Goma DRC: Juhudi za kutafuta amani, M23 wakiendelea na mashambulizi
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Goma DRC: Juhudi za kidiplomasia zinaendelea kujaribu kuleta mapatano na kukomesha mapigano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa DRC, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji wa Goma na wanaripotiwa kuelekea kusini kutwaa maeneo zaidi. Rais Tshisekedi ameahidi kwamba vikosi vyake vitaanzisha mashambulizi makali dhidi ya M23 - na kuongeza kuwa jumuiya ya kimataifa haichukui hatua za kutosha kuwakomesha waasi hao.
Mr president take action please
,;😢😢😢 poleni sana
UNAFIKI WA DUNIA!
wako pembeni wametulia
EAC and SADC Tafuten aman juu ya CONGO
Uraisi sio Dili Yani huyu Sasa anakunywa amesimama
BBC ...NDIO WALEWALE
Kisekedi ni muongo hana kitu atafanya amesema hiyo kila kucha .waasi walikua bado wamebana Bunagana mpaka leo goma imetekwa ni msafari huyu😅😅
Poleni xanaa wa Kongo
Ila katika siasa huwa hakuna bahati mbaya, kila kitu kinapangwa
Hawa waasi ni hatari sana.. awana huruma na wanawake na watoto na watu wazee?. Dunia ingilieni vita hivi vya Afrika. Waasi kuweni na hofu ya Mungu mkuu kwa matendo yenu.
Tuna wafata DRC mungu atuleteye amani
Bbc ndiyo ovyo sana
Kongo inaonewa kagame kagame acha chuki acha Vita Mungu atakulaani
Mtu anapochukua sehemu ya nchi yako ni sawa na kuchukua utu wako jeshi la congo ni dhaifu sana ni bora nife vitani kutetea nchi yangu😢
Hawa m23 ni wanyarwanda kweli??
@@Majiifandendiyo wanyarwanda
Kwann mnasema M23 inaungwa mkoni na Rwanda wakati Rais wa Rwanda anakanusha hadharan!? Je mnao ushahidi wa kujiridhisha kwa taarifa hiyo!?
Hata mimi nahoji hilo
Kukanusha hadharan haimaanish lakin tazama ndan ya hiyo vita hao waas wanapata wap supporting na ukichunguza zaid unaweza ona kuna network iliyotanda hapo kwamba hata hao wa rwanda kuna shinikikizo au kuna support wanaipata another sid all in all waangalie foreigner wajao nchin hapo
serekaliyakongo hawafai hatakidogo
Hawa M23 wanatoka wapi! Naona Mzee kagame kakanusha kuwa sio wa Rwanda.
kuba bake
Sisi kama wa congo tuna uamuzi kwa ichi yetu kaname ni muhasi kwetu umoja wa ect africa hauta sema lolote kwetu
Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote
Congo ikesema m23 wana saidiwa na rwanda wao wanasaidiwa naincho ngapi?
Ces vidéos ne sont pas téléchargée ?
C'est un souci déjà
HAWA WAAS WAMEZALIWA NANANI?? HAWANA HATA HURUMA NA MAM MA NA WATOTO.WAOMBE MUNGU AWAPE HATA MSHIPA WA HOF YA MUNGU.
Sasa kwanini wanamnganganiza kagame je wanaushaidi wakujitoshereza?
Nchi ya Congo, amueni kujilinda,
Au mnamwandama tu Kagame?
M23 niwa congomani niwatoto wamerudi kwao acheni mambo mengi
Mtoto gani anaye rudi na bunduki mkononi nyumbani, jizi ao ni majambazi vibaraka wa mabeberu.
@@InsidetherevolutionaryMind-q3vna wale vijana waliochinjwa na waziri walikuwa ni wageni. Tatizo Kongo ni wapumbavu na wabinafsi ndo maana mnauwana wenyewe Kwa wenyewe
@@yudachelango6824 tatizo waafrica tunaamini sana tarifa za mitandaoni bila kufanya research, uyo waziri alipo wauwa hao watoto uliona ao ulihadithiwa tuu na media.
Tanzania tuwasaidie wakongo wanaonewa na kagame jamani viongozi saidie nchi ya kongo hata kama ni wanyonge,Mh, Rais Samia saidia kongo Mungu akuinue
Wakongo wahurumiane na waache kuuwana wenyewe kwa wenyewe
Ukweli ni upi hasa?? M23 ni Wanyarwanda au Wakongo? BBC msiwe na upendeleo, vinginevyo huu ni mchezo.
lakini nyinyi wakongo mtenda jambo mbaya na mungu atawalipa mapolisi na huyo rais atakufa vibaya sana
Jambo baya lipi, litaje kwa jina
tanzania troops are hostage by m23 if u dont know
Hakutakuwa amani congo yetu kwakutegemea mazungumzo pasipo kuipigania inchi yetu wenyewe. Raisi kama anaipenda inchi na rahia wake atowe uhamzi mmoja.
Kwamaana tumezaliwa katika vita nakuzaa pia tukiwa ukibizini nabado tuna tegemea mazumzo
Kama hali hii itaendelea basi naona m23 wakiiteka nchi nzima ya congo.
Ndugu zetu wa congo kaeni mezamoja kumaliza mgogolowenu lisas pekeake hizta maliza mzozo wenu
Jomoni mtangazaji unaongea Utumbo kagame kaongea ukweli wazalendo siyo wanyarwanda bali niwa congomani,pakiwa mnyarwanda umoja ru mnaanza kusema eti M23 niwanyarwanda kumanina zenu
Ningekuwa rais wacongo BBC ningeifungia isifanye kazi inchini congo, watu wa bbc niwajinga sana, taarifa zenu zaurofa zakuaibisha inchi yacongo, eti amani imeanza kurejea na m23 wakishikiria mji, kwaiyo munatwambia wahasi wanaleta amani kuliko serekali ya inch, muwe munaacha kutangaza Mambo yaivo
Wananchi wenyewe wanasema amani imerejea na wanarudi sasa wewe unalaumu BBC ndo wanarudisha hadi hao wakimbizi? Acha ujinga
Hotuba ya cisekedi anakubari kuwa f d r r iko kongo kwanini aseme kagame ansaidiya m 23? Aache uginga uoga na uvivu wake arinde nchi yake
Uri musazi... shut up don't talk what you don't know.
Congo ni dhaifu kijeshi😢😢