Asanteni kwa taarifa murwa,,,Mwenyezi tujalie ufahamu tujue sababu ya huu mtihani ili tufaulu,,maana hakuna mjuzi zaidi yako,,,asante pia bint Machibya kwa sauti yenye mvuto wa aina yake,,Mwenyezi tuhurumie kwa Rehema yako...
Salimu kikeke tunashukuru sana kwa habari zako ila doctor umemkatisha kuna jambo alikuwa anataka kulisema tunakuomba umtafute tena tumsikilize ni mtanzania mwenzetu uyo atupe maelekezo zaidi tupate kujifunza ugonjwa huu dokta tunampa pole mungu atamsaidia atapona
@@NancyMwaibula7634 . Nikweli bhana mm naishi hapa Africa kusini kuna sehemu nyingi bola tena bola sana lkn hawazioneshi... Talifa zawo barani Africa in kudhalilisha Africa tu... Vp lengo ?
Jamani baada ya kumuomba Allah atuondoshee maradhi haya nyinyi ndio kwanza mnazungumzia zanzibar sio nchi sijui mkoa haina haja ya kuangalia nchi au mkoa kwa sasa nikumuomba Allah tu atuondoshee balaa hili jamani
Wenzangu, ugonjwa hi ni hatari. Si mchezo...and I do not work in health department. Imagine how our doctors and nurses and those connected to public health feel. Please, let us help them by obeying simple principles like SOCIAL DISTANCING...Please, stay at home unless you really need to go outside. If you have a girlfriend or boyfriend next door or across the city...now is the time to hold those urges. No one ever dies for not having sex but Coronavirus may kill you. Please, be careful...
Yani China inafufua mambo alafu inashindwa kutafuta Dawa yakutibu 😓😓😓😓 Mambo yakijinga sana kujitia upelelezi mwingi nauchunguzi mwingi alafu mnashindwa kutibu Janga
Asanten kwa taarifa BBC, mnajitoa mno, God bless you.
asanteni.bbc.kwa tarifa moto
Asanteni kwa taarifa murwa,,,Mwenyezi tujalie ufahamu tujue sababu ya huu mtihani ili tufaulu,,maana hakuna mjuzi zaidi yako,,,asante pia bint Machibya kwa sauti yenye mvuto wa aina yake,,Mwenyezi tuhurumie kwa Rehema yako...
Salimu kikeke tunashukuru sana kwa habari zako ila doctor umemkatisha kuna jambo alikuwa anataka kulisema tunakuomba umtafute tena tumsikilize ni mtanzania mwenzetu uyo atupe maelekezo zaidi tupate kujifunza ugonjwa huu dokta tunampa pole mungu atamsaidia atapona
Mungu ndo Anatikiwa kufanya kazi yake Asente BBC kwa Habari nzur
Mungu atustiri na hili janga la corona.. Insha Allah
Amiin yaraab
Tumwbie magu anunie vifaa
Mungu inusulu dunia yako., hili janga hakika we ndo jbu tosha tunajua corona si kitu kwako.
8
Acha tufe wazaliwe wengine
Mungu atusaidie dunia Yote
BBC mko vizuri sana
Kupitia hili tujue Allah yuu muweza na yupo
Twashukuru Allah tume amka salama Alhamdulillah 🤲
Shukn Bbc kwa kutuelimisha kwa kujikinga na mlipuko wa Corona
Dr. Hamza mungu atakupa afuweni utarudi kazini Inshaalah
From Tanzania lakini eeh mwenyezi mungu congo itazame maana ina magonjwa mengi bado M23 na mengine mengi mungu wasaidie ndugu zetu
Dawa kama Fisherman's Friend may help....maybe...just a suggestion
Allah atuwekeye wepesi
Daaaah mungu awasaidie DRC
Daaah Salim ninakuombea ubaki salama kwa jina la yesu😭😭
MUNGU au yesu
@@fatmaismail13 swali zuri kabisa
@@fatmaismail13 hajaskia mulize tena hata Mimi sielewi
Fatma Ismail A
Fatma Ismail basi Allah Akbar 😂😂vaeni bomu mjilipue kama inawauma
Salim doctor alikuwa anataka kufunguka lakini wewe una mrusha rusha mtafutie kipindi ili afunguke kipo kitu cha kujifunza hapo!!
Yani BBC ina ongelea habali za Kenya na Tanzania Tu Burundi uta fikili haipo kwenye olodha ya ichi za Masha liki
sina la kusema ,,,ahsanteni
Kaka salim nahis haupo ok. Mungu tusamehe tuondolee haya maradhi.
Kusali tu ndo njia ya kupona mengine ni uongo
Mbona hamuiongelei Burundi!!!😭
Kuna wagonjwa 2 tu
Walishapigwa biti kuifatilia burundi
Kama ntakua sijasahau bbc walifukuzwa burundi miaka ya machafuko
BBC mmekuwa pamoja na ss katika kutujuza 2nashukur
Mnaonyesha maeneo ambayo hayapo vizuri kimuonekano, aah tafadhali mnatudhalilisha Afrika bana misijapenda kabisa
Eeh Mungu tunaomba uokozi wako jmn kupitia kwa mwanao yesu kristo
agnes lohay Mungu hajazaa wala hakuzaliwa kwahivyo hana mtoto
Bbc leo imevurugwa😁
MUNGU ATUPIGANIE!! Nimefurahi sana nilipogindua Mahubiri Tv kwenye UA-cam
Tuwe pole
Kwa kweli😀
mungu tunusuru
Pole Sana nchi yangu DRC Ebola, surua, Adf, M23, Sasa Corona eee Mungu tuokowe
Tumuombe mungu atujalie
Mungu uturehemu
Watu wa paul kagame wavumilie tu kwa kipindi kigmu hiki
Mimi nashanga sana mukionesha Africa kusini munaonesha tu maeneo hovyo lkn inchi ina sehemu bola nyingi tu... Vp lengo kubwa???
Hakurusiwi kutoka njee
Yaan Mimi najiuliza sana sipendi kabisa wanatudhalilisha watu weusi daah
@@NancyMwaibula7634 . Nikweli bhana mm naishi hapa Africa kusini kuna sehemu nyingi bola tena bola sana lkn hawazioneshi... Talifa zawo barani Africa in kudhalilisha Africa tu... Vp lengo ?
kikeke doctor atafutiwe kipindi tupate faida zaidi
Allah atusaidie, maana hadi kikeke inaonyesha kabisa hayupo sawa
Hawezi kuwa sawa kila muda anaona watu wapoteza maisha yaani kazi yake ni kutaja idadi ya maiti
Why Zanzibar is silence for information
Zanzibar no country
Zanzibar is not a country is an island within Tanzania 🇹🇿
Shauly Tv Zanzibar ni Tanzania aiseee
Ukion sehem yoyot kun serikal kamil ujue n nchi yeny kujitegmea
Machungwa na citrus fruits nyingineyana vitamin c kwa wingi hivyo husaidia kuongeza Kinga mwilini.
Mungu hatusitili jam
Mbona ZANZIBAR hatuisikii et
kwani zanzbr ni nchi ama nimkoa kwenye sehem ya tanzania 😂
Ulisha ambiwa tanzania na zanje ni kisiwa kilichopo tz sasa unataka wataje jenz kiaje au zenj imekua nchi sikuiz
Jamani baada ya kumuomba Allah atuondoshee maradhi haya nyinyi ndio kwanza mnazungumzia zanzibar sio nchi sijui mkoa haina haja ya kuangalia nchi au mkoa kwa sasa nikumuomba Allah tu atuondoshee balaa hili jamani
Zanzibar kila kitu wanafanya kisiasa siasa tu
Wenzangu, ugonjwa hi ni hatari. Si mchezo...and I do not work in health department. Imagine how our doctors and nurses and those connected to public health feel. Please, let us help them by obeying simple principles like SOCIAL DISTANCING...Please, stay at home unless you really need to go outside. If you have a girlfriend or boyfriend next door or across the city...now is the time to hold those urges. No one ever dies for not having sex but Coronavirus may kill you. Please, be careful...
Yani China inafufua mambo alafu inashindwa kutafuta Dawa yakutibu 😓😓😓😓 Mambo yakijinga sana kujitia upelelezi mwingi nauchunguzi mwingi alafu mnashindwa kutibu Janga
Kuna nchi ya Africa mashariki hatupati habari yake inchi ya Burundi
Ina wagonjwa wawili tu.
What is wrong with DRC every desease is theirs
UK=ENGLAND??