Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

IFAHAMU HISTORIA YA SHEIKH WALEED Kielimu |Sheikh wa Mkoa wa DSM | ""Nilipelekwa Maawal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2023
  • IKIWA KATIKA ULIMWENGU WA KIISLAMU HABARI KUU NI UTEUZI WA SHEIKH WA MKOA WA DSM SHEIKH WALEED ... KHAIRIYYA ONLINE TV tunakuletea HISTORIA nzima ya ELIMU yake mwanzo mpaka mwishoo ambayoo alipata kuielezea akiwa yeye Mwenyewe pamoja na MTANGAZAJI MAARUFU SANA ust #abdulhaleem
    Usisahau ku #subscribe ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬
    Ku #like na #comment ,na usisahau #share
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

КОМЕНТАРІ • 8

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 місяці тому

    أسال المولى القدير ان يحفظ الشيخ وليد وان يبارك له في عمره وعمله

  • @kalfanabasi4703
    @kalfanabasi4703 Рік тому +1

    Hongera sana Kwa uteuzi huu shekhe Walidi unastahili

  • @saalimally3050
    @saalimally3050 Рік тому

    الحَمْدُ ِلله
    tumesoma shule moja shee wangu

  • @shaisoho9033
    @shaisoho9033 Рік тому

    Wallah shekh Waleed unastahili,,hongera sana,,,Allah akulinde

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 Рік тому

    Mashaallah nimependa hizo dua alizoombewa na mashekhe hadi nimeingiwa na wivu wakheri

  • @fhhfhj7719
    @fhhfhj7719 Рік тому

    Mwakahuo ndomm nazaliwa dah kipindiicho shamsiyakweli 😢 mabrok Allha azidishishe Elimu iweyajuu zaidi nausiweze kubaguwa soteniwa mungu ulonacho utupatiye nahaminiukonamingi nanimekuwa tunakufatiliya mawaidhanadarasalako maashaallah walauitajinguvu but now watuwanakuranzsmakamashekhewamkowa

  • @fhhfhj7719
    @fhhfhj7719 Рік тому

    Tanga iyo😢 ongera