SADC yakutana kuhusu mzozo DRC: Dira ya Dunia TV Ijumaa 31/01/2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 33

  • @mahamudaideed6922
    @mahamudaideed6922 4 години тому +4

    Nashangaa wakongomani wanasema Rwanda inaivamia Congo na wao wanakimbilia Rwanda sasa utakimbiliaje kwa adui kutafuta hifadhi hio inathibisha Rwanda ni watu wazuri very good people

    • @Kanyaromsenge
      @Kanyaromsenge 4 години тому

      Uko sahii ndugu hiyo inashangaza sana

  • @selemanimmeswa3556
    @selemanimmeswa3556 7 годин тому +3

    Sadec ;ahina jeshi

  • @etonganoanzu3886
    @etonganoanzu3886 7 годин тому +6

    Kwanini mazuri ya congo atuonangi kwenye Habari zenu lakini ikiwa ni m23 munakuwaga haraka haraka kuzitangaza kwanin nyinyi watangazaji wa BBC au na nyinyi ni ivyo muko upande ule wamabwana zenu umoja wa ulaya wana wapagia cha kusema na kupost mujuwe sasa ivi haki ya congo lazima itimie akuna ku cheka na yoyote yule tulisha juwa nyinyi wa BBC muko nyuma na m23 congo itapaki kuwa 🇨🇩 imara nyinyi ni wanafiki

    • @tunajaribu
      @tunajaribu 2 години тому

      Duh

    • @MasimangoLulonga
      @MasimangoLulonga 19 хвилин тому

      Ukosawa kiogozi niwamoja.ukiagali akuna mtagazaji.kutoka.congo.myakayote.kuusu kukimbilia.rwanda.jua.kule.mpaka.ukokarimbu.ivo.kunawanyarwanda.wanaishikule.au.umo.nilazima.akimbilie.kule.

  • @PaulDaud-r7z
    @PaulDaud-r7z 7 годин тому +1

    Watangazaji acheni kuipaka matope rwanda kwani mnaushahidi

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 6 годин тому

    Nyie bila Kagame kuuwawa,ni shida😊

  • @sarrgodanaguyo3892
    @sarrgodanaguyo3892 Годину тому

    Vita ya wafrica haita isha viongozi nidio wanafiki kugonganisha inchi kwa inchi nyingine

  • @ThomasErro
    @ThomasErro 8 годин тому +1

    hakuna maana ya sadc ikiwa haitaweza kuleta amani kongo

  • @hosearichard3913
    @hosearichard3913 8 годин тому

    Wakongo wafike maahala wakue na biashara ya ushirika, yaani warusu mikataba jumuishi kati ya selikali na watu binafsi au mataifa maana kinachowagharimu hapo ni lasilimali walizikuwa nazo. Wakiendelea kukaza fuvu wataisha wote😊 12:19

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 5 годин тому

    viongoz wa africa wanafk sana sudan wameitelekeza na raia wanakufa ila congo ndo inazungumuziwa sana kwa nn?

  • @gefreymtalo5613
    @gefreymtalo5613 8 годин тому

    Hii vita ya kongo ipo mikononi kwa kiongozi yupi hapa Africa ?

    • @ErnestBaluza1
      @ErnestBaluza1 7 годин тому +1

      Vita y'a Kongo ni marikani n'a ufransa wakisapoti Paul Kagame

  • @shilakodeni2853
    @shilakodeni2853 2 години тому

    Mimi nipo nashindwa kuwaelewa sasa kagame anakataha eti m23 sio watu wake kwaiyo wa naenda kuongeanini narahisi wa Congo

  • @SerageSaide
    @SerageSaide 7 годин тому

    Miriam otutu kanikera unaenda kama😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NoahDaudi-j7y
    @NoahDaudi-j7y 7 годин тому

    Vp

  • @MahmoodAbas-x2y
    @MahmoodAbas-x2y 23 хвилини тому

    Ktk ma amuzi yao wasijichanganye Ku umaliza kwa kidiporomasiya Africa itakuwa imeshinwa watajuta badae.Wapigane mpaka mwisho.

  • @LucySimba
    @LucySimba 7 годин тому

    Kama mimi ningekua Rais wa Congo nigeruhusu URUSi iingilie Mapigano hayo Kagame aache uchokozi 🙏🏼

  • @adelikelivisadelikelivis9051
    @adelikelivisadelikelivis9051 6 годин тому

    Mambo magumu DRC Kazi kubwa ifanyike amani ipatikane Tumechoka kuona na kusikia vilio na mabom Africa ni ndugu 😢

  • @Savio29-mp1vx
    @Savio29-mp1vx 38 хвилин тому

    Awonawo nimajyambazi kamacyakila nicyidogo
    Marori ariyobeba cyakura cyawo yapo mangapi
    Siwatwambiye twende dushushe

  • @florencenyaremezo6152
    @florencenyaremezo6152 6 годин тому

    Sio jesho la rwanda na watoto wa congomani wa merudi kwao

  • @ErickWankuru
    @ErickWankuru 5 годин тому

    Wakongo amkeni nchi yenu inachukuliwa mbele ya macho yenu

  • @amaskaisimbi9130
    @amaskaisimbi9130 Годину тому

    Sadec mwende kwenu pia kwenu wanawuawa kwawenyewe mumeshindwa kushugurikia wanainchi wenu ,mtashugulikia wakwetu. Mtakufia kwa hio zahawu ya congo. Kwanini Kagame akue kwahio mkutano Yawacongo?

  • @LucySimba
    @LucySimba 7 годин тому

    Je wakati watakaa kupatanishwa M23 au Rwanda yenyewe itakubali kuachilia Aldhi ya wacongo?? Kama hamna ni Rais wa Congo Aombe msaada kutoka Mataifa mengine Polo Kagame aache uchokozi

  • @esuthoby7865
    @esuthoby7865 6 годин тому

    Ninyi waandishi wa habari, mnahitaji kujua historia ya huo mgogoro.
    Mnatakiwa kuelimisha nchi ambazo hazielewi huo mzozo.
    Nchi za ulaya zenye interest na congo wamebaðilisha mwelekeo, at rwanda wanataka madini,huo ni uwongo,wao ndo wanataka waendekee kuiba madini wakijidai wanalinda amani.
    Sasa hawataki hao wakongo wa m23 wanaozungumza kirwanda wafaidi mali zao.wanawaita warwanda kisa lugha.

  • @SahilDorine
    @SahilDorine 2 години тому

    Wakongomani nandangantwa naviongozi wawo,,,aduwi atakupa hifathi?? Rwanda inalinda mpakaaa zidi ya FDLL waasi wamauwaji yakimbari ya mwaka 1994 duniyainajuwa warivyo fanya kosa ra Rwanda ni gani hapaaaa

  • @AlfredHabimana-u7w
    @AlfredHabimana-u7w 7 годин тому

    Wameungwa mkono na Rwanda wewe ulijua je we mtangazaji?

  • @salmonnestory
    @salmonnestory 8 годин тому +2

    Huyo Miriam Otutu kanikera sana ushaambiwa ni bbc swahili unaenda kama mtathimini wa masuala ya kisiasa unachanganya lugha za nini? Kwamba hukujiandaa? Kanikera sana

    • @danwayne786
      @danwayne786 7 годин тому

      BBC ina faa kukagua wachambuzi kama wana fahamu lugha ya Kiswahili. Ama wapewe watafsiri basi.

  • @NepporSabith
    @NepporSabith 7 годин тому +2

    TUACHE kwendelea kuituhumu Rwanda ,Kam wanajeshi wa CONGO hawawezi kujirinda wakishirikiana mamruki wakizungu,SADEC,Na WAZARENDO,je mnataka nini kifanyike zaidi yamazungumzo ????

    • @josuensiama1777
      @josuensiama1777 7 годин тому +1

      Wewe ni mnyarwanda , kwa mujibu ya wewe waKongo wauliwe kwa M23 ?