Shiekh wangu bakia katika hapo hapo na wallahi sisi tunaoishi mbali na inchi yetu tunafaidika Sana na daawa yako ya haki Mola akuhifadhi na akuepushe na Shari za munafiq na wanadhuoni waovu wanaowapinga wanadhuoni wa haki kwa kupato cha mambo ya kidunia na inshaAllah iko siku nitakuja kukutembelea inshaAllah
Nyie mnaoandika na kuanda darsa za sheikh tafadhali andikeni sura ipi na aya ipi inatusaidia sie tunaotaka kusoma hivi vichwa mnavyoweka kwa ajili ya kutafuta viewers havitusadii.

Nakupenda.Sana.Shehe.Wang.Mselem❤
Allah akuzidishie ulinzi na afya njema
Shaikh nakupenda Kwa ajili ya ALLAH
Nakupenda Sheikh Mselem kwa Ajili ya ALLAH
Allah akuhifadh
Allah akupe umri mrefu sana Inshallah.
Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila YA NGUZO
team mselem best msa Ken
Subhanna Allah wataala
Allah akuhifadhi shekhe Mselemu
ALLAH akupe Kila leny kher
Baraka llah fiyka
Mashaallah Allah amuhifadh
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Amiin
Amiiin!!!
Allahu Akbar
Huyu shekhe mkuu tanzania wengine ni makamu wa
Nyie mnaoandika na kuanda darsa za sheikh tafadhali andikeni sura ipi na aya ipi inatusaidia sie tunaotaka kusoma hivi vichwa mnavyoweka kwa ajili ya kutafuta viewers havitusadii.
Nawomba Allah akwivazi sana oyende mbele nakusomesa
Ma Shaa Allah
Mselem the best
Ukitaka kiswahili Halisi hapa kwa Maalim mselemu ndio kwao,Allah ambariki mimi napata tafser na kiswahili kabisa.
Mungu akueke she
Anaekosea wowote lazima akosolewe km kakosea na wala sio dhambi na kukosea pia ni jambo lipo
Kukosolewa si dhambi ila je ukosowaji wako ndio unaotakiwa katika dini
Kukosowa km ni sahihi sawa lkn si kwamba anapotosha au asisikilizwe.
Ww ndo makamo wangu 2 Zanzibar hii
Hapo jamaa wanataka wasilikizwe wao pekee, wanajiona wao wameepushwa na makosa
Unamzungumzia Mungu tunayemwambudu au unamzungumzia Allah? Alllah?
Allah kwa kiarabu Mungu kwa kiswahili lkn ndio huyo huyo
Allah akuhifadhi na Shari za wanaojifanya wamesoma.Endelea kutuelimisha.
Allah maana yake ni Mwenyezi Mungu.
Lahi maana yake Mungu
Kwa kiswahili.
Hujamuelew ama
Ww hujamuelew hu shekh au una mambo yak t binafsi
Taybu muft