisha karirishwa kua jambo la mzungu lina manufaa kwetu.
Eeh muchomane wenyewe hizo chanjo za majaribio!
Mi na familia yangu hatutachoma hii chanjo ktk jina la Yesu.
Allah atunusuru na atulinde 🇧🇮🙏
ALLAH SW atusaidieee insha Allah
Asanten bbc tunapata habari za uhakika
Daaah trump mung akusadie maana Umechanganyikiw sana 👍👍👍👍
Lkn inshallah waumini tulivyo piga magoti na kuomba pamoja na funga zetu mungu atatuondolea na kutupa nyakati nzuri ili tusahau Corona
Berry wambani. B.M.W nmekuzoea katika taarifa za michezo. Asante uko juu.👏👏
Mmh 3000 kwa siku! Mungu warehemu marecan
Thanks BBC swahili
Jamani tujitahidini kuchukua tahadhari.
Dua pia kwa wingi
Allah atatusaidia
Shukran *BBC SWAHILI* habar
Mbona mnaangaikia tanzania mtuache na nchi yetu ....
Haaaa😇
🔰🔰😱😱
Ezekiel Sangari ajabu sana wanaosema Tanzania mbona wa South Africa wamefungiwa na ugonjwa unazidi Keene’s?
Kabisa aisee wananiuzi sana
@Stephen Kamau jifunze *UANDISHI UNAOZINGATIA KANUNI ZA UANDISHI* ili ueleweke
Kenya tuanze na Nzige , Nairobi flies, Mafuriko au Corona. Allah tusaidie
Polen san wakenya
Its narrow bee fly, not nairobi fly
Ameen yarabb
Pole sana wakenya
God blessing East Africa.......
WHO, Tanzania mtuachee tu,tuko na damu ya Yesu ,tunafuta hizo nabii zenu juu ya nchi yetu na bara letu,kwa jina la Yesu
Asante bbc habari za uhakika
BBC hongera kwa matangazo yenu mazuri uchambuzi wa kina. Pamojabna hayo mmetukosea Tanzania. Mmetangaza walio na virus vya Corona na waliokufa. Lakini waliopona hamtangazi. Jitahidi kuweka uwiano Mzuri. Mungu awabariki
Twambombo
@@davidmfundo7145 tununu. Ulinkafu
Hongera bbc kwa habar njema
Za kuitabiria Afrika vifo vingi?
Kwl Kuchamba kwingi mwisho kushika mavi, Marekani wamerukaruka sasa ndiyo wkt waliopata Rais MPUUZ kuliko wote duniani.
😂Anataka watu wachomwe sanitizer. Kweli ni kukutana na ya Firauni!
@@Fm-MornStar2014 Ndg yng nakubaliana nawe 100%
anataka korona itibiwe kwa mwanga daaah!!!!
Trump ni chizi, na ukitaka kumtambua chizi MPE MIKE,. Trump anaropoka mambo ya kisayansi huku shule alikimbia, KUNYWA ☠❌ SUICIDE BOMB IN WHITE HOUSE.
Trump daaah tumemkos bd kufa tu
Shukran BBC kwa habari
Happy ramadhaan Kareem... 👋✋🖐️
Ooh
Kenya,muombe toba!
Nzige kibiblia ni adhabu kwenye eneo husika!
Rudini kwa Bwana mkimaanisha!
Mungu atusaidie wakati huu mgumu wa janga la korona,almudhullahi kareem kwa waislamu wote
Chanjo nzuri ni hao wachina wa wache kula popo
Jaman ruachen kucheka nchi fulan lamsingi tuwaombeeni duw allah awasaidie na sisi pia kwan wao pia hawakutegemea na sisi hatukutegemea
.wa Tz tumemuomba Mungu mwenye dunia,nyie pambaneni,sisi tunafuata ushauri wa watalamu wa afya
Nzige wametumwa dadeki
Asante sana BBC swahili, ila Mungu pekee njo atatuokowa kwa haya yote
Bora huyu Dada tunamwelewa kuliko yule mwingine....karibu ftari dada
Wote wako sawa Easter kahumbi ako poa sana
Maybe God protect them 🙏 Amen.kenya
MUNGU tunusulu na hili jangaa
Marekani nashindwa kuwaerewa wenyewe tu wamelemewa na wagonjwa wengi vifo vingi ndo wanaongoza. Eti wanakuja kusaidia nchi mbili za africa c wamalize tatizo lao kwanza ndo ukasaidie kwa jirani au kuna kitu wanatafuta
Wananjama yakutuuwa mana walilolipanga watumalize nalo wameshindwa ssa waleta yakusaidia
Wa kwanza jmn naombeni lek
Ww unafaa kupatiwa coron
Wambani , brava.
When spraying the locusts they should spray the ground, choose a time when evaporation is not high. When they spray at the bushes the eggs remain underground and hatch later. Thus the continuity of locusts.
Aki Corona na nzige jamani,,ewe mola uturehemu na majanga haya,
Huu ni wakati wa mwisho kulingana na bibilia
Mungu atusaidie kuondosha janga hili
Asanteni wote watangazaji wa Tarifa ya habari ya BBC Swahili
Asanteni wote watangazaji wa Tarifa ya habari ya BBC Swahili
We need back zuhura Hasan on BBC news ,we mis her voice.
Acha uzuka
Asante kwahabali
Africa pia tume gundua mbona hamja tangaza? BBC Mjue tu wazungu wana chukua mimea kwetu alafu wanapeleka kufanya Tafiti kwao ili watu uzie Africa. Mbona magufuli anajitahidi wagonjwa wamepungua na wana Pona kabisa Tanzania.
Batwace turudie kuomba Mungu wetu
Mnatushukumu kwa rip tz tunajierewa na tunazingatia usafi yote mipango ya mungu sio sisi
Hawa wasenge m cwaamini cjui wanalengo gan kwetu
Tuwacheni watu tulio naimani tufanye ibada kwani kila tulifanyalo tunamkimbilia Allah sasa hili kwann tusimuombe mungu akatuondoshea hili janga ..
Mungu Yupamoja nasi hata tuacha kamwe
Mungu awafanikishe
Aamin
Mmmh mfu kumsaidia aliyezimia inawezekana vipi?
Mbona mnahangaika na tz yetu wakati marekani inamaambukizi na vifo kupindukia hamuisemi na imefanya Rock down
Pakistan wako sawa swala ni bora kuliko kitu chochote msiopepe corana muogopeni Allwah
Kilicho na mwanzo kina mwisho. Tufungeni mkanda tuchape safari.
Dada bella kawa fundi, walisha kuzoea kukosea kosea kwenye michezo
BBC sku hizi hamna kitu, habari mbovu na mmekuwa vibaraka wa mabeberu. Bora ht VOICE OF AMERICA.
Lazima tuwe makini kila siku najifunza.WATANZANIA lazima tuwe makini.Rais wetu wko Makini cn .Anajua anachofanya.
Bbc nihabari ambazo uwa nazikubari sana2
Hahaaaaa marekani ndo imeathirika zaidi duniani afu wanasema wataisaidia afrika huo ndo ujinga wenyewe
Japhet kicheko cha mpumbavu ni kama mlio wa miiba chini ya sufuria,
Siku vifo vikiingia nyumbani kwako utajua maana ya maneno haya ya hekima kutoka kwa manabii.
Wamesema watasaidia Kenya na Afrika kusini siyo Afrika. Tanzania tutasimama na Mungu mpaka mwisho.
Acheni kumsakama JPM WETU kama Mwiba wa Samaki. He is intelligent President, Anajua anachokifanya.
We pray God help us
Habari kwasasa ni Covid19 everyday ni corona Mungu leave it from us please 🙏🙏
Poleni na wadudu walao mimea ya mazao
Wahadhiri wa Tanzania siku hizi hawana jambo
Fact, Africa it's about politics .D's z too big for dem
Ni kuomba mungu sn
Zuhura Hasan,mwanahabari mpekuzi wapi lakini? Tell her back to studio......BBC kiswahili my news channel ❣️❣️❣️❣️❣️💯💯💯💯
Allah pekee
Jamani mpishi wa mjomba Trump alimupa vitu gani mpaka achaganikiwe kiasi icho hum?
Kila kitu chenye mwanzo lazma kiwe na mwisho... Covid19 imekaribia mwisho.. sante bbc swahili kwa habari
Pia natamani kumsikia mtangazaji Chama Omar Matata
Hio chanjo wajipime wenyewe kwanza
Awa singe tukianza kuwala watapotea nanja tunayo ya corona
Jamani huyu salim kikeke yuko wapi jjamani, mtangazaji wetu mzuri Allah amusuru nahali alipo jamani
Allahuma Amiin
Tuko Pamoja na idhaa ya kiswahili ya BBC London
Hatuna budi kupata adhabu hizo kama magonjwa na nzige ni Mapigo kwetu kwani tumemkosea MUNGU
Ni kweli kabisa yaan hakuna kupata shida ya kujua tatzo nin zaidi mwanadam kujisahau ktk maovu hapo tunakumbushwa na mweny akili ataelewa cha kufanya
Umeona ee tupunguze kutenda dhambi manaa dunia imejaa wasenge nawabakaji kupitakiasi. Allah anatuadhibu namnahii naukikaa namvuta sigara basi msovuta mtauoata moshi tu.
Mbona hawa nzige kila siku africa tu
Ata me nashangaa afu sijui wametokea wapi kama wana uwezo wa kuku kwa siku kuzaana unazani watashindwa nzige
Afrika tuna ardh nzur ya chakul hali nzuri ya hewa sasa wasiotupenda wanajitahidi kutufanyia visa vya kila aina hao nzige ni visa tu vyawasiotupenda
Ni mboga nzuri
Bero rombani kiswahili kizuri sana
hongela kwa kungunduwa dawa ya corona
Hamimu Abdoul Masoud hongera sio hongela
@@abusaeed9037 so umepata faida gani
Mtuache na nchi yetu TANZANIA ugonjwa upo kwenu huko hatupendagi shobo
Uko wapi raphaeli
Hatupendi shobo
Hawa nzige wametumw au
Tuko nyakati za mwisho ni muda wa kutubu
Hahahaah shukuru apa ni bampa tu bampa manina toa corona weka nzige
@@emanuelgavile7474 Hizi dalili zote ni fursa ya kumrudia Mungu. Au kwa lugha nyingine hii ni nafasi ya kurejea kwake aliyetuumba tuache ubishi mwisho umekaribia mno
@@mamateddy5938 naamini ndugu
Like za kutosha....!!!
Suimani hamad juma
Mtuache huku Tanzania.... hii haituhusu ni adhabu ya watu jeuri kwa Mungu
Tanzania maambukizi yaongezeka ghafra baada ya kutumia vifaa vya misaada kutoka kwa wafadhili tuna wasiwasi hao wanao tulaumu wanaweza kua wana agenda ya siri si unajua Tanzania ni nchi tajiri sana wa madini
@@mohamedkiyungi4867 kweli kabisa ndugu yangu hawatupendi nasi hatutatumia tena vifaa vyao
Tuache tu kila mmoja/nchi ipambane na Covid 19 kwa namna yake.Kila nafsi lazima itakufa.Allah atunusuru.
Trump akili hana atasaidiaje Afrika wakat yy kwake watu 50000 wanakufa kıla sıku
watz wenzangu tuachane na hawao wayahud hawatutakii memaa haoo
Umesama kweli
WHO wanatumiwa na China,lakini kwa Magufuri hawataweza,
Shukran Kwa habari
TANZANIA WAMEPONA 37
MBONA HILO HAMTANGAZI, BADALA YAKE MKO KWENYE 200 TU??
Sio 37 tu ongeza na wale 11
Tanzania wanaficha idadi, Leo no Siku ya 4 hawajarekebisha idadi (updates) 284 ilikuwa imeshazidi mpaka Jana...
Hii sio kaz yako. Iachie wizara
Kwako kuna mgonjwa ?
Sasa wewe haujasikia kuna watu wamekimbia kutoka hospitalini na covid 19 positive? Au na ww unatetea bado usomeshwe uongo?
Wewe amitkumar si mzalendo kwasababu hatajinalako linaonesho!
Mbona 34 waliopona Tz BBC hawajawatangaza?
Akuna maumbikizi tena
Wap
Dada uko vizuri achananao wanafki ,wasio jua kiswahili ndio wanapata tabu .
Tanzania mtuache sisi tumemkabidhi Mungu mambo yetu .....hawezi kukurupuka
🤣🤣 idiot
Uhuru must cry to God ,God to heal his county Kenya,
country sio county
Tanzania tumejipanga kwa njia zote. Magufuli anajitahidi sana ku control korona please msipende kuharibu majina ya ma rais wa Africa pale wanapo onyesha kuji tambua. Mkafanya kama Mugabe na Gaddafi. Magufuli wa Tanzania tuna mpenda. Tena mkome kumuingilia hovyo.Tangazeni mazuri alio fanya ku control.
kila nafsi itaonja umahuti ata kama sio kwa corona ..mtuache na tanzania yetu ....
Mwaka wa majanga huu
Raisi wa Pakistan Imran Khan ni Simba wa ulimwengu
Wallah Allah amlipe kheir nying cn
tz wanapona hamtangazi ndıo bongo zozo anasema dawa ya korona ni kuzma simu na kutokuangalia vyombo vya habar maaana hawasemi +
kila cku _ tu .
Mnapenda kufurahishwa ee
twende hivyohivyo tutafika tu
Mtaipata tu hiyo chanjo na hii ni baada ya kusikia Madagascar imegundua dawa .
Kabisa yani wajinga kweli yani
Watanzania tunyinywee hii ya waafrika wenzetu kutoka Madagascar
🙏🏻😔
Mbona hamtangazi walio pona wanga wakubwa nyie mtoke tanzania
Wa kwanza NAWAKILISHA DEIRA NA BANIYAS