BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 11.09.2018

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 50

  • @nasrahn7087
    @nasrahn7087 6 років тому +4

    Hongera BBC suluma kassim penda sana wewe mansha Allah

  • @johansenkatunzi9571
    @johansenkatunzi9571 6 років тому +2

    ongera sana mr salim kikeke uko makini sana, wew ni nyota ktk kundi la watangazaji wa BBC swahili Mungu azidi kukutia nguvu na kukuimarisha zaidi .

    • @daviekisale5006
      @daviekisale5006 5 років тому

      Poleni sana huko Nigeria kwa mripuko was gesi, lakini waziri was nishati usirifumbie macho

  • @andream6208
    @andream6208 6 років тому +2

    Hongera bbc swahili kwa tarifa ya dunia

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 6 років тому +2

    Amen Amen Barikiwa hasan. Urusi tunaitaji amani siyo silaa za mangamizi. Amen.

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 6 років тому +1

    Hasan uko vizuri sn kwenye kujieleza.Bigup broo

  • @Ketekuntu
    @Ketekuntu 6 років тому +1

    Great keekee,bbc redio ya mazaa

  • @kileleni7424
    @kileleni7424 6 років тому +1

    Tatizo la mabondia wengi wa Afrika/Tanzania hua wanachukua Hongo na kuuza PAMBANO. lakini wingi wao wapo vizuri....

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 років тому +5

    Hatutaki vita za kutumia siraha, kama wanataka vita wapewe uwanja waonyeshane ubavu tu hiyo ndiyo vita sahihi, wasituchafulie Dunia yetu.

  • @michaelmzinga4741
    @michaelmzinga4741 6 років тому

    Hassan hongera sana kwa kutuwakilisha Tanzania.

  • @theodorythobius3965
    @theodorythobius3965 6 років тому

    Hongera sana bondia ila usibadilishe uraia kama wenzio baada ya kufanikiwa

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 років тому +1

    Utauliwa ww salime usijaribu ili 😂😂😂 n izo ngumu zako

  • @totobaya7867
    @totobaya7867 6 років тому +2

    Safi sana urusi fanyeni mumdondoshe bilisi marekani

  • @salimdoctor691
    @salimdoctor691 6 років тому

    Hongera mwakinyo tizi kali ushindi lazima

  • @xarverymange1706
    @xarverymange1706 6 років тому +1

    Hongera kwa kushinda

  • @jaypili9955
    @jaypili9955 6 років тому

    hongera kwa mwakinye kwa ushindi mzuri

  • @joshuawiranga9575
    @joshuawiranga9575 6 років тому

    Hongera bbc

  • @mavugocharles7021
    @mavugocharles7021 6 років тому +1

    PONGEZI SHUJAA PUTIN FANYENI MAZOWEZI KBS

  • @carossbeno8091
    @carossbeno8091 6 років тому

    BBC naipenda xana jmn kwani habari zake ziko poa xana pia kaka kikeke na kkubali xana

  • @mbarakaathumani3035
    @mbarakaathumani3035 5 років тому

    BBC CONGRATULATIONS

  • @hamadshein8272
    @hamadshein8272 5 років тому

    Zamu y china kutawala dunia.marekani akianzisha vita ndo baibai.kuwa jogoo wa dunia.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому

    Kikee! Hebu japo kiduchu tuonyeshe alivo mdunda jamaa!!😁

  • @martinl.5497
    @martinl.5497 5 років тому

    Mwaka moja uliopita

  • @jumaomar1454
    @jumaomar1454 6 років тому +1

    kweli Hasan serikali ya tz hawathamini wanamichezo labda saivi ndio watajitokeza baada ya ushindi

  • @solonmon3229
    @solonmon3229 6 років тому

    NAITWA SOLOMON MATHEW! NIPO DARESALAAM TANZANIA , NAMUULIZIA MTANGAJI WA ZAMANI WA BBC , WAZIRI HAMSINI YUKO WAPI SIKU HIZI?

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 6 років тому +2

    Fanyeni hivo trump atulie

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 6 років тому +2

    Urusi fanyeni hivo Trump atulie

  • @suleshmwakz4709
    @suleshmwakz4709 6 років тому +2

    Urusi ndo habari ya mjini

  • @saidmohammed9010
    @saidmohammed9010 5 років тому

    Marekani hata weza

  • @sadatmohamed5701
    @sadatmohamed5701 6 років тому

    Ndondi unaweza salim

    • @harunasuleiman578
      @harunasuleiman578 6 років тому

      asanteni Tim ya BBC kwa matangazo yenu tuko pamoj

    • @gideonmeshack8099
      @gideonmeshack8099 6 років тому

      Tanzania kunavipaji Vingi sana tatizo wizara inayosimamia michezo na aina ya viongozi wajuu wanaisimamia michezo mtamjua tu mwakinyo anamataka mswahili myweathwer

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 5 років тому

    Yaani kumchana Muingeraza nybani.kwake mkaka una mbwembwe ww BBC siachi

  • @hassanbosharo5803
    @hassanbosharo5803 6 років тому

    Mm pamoja na urusi

  • @athumanihabibu5149
    @athumanihabibu5149 6 років тому

    safi sana

  • @andrewmgoyo8008
    @andrewmgoyo8008 6 років тому +1

    Flord myweather atakuua ebu taratbu kwanza jipe mda

    • @aeroportonissan8077
      @aeroportonissan8077 6 років тому

      andrew mgoyo Dogo yupo fit hakuna cha nani wala nani

    • @andrewmgoyo8008
      @andrewmgoyo8008 6 років тому

      Bd rafk yangu bd taifa linamhitaji atutangaze vzr maake huku kwny mpra limechacha km penzi la lava lava

  • @sylvesteraron4972
    @sylvesteraron4972 6 років тому

    wewe bondia unafaa komaa zaidi utupaishe watanzani na afrika zima

  • @faustinmushi6451
    @faustinmushi6451 6 років тому +2

    Huyu Hasan, ni nani? Watanza nia tunao mabondia ambao tunawatambua. Huyu hasani ni nani?. Na amepelekwaje huko uingeleza. Mnasema kuwa anapepelusha bendela ya Tanzania. Natia shaka hapa. He viongozi was masumbwi hapa Tanzania wanatambua kuwa wamempeleka huyu hasani kupambani uingeleza?.

    • @iddswalehomar1323
      @iddswalehomar1323 6 років тому +1

      Wacha bifuu braza dogo yuko sawa ww ulikuwa wamtaka yupi

    • @SHEMAHONGE
      @SHEMAHONGE 6 років тому

      Kwaiyo ww ni Nan !! Ambaye unataka akutaarifu adi alipo fikia hapo amepenya maana Foren kama watu kama nyiny mnge mdundisha...Ata mim napeperusha bendera je ! Unataka kujua mim ni Nan..Acha bifu..

    • @faustinmushi6451
      @faustinmushi6451 6 років тому

      +SHEMAHONGE Hujanielewa nilichomaanisha!?. Namanisha hivi, mabondia wa Tanzania tunawajua. Je, nayeye ni miongoni mwa mabondia was Tanzania. Na je , hayo mashindano anayofanya huko wingeleza yamelatibiwa na viongozi was masumbwi hapa Tanzania?.
      Sina bifu brow, kwanza mimi simpiganaji.!

  • @paulmafuru9464
    @paulmafuru9464 6 років тому

    Hakuna kitu hapo USA ni taifa kubwa

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 5 років тому

      USÁ ni taifa kubwa wizi mali za watu,hawana jengine

  • @andream6208
    @andream6208 6 років тому +2

    Hongera bbc swahili kwa tarifa ya dunia